Тёмный

MALHA: Utampenda Mwanamuziki huyu wa Comoro, Lugha yao inafanana na Kiswahili, wanaimba Taarab 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 55 тыс.
50% 1

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 181   
@khamisshee803
@khamisshee803 7 месяцев назад
Wooow nice song ❤❤❤ Aka BACHUCHU Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sonnyr1899
@sonnyr1899 7 месяцев назад
Mashallah mdada mzuri na pia anajuwa umuhimu wa kustiri mwili wake
@wardamwikali7891
@wardamwikali7891 7 месяцев назад
Mbona hakujifunga mtandio na ni muislamu? Na Comoros kwa dini ni namba moha
@stan9519
@stan9519 7 месяцев назад
Wacha ushamba, mwili ni wake, nini cha kuwasha?
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 7 месяцев назад
She has a very beautiful voice❤❤ i will visit Comoros InshaAllah 🇰🇲
@dishonmalingo1171
@dishonmalingo1171 7 месяцев назад
Tangazaji linafahamu linachokifanya, kusema mipasho badala ya taarabu naamini ni kutokana na uzawa katika lg. Kwa kuamini kwamba anawasiliana na wazawa wa lg ndiyo maana anaitumia lg apendavyo bila kuathiri ujumbe kulingana na mkutadha. Hongera tangazaji u mahiri vya kutosha kwenye kazi yako
@francomwacha2262
@francomwacha2262 7 месяцев назад
Aisee nimemkunali sana very interesting kiukweli.. mm ni shabiki ake from now on
@samielvutsipa52
@samielvutsipa52 7 месяцев назад
Ebu mwambieni atafute diamond wapige collabo ili wamufahamu visuri uko comore l love from drc
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 7 месяцев назад
Diamond tunamjuwa saaana 😅 he went to comoros 2 times we know all his songs
@naturelle1097
@naturelle1097 7 месяцев назад
Asije tuharibia dada etu
@felixmakinda7689
@felixmakinda7689 7 месяцев назад
Collabo atakayompigisha Diamond ni kumpa uja uzito
@mshua337
@mshua337 7 месяцев назад
Mayote & anjuani nadhani ndio inaunda Comoro kama unguja na pemba zinavyounda zanzibar
@saidahmed454
@saidahmed454 7 месяцев назад
kuna na mwali na ngazija
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 7 месяцев назад
Mayote ni karibu na ufaransa inaman hawa wacomoro wanaruhusiwa kuingia ufaransa
@djalasaleh
@djalasaleh 7 месяцев назад
Sio kweli. Mayotte ni kisiwa kipo KAribu na Mtwara( Tanzania) France ipo Europe....
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 7 месяцев назад
​@@djalasaleh mayote nikomoro piya lakini bado hawapo huru they're still French
@dudumankidume3046
@dudumankidume3046 7 месяцев назад
Shiida
@swalehmohammed8378
@swalehmohammed8378 7 месяцев назад
Masha'allah masha'allah masha'allah tabaarakallaah malha it is queen queen queen beauty beauty beauty beutiful cute masha'allah
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 7 месяцев назад
Mashallah karibu Tanzania 🇹🇿 ❤
@feisalabdallah8632
@feisalabdallah8632 7 месяцев назад
She is so Beautiful😍😍😍
@Eng2460
@Eng2460 7 месяцев назад
She is very humble
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 7 месяцев назад
Samahani maryam rashid wacha ujinga kusema ni washenzi hiyo ni kujionesha udhafu wako lkn sishangai mngazija ni mfano wa chumvi hasifiwi lkn ni mstaarabu na humfikii
@makaroyakisasa7199
@makaroyakisasa7199 7 месяцев назад
Wimbo wake mzuri sanaaaa ❤❤❤ apige remix
@ibba8082
@ibba8082 7 месяцев назад
Poa Kabisa,From Fizi D R Congo.Kwa Lugha ya Kifaransa D R Congo kwa Afrika hakuna Waliojuu yetu.🎉
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 7 месяцев назад
Kwa ushahidi gani kwa sababu afrika magharibi karibia nchi zote koloni la mfaransa bukinabe, mali, ninger, Senegal, morroco
@ibba8082
@ibba8082 7 месяцев назад
@@shubebunyesi542 kwa Ubora (UFASAHA) wakutumia lugha,pili Kwa Uwingi Wa Watu Wanaohongea lugha ya Kifaransa D R Congo Iko Juu sana,Nchi ya pili Ila Sio kwa Uwingi bali ni kwa Ubora (UFASAHA) Wakusema Kifaransa ni GABON.
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 7 месяцев назад
Wakongo wanajiona wa ni Wafaransa kuliko Wafaransa wenyewe.
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 Месяц назад
love From Burundi
@omolomaxfitnessbodylifetim8252
@omolomaxfitnessbodylifetim8252 7 месяцев назад
Nous sommes avec toi ici à Kigali Rwanda. Karibu huku nimefurahi sana mana yeye ni Polyglot mzuri sana. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@georgiajohn4745
@georgiajohn4745 7 месяцев назад
Best mucic keep it up❤
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 7 месяцев назад
Mim pia napenda sana kifaransa
@klaussteiner94
@klaussteiner94 7 месяцев назад
jifunze tu
@Abbakhan.
@Abbakhan. 7 месяцев назад
aise..hata hapo aliposema ewaaa🤣 inaonekana hilo neno ni la luga yake kwa namna alivolitamka ila lipo kwenye kiswahili pia kuonesha namna ulivoelewa kilichozungumzwa
@bonfacewitaba_official
@bonfacewitaba_official 7 месяцев назад
Shikomori pia kinaendana na lugha yangu ya mama 🇰🇪. Tsipvode Malha na marahaba menji kwa mziki swafi. Karibu 🇰🇪 pia.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
Wapemba wengi wako Comoro big up
@user-wr1iu5re2c
@user-wr1iu5re2c 6 месяцев назад
Ciyo comoro 2 hata Tanganyika usisahau solvakiya kuna mtaa unatwa kajificheni
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 7 месяцев назад
Wanawake mlio kwenye ndoa zaeni watoto kama Malha mpate kupendeza.
@damianmcba9525
@damianmcba9525 7 месяцев назад
Hiyo nyimbo yake mpya akiingia chibu au vanny hapo itasimama sana
@alexmtati2810
@alexmtati2810 7 месяцев назад
Karbu Tanzania dada . Unajua mziki vizuri na kupangilia maneno vzr
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 7 месяцев назад
Nimependa yuko Super Woman and very beautiful lady 🙏🏼🙏🏼
@mialanomanqobo6639
@mialanomanqobo6639 7 месяцев назад
She’s very talented and cute 🥰
@kashindijohn5145
@kashindijohn5145 7 месяцев назад
je suis fier de toi ma soeur, une belle voix.....jaman ana sauti nzuri sana. 🥰😍 guys you keep it SNS you are awesome.
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 7 месяцев назад
Naimba vizuri sana
@muniramunira4829
@muniramunira4829 7 месяцев назад
Wouuu j'odare.ca ma grande vous avez bien.chanter.tu.es bon.voice et tu es bien habiller.comme une famme africaine bisous ma chrie je t' aime bcp.ma grande sister
@mariej6962
@mariej6962 Месяц назад
Kama hujui ni kwamba chimbuko la watu wa Comoros walitoka tz maeneo ya Pwani, ni wahamiaji tu visiwa vilikuwa havina wakazi. Tofauti ya lugha ni matokeo ya kutenganishwa kwa muda mrefu maneno yanaevolve. Ila kiuchumi wako nyuma sana
@PriscarMwakarindile
@PriscarMwakarindile 7 месяцев назад
Mungu amtunze amjaalie maarifa zaid❤❤
@ZIDANE_makiese
@ZIDANE_makiese 7 месяцев назад
Sky DRC ni nchi ya pili ikitoka Ufaransa yenyewe wenye lugha 😊
@simonanthonykayombo6913
@simonanthonykayombo6913 7 месяцев назад
Ukimaliza kuona hii interview tafuta nyimbo ya wawili wapendanao ilioimbwa na msanii Ndjemaa zaoumwana tsizo toka Comoros, na kurudiwa kwa kiswahili na HammerQ. Naamini utaipenda sana ni kama watu wa Tanga.
@TonyMzee
@TonyMzee 7 месяцев назад
Salam kutoka Uganda the Pearl of afica
@fatumamohammed1109
@fatumamohammed1109 7 месяцев назад
Hey, I really love your ambitions to know kiswahili. Kwezi thumb up.
@kckc8178
@kckc8178 7 месяцев назад
Niki ngazija lugha yao. Waswahili na wagazija ni wanna wamjomba na shangazi, hawa watanzania wakutoka baraa hawaijui historia hii, ukienda zanzibar pemba mombasa wangazija wingi wanaishi huko . Historia iko kwanzia kale.
@MsAggie5
@MsAggie5 7 месяцев назад
She's cute 🥰
@RichWise671
@RichWise671 7 месяцев назад
Her vibe's Pure music 🎉🎉🎉
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 7 месяцев назад
Nimeshawahi kudate na zaid ya wadada wa3 wakikomoro kwakweli hawana hiyana kukupa uchi wanapenda sana kufanya mapenzi
@klaussteiner94
@klaussteiner94 7 месяцев назад
broo😅😅
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@J4UPro
@J4UPro 7 месяцев назад
Natamani siku moja nitembelee 🇰🇲 comoro
@user-oc9cs4fb6q
@user-oc9cs4fb6q 7 месяцев назад
Congo is the second better in french speaking after french country
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 7 месяцев назад
The song is moto 🔥 🔥 haki
@suleimanhamza9014
@suleimanhamza9014 7 месяцев назад
🔥🔥🔥 good artist
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 7 месяцев назад
Hiyo ni rahaja ya kiswahili hicho shikomoro
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 7 месяцев назад
Huyo mwamba hapo pembeni simuamini kama anamkalia huyo mrembo...
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 7 месяцев назад
Umeona 😅😂
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 7 месяцев назад
Kazuri 🎉🎉🎉
@pee2694
@pee2694 7 месяцев назад
What a cutie.
@bacarsaindouzarianti2190
@bacarsaindouzarianti2190 7 месяцев назад
Big up ! Same culture and it 's so interesting
@mrisho_hassan_
@mrisho_hassan_ 7 месяцев назад
Blessed🙏🙏🙏
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 7 месяцев назад
Take your flowers 🌺🌺🌺🌺🌹🌹🌹🌹and God bless all 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@georgymahi149
@georgymahi149 7 месяцев назад
in Uganda Kiswahili is military language ... they speak and understand.
@nanaosei-bonsu959
@nanaosei-bonsu959 7 месяцев назад
Asante sana
@naturelle1097
@naturelle1097 7 месяцев назад
Que belle voix!❤
@coolbz133
@coolbz133 7 месяцев назад
comoro kiswahili chao na majina yao ni sawa na wagunya ama waswahili wa lamu mombasa na hio dance yao pia inaitwa kirumbizi huko lamu mombasa
@SharifMustafaSharif
@SharifMustafaSharif 7 месяцев назад
Ningekuwa mume wake nisingemruhusu atoe collabo Tanzania. Mtoto mzuri kama huyu wabongo wahuni sana wataparamia😂
@dnewztz
@dnewztz 7 месяцев назад
Nikatafute mtoto mzuri wa kikomoro sasa😂😂😂😂
@chrisks177
@chrisks177 7 месяцев назад
Nakukubali sana unauliza maswali mazuri.
@user-mc2oy5zu2n
@user-mc2oy5zu2n 7 месяцев назад
Hongera xan my sister unaipamba vzur
@peaceloveisrael3992
@peaceloveisrael3992 7 месяцев назад
Salue ma soeur Mhala comment allez-vous ? Vous êtes super belle ❤
@Gracemagoma-mi9ub
@Gracemagoma-mi9ub 6 месяцев назад
wangapi wamesikia ruku kwa lugha ya comoro ni usingizi hii kali
@muhammadmagtuf714
@muhammadmagtuf714 7 месяцев назад
Asanta sana dada taarab ndio mambo yetu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
Kigereza chake unafahanu ata uwe mjinga unaelewa
@aby.beka1630
@aby.beka1630 7 месяцев назад
daah,NSN inazid kukua sn naiona mbali honger san NSN~
@balexendersun2793
@balexendersun2793 7 месяцев назад
Muko vizuri kwa kifaransa ila sio kama Dr Congo 🇨🇩😂🤣 In the World Dr Congo 2
@noelwasonga1454
@noelwasonga1454 7 месяцев назад
Poa sana,Natizama kutoka Nyanza Kisumu 🇰🇪
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 7 месяцев назад
Wana lahaja kadhaa za kiswahili kule
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 7 месяцев назад
Kulingana na wataalamu wa lugha ya Kiswahili Kingazija (Comoros) kinahisabiwa Ni moja katika lahaja ( dialects) za Kiswahili. Wao ni katika taifa la Waswahili.
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 7 месяцев назад
Huyu jamma mbona hamsaidy ku translate 😅
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
Wacomoro kama wasomali wananywele sana mashallah
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 7 месяцев назад
Asili yao waraabu hao. Wanaitwa bulushiani
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
@@AshuuuBakari Ahh sw mashallah
@Learnswahilism.9443
@Learnswahilism.9443 7 месяцев назад
Shkomor au kingazija ni lahaja ya kiswahili kama zilivyo kimvita, kiunguja, kimtang'ata nakadhalika. Wanachoongea ni aina ya kiswahili kama ambavyo watu wa Pemba, Mombasa, Tanga, Comoros na wengineo wanavyoongea.
@omaryyusuph3251
@omaryyusuph3251 7 месяцев назад
Huyo dada apate mtu wa Hippop kwenye remix joe,blue,darasa, G warawara, even chid Benz,
@user-iz3xo2ch1k
@user-iz3xo2ch1k 7 месяцев назад
Don't forget msindano (life hutumika kupata usoni )
@shekhansaid9543
@shekhansaid9543 7 месяцев назад
I went Comoro 2020
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 7 месяцев назад
Hebu someni historia kila pahala kuna lahaja zake ktk kishahili hata kiamu au kipemba na kibarawa yaani chimini(kimini)
@mayazamzam7274
@mayazamzam7274 7 месяцев назад
Pia kuna kisiwa cha Ngazija ambayo mi capital kinaitwa Grande Comore
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 7 месяцев назад
Uganda wanajua kiswahili kampala jinja mbale na baadhi ya maeneo usisene hawaongei kiswahili
@hadijagere
@hadijagere 7 месяцев назад
❤❤❤
@KULWAKINGI
@KULWAKINGI 7 месяцев назад
Anasauti nzuri
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
Huba nihuba jamani penzi hilo ❤
@Mumewangu
@Mumewangu 7 месяцев назад
Wimbo mzuri
@Kaweza-mu6hy
@Kaweza-mu6hy 7 месяцев назад
Huyu mapedejee sijui kama watamuacha harudi comoro
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 месяцев назад
Igekuwa wabongo makwapa nje mjifunze wabongo kuvaa vizur ona mdada kapendeza hadi anavutia abakie tu dar
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@saidahmed9922
@saidahmed9922 7 месяцев назад
Great
@henryhillary9129
@henryhillary9129 7 месяцев назад
Beautiful
@comradeandrewsaul5459
@comradeandrewsaul5459 7 месяцев назад
Yuko poa afanye collaboration na harmonize
@zuricakes6817
@zuricakes6817 7 месяцев назад
She is a natural😘
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 месяцев назад
nomaa sanaa 🔥 💪🔥
@Thekidp3702
@Thekidp3702 7 месяцев назад
Awa ni wenzetu 🇹🇿
@tinaminja5500
@tinaminja5500 7 месяцев назад
Waaaaooow
@murtalla2826
@murtalla2826 7 месяцев назад
🔥 🔥
@Mwongeza1
@Mwongeza1 6 месяцев назад
Mbona useme lugha yao inafanana na Kiswahili wala si kwamba wanazungumza lahaja ya Kiswahili kutoka Comoro? Si poa bwana!
@johnkamira2236
@johnkamira2236 7 месяцев назад
🔥🔥🔥
@alidaiz9578
@alidaiz9578 7 месяцев назад
Uyu dada ana stahili kufanya collabo na harmonize ndio itakuwa juu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 7 месяцев назад
Bongo pia usiku atupati LUKU,,,,Tanesco Awatuachi salama😂😂
@desderykuzenza6756
@desderykuzenza6756 7 месяцев назад
Wanaongea kiswahili. Lahaja ya kingazija
@godfreykitambo6238
@godfreykitambo6238 7 месяцев назад
Mtangazaji muulize huyo dada ameolewa?
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 7 месяцев назад
Hiyo ni kiswahili kwa lahaja ya kingazija au au anjuani au kimayote
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 7 месяцев назад
Uganda wanaongea swahili
@allyibrahim2507
@allyibrahim2507 7 месяцев назад
Sio inafanana iyo ni lahaja ya kiswahili inaitwa shikomori
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 7 месяцев назад
❤❤🔥🔥
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 7 месяцев назад
Anaimba kama waarabu.
@Big-sj2tt
@Big-sj2tt 7 месяцев назад
Comoro ni kama zanzibar halafu anjuan na moheli ni mfano wa pemba na unguja
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 7 месяцев назад
aimbe ns abby charms itanogaaa😊
Далее
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 184 тыс.
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 14 млн
IJUE COMORO
4:45
Просмотров 34 тыс.
Fahamu biashara ya vipodozi asili vya Comoro
5:39
Просмотров 7 тыс.