Тёмный
No video :(

Fahamu biashara ya vipodozi asili vya Comoro 

BBC News Swahili
Подписаться 616 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Kwa miongo mingi, wanawake wa kisiwa cha Comoro wamekuwa wakitengeneza vipodozi asilia kwa kutumia miti kama ya mlangi langi na msandali.
Vipodozi hivyo vinaweza kutumika kwa ajili ya sherehe maalum au hata siku za kawaida.
Mtu anaweza kupaka kwenye uso mzima au katika baadhi ya sehemu za uso.
#bbcswahili #biashara #comoro #ujasiriamali #vipodozi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@MK-bk9ww
@MK-bk9ww 2 года назад
Wow🥰, nahamasika kujaribu
@user-lg7dj4lt1c
@user-lg7dj4lt1c 8 месяцев назад
I love comoros
@schosay_
@schosay_ Год назад
Good!! Merci
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 7 месяцев назад
Nataman kufika comoro Insha'Allah one day
@issotv1736
@issotv1736 Год назад
Watalii Comoro
@homeboybeyondtheborders4935
Sio zamani ni thamani BBC
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 года назад
Kama sijakosea ni liwa🤔🇰🇪 mambasa
@umpump8472
@umpump8472 2 года назад
Liwa ni ingine nasandwud ningine zina fanana
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 года назад
@@umpump8472 oh Sawa Kwa hivyo sandwod nilingine
Далее
What Is COMOROS?! 🇰🇲
15:52
Просмотров 26 тыс.
The Capital City of Comoros, Moroni.
4:47
Просмотров 18 тыс.
BBC  MITIKASI LEO 26.05.2022
12:58
Просмотров 1,2 тыс.
IJUE COMORO
4:45
Просмотров 33 тыс.
BANDA LA KUKU WA KIENYEJI | CHOTARA
11:44
Просмотров 220 тыс.