Тёмный

MALORI YA MAHINDI YAKWAMA MPAKANI, WAFANYABIASHARA WAILILIA SERIKALI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 93 тыс.
50% 1

MALORI YA MAHINDI YAKWAMA MPAKANI, WAFANYABIASHARA WAILILIA SERIKALI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

30 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 года назад
Hii hasara mumeitafuta wenyewe Tanzania wanakimbilia njaa mahindi mnayatowa nje ya nchi kwa nn msiuze Tanzania
@burudatv751
@burudatv751 2 года назад
Kwelii kabsaa yanakimbilia kuuza nchi wakati ndani mahindi hamna kila kukicha yanapanda bei
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 2 года назад
Katika wajinga ni nyie mnajua maana biashara au mnakoment ujinga tu mahindi yanatoka Marekani yanakuja tz acha hiyo mnayoona kenya
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
@@evancetarimo1310 wenae marekan gani inayolima mahindi yote ya Tanzania hayo msitufanye misukule watanzania
@micumass1989
@micumass1989 2 года назад
Nanyie mngekuwa wakulima mjue hasara wanazopitia kwakutouza mahindi nj'e ya nchi embu nanyie mkalime alafu mjue ,hizo gharama anazotumia mkulima
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 2 года назад
Unajua garama ya kilimo ,au gadhabu ya kulima, biashara huru ndo mupango ,
@simongalahenga6858
@simongalahenga6858 2 года назад
Tz kwenyewe njaa halafu nyinyi mnapeleka nje?
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 года назад
Serikali mmekosea Sana... Kufungua mipaka ya mazao ya chakula kuuzwa nje ya nchi.... Mmesababisha Bei ya chakula kupanda...Tz.... Kwa hili kwa nini JPM asikumbukwe..." Mtanikumbuka kwa mema"...
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 2 года назад
Unazijua gharama za kilimo lkn
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 года назад
@@chumamasunga8855 Mimi mwenyewe mkulima. Chakula kinapopanda Bei...vitu vingi vinapanda Bei....unafuu wa gharama ya vituv vingi hutegemea Bei ya vyakula
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 2 года назад
@@johnmalembo6464 siyo kweli, kipindi Cha Magu kwa mfano Katavi gunia la mahindi lilikuwa shilling 18,000-21,000/ toa 6,000 ya usafiri kulifikisha mjini. Afu cement 50kg Ilikuwa 22,000/, maana yake ni kwamba gunia 1 la mahindi halikuweza kununua hata mfuko 1 wa cement. Leo gunia 1la mahindi ni 70,000-75000 na cement ni 19,500 so gunia 1 unaweza kupata mifuko 3 ya cement, hali ni hyo kwa bidhaa zingine pia. MAMA YUKO SAWA, MAANA ILIFIKA MAHALI MKULIMA ALIONEKANA MJINGA TU KTK NCHI HII.
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 года назад
Mbolea je
@gracemima5234
@gracemima5234 2 года назад
Wakenya chino ya Hayati Magufuli walianza kutuheshimu. Kwa sasa dharau imerudi Tena Basra ya mama kwenda Kenya na kumusema hayati Magufuli vibaya na kujifanya Yeye ni bora kushinda Hayati Magufuli.
@hussenmishamo1963
@hussenmishamo1963 2 года назад
Nchi yetu tumuachie 2 mwenyez mungu atuongoze maana mambo yana changanya sana mala njaa tz mala vbar daah!
@edwardmiseyeki414
@edwardmiseyeki414 2 года назад
jaman serikali yafunge mipaka njaaa sanaaaa
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 2 года назад
Mimi nakuunga mukono kabisa
@ereriamatarimo7964
@ereriamatarimo7964 2 года назад
Mahidi..yau..swe..Tanzania..
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 года назад
Afadhali serikali maana huku mitaani mahindi hamna wauze hapahapa Tanzania funga mipaka yote njaa kubwa Tanzania
@hassanimainde9971
@hassanimainde9971 2 года назад
Mjinga Sana wewe, Mimi ni mkulima nitajua jinsi ya kupata chakula. Chakula kitoke ili mkulima anufaike na azalishe zaidi tumenyanyasika Sana wakulima, Waziri Bashe kaza uzi kunufaisha wakulima.Anaeona chakula ghari aje alime ardhi ipo tele.
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 года назад
@@hassanimainde9971 Onyesha shamba. Mwizi wa wakulima wee!
@denisosward7464
@denisosward7464 2 года назад
Acheni kutoa mahindi nje ya nchi
@alvinbenito5243
@alvinbenito5243 2 года назад
Wacheni kuuza mahindi kuna njaa inakuja mtayatafuta baadae
@saidnassor3740
@saidnassor3740 2 года назад
yaani nchi haina chakula kisha mnauza chakula nje ..haya matatizo wallahy
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas 2 года назад
Maindi haya yanayo safirishwa ndio yanasababisha bei inapanda ya chakula ndania ya nchi
@mauldabdalah2168
@mauldabdalah2168 2 года назад
Rudisheni mahindi nchini chakula kimepanda bei na kimekua kichache acheni ulimbuken wa kupeleka chakula nje
@abrahama2756
@abrahama2756 2 года назад
Uhakika
@denicephillimon9219
@denicephillimon9219 2 года назад
Kwel kabisa kilo 1600 wayarudishe tyuuuu wanapeleka wap yabaki humu 😊😊😊
@fridalaiton2029
@fridalaiton2029 2 года назад
Kweli kabisa
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 года назад
Sisi tunachotaka ni pesa za kigeni . thamani ya kenya money inatulipa kuliko ya tz ndio maana tunaangalia maslahi. Sisi kama wakulima Alafu usiwe unaropoka2 upuuzi maanaa tukiuza kenya au tz kodi ya serekali tunatoa sawa sawa. Unaropka utadhani unajua gharama ya kuhudumia shamba wakat hata nikikupa bustan ya mboga za majan eka moja2 wala sikudai ela ya kukodisha shamba tena ambazo nimeshakuoteshea kabisa. Uhudumie MBOLEA/MAJI/MADAWA huwezi mudu wew unaropoka2
@masanasamwel7099
@masanasamwel7099 2 года назад
Ww hujui maana ya biashara kwan wakiuza nje pesa inaenda wap
@almassebarua8025
@almassebarua8025 2 года назад
Sisi tuko boder tunaona chakula kinavotoka jiandaeni kwa njaa kubwa
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 года назад
Huku Mwanza tulishatoa taarifa siku nyingi lakini Waliwaacha wakenya wakinunua maboda ya mpunga. Na tunaona magunia ya mpunga yakiondoka. Mengi tu. Kwani Serikali haikuwa inaona? Kwa njaa hii.mnayotuletea.jiaandaeni kuong'oka tu 2025. Gunia moja la mpunga 110,00? Wakati huu wa uvunaji? Haijawahi tokea katika Utawala wa awamu yoyote ile! Kama huko ndio kuifungua nchi basi Tanzania tumekwenda na maji? R.I.P Hayati JPM.
@pmamebarikiwa
@pmamebarikiwa 2 года назад
Wakenya wananunua chakula chetu kwa kiburi Sana haiwezekani watanzania rudisha chakula nyumbani
@jonasjaphetthomas6434
@jonasjaphetthomas6434 2 года назад
Aisee kuna baadh ya watu hapa tz wakifa siwez kulia bali hatakama sina hela ya kununua debe la mahind nitaenda kwa mang nikope robo ya mchele nikapike pilau! Mungu linusulu taifa letu! Nakupenda sana JPM.
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 2 года назад
Jamani Jamani nyie binadamu kweli unamfanya binadamu mwenzie eti asubiri HURUMA, Kutoa huruma mi najuwa ni ya Mungu tu sasa binadamu eti nao wamejikabidhi kazi hiyo kweli Allah anawaona
@fr.deogratiasmahinbali3306
@fr.deogratiasmahinbali3306 2 года назад
Haya basi, CCM /Serikali ya manyanyaso kwa Wananchi. Samia ni Samia wa Omani ya CCM. Uhusiano na Majirani zetu wa Kenya.. Huo ni ilele ya UMAGUFULISM.
@iddinuhu5694
@iddinuhu5694 2 года назад
Unajua wafanya biashara wanapenda Sana janja muda mwingine wanakuwa wanakosea kwa kutofuata utaratibu na baadae wanataka huruma kwa serikal
@majaliwamussa9268
@majaliwamussa9268 2 года назад
Chakula ndani kimepanda ndani ya nchi sababu ya uuzaji nje, sasa pawe na kiwango maalumu cha kuuza nje ili ndani tusife njaa
@michaelmfangavo7360
@michaelmfangavo7360 2 года назад
watendaji muwenahuruma
@tumainimgalla920
@tumainimgalla920 2 года назад
Acheni mkulima naye afaidike,,,,,mbona Kila zao Lina bei Kali??????
@mustafahassan1837
@mustafahassan1837 2 года назад
Hapa tujifunze kabla uja Fanya biashara chunguza NCHI yako njaa ww unapeleka chakula nje achen kukurupuka nyie ni madalali tu
@juliusmartin1839
@juliusmartin1839 2 года назад
Hii ni nini?
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 года назад
Mahindi yasiende nje
@mosesngirila8716
@mosesngirila8716 2 года назад
Duu,watu wanalia hivi tanzania,hafu chakula kinavuka hivo,Mungu anawaona viongozi
@nassibuduma7162
@nassibuduma7162 2 года назад
Msipeleke mahindi inje mwaka huu kuna ñnjaa
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 года назад
Sahihi
@salimmatitu5984
@salimmatitu5984 2 года назад
Serikali ilishindwa kuwapatia wakulima unafuu wa mbolea muda wa msimu ,Sasa mnazui mahindi yasitoke nje ya nchi ?Suala la kwamba kutakuwa na njaa hiyo haimuhusu mkulima kwa kuwa Yeye katumia gharama kubwa na anahitaji zilirudi na apate faida
@kingmsanya3524
@kingmsanya3524 2 года назад
Fact
@modestmzumbwe588
@modestmzumbwe588 2 года назад
Hakuna aliye mtetea mkulima wakati mbolea Iko bei ya juu ananunua Leo mahindi yakipanda inaonekana ni kosa.
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 года назад
@@modestmzumbwe588 nyie madalalai vijijini gunia ni bei ya chini sana. Hakyna dalali atakayeiona Mbingu. UN wameshatangaza njaa . Nyie mnatetea wavushaji. Kweli JPM alikuwa na maadui sana!!!
@thomasmunis9814
@thomasmunis9814 2 года назад
wakanya wana2malizia chakula uku kwe2 wao wanaenda kuuza uko nchi zingine
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 2 года назад
Na ww peleka wanakouza wakenya
@mthewpetro143
@mthewpetro143 2 года назад
Sio vizuri hivyo
@justineonline6556
@justineonline6556 2 года назад
Hayo mahindi yarudi Tanzania huku njaa kali wao wanauza nchi za nje , sio sawa kabisa , tunaomba watuonee huruma ...
@eenpaard3915
@eenpaard3915 2 года назад
Story imerudia tena
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
Sasa kwann munapeleka mahindi nje sisi tunaangaika unga umepanda bei
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 2 года назад
Funga mpka chakula ictoke
@hussenhemed1050
@hussenhemed1050 2 года назад
Rudisheni mahindi yetu huko
@vailethobed9933
@vailethobed9933 2 года назад
Mazao yapande bei tu na mipaka ifunguliwe tu biashara ziendelee wakulima tumetumia ghalama sana kuhudumia mazao tena natamani Mchele ufike 3000 kilo.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 2 года назад
🙏🙏🙏
@saidiabas8855
@saidiabas8855 2 года назад
Mnasema Tanzania mwenyewe kuna njaa sasa wewe nenda kayanunulie hapo yalipo Kama umnunuzi Acha ufisadi wewe na ushihata hi kwani wao wameiuza nne ya nchi yetu hawalipwi pesa c inarudi kwetu
@philbertmyinga6344
@philbertmyinga6344 2 года назад
Mahindi yamejaa Sana tanzania
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 года назад
Nyinyi ndo munasababisha njaa Tanzania yaludisheni maana jaa yamwaka huu ninoma
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 года назад
Bashe amesema juzi kibali unatakiwa kuwa nacho kabla ya kuanza safari yako
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 года назад
Hii siyo serikari.kila kunapokucha lazima utasikia matatizo..munazuwiya mahindi sisi wakulima tunataka mahindi yapande Bei ili mbolea tuweze kununua kuzuwia mahindi kwa sisi wakulima munatutesa hamutapata kura hats moja mwibe Kama alivyo fanya mwenda zake wakulima wamechukia subirini mtasikia.motoutawaka
@hamisipolenisanaissa8859
@hamisipolenisanaissa8859 2 года назад
Tanzania
@jamessichimata36
@jamessichimata36 2 года назад
Jamani kama kibali kimeisha si wapewe vibali vingine?
@waytvtz2549
@waytvtz2549 2 года назад
Hiv waziri kwa mfano mshahara wake ukizuiwa kwa mwezi na posho zake atajiskiaje kwann mtu asiangalie hali ya mwezake Kama yeye anavyojiangalia Kama ni vibali bas wawarejeshee on time ili mtu atoe mzigo wake na Kama nikufubga mipaka watoe order mapema kwamba tarehe fulan hatutaruhusu biashara ya kuvusha mahindi
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Daah 😪
@gamalielialoni5538
@gamalielialoni5538 2 года назад
Bora mahind yabaki
@andrewnjelesa8062
@andrewnjelesa8062 2 года назад
We unaeropoka mahindi yasiuzwe bei juu bei yambolea unaijua?? Au roporopo tu??
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 2 года назад
Fuatemi Sheria kupata kibari
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 года назад
Hii nchi jamani duuh
@hashimmawazo5503
@hashimmawazo5503 2 года назад
Fuateni sheria, kibali unaambiwa kimeisha wewe ulikuwa haujui
@2003hintay
@2003hintay 2 года назад
Mnapeleka chakula nje wakati hapa tuna uhaba nyie mnazidi kuangalia pesa tu. Kesho mtageuka kuilau u serikali itakapotokea njaa
@HassanMohamed-fn8ue
@HassanMohamed-fn8ue 4 месяца назад
Selikali imeunda mfumo wa mkulima afilisike ndio lengo ila wakumbuke kulikua na kolosho Kisha mkulima kafilisiwa pili kurikua na mbahazi mpakamteja alitafutwa achiyeni wakurima wauze mazao yao
@abubakarseif6073
@abubakarseif6073 2 года назад
Mtenda akitendewa huisi kaonewa mbona mwakajana mahindi ya tanzania yalizuiliwa mpakani yasiingie kenya? mkasingizia eti yanamatatizo inatakiwa msote mwezi mzima hapo msilalamike
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 года назад
Mahindi ya Tz yana sumu--kuvu.
@lonyokimollel9259
@lonyokimollel9259 2 года назад
Maindi yasimame tanzania watu wanakufa njaa. Maindi yasimame Jani.
@leoncemboyerwa1553
@leoncemboyerwa1553 2 года назад
09
@wolfuganasenga8062
@wolfuganasenga8062 2 года назад
Kama.mahindi mengi hivyo yanaenda nche wakati watanzania tunakufa njaa jamani viongozi mnasubiri mpaka hali iwe mbaya zaidi,kwa nini waziuze hapa tanzania ,gharama ya kuagiza chakula ni kubwa kuliko kuzuia hiki chakwetu kisitoke nje ,unga upo juu mchele upo juu tutafika kweli viongozi
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 2 года назад
Unazijua gharama za kilimo ww?
@bobg611
@bobg611 2 года назад
Low prices in TZ and yet there are sooooo goods prices in kenya .. double profit...
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 2 года назад
Viongozi watanzania kunanjaa inakuja ambayo siyakawaida kwahiyo wazili zuwiyeni vyakula ili kiwepo chakula nchin ili watu wenu munao waongaza wawe salama naili wawesalama kunahitajika chakula kiwepo
@magnusbugingo3684
@magnusbugingo3684 Год назад
faten utaratibu alfu hiyo biashara ni kwa masirahi yenu ninyi wafanya biashara wakubwa na sio kwa mkulima wauzie serikali yenu sio nje
@revocatusjohn8286
@revocatusjohn8286 2 года назад
Tunataka mazao yauzwe ndani, nchi itapata njaa mpaka sasa vyakula Bei kubwa sababu ni hyo mipaka
@lonyokimollel9259
@lonyokimollel9259 2 года назад
Ngunia moja ndio laki na Ela.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 года назад
Unaiona serikari dharimu sisi wakulima wanazuwiya machindi Tanzania ndiyo huwa wanaanza kuvunja jumuiya hii serikari tuiondowe madarakani
@labouriche8782
@labouriche8782 2 года назад
alafu viongozi wa juu wanatufanyia mambo mazuri ila hawa wa chini wanatunyonya
@alphoncemalecha6012
@alphoncemalecha6012 2 года назад
Vaeni jezi ya simba
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 года назад
😀😀
@denicephillimon9219
@denicephillimon9219 2 года назад
Hayo mahindi yabaki hapa saiz mnapeleka chakula nje kwat huku unga kilo 1600 watu wanaangaika rudishen mahind hayo na hata mpunga kama hupo usivushwe kilo mchele 2400 chenga 1900 ,,, Chakula kibaki humu
@enockmwanyonga7130
@enockmwanyonga7130 2 года назад
Philmoni Anza kulima. Utajua ukweli
@piusjuma7384
@piusjuma7384 2 года назад
Hivi wew unaongea mini?
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
Waongo hao Chikenya hawajakopa tena waludi kwao bila ya hayo mahindi kwani walishasahau pale waliposemaga mahindi ya Tanzania 🇹🇿 yanasumu na tukisemaga huko kwenu Chikenya mna njaa ya kufa watu mnabisha ona sasa mnavyoumbuka mchana kweupee 🤣🤣🤣🤣shikamooo NJAA 🏃🏃🏃🏃
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 2 года назад
Tatizo Wafanyabiashara wa Tanzania wakijua bei ya Mahindi Kenya ipo juu, wanagoma kuyauzia hapa nchini, Wanayanunua hayo Mahindi na kuyahifadhi kwenye magala yao alafu Wanayapeleka Kenya yote huku tunabaki bila chakula.
@SalsabeelLtd
@SalsabeelLtd 2 года назад
Je na mzalishaj huon anatumia kiwango kikubwa ktk uzalishaj mbolea zipo juu viwatilifu vipo juu
@masoudmohammed4497
@masoudmohammed4497 2 года назад
VERCOE TRAILER IMESIMAMIA KUCHA
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 года назад
hapo nimimi pia nilikuwa nikipakiya chakula Cha ngombee na kikipakiya nyanyaa kupeleka msa lakini zilkuwa zikiharibikaa ndio nikacha kubebe nyanyaa
@Nedjadist
@Nedjadist 2 года назад
Sijaona serikali inayotesa raia wake kama TZ. Halafu kwa kweli haiwaheshimu raia. Yaani pana jambo gani gumu hapa? Kama hamtaki wauze si mngewaambia tu, mkawapa muda wa kumaliza shehena walizonazo mipakani? Wafanyibiashara wawe majasiri, kwa pamoja wagome kulipa mikopo ya mabenki, au waishtaki serikali.
@burudatv751
@burudatv751 2 года назад
Wataishitaki kwenye mahakama ipi
@Nedjadist
@Nedjadist 2 года назад
Ya Afrika Mashariki ya haki za binadamu, ikishindikana, ya Afrika ya haki za watu.
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 года назад
Uko sawa mi nadhani serikali iwaruhusu wauze nje mahindi kisha kama inazuia itangaze ili watanzania wajue msimamo wa serikali na kusiwe na vibari lkn vlvl serikali inunue mahindi ya wakulima maana nao hyo ndo miladi yao mbona madini yakipanda tunafurahi kwnn chakula cha wakulima tuwazuie kununufaika na soko kumbuka mbolea ilipanda hatukuwatetea hara kidogo leo soko limepanda la mazao tunalalamika ebo?
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 2 года назад
Watanzania tunaangaika unga kupanda bei kumbe mahindi yanauzwa nje ya nchi
@masanjamasunga4019
@masanjamasunga4019 2 года назад
Kalime na ww
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 2 года назад
@@masanjamasunga4019 njoo uvune panya wewe
@benjaminimiselya6944
@benjaminimiselya6944 2 года назад
Raisi mwenyewe mzurulaji mtaisoma namba
@lazaromollel381
@lazaromollel381 2 года назад
jamani serikali izuie Maindi kwenye mipaka maana Maindi hakuna inji Tanzania mama Samia tunaomba utujali watu wa chini
@aidanmwalongo1359
@aidanmwalongo1359 2 года назад
Hayo mahindi yarudi watanzania Wana njaa piga Pini Samia hapo umeona mbali
@agapepalangyo4316
@agapepalangyo4316 2 года назад
Kwa njaa tuliyo nayo hapa ndani ya nchi 2022 mahindi yasiuzwe nje.
@juliasmolellmolell4815
@juliasmolellmolell4815 2 года назад
Nakuunga mukono kabisa mwaka huu hatuna maindi ilikuwa na wadudu
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Kwani hao polisi watakaokupokea hawaoni hayo magari huko mpakani? Polisi nao wasikubali kutumika hovyo.
@castobenjamin4074
@castobenjamin4074 2 года назад
Mambo sasa ni ZigZag hamna jambo linaloelewekaa🙌
@abdulkhamis1170
@abdulkhamis1170 2 года назад
Mnapeleka chakula inje ya nchi wakati chakula huku kinapanda behi
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 2 года назад
Wanasema mahindi yasitoke nje ivi bei ya mbolea mnaijua mbona hamsemi
@masoudmohammed4497
@masoudmohammed4497 2 года назад
VERCOE TRAILER
@hamisipolenisanaissa8859
@hamisipolenisanaissa8859 2 года назад
Kwann wasifanye Biara
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 2 года назад
Nchi nyingine duniani zinatangaza njaa..mahindi yanapelekwa nje..mmmh
@leoncemboyerwa1553
@leoncemboyerwa1553 2 года назад
Y
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 2 года назад
ACHA YACHACHE YARUDI TANZANIA BEI ZISHUKE HAIJAWAHI KUTOKEA WAKATI HUU WA MAVUNO KILO 5 YA UNGA KUUZWA 8000 HAPA DAR ESALAAM KWAHIYO BORA NAFAKA ZISIVUKE ILI BEI YACHAKULA ISHUKE
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Rais wangu mahindi haya yatakwisha kuperekwa nje, njaa MAMA chonde chonde
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 2 года назад
Hali ya chakula nchin siyo nzuri hivyo ni bora wafute kabisa hivyo vibali maana mwisho wa siku wananchi wataililia serikali.
@meshackmayenga2009
@meshackmayenga2009 2 года назад
Waziri Bashe hii nini tena!!!mbona ulishasema mkulima asiwekewe masharti kuuza mazao yake hiyokauli imeisha wapi nasasa visingizio vibali.Jamani nchi hii kilakitu Mazonge tuuuuuu
@dicksonemmi4614
@dicksonemmi4614 2 года назад
Yasitoke mwaka huu chakula hakuna
@eliachacky7562
@eliachacky7562 2 года назад
Rudileni mahindi yetu naenda kumwambia baba
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 года назад
7
@mathiaskipinge2782
@mathiaskipinge2782 2 года назад
Yaani nchi yaajabu sana tunauza mahindi Kenya wakati hapa kwetu mahindi hakuna hata ukienda hifadhi za taifa watu wanauziwa maelfu ya tani wanayapeleka Kenya sasa hivi unga umepanda hadi sh 1300 na mavuno mwaka huu siyo mazuli hao mnaowauzia mahindi watakuja kutuuzia unga baadaye tubadilike watanzania uzeni hapa hapa mtapata faida
@thomasmwakatobe8207
@thomasmwakatobe8207 2 года назад
Achana upumbavu rudisheni hayo mahindi huku Tz.
@jonasjaphetthomas6434
@jonasjaphetthomas6434 2 года назад
Aisee bei ya debe huku kwetu ni tsh.20 000 Hiv kwel nchi inaelekea wap watanzania tunateseka kwa njaa huku mahind yanapelekwa kuuzwa nje ya nchi! Aise hakika maguful tutakukumbuka kwa mazur.
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 2 года назад
kutokana na tatixo la ukame akuna aja ya mahindi kwenda nje
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 2 года назад
Nyie mnatulaza njaa bhana
@tzfinest75
@tzfinest75 2 года назад
Yaani mkizuia uuzaji wa mahindi nje...afadhali wote mjiuzuru tu...mshaanza figusu hapa...acheni kunyanyasa wakulima...ni wakati wao wa kufaidi Jasho Lao. Si na nyie mkalime basi...mahindi yakiisha mkakosa chakula mtajiju wenyewe...nunueni kama wengine muhifadhi.
@aggreykwilabyanoni1581
@aggreykwilabyanoni1581 2 года назад
Tunafungua Nchi,
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 2 года назад
NJAA KUU INAKUJA TZ .NYIE MNAUZA KWA MAGENDO MNUFAIKE WATZ WAISHI NJAA MNA AKILI? MNAWALANGUA WANANCHI KWA BEI YA CHINI MNAUZA KWA BEI YA CHINI ...HONGERA SAMIA KOMESHA UUZAJI WA MAGENDO HIYO DHAMBI YA KUTUMIA KWA WAKULIMA ILHALI NYIE MNATAJIRIKA KWA JASHO LAO
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 2 года назад
Kumbe chakula kinatoka nje! Na hali ya mfumuko wa bei ya chakula kwa sasa iko juu, Kwa nini hiki chakula kisibaki ndani ya nchi. Tunaomba viongozi wakuu wa nchi waliangalie hili.
@kamanda007
@kamanda007 2 года назад
Hivi nyie wapuuzi mnafikiri mkulima anawalimia mle bure, limeni chenu mgawe bure kwa bei rahisi
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 года назад
Yaani hao wasivushe chakula kabisa. Mahindi Mwanza gunia 120,000? Toka lini? Mchele eti bei ya rejareja 2600. Kweli? Serikali mnatuletea njaa na tamaa zenu hizo? Hamna hata woga na huruma kwa raia maskini wa Tanzania.
@babuloliondo74
@babuloliondo74 Год назад
Dada fuata sheria biraivio utapata shida
@mohdnasser3620
@mohdnasser3620 9 месяцев назад
Hapo utagundua kama hiyo serikali ni mbovu na ni yawahuni tu
@jennypaulo120
@jennypaulo120 2 года назад
..
Далее
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 258 тыс.
Я КУПИЛ САМЫЙ МОЩНЫЙ МОТОЦИКЛ!
59:15
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 714 тыс.
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 258 тыс.