Тёмный

WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA/ WADAI KUKADILIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA 

JAMBO TV
Подписаться 918 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 Месяц назад
Mama ur indeed so intellectual. Very wonderful narratives
@sss3s867
@sss3s867 Месяц назад
hapo kwenye transporter umeongea point za kero kwq tanazania company. na ujinga wa tra wanaosababisha kupoteza dola nyingi nchini. kwq malipo wqru wanapokea nje ya nchi cash mkononi.
@bongo39
@bongo39 Месяц назад
Zingatieni sana haya maneno ya huyu mama ni kweli kabisa anayo ongea na muyafanyie kazi
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Месяц назад
Hao jamaa TRA.. Mimi nawaita wezi tuu.. akili yao ni kupora watu tuu hawana akili ya kuzalisha na hivo ndivo walivo funzwa na wazungu ndio elimu walioma wanajiita wasomi kumbe wamesomea wizi..
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 Месяц назад
Ongera sana mama. TRA wamekuwa kama kupe. Kichwa kidogo tumbo kubwa ikimahanisha kwamba kichwa ni mfanya biashara aliye konda na TRA ni tumbo vitambi vyao.
@furahaluhambati4399
@furahaluhambati4399 Месяц назад
Wewe dada nimekuelewa sana unapointi za maana sana kama zikifanyiwa kazi na mamlaka hii ya TRA.
@mariamngallangalla906
@mariamngallangalla906 Месяц назад
Keep it up .Kamishna umeanza vizuri sanaaa.Mungu awe Nawe .Tunaimani na wewe kuwa utatufikisha Mahali ,tunakuombea
@berkshireautoshop7092
@berkshireautoshop7092 Месяц назад
Kudos Angelina well presented and all were represented.Umeiva Maam
@oam14l
@oam14l Месяц назад
This lady is very correct.
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 Месяц назад
Huyu mama yupo vizuri, hii nchi ina watu wazuri ila cha ajabu vilaza ndio wanamadaraka
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Месяц назад
Ndo nikasema atupendani wanajua wanachokifanya .big to Zanzibar wanafanyiana utu ndomana wao wapo chini cc uku acha tutafunane
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Месяц назад
❤❤❤❤❤ mom
@salimhm1314
@salimhm1314 Месяц назад
Huyu Mama apewe Uwaziri wa Fedha wa Tanzania ana IQ ya justifications Mahiri za Uchumi
@deohank5995
@deohank5995 Месяц назад
Unadhani hawajui au hawafahamu? Watanzania Bara tunakwamishwa na Ubinafsi ulokithiri nafsini mwetu
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Месяц назад
Nchi yenye watu millions 61 wanaolipa kodi hawazidi millions mbili harafu unategemea Nchi ipate mapato subutu huku wizi Watawala ndio kazi yao mbona hawasemi hayo!
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Hao mil 2 kwa kiasi kikubwa ni wachuuzi. Tz walipa kodi wanaweza kuongezeka. Kama kodi zitakua rafiki na endelevu. Na mifumo ya kuzikusanya iwe rafiki.
@moseskaaya5037
@moseskaaya5037 Месяц назад
Ukiuliza unaambiwa iko kisheri,hiyo nadhani ni sheria gandamizi haswa kwa wafanya biashara wadogo,nauliza hizo sheria ziliwekwa na nani?
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Месяц назад
Hapo kwenye malori kunatakiwa kuwekewa mkazo, malori mengi ya nje hayalipi Road toll maana TRA hawasimamishi ila sisi madereva wa Tz tunasumbuliwa sana nchi nyingine. Pia tunaomba malori ya nje yatozwe Carrier license, Carbon ya uchafuzi wa mazingira
@husseinjuma660
@husseinjuma660 Месяц назад
Nimekupanda Bure Tanzania inawatu makini Sana but kuna viwatu vinatufelisha Sana huyu mama yote aliyoyasema yafanyiwe kazi kwa asilimia 100
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Kwanini hatujui sheria ya wafanya biashara ndogo ndogo hizi ndizo kodi na biashara kubwa inakuwa kama ni utapeli wa TRA wanavuluga taratibu nchi nyingi hakuna kabisa vurugu za wafanya biashara na TRA lakini Tanzania hii haiishi na ni ninyi mnao jitoa ufahamu tatizo mbona hamwahurumii wananchi
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Месяц назад
Mashine watoe bure kabisa afu kila mwanainchi alipe kodi afu mwisho wa mwaka turudieshini asilimia ata kidogo
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Месяц назад
Na izo mashine wauze bei raisi me nilikuwa namiliki magari kabla cjayauza .brother wangu aliniambia ninunue mashine eeh nilipouliza bei wanasema lk 7 nikawambia me sinunui nanunua lk 7 then nalipa na kodi c ujambazi huu
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Месяц назад
Dada umeeleza vizuri tunatakiwa kusomewa kodi kila mwezi tujue kama wakati wa awamu ya tano.
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🤑
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 15 дней назад
afrika kujitegemea ni ndoto chamsingi nikurekebisha huduma tu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Nchi inaongozwa na mamombo , matatizo yasiyo isha kila kona
@latifuelias5089
@latifuelias5089 Месяц назад
Dada.Safii saana,umeongeaukwelisana.Isaidienchi
@bamanyasalvius123
@bamanyasalvius123 Месяц назад
Umesema vizuri sana dada siyo machawa tu hata madalali
@peterbayo4677
@peterbayo4677 Месяц назад
Business as usual (BAU) ndo inayotuumiza walipa Kodi wa Tanzania 2m pekee kati ya 62m. Laiti wangerasimisha biashara nyingi wigo ungepanuka hata kufika 50% ya population ya nchi. Huu mfumo wa sasa unawaumiza wachache hasa wale wa PAYE. Teknolojia iboreshwe iwe kisasa zaidi katika mauzo na manunuzi ya bidhaa. Kodi haijawaacha hata matajiri salama katika developed world kwa kukwepa Kodi. Tuwe makini namna ya kwenda nayo ipasavyo. Tax base iandaliwe mapema kuanzia mwezi wa Saba hadi December kila mwaka
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Месяц назад
Dada umeongea vema sana
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel Месяц назад
Hiyo nchi shida ni shule wapigaji ni wengi sana
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
Unapoteza sauti yako bureee dada hawa ambiliki hao kamuulize yule ramadhani mpaka kajiua wapo kama mbuzi
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel Месяц назад
Uko vizuri ramadhani ali ni uma sana pamoja na uncle magu Kum tetea lakini hakuna msaada aliye pata miaka zaidi ya sita mwisho familia yake yote ili kufa
@JuliusBazil
@JuliusBazil Месяц назад
Mhe. Kamishina Mkuu! TRA wana mifumo tatanishi ktk kukusanya kodi,hawana wataalamu au taaluma ya kodi kulingana na sera ya uwekezaji na sheria ya kodi ya EAC na Comesa. Pamoja na hayo wanawasikiliza sana wanasiasa kwa chuki na wafanya biashara,lakini pia wanasiasa wanakuja na mfumo wao wa biashara wa EPC+F na TRA haiwezi kuhoji VAT na kodi zinginezo zinakokotolewa kwa sheria ya kodi na mfumo gani. Matokeo yake wananchi wanabanwa kwa kodi ya kipato chao kidogo kinachotokana na uchuuzi.
@user-ds7ho1my4u
@user-ds7ho1my4u Месяц назад
Mfanyakazi wa TRA Tanzania, Ni Tajiri Kuliko Mfanyabiashara, Ukiangalia Majumba, Magari, na Mali Wanazomiliki, Hakika Utajiri wao ni wa Kushangaza sana, Ulaya Wafanyakazi hawamiliki Utajiri kwa Mshahara wake, Kwa hiyo TRA ni Waporaji wa nchi hii.
@FBandBey
@FBandBey Месяц назад
Mbona video imekatishwa wakati bado huyo mama anaongea?
@KilonzoJohn-mg7cw
@KilonzoJohn-mg7cw Месяц назад
Dada huyo kamishina ndio haohao waliotufikisha hapa ni wezi tuu
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Huyu mwigulu nchemba hana ubunifu wowote,anatafuta hela za urais, afukuzwe uwaziri,
@generosennko8343
@generosennko8343 Месяц назад
Mdada uko safi na wakati na teknolojia na elimu yako. Waambie Michezo ya kukamata wateja na kuwa harrass ni ushamba wa kimasikini. Tafuteni mbinu za kujenga mazingira ya ku attract new potencial tax payers. Otherwise ni nyie wenyewe ndio mnaozalisha underground non compliance business activities. Mabavu hayasaidii. Stop acting rude. Mkienda sawa mtakusanya kodi mpaka mtafurahi
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s Месяц назад
Very soon tunakuja kudai haki zetu kama madereva wafanyabiashara wa malori mnalalamika upande wenu na huku mkituhumiza madereva wa nchi hii, Kamishna wa Tra Tanzania tunakuja kuwadai madai halali kwa hawa matajiri wa Tanzania kwa baadhi yao kuvikataa vipimo halai vya serikali na kuamini vipimo vya wageni hilo wao hawalioni kuona kama wanalihujumu Taifa na watu wake, walipe kodi.
@deohank5995
@deohank5995 Месяц назад
Nimewahi kusema Wanaostahili wapo nje na Wasiostahili wapo nje!
@halidomar9874
@halidomar9874 Месяц назад
Tutasumbuan sana kama mili61 walipa kodi 2m duh bado dhulma yategemewa kufanyika hapohapo kwa hao 2m
@joyceKingu
@joyceKingu Месяц назад
@@halidomar9874 Kuna walakini hapo. Nchi haiwezi kutemea kodi tu kwa maendeleo. Shughuli za uzalishaji hakuna. Serikali isapoti wakulima, ianzishe viwanda kila wilsya ya kutumia mslighafi za wakulima. Hivyo itsongeza walips kodi. Kuna mwisho wa kuwakamua Hao wafsnya biashara million 2.
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi Месяц назад
Tz shida atujarian tunahamini wasomi kuna watu hawakusoma wana akiri sana tuwatumie wakina msukuma watusaidia
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Месяц назад
Uadilifu kama hakuna, uwe Askofu, shehe, Rais au nani hakuna maendeleo.
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 Месяц назад
Hi ya kufungia Account ni too much. Tamaa na njaa za watumishi. Na his ya kufungia Account ni ushwetwani mbaya na sumu kwa mfanyabiashara
@moseskaaya5037
@moseskaaya5037 Месяц назад
Mimi nauliza TRA kwanini mnaweka mtu kwenye mfumo wa VAT wakati mtu ajafikia kiwango cha Million mia kwenye mauzo.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад
mfanya biashara mmoja ana maduka zaidi ya 10 tra hamjiongezi hata hawa wenye vat wakawa na discount kwenye kuingiza magari
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Месяц назад
Hongera kamishina tunaomba udhibiti na Hawa vijana wenye wako na hizi STL zenye tintedi ni wasumbufu sana na hawajali hata umri wao ni kutuhangaisha tu tunaomba uwakemee bos wetu we ni mtu mwenye hekima sana asante
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Tanzania ni polojo hamuna wakisikia kelele wanatoka hivi hamutawaona
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Serikali ihakikishe tuna viwanda vingi ili waananchi wafanya kazi haiwezekani nchi asilimia ishilini tu wanalipa kodi wala serikali haijali
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Месяц назад
Hutaweza tungeni sele machinga nchi nzima hamuwezi kukontulo mfanyabiasha mukulima mufanyakazi wajulikakane siyo Kila mtu kutoboa dilisha barabarani kupika chakura barabarani hao ni zao LA magufuli hao ndio wataiondoa ccm madarakani siyo chadema Wala chawa yeyote hayo machinga hawajuwi
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s Месяц назад
Matajiri wa nchi hii hasa upande wa malori na mabasi sio marafiki wazuri kwa madereva wa nchi hii, Tra mnavyowasikilza hawa matajiri jiandaeni kutusikiliza madai yetu kwa hawa matajiri ambao wao kila siku ni kutangaza hawapati faida mpaka wametugeuza madereva wa nchi hii kama watumwa kwenye taifa letu.
@joyceKingu
@joyceKingu Месяц назад
Mama umeogea vizuri. Hoja zako zote zina mashiko. We must base our strategic planning on updated research figures. In all areas including market (demand and supply of goods and services) tax issues as Business challenges , competitors etc. Figures and Facts zinatakiwa kutumika ktk maamuzi na mipango ya mbele.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Месяц назад
Acha kuiba diesel,kuuza matairi.punguza mademu njiani.ili ucnunue magunia ya mkaa,kuku.mchele. Utaona hela inabaki.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Месяц назад
Samia ni mombo na kilaza hana uwezo wa kuongoza hata mabata
@RogasianMmasi
@RogasianMmasi Месяц назад
Unaongea sana mara kingereza mara kiswahili 😅
@nestor384
@nestor384 Месяц назад
She is contradicting herself
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Mnailaumu vp TRA washenzi kabisa Badala ya kulaumu aliyewatuma
@froma3732
@froma3732 Месяц назад
Aliyewatuma nani
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
@@froma3732 huyu anaelazimisha tumaite mama utafikiri hatuna mama zetu
@bongo39
@bongo39 Месяц назад
Kweli kabisa mama anavyosema watanzania wengi sana hatulipi kodi maduka wamachinga mchanga kokoto mawe biashara ndigondogo boda hatulipi wauza vyakula coco Beach pale na wao ndio wa kwanza kulalamika na kusema masikini lipa kodi mama samia hili swala liangalieni hili
@dillonfoya
@dillonfoya Месяц назад
Inavyoonekana bila kuangalia wanaolipa Kodi kuwa ni wachache linapangwa mwaka huu tunahitaji kiasi Fulani ambapo inakuwa mzigo mkubwa kwanini hao wengine msiwatafute kwa kuwa na Kodi inayohimilika na ili watu wengi waweze kulipa mapato yatakuwa makubwa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Месяц назад
Sijui kama watafuata hizo talatibu mambo ya ovyo ovyo tu eti mzigo uufuate zambia eti urudishe aibu sanaa .
Далее