Тёмный

MAMA ALIYETEKWA NA KUTESWA ASHINDWA KUINUKA VIZURI AKIELEZA ALIVYO VULIWA NGUO NA W.. 

Tiki Tv
Подписаться 424 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

MAMA ALIYETEKWA NA KUTESWA ASHINDWA KUINUKA VIZURI AKIELEZA ALIVYO VULIWA NGUO NA W..
.
.
.
.
.
.
.
.
#kigogowachadema #aliyetekwa #afichuaaliyofanyiwa #tikitvkiakilizaidi

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 132   
@ALLYMTOPA
@ALLYMTOPA Час назад
Mungu yupo na ipo siku watalipa hayo yote
@watuwamungutaifalamungu.6108
@watuwamungutaifalamungu.6108 15 часов назад
Pole Sana Mama Kenge Hawa Vibalaka wa ccm mwisho wao Umekalibia Tunamalizana nao
@kamarhelo
@kamarhelo 11 часов назад
Jidanganye bwa wew afu ukiwa na shida mnaanza kumuomba mama samia
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 11 часов назад
@@watuwamungutaifalamungu.6108 Mkishinda asilimia 20% tu rudi utambe humu.
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 11 часов назад
@@watuwamungutaifalamungu.6108 Mkishinda asilimia 20% tu rudi utambe humu.
@jeffhard5773
@jeffhard5773 10 часов назад
​@@kamarhelo wasio na Imani ndio wanamuomba Samia lakini wenye Imani wote iliyo thabiti humuomba Mungu.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 часа назад
​@@kamarhelokumbe mwenzetu ukiwa na shida unamlilia samia pole sana ndugu yangu maana bibilia inasema amelaaniwa amtumainiae mwanadamu amfanyae mwanadamu kuwa kinga yake moyoni mwako umemwacha mungu ndugu yangu ukimtegemea mwanadamu utatumika kufanya maovu ya kila aina kisa umfulahishe mwanadamu na mwisho wako utakuwa mchungu kama shubili
@thamani5842
@thamani5842 2 часа назад
Yaani unaenda kukaa uchi, dunia nzima inakuona kwa uongo kisa tu uichafue serikali. Wewe ni Muongo, tushaambiwa umefumaniwa
@ngejejemashubi4213
@ngejejemashubi4213 8 часов назад
Sema wasenge wengi humu ni vijana wanatumwa kusifia ujinga ,Uzuri kila mmoja atakufa
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 11 часов назад
Hongera sana mama yangu kwakuamini mungu nimwema
@AthumanMnguruta
@AthumanMnguruta 5 часов назад
Pole sana dada malipo ni hapahapa kunasiku mungu atawaadhir
@Jafaryamily
@Jafaryamily День назад
Kiongozi wangu pole sana mungu akulinde na Shari zao hao wasenge wanashindwa kujibu hoja wanatesa watu wasio na hatia. Damu wanayoimwaga itawagharimu siku 1. Waache waendelee kumwaga damu ili haki ipatikane.
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 11 часов назад
@@Jafaryamily eti Mwenyezi Mungu amlinde then unamalizia na tusi 😀. Weee Mwenyezi Mungu akuongoze akupe hekma ya mdomo wako
@LusiaThom
@LusiaThom 13 часов назад
Waogo watu wanajitema shituke i jamani tunajua mipago yao
@TaypCake
@TaypCake 9 часов назад
Pole sana mama mungu mwema Tunamshukuru
@henryndosi2002
@henryndosi2002 11 часов назад
Huyu ni muongo eti aliokotwa kwenye kibanda Cha chips hajitambui akabebwa na bodaboda hadi mwananyamala,inamaana alifungwa kama furushi??
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 часа назад
Pole mamy,iko cku kama Kenya,Gashagwa saa hii njee,, katiba KWANZA hp Tz,hii utekaji wasojulikana,likwamaa, police,ndoo wa unguu mtu,hp Tz, katiba KWANZA,
@moddysunshine6618
@moddysunshine6618 14 часов назад
Tusaidie kujibu ulipakiwaje kwenye Bodaboda wakati ukiiwa umepoteza fahamu? Mother tuambie vizuri
@MishiPapalan
@MishiPapalan 8 часов назад
Itakuwa kunamtu kaa nyuma yake kwa sababu huyu alikuwa amepoteza fahamu hatoweza kujibu swali lako jiongeza wewe
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 10 часов назад
Pole sana hiyo ndiyo ccm chama mzee jaman samia ujuwe mungu anakuona usijuwe kuwa hutokafa😢
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 8 часов назад
Mkipunguza midomo yote hamtayaona
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 14 часов назад
Hamna kitu hapo siasa now zimebadilikaf fanyeni zile za kuwasaidia wananchi Kwa maelezo mtangazaji anasema aliokotwa na boda boda akatupwa boda boda alimpeleka mpka dsm hizi siasa hizo mama muislam muogope mungu pia
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 часа назад
Ukianza wewe kumwogopa mungu utakuwa bora maana hapo unamsemeaje mtu na kumlisha maneno usioyahakiki mwogope kwanza mungu wewe kisha uwafumze wengine
@challemartin
@challemartin 10 часов назад
Wengine wapo kuchafua serikali tu hakuna lingine jaman tafuten pesa familia zishibe
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 День назад
Nakuelewa Saana Mama Yangu Mzuri Pole Sana Mungu Akusaidie Mnoo Wanao Beeza Hawayaoni Haya Mungu Tutetee
@said6494
@said6494 17 часов назад
Nasikia. Yakupanga'nasikia'umefumaniwa'na'mmewmtu
@MishiPapalan
@MishiPapalan 8 часов назад
Mwanamke wa shoka pole sana
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 7 часов назад
Mungu atawaona mbwa hawa
@TumainiMedason
@TumainiMedason 11 часов назад
Pole sana mama ila Mungu atakuponya
@alfanmkulo2792
@alfanmkulo2792 9 часов назад
😂😂😂 nikiangalia hii interview ya huyu mama namuona kanumba
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 13 часов назад
Mama ungekuwq unadurus juzuu amma wala yacnge kukuta 😂😂siasa waachie mbowe na lisu 😂
@kamarhelo
@kamarhelo 11 часов назад
Kwakweri hayo mambo wachie wanaume tu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 часа назад
Tangazeni ufalme na kufuta siasa ili mueleweke kuliko siasa za kuwaumiza wananchi
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 часа назад
@@SmilingCityMap-xb9md sasa wamwambia nani?
@RobertBartazary
@RobertBartazary День назад
Duuh!Mungu akulinde mama lakin pia Mungu awape balaa wote waliohusika na swala hilo
@hassanalikombozanzibar1192
@hassanalikombozanzibar1192 10 часов назад
Mh sio kweliii. Ila izo sehem ulizopigwa naweza nikiahisi kweli kwasababu ndizo sehem zao za kupigia watu chini za nyayo za miguu viganjani mwa mikono na katika viungo vya mwili 🤔
@amossamson8955
@amossamson8955 8 часов назад
Pole Saana
@thamani5842
@thamani5842 2 часа назад
Mbona unasoma?. Kwa hiyo uo utekaji umeandikiwa?
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 8 часов назад
Kumbe nyie ndomlichoma vitenge nisawa tuu ili siku nyingine msirudie😅
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange 2 часа назад
Ivi kitenge na mwanadam vinafanana acha ujinga huo
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 часа назад
@@BakariMtangenange hawana adabu acha wafundishwe adabu raisi anatakiwa akujeshimiwa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 часа назад
@@BakariMtangenange na huyu mama inasemekana amefumaniwa
@zawadinyambo
@zawadinyambo 21 час назад
Mwongo mnapangana ili mchafue hali ya hewa mnawaonea polis ila mjue polis nao niwatu hivi kweĺi polis wàtumie gari la polisi mchana wakati vituoni kumejaa
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 19 часов назад
Mujinga wewe
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 7 часов назад
Umesahau yaliyomkuta Kibao? Alishushwa kwenye basi mchana kweupe. Au mpaka yakukute ndio utaamini?
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 11 часов назад
Nauliza tu mtu kama kakosea si apelekwe kwenye vyombo vya sheria ashitakiwe sasa kupiga watu kuumiza na kuua yote haya kulinda nafasi za watu mnajichukulia laana na vizazi vyenu hakika nasema
@aishatest4451
@aishatest4451 11 часов назад
pole sana mama😢😢😢😢
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 10 часов назад
Hili drama limefeli litawaumbua aibuuu acheni
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry День назад
Subuhana Allah.
@loner_wolf
@loner_wolf 4 часа назад
Hawajakukula kweli ?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 часа назад
Hata YESSU ISSA BN MARIAMU,alitesw na pilato mussa alitesw na Farao Firaun,,utawala w Tanganyika Allah,angamiza watekaji,
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm 6 часов назад
Usikute ulichukua mume wa m2 mnasingiizia polisi
@NdiyembukeJr
@NdiyembukeJr 12 часов назад
Mbona kama usanii hivi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 14 часов назад
Hizo ni story zanazopingana kwa mambo mengi, hujajipanga vizuri kuyatunga unayozungumza, unatafuta dhambi ya kusema uongo.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 часа назад
ACHA ujinga wewe mama ameumia Ivo unasema nimuongo wewe nimuchawi
@MuzneMuhammad
@MuzneMuhammad 13 часов назад
Sasa ulionajeee kama upo poriniii
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Час назад
Hii-ndio-faida-ya-siasa
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 15 часов назад
Ngoja wakupige kwanini ulichoma vitenge 😂
@kamarhelo
@kamarhelo 11 часов назад
Yani Mimi Wala siwez vita kama hizo bola Nile ugari wangu na tembele nijilalie kibalazan nisubili cku yangu ya kufa mana yawanadam siwez 😢😢😢😢😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 11 часов назад
@@kamarhelo kabisaaa😂😂
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 8 часов назад
​@@kamarhelohawa wamechoka vitenge wakome
@BellyKaifa
@BellyKaifa 10 часов назад
Sasa mama huogopi kufa unajitoa mhanga kwenye chama cha siasa
@leomika8473
@leomika8473 6 часов назад
Kipindi iki muwe mnakwenda na ulinzi binafis mnakwama wapi jaman hii nchi imeisha kuwa yawatekaji
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 14 часов назад
Unasema namba haujaniona lakin ni PT ila namba haujaniona
@loner_wolf
@loner_wolf 4 часа назад
Unakitambaa usoni lkn umeona kisiki pale kwenye mteremko ..... Mm naona umekuwa mtu mzima na unawatu wanakutegemea sana , achana na siasa uchwara unazeeka na upumbavu wako .
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 часа назад
Yani wewe ni kolokolo aache utetezi mama aliyezaa uchungu unaisha we mpumbavu hujielewi
@BellyKaifa
@BellyKaifa 10 часов назад
Cha muhimu ni kumalizana na ccm mapema sana
@zawadinyambo
@zawadinyambo 21 час назад
Mnawaonea polis hao wahuni tu kwanini watumie gari la polis wakijua watajulikana wangetumia gari yoyote iaiyo na namba pt wahuni wanqbandika namaba za polisi wananncĥì tuzinduke kila tukio baya polisi hapana kwanza umetekwa kienyeji
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 12 часов назад
Kama si wao basi watusaidie kuwadhibiti wanaohusika.
@LusiaThom
@LusiaThom 7 часов назад
Uyo anajua alikotoka mwogo mwe shituke I mpango umebuma
@Rehema-b6d
@Rehema-b6d 10 часов назад
Ulijuwaje kama huu nimuda wa sakumi namoja au saa Kumi nambili na huku umefungwa kitambaa
@NusraSalim-z1q
@NusraSalim-z1q День назад
Jamani km uliokotwa kisalawe kwanini wasikupeleke hospital yakisalawe wakapita amana wakapita magomeni mpk mwananyamala kweli jmn😮
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 7 часов назад
Sasa yeye atajuaje? Waulizwe waliompeleka huko.
@Hongkong-765ul
@Hongkong-765ul 23 часа назад
Mm ni chadema kuanzia Leo hii
@calvin6445
@calvin6445 15 часов назад
Hakuna lolote hizo ni mbinu tuu za kisiasa kukichafua chama tawala ...polisi kama polisi au Usalama hawawezi kukuchukua Kwa staili hiyo
@IvanMocha
@IvanMocha 13 часов назад
We chawa naw
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 13 часов назад
Kukichafua eti? kwani ni lini kilikuwa kitakatifu lini?
@calvin6445
@calvin6445 12 часов назад
@@dicksonkilupa2258 we SI wale unapenda mteremko pambana nduguu na ridhika na unachokipata Dunia Haina usawa popote palee ukitaka haki ni lazima ufe ukaipate mbinguni
@calvin6445
@calvin6445 12 часов назад
Wala sina chama nduguu ni nyie tuu mnaoisi mnaonewa Kwa midomo yenu michafu
@calvin6445
@calvin6445 12 часов назад
@@dicksonkilupa2258 🤣🤣🤣tupo na nyie mpaka mwishoo nyie tekaneni tuu wenyewe Kwa wenyewe
@MohsenAljahwary
@MohsenAljahwary 7 часов назад
Msio na akili ndio mnasapoti uwongo wa huyu mama janja janja ya Chadema imegundulika. Huyu mama alifumaniwa na mume wa watu wkt yy ana mume pia.We mama acha uzinifu kiislamu unamdhulumu mumeo ziko picha zako mahali ulikofumaniwa Gesti hakuna cha pori wala msitu.Yote hayo unayoyasema umeandikiwa na Mbowe na Myika.
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 15 часов назад
Upigaji ni uleule wakina roma na kina sativa
@fatumajuma9413
@fatumajuma9413 День назад
SubhuanaAllah 😢
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 часов назад
Laana tullah Samia wenyu na police yake
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 13 часов назад
Hivi kweli serikali haioni hili zigo la laana ambalo linaandaliwa? Tusaidieni kuujua ukweli wa watu kuteswa na huu mzimu.
@DeoNgaillo
@DeoNgaillo 6 часов назад
Dunia imeisha bora ukutane na simba sio binadam mwenye roho mbaya
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 9 часов назад
Vitenge
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 13 часов назад
Picha linaanza 😂😂wachezaji wanachezaaa😂
@Hongkong-765ul
@Hongkong-765ul 23 часа назад
Ila
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 День назад
Inatosha kumuachia Allah
@ANRAHIMKADUMA
@ANRAHIMKADUMA 7 часов назад
MAMA KWA HILI NAKUOMBA UINGILIE KAT KAMA TUMEAMZA KUTEKA KINA MAMA NA KUWATESA HII NI LAANA HII NCHI ITFIKA PABAYA
@Rehema-b6d
@Rehema-b6d 10 часов назад
Ulivyo kua unapigiwa umefungwa pingu? Lazima mikono yako itakuwa Ina alama ya pingu ? Wewe umezimia ? Boda Ali kubebaje wewe mama?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 часа назад
Looh mkono umebabuliw rabby nsataraa mamyy,
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n День назад
TANZANIA KWA SASA IKO PABAYA SANA MUNGU TU ASAIDIE.
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 10 часов назад
Amepigwa na bashawake
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw День назад
Pole sanaa mama mwenyezi mungu atakusaidia
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 15 часов назад
Umefungwa pingu umepigwaaa ILA SEHEMU ULIYOFUNGWA PINGU HAKUNA ALAMA hata kidogo
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 13 часов назад
😂😂😂😂😂
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 День назад
Kaen chin wakina mama Endelen na Ibada Swalin mnatak nini jaman Uslam unakuambien kaen majumban mwen
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 23 часа назад
Wakae majumbani uwalishe weye
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 15 часов назад
Hahahahaha nimecheka kweli,
@SophiaSimba-uq8ct
@SophiaSimba-uq8ct 15 часов назад
Atamlisha yeye yaani watu wengine wanajifanya wanazijua sana dini
@challemartin
@challemartin 9 часов назад
Kwenye msafara wa mamba na Kenge wamo sio wanachadema wote hawampendi raisi samia tambua hilo
@ibrahimkabeniani4934
@ibrahimkabeniani4934 День назад
Ivi vitu vitaisha lini jamani
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 8 часов назад
Nishai kweli hilo serekalenyu mbona la kimjingamjinga na shenzi sana
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 17 часов назад
😭😭
@BabuAli-zv8gn
@BabuAli-zv8gn День назад
Nguo umevuliwa sawa kuvalishwa hujasema?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@edyboyChamilion
@edyboyChamilion День назад
SINA IMANI KABISAAA.. SIMUAMINI HATA YULE ANAESEMA KUWA NI MLINDA AMANI NA MALI ZA WATU😅
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 День назад
Mmmm ulitumwa mnayataka mimi nisike ugali na wanangu nihangaike na vitenge kisa vina picha ya raisi mmmm napenda kuishi mwenzangu na ukichoma unapata faida gani
@HappyPaul-nj9ri
@HappyPaul-nj9ri День назад
Pole mamangu
@FaridaOngala
@FaridaOngala День назад
Pole sana mama
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry День назад
Hospital hawajataka PF3 kutoka Polisi?
@MercyHamis
@MercyHamis День назад
Eee Mungu wangu 😢😭😭
@EsterBukuku-p3x
@EsterBukuku-p3x День назад
Pole dada
@muhammednassor690
@muhammednassor690 День назад
Wewe hujapigwa wakikupiga hasa kama mimi wewe husemi kitu saivi umelala kwa mumeo, na chama ushahama zamani
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 День назад
Kaka acha Watanzania wasikilize kusikiliza sio dhambi
@robbyman6213
@robbyman6213 День назад
😢😢😢
@shamzone388
@shamzone388 День назад
Ina lilah waina ilah rajiuni tanzania tumefukia hapa
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 День назад
Wewe unayeongea eti mnamchafua mama kwenda ni hao mnaokula ugali kutoka huko huna adabu
@SimbaJumma
@SimbaJumma День назад
acheni ujiga kumuchafuwa mama munatekana nyinyi kwa nyinyi ili mumuchafuwe mama aya edeleeni mugu amutie guvu
@SamuelLainzar
@SamuelLainzar День назад
Kuma la mamako alikuzaa na kama alikuzaa munaliwa wate
@richardhezron2588
@richardhezron2588 День назад
iposiku nawe mtatekana nafamilia yako
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 День назад
Jmn si bora tinyamanze tu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 часа назад
Ogopa Allah ww Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia chezea Allah atacheza na watekaji wafe kw Ajali,kama Farao Firaun ilikua hivhiv kutesa raia wana w Israel,
@GordonMwakalukwa-l6u
@GordonMwakalukwa-l6u 14 часов назад
Acha uongo kiki za kijinga
@husseinhcube1310
@husseinhcube1310 День назад
Lahaula walakwata ila bilahiladhim
@LusiaThom
@LusiaThom 13 часов назад
Waogo watu wanajitema shituke i jamani tunajua mipago yao
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Час назад
Hii-ndio-faida-ya-siasa
@thamani5842
@thamani5842 2 часа назад
Yaani unaenda kukaa uchi, dunia nzima inakuona kwa uongo kisa tu uichafue serikali. Wewe ni Muongo, tushaambiwa umefumaniwa
Далее
aespa 에스파 'Whiplash' MV
03:11
Просмотров 11 млн
Как не носить с собой вещи
00:31
Просмотров 870 тыс.
C Programming Tutorial for Beginners
3:46:13
Просмотров 13 млн
aespa 에스파 'Whiplash' MV
03:11
Просмотров 11 млн