Тёмный
No video :(

MAMA DIAMOND AJIBU KUHUSU KUMPIGA HAMISA MOBETTO 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 369 тыс.
50% 1

NI KWELI MAMA DIAMOND PLATNUMZ KAMPIGA HAMISA?, ISHU YA DIAMOND KUTOTOA MATUNZO KWA WATOTO WAKE/ KUMUNFOLLOW DIAMOND PLATNUMZ!
For more Entertainment News and Updates Watch Refresh on Wasafi Tv Every Monday to Friday, follow us on Social Media:-
Instagram: @WasafiTv
Twitter: @WasafiTv
Facebook: @WasafiTv

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 387   
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 6 лет назад
Mashaallah mama. Unaonyesha poa.majibu poa mcheshi ataowa nasibu ikifika siku yake mungu atakayo mjalia.
@johntanda9814
@johntanda9814 6 лет назад
huyu mama angekua mama angu nisinge mruhusu ajihusishe na social network.
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 6 лет назад
John Tanda KWANI MAMA YAKO NI MTUMWA WAKO??HANA HAKI ?LORD HAVE MERCY
@farhasalim9824
@farhasalim9824 6 лет назад
chapo kuna mipaka ya mzaz kufanya vitu ikiika umri fulan...agh mama c mtumwa mkubwa hakoxei ila ana elezwa
@tvtv9581
@tvtv9581 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yusufalmamari4236
@yusufalmamari4236 6 лет назад
Mashaallaah mama mungu akupe miyaka mingi na mafanikiyo ,safii sana mama watu wamezid sana lkn minataka kuku ona umeenda sauz kuwa ona watoto ukiongo zana diamond platinum
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 лет назад
Mama jieshimu utaeshimiwa that's true
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 6 лет назад
Rosemary Benjamin KWANI KAFANYA LIPI BAYA???
@camillaeddy3185
@camillaeddy3185 6 лет назад
Mama we we ni maaetu tunakupenda sana .jaribu sana mambo yafamilia yako yaweke mbali na media. Coz u a the best
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 6 лет назад
That story seems 2 b true. This was the best opportunity to put all rumors to rest. .
@michikidaro6822
@michikidaro6822 6 лет назад
Mama hoyeee....wasipende kuingilia maisha ya wtu.
@jasminewest6826
@jasminewest6826 6 лет назад
These mama has too much pride!!....
@januarymwita9410
@januarymwita9410 5 лет назад
Ok mama
@mammymammy241
@mammymammy241 6 лет назад
Wazii wajukuu wake anaongea nao daily big up mrs nillah aka pacha wa tifa
@featurebillionaire5464
@featurebillionaire5464 6 лет назад
sema mama braza anataka kumweka mobeto ndani utulie
@omanioman8952
@omanioman8952 6 лет назад
WKB Boy aswaaaaaa
@nakalyowanagidahfatumah2247
@nakalyowanagidahfatumah2247 6 лет назад
translation
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Mmh mama sjui anajiona nani hapo jamani,anafuraha na maswali pia yuwakwepa kuyajibu.
@annastaziammary600
@annastaziammary600 6 лет назад
Kanacheka cheka tuuu.. Sjui kakoje
@winstonanjuna5550
@winstonanjuna5550 6 лет назад
Kifua wazi mtu mzima huendani na hayo mama
@bernardfrancis627
@bernardfrancis627 6 лет назад
jemenn
@payalchoprapayalchopra1568
@payalchoprapayalchopra1568 6 лет назад
mashaallah mum, mwaaah
@castromontana2112
@castromontana2112 6 лет назад
Daaah nyie mnaishi kwa kiki mbayaa
@aminamuslih8296
@aminamuslih8296 3 года назад
Ehh mamangu weh huu Ni mzimuu hashuo khaaa!
@happypius9360
@happypius9360 6 лет назад
no comment jmn we mamaa umenishinda tabia.
@esthermatinde5748
@esthermatinde5748 6 лет назад
Aki nashukuru Mungu mama angu alitangulia mbele za haki mapema mama kama huyu ni tabu sana ako na maneno mingi sana ataki kukubali kuwa yeye ni nyanya sahii
@ashaally6993
@ashaally6993 6 лет назад
Safi sana mama na kama mwanao kuoa asioe hiyo kichefu chefu mtakaribisha nuksi nyumbani waswahili wanawaza kuroga tuu pumbavu
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Asha Ally kapumwe akili ww
@kimka4033
@kimka4033 6 лет назад
Nasikiliza tu mimi,👂👂👂
@augustinewiraka2294
@augustinewiraka2294 6 лет назад
Yeye mwenyewe anasema kila kitu kitaonekana kwenye Instagram halafu anasema tuache kuyafatilia maisha ya familia yake kwa kweli jifunzeni kuishi kama wakenya sisi hunger facts na sign umbea Augustine 254
@salmasaid2401
@salmasaid2401 6 лет назад
no coment. khaa!! hamisa yupo juu.
@MemsapSaum
@MemsapSaum 6 лет назад
Mashaa Allah kwa hijabu na buibui ramadhi kareem mama
@kakamkubwa4879
@kakamkubwa4879 6 лет назад
😂😂😂kila kitu kitaonekana kweny Instagram
@sheilalolila2233
@sheilalolila2233 6 лет назад
dunia Maputo allah tujalie mwisho mwema
@athmanmohamed2831
@athmanmohamed2831 6 лет назад
Mama yumo nae, hajakubali kama amekuwa nyanya
@jacobmgusa3473
@jacobmgusa3473 6 лет назад
Mtangazaji ninekupenda bure kaz nzuri
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 6 лет назад
Sasa kinachokuchekesha nini hapo chefuuu
@eunicemishel2562
@eunicemishel2562 6 лет назад
On point mama sijaona watu ka watanzania wakwenu kujitungia mambo na kuingilia family zawenyewe kwa mambo yasowahusu.But mimi husema watapiga domo mwishowe hawatasaidika nyie nyenu yawaendea
@buharsuleimani7688
@buharsuleimani7688 6 лет назад
Mama dangote kiboko no comment 😂😂😂Ila mama yangu mi nakupenda Sana
@pamelanangila8661
@pamelanangila8661 6 лет назад
Buhar Suleimani haha no comment
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 лет назад
MMA kupiga mtu ni kuchukua sheria mikononi hata kama mtu huyo amekukosea vipo vyombo vya dola .ungeriport ungepata haki yako .kama unaona wanawake ni kero kwa mwanao muonye yeye mondi sio kupiga watto wawenyewe.
@aishaomari1881
@aishaomari1881 6 лет назад
Munampendea nn huyo mpenda wajukuu wa zinaaa hanajipya kutwa mitandaon sifa au
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 лет назад
Atarii Mama kaitaja vzr hiyo Instagram Duh ☝😂😂😂
@annahmichael1097
@annahmichael1097 6 лет назад
mama maisha yako yapo mtandaon
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
Huyu mama ana tamani arudi msichana mimba ili zaliwa ama ilikua ni kunona tumbo tulisubiri mdogo wake diamond azaliwe
@mwikalizawadi9481
@mwikalizawadi9481 6 лет назад
MAMA PEKU PEKU hahaha umenimaliza jirani am watching from Lebanon Beirut
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
Mwikali Zawadi sini kweli unakumbuka ali hijiwa akasema tutarajie mdo ake diamond kaolewa huyu mama
@mwikalizawadi9481
@mwikalizawadi9481 6 лет назад
MAMA PEKU PEKU ndio nakumbuka sana sasa nashanga iko wapi
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
Mwikali Zawadi penngine ilipitea mwilini wabongo hatari
@shadiajumaa182
@shadiajumaa182 6 лет назад
MAMA PEKU PEKU hahahahahaha uneona eeeeh mungu amsamehe jaman
@adelqueen2049
@adelqueen2049 6 лет назад
mama mpambe,like mother like d..t,
@sultanmganzira4388
@sultanmganzira4388 6 лет назад
Safi bibi tifa nakupenda kwa mcimamo wako huyo change mchawi pambana mpaka kieleweke
@abubakarmohammed5994
@abubakarmohammed5994 6 лет назад
Ukisikia mtu mzima ovyo ndo kama hawa duniani.
@aminamuslih8296
@aminamuslih8296 3 года назад
Ovyooo chefuu
@mwanaishasalu4275
@mwanaishasalu4275 6 лет назад
Kweli kabisa hahaha umenichekesha sana hongera kwamaneno mazuri mama diamond.
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 года назад
Uyu mama angechukua mfano kwa mama harmonize jmn uyu mama kasha zeeka mdomo wenyew umemshuka kama bambino ya mkojoo nyoo yaani simpendi Awe mama mwenye anajieshim kama mama harmonize na akina mama wengine tu mtuu mzima ata haya una ufff 😥😌😌
@aqwinatherhaule4478
@aqwinatherhaule4478 6 лет назад
eh Dada Sandra bora uolewe.no comment😂😂😂😂
@bahatibushiri7230
@bahatibushiri7230 6 лет назад
Huyu mama anaboa sana kazi ya kufuatilia mambo ya watoto khaaa!!
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 лет назад
Nimependa umejibu vizuri
@faridajuma4074
@faridajuma4074 6 лет назад
Kiama kiyaja kubukene ALLAH ,na diamond ajuye wote ni watoto walizaliwa na mama zao sio kuowa kila mara nakujiona vimaneno maneno kila mara jua ndoa yataka subrira.
@stephankapwellah8932
@stephankapwellah8932 6 лет назад
kama sio mtoto wa kiisilam asinge oa mama bwanaa❤❤❤
@yohanakedimon990
@yohanakedimon990 6 лет назад
nice work wcb damudamu
@fallymetoo191
@fallymetoo191 6 лет назад
Mama Mondy wee wa mjin bhana wakuachee tuu!! kila kitu kitaonekana .🤣🤣🤣🤣🤣
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 6 лет назад
Fally me too tena kwenye isntagramu duu huu mama amenifanya nishibe gafla
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 года назад
Mama momdi ovyoo,,Hana tafauti na wauza samaki,vitumbua,mahamri ingekua Mimi ningekaa home Tu cheza na wajukuu.ovyooo
@maisaalawi644
@maisaalawi644 6 лет назад
Kweli mama.
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 года назад
Kila kitu kitaonekana kwenye instagram, ndoa ya mondi itajulikana instagram, wameishiwa kweli hawa. Wanaropokwa tuu hawajui hata wanalolisema maskini
@najma3268
@najma3268 6 лет назад
Asante mama kwamajibu mazur
@maatumkhatib1668
@maatumkhatib1668 6 лет назад
😂😂😂😂😂ahsanteee dokta Sandra wafuatilie familia zao Hapan chezea ndimu mkata chombo
@maarufumtwale6521
@maarufumtwale6521 6 лет назад
No comments
@angelanoon8303
@angelanoon8303 6 лет назад
Someone tell me what she is saying
@marrykikafu4690
@marrykikafu4690 6 лет назад
big up bi sandraaaaaaaaa
@mussamussamussa8444
@mussamussamussa8444 6 лет назад
Mtu mzima Ovyo kutwa kujishaua. Mpk mungu kamsahau , mshamba sana huyu bb maisha mapito kila kitu kitapita
@maatumkhatib1668
@maatumkhatib1668 6 лет назад
Mussamussa Mussa pamban na hali yko bhana
@princessyvetteevedollyisma2586
Mmmmh mumezoeya kiki kumbe,,,nyinyi mumependa kueka mambo yenu munayaweka public alafu mwasema tuwaache na maisha zenu,,,,mimi huwa nawasuta nyote uwa sina team ukiongeya mbaya nakuramba ukiongeya poa nakusifu,,,mbumbavu zenu na kiki zenye azina mahana
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 6 лет назад
Bora wakomeshe waambeya kufuatilia mambo ya watu
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Huyu Mama amekaa mapepe Mapepe Kama mondi!!
@mwikalizawadi9481
@mwikalizawadi9481 6 лет назад
Amiri Ramadhan hahaha umenimaliza jirani am watching from Lebanon Beirut
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Mwikali Zawadi we nawe hupitwi na udaku upo lebanoon ya dar hayakupiti 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@mwikalizawadi9481
@mwikalizawadi9481 6 лет назад
Amiri Ramadhan hahaha nakwambie nipo sana hahaha family hii inamambo sana
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Mwikali Zawadi mambo yao ni aibu aibu tu mama na wana nimaajabu kila ucheo 😀😀😀
@mwikalizawadi9481
@mwikalizawadi9481 6 лет назад
Amiri Ramadhan kweli kabisa umesema wanajikosesha heshima haki agekuwa mama mzuri agemshauri mwanae amuombe rathi mkewe na kumrudisha nyumbani tena walallishe ndoa na maisha yaendelee tu kuliko kupotosha kijana wake
@annaupendo4768
@annaupendo4768 6 лет назад
Natamani angekuja kusoma comment watu wanafatilia familia yako sababu maisha yenu wenyewe yako mitandaoni kila kitu mtandaoni mbona wengine wasani kama kina Kiba wasiopenda kila siku familia zao zisiwe mitandaoni hawafatiriwi kihivyo ukiamua maisha mtandaoni huwezi kuzuia kufatiriwa
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
Anna Upendo kweli maneno yako 😁😁 ila aka ka mama kachizi kweli 😁😁
@blackandblackandblac
@blackandblackandblac 6 лет назад
Anna Upendo MITANDAONI WAO NI MAMA DANGOTE..ZARITHEBOSSLADY NA DIAMONDPLATNUMZ..SIO NASEEB...ZARINA..AU BI SANDRAH...JUA KUTOFAUTISHA...ENTERTAINMENT..NA...BEGIND THE SCENES...
@didaamohsin6440
@didaamohsin6440 6 лет назад
mama dangote..uko juu
@babylidyaandrea4568
@babylidyaandrea4568 6 лет назад
😂😂😂😂 hii nipasua kishwa watu wanafatilia Family yenu nanyie wenyewe ndiyo mnaweka maisha yenu mitandaoni tunge yajua wap ss kama sio nyie
@ashura7832
@ashura7832 5 лет назад
.hapo chacha
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 года назад
Baby Lidya Andrea 🤣🤣🤣🤣🤣😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 года назад
Baby Lidya Andrea uyu mama namuona kama Mama G🤣🤣🤣😥
@hamiariddi6461
@hamiariddi6461 6 лет назад
Wasafi nice job
@iambaizo
@iambaizo 6 лет назад
Ana sound ki-uswahili uswahili dadeq
@Moses-Kuria
@Moses-Kuria 6 лет назад
Mama mnafik kweli, anajifanya kaa mwali mbichiii ndo Katoka kufundwaaa
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
david ouma 😁😁😁😁😁
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
david ouma wee nimke au mume😂😂
@mitchamitcha9404
@mitchamitcha9404 6 лет назад
david ouma hahaha
@halimabakari3408
@halimabakari3408 3 года назад
Mama unajisahau na dunia na we ni muislamu
@tatunaally1510
@tatunaally1510 6 лет назад
Uyu mama anampenda hamisa sana iyo ni kiki tu ili kumficha zari
@lilianjeremiah2880
@lilianjeremiah2880 6 лет назад
No comment kwa hamisa xo n kwel
@augustinoboniface5973
@augustinoboniface5973 6 лет назад
🔥
@roseirungo1950
@roseirungo1950 6 лет назад
No comment sabbu unajua wee ndo kufuruga maisha ya mwanao ...mfyyuu utarudi undongoni bila kitu
@elizsbethrobert7161
@elizsbethrobert7161 6 лет назад
Rose thanx Kwa point nzuri
@jemedary6271
@jemedary6271 6 лет назад
Rose Irungo dah, ndo nasikia kwako mama anaharibu mtoto, fikiria kabla ya kuzungumza ndugu yangi
@zahramobne7807
@zahramobne7807 6 лет назад
Rose Irungo anafuruga sana angelikwa hamisa ni mkenya angekitambwa
@shuuathuman9327
@shuuathuman9327 6 лет назад
unasauti zuri co kama ya mama amisa mbaya.
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 лет назад
Mama anakiranga huyu kama yupo kwenye balehe jmn 😉😉😉😉😉😉😉😉
@lucydeogratius786
@lucydeogratius786 6 лет назад
Mambo ya social network achia watoto au nenda nao taratibu maana unavuka mipaka bibiiiiii
@yaaishbaybe7477
@yaaishbaybe7477 6 лет назад
mmmh Umejua kuna interview ukacram the word COMMENT
@uwimanaraoul6824
@uwimanaraoul6824 6 лет назад
Mwambie afunike hicho kifuw anajichekesha nini sasa kana roho mbay ako
@mariammasangula7033
@mariammasangula7033 6 лет назад
we mama ww mwislahm mzma unasema ndoa ya mwanao itaonekana ista unajsahau kuwa kunamungu ndoa ya haki ionekane mbele ya mungu mollah wetu mtukufu mingi wa rehemah
@husnauthman7609
@husnauthman7609 6 лет назад
Hahaha halooo hakupigwa mtu hapo
@oman3527
@oman3527 6 лет назад
Kweli kimewaka ila uciwe mwasambaza tarifa hazina maana ila kwahapo mama yupo sahihi
@marthapaul3876
@marthapaul3876 6 лет назад
Uyo bi sadra ananipa raha na Majibu yake nakupenda bure mama
@princessyvetteevedollyisma2586
Alafu huyu mama chibu nikama hakusoma mambo za watoto na yeye anataka kujulikana si ujieshimu kama mamake kiba ,,,nimewachoka wbc
@joycerichard5042
@joycerichard5042 6 лет назад
Huyu mama mhhhhhh
@dubunation4662
@dubunation4662 6 лет назад
nikweli
@abdiyathe6221
@abdiyathe6221 6 лет назад
Naona mnaita doctor anatibu nini. Ni swali
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
ABDI YATHE Dr wa kujizalisha 😁😁😁😁
@daprince7545
@daprince7545 6 лет назад
mashaallah kicheko hicho mamaa 😅😅😅
@naomimogen9236
@naomimogen9236 6 лет назад
Daaaaah kumbr ni mlimbukeni tuuu yaani kesha potoka kwenya maadili
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 лет назад
umri wako na mitandao wapi na wapi na block na toa duh wa mama wa leo hao
@jayelias1654
@jayelias1654 6 лет назад
#Hahahah BISANDRA___Leo kaongea #KINGELEZA Duh
@latb2747
@latb2747 6 лет назад
sigiria nje
@faridajuma4074
@faridajuma4074 6 лет назад
Mamake diamond ,kubuka ufahi kugiria ndoa ya mtoto wako.kazi yako nikusubiri wajukuuu pekee yake.
@thoyarashid5782
@thoyarashid5782 6 лет назад
Pesa haizeeshi mtu mama ako ng'angari bado
@tanciabradshaw
@tanciabradshaw 6 лет назад
Somebody tell me what she said in English please!
@aminamuslih8296
@aminamuslih8296 3 года назад
Okay let me translate for u dear she say dat about wedding of diamond plutnum short and clear
@sesiliachungu1118
@sesiliachungu1118 6 лет назад
mama zima ovyo ungukuwa unamcha mungu usinge kuwa unafanya ujinga uisilam unasema unapofunga uwe na amani na watu
@mokeiradolvin1570
@mokeiradolvin1570 6 лет назад
Wewe kama mama na mslim unafaa kusimama imara makusema ukweli maanake tu Ramadan na unaulizwa ukikimbea elezea taratibu Omba msahara maana kila binadamu ukosa na kuomba msahara kusamehewa mbona kusema hakuache
@geraldremmy2472
@geraldremmy2472 6 лет назад
maisha yenu mnayaweka wenyewe mtandaoni unashangaa nini watu wanavyoyafuatilia
@hajiasalama5767
@hajiasalama5767 6 лет назад
Can someone please tell us what she's saying
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 лет назад
Naye amesema no comment 😂😂😂😂
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
mama wa mwendo kasi
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 лет назад
Moshi Mongelwa 😂😂😂😂😂☝
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Valentina Mussa 😂😂😂😂😂
@salmaothman153
@salmaothman153 6 лет назад
doctor Sandra komesha mmbu
@ahabrondy2713
@ahabrondy2713 6 лет назад
Salma Othman yes imbu unazidi kutuambukiza malaria
@OmarOmeralsaadi
@OmarOmeralsaadi 6 лет назад
Kivuruge
@princewawaziguatz1563
@princewawaziguatz1563 6 лет назад
Channel ya wana
@milliahachenya2749
@milliahachenya2749 4 года назад
Lack of respect mama huna haya
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 6 лет назад
duhh mama wa kidigital
@binrashid1638
@binrashid1638 6 лет назад
Nimechelewa cu comment ila huyu MAMA Anaumri wa Zari kabisa ila amechelewa kupata matunzo tu.
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 лет назад
Jamani ndo mana mmbu alifika kumbe daktar ukuwepo safi bi tiffa nakupenda bureeee
Далее
USO KWA USO MWIJAKU NA ALIY KAMWE WAKUTANA
4:31
Просмотров 1,6 тыс.