Tanasha ana elimu gani? Kwani hiyi duniya Tanasha ndo mwanamke wa kwanza kuachwa kwa hiyi duniya? Juwa kutofautisha elimu na mapenzi ni vitu vi 2 tofauti, unataka kunambiya wasomi huwa hawa divorce? hao wasomi unaosema mbona kilasiku wapo mahakamani kilasiku wanadai divorce, wewe hapo umeisha achwa na wanaume wangapi?
Let me say something lil quick some time people be fully with material things but the main thing is when you're dating with someone make sure you check out he's, her back ground to decide what good for you're future, anyway deep down i really do appreciate Tanasha for not looking material things but she believed that she's bigger than that.
But sometimes people change one may have a dirty background but when he gets a woman he completely become a different person but looks like this doesnt apply with diamond
Asidi kizee kisichopenda wajukuu Mama diamond aolewe tu na Diamond na amzalie watoto. Walivyokataa atoe mimba walitarajia nini? Baraka kwa Tanasha..sis tuna mtoto hesabu yetu kenya imeongezeka
HUYU JINAMIZI NDIO AKO NA SHIDA NA WANAWAKE WA KIJANA WAKE....NA PIA NIMEONA SI DIAMOND....NI HUYU BI KIZEE NDIO PROBLEM KWA KILA MAHUSIANO YA MTOTO WAKE HATA SIJUI ANATAKAJE.....NA WALA HAJUTII HAKI....KILA MWANAMKE AKO KASORO ..KILA MWANAMKE ANAMTIA HILA ...MPAKA LINI ?????HAYA GARI AMEACHIWA DIAMOND AMEACHIWA
Elimu ni muhimu sana, lakini sasa mama dangote na familia yake hata hawana any intellect or voice of reason. Haya Diamond oa mamako mtulie basi. Diamond is ghetto AF. Tanasha is way classy
Mama anaitaji maombi sana na Umri unaenda lazma arudi kwa mola wake kwa kuifwata dini kikamilifu. Atakuwa akisubiri Wajukuu kupitia Zinnaaa mpaka lini. Na ukiona mzazi anae changia zinaa kwa namna moja au nyengine basi juwa ni ukosefu wa ilmu ya dini. Allah atamuongoza InshaAllah.
Mama umekosea Sana Kumbuka mtoto ni wenu atakua mkubwa. Mnapoteza damu zenu kwa ajili ya Pesa Yote yana mwisho. Unachotakiwa kumshauri kabla hajaharibu.
Bora usioe ila mamako afurahi maana diamond alivo kua hana akukua na mwanamke anaemtaka mkimuita domo😆 sasa😑😦😑 ana hela akimskiza mamake ooow atokuja kuoa mara mama aingia mapenzi yake mtt...she desrves it wacha amlinde mwanae maana nyinyi mapapa sio watu wazuri
Ujinga ni wa mabinti wenyewe wanaona huyu anashindwa mwingine anaona mi ni bora zaidi ngoja nikajaribu bahati ndio hivyo mambo yanajirudia Wanawake Tupendane tuchukuliane mizigo.
Alafu yeye alivyoachwa akasema katelekezwa na Baba Diamond kiukweli huyu Mama ana matatizo kama mwanamke asingetaka yawatokee kama yaliyomtokea yeye... Kila mtoto na Baba ake
@@khalfanmohd6949 sasa Kwan uong Hy mambo yapo San vijijin mama hatk mwanae kuoa jua kuna Jambo na kila mwanamke mbaya Huy mama anamahusiano na mwanaye bila yy kujua sasa mtakao kuj kutukan tukaneni
Magari anayo mengi akaona atoke na la tanasha this woman is something else anaweka Diamond kwa wakati ngumu...mke na mama wasipopenda mtoto ndio ataumia
So every woman akiachana Diamond huwa anakasoro???Mara usikie ni mchawi ,mara mvivu ,mara yeye ndiye alipenda mondi sana😏Kwani huyu Diamond hakuna siku huwa na makosa?
Mama mzee anapishana na wasichana ? Adi ume bleach kuonekana mrembo ? Pole tena haibu kuzozana na wasichana umri ya watoto wako. Style up you old lady.
wacheni kumtus mama kwanza sidhani Kama mnajua chanzo fungeni midomo jambo lisilo wahusu mnalivalia njuga za nini ? Elimu ulionayo ni yako inamsaidia nini familia y diamond wtz awapendi mwanamke mvivu kabisa atafute wanaume wako wengi nyamazen mzazi akosei
Mama you're right protect what is yours. Alot of women nowadays they don't value marriage they are there to gain something. Mama knows who was the right wife for his son
Ila Guys let this b clear familia ya Diamond imejaa na uswahili mwingi kwahiyo pale kwa wadada hawa hawapawezi kabisa inahitajika mswahili kweli akae pale na kudumu na Diamond
We Kenyans don't give a fuck hatuwezi tawaliwa na Familia nzima just because we are married to ur son..... Tanasha thanks for that bold and wise decision
wema S ameshindwa iyi familia na wema alijitolea kwakila hali.alimpenda mama na wifi na baba mkwe na marafiki wote wa mondi ila alichukiliwa.je,mwanamuke gani ataweza iyi familia?ila ipo sikuwatampata atakae watuliza.
Mama diamond huwa anatoka na mwanawe kimapenzi, ndio maana diamond akiwa na mwanamke mwingine huwa anaumia sana, hadi achochee, ili afukuzwe ndio, abaki na mapenzi wake 😄😄😄
Ukweli unauma jamani yaani wadada wengi tunataka mteremko huo ni ukweli sasa mpige tu kelele even me too 😂yaani vyenye napambana na kijana wangu kwa kula kitu na gaharama zote za shule alafu kibinti kije kije tu ya 😂😂 guys ulizeni vijana walio lelewa na mzazi mmoja
Wajua kuna watu wanatiaga ushabiki tu na kutukana watu lakini hi family aibebeki wamemtukana hamissa mobetto kisa kazaa na kudai kamuachisha zari baadae zari alifunguka kama aya aliosema tanasha tatizo ni iyo family sio hamissa wa sio nani ni wao wenyewe
That mama Ni kila kitu kwa diamond...wamepambana mpaka hapo walipofika hakuna wakuwaachanisha...ingawa mnasema hawana elimu Ila juhudi za kutafuta pesa wanazo. Hard working family. Tatizo sio uyo mama...tatizo Ni diamond bado hajampata wa kuiva nae. Akimpata ata uyo mama hatoweza kuwatenganisha..
Wakenya achaneni na Mondi bana!Mlijua mtachuma huku Tz eeehhh!!Kigoma hatoki boi!!!Sio lazima mondi akae nae km kashamchoka!Aliyemtuma kuzaa nani?Hana lolote Tanasha mchumia tu and hungry for fame!Wa kawaida sana hana maajabu yoyote!Wakenya bebeni casuality wenu msituletee nyenyenye hapa na kizungu yenu ya kawaida!!
Sio ameliacha gari tanzania au yeye tanasha ana magari mengi weka sawa maneno..gari alinyang'anywa ndio ukweli wenyewe, hakuna anaekataa zawadi..hata kama una magari mawili ukipewa unachukua..
Kilicho bakia n hiyo mama aolewe na mtoto wake sasa, ju akuna hata iwe vp mwanaume anae msikiza mamae atakuja kua na mke hiyo sahau, sawa alilea mwanae kwa uchungu bac olewa tujue una uchungu kuona mwanao akiishi na watoto wa wenzako
@@alimairakoze3784 ukiona mwanamke ataki wakaza wana jua emeonja, mm n mama nashukuru Mungu amenipa watoto wawili wa kiume, namwomba Mungu sana nisije kua kama huyu mama. Wanawake wote uwa walio wahi kua na mwanae uwa wanadai control ya mamake ndio shida? Je? Hata akipewa miguu mama n headace eeeeeeeeish wala asione haya aolewe na mwanae 2 ili watulie
Kama mwanamke sidhani kama ni Heri kuwatakia watoto wa wanawake wenzako wapitie maisha uliyoyaona kwako hayafai... Mtoto ulishamlea sidhani kama kuna haja ya kumfatilia mwanao ili mradi anakutunza vizuri.
Malipo ni hapa hapa Duniani yani umepanda kesho yako wewe mwenyewe yaliyo bakia ni maisha ya mtoto wake. Nakuombea kwa MUNGU maisha marefu uyaone mavuno ya haya mnayoyafanya na familia Yako.
Mtoto unaemzaa haombi umzae kwa sababu wewe ulitaka na ni wajibu wako kumfanyia kila kitu mpaka ajitegeme siyo ombi na wala si fadhila akikuangalia ni uamuzi wake tu siyo lazima vila hakuomba umzae au hakuweka mkataba na wewe kuwa nizae then I will pay back wala lazima vile na siyo deni once ukiona ni deni matokeo yake ni haya linapokuja. swala la maisha yake kama vile kuoa wazi mama wa aina hiyo huwa anafikiri mwanae akioa basi yeye tena hana nafasi na hatakuwa kipaumbele tena hilo ni tatizo kubwa sana
Huyu Bibi akumbuke hii dunia uatapita tu wangapi Wana pesa na jeuri zao zinaishia chini ya ardhi halafu Mama mtu mzima Kama huyu kijibishina na wanawake wa mwanae jiheshimu we Bibi tatizo la kupata uzeeni ndo huu mbona masuper star wako wengi Tanzania lakini huoni wazazi wao wenye tabia Kama za huyu bibi
Mama domo ni jambazi mkubwa😎😎😎 Tatizo la TANASHA alijiona yy yayi kuliko wenzake naakaza mbio😀😀😄nikikumbuka misifa alipewa TANASHA kipindi ame tambulishwa naona season imeanza😀😀
Ikiwa wanamuona tanasha uzungu mwingi basi kwa taarifa zao nasibu hataki mwanamke mshamba. Kwani tandale hakuna wanawake mama ntilie kwanini atafute warembo
Kabisaa Mama anatakiwa kuwa na mipaka yake sio kila sehemu maamuzi yawe yake na Angekuwa na akili asifurahia watoto wa wenzake kuachika tena sababu yake
Tanasha ni mzungu nyie acheni maneno na majumgu ya wafrica hakuchukua hata kiribiti SiO Kina wale wanao doka mpaka na magodoro na kudai nyumba siombaya ila mzungu hawagi hivyo anakuondokea tu 😂😂🤣🤣