Тёмный

"MAMA HAPENDI Kabisaa!! DRAMA ZA BAO LA MKONO" WAKILI MADELEKA AMLIPUA Tena NAPE NAUYE 

Baharia TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 2 месяца назад
Lkn tusiamini hatua hizo.nape mungu amewaumbua lkn alichosema nape ni cha kweli ni nimkakati.nakumuondoa ni mkakati kupunguza kelele.
@nanubob1969
@nanubob1969 2 месяца назад
Hongera mama! Imefanya jambo jema!!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 месяца назад
Ajiuzulu hata Ubunge, apishe siasa zetu anazichafua! Hafai hata kuwa balozi wa mtaa,hawezi kutufikisha mbali huyu kijana. Awali nilisema ni namna alivyozaliwa na kukulia!
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Hiyo.siasa.mchezo..baya.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 месяца назад
Atakuwa campaign manager 😢😢
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 месяца назад
Lakini ujumbe umefika
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 2 месяца назад
Na yule alisema tuhamie Burundi je
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 месяца назад
Hao WAZEE ni wendawazimu, ccm LAZIMA iondoke mwaka huu.
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 2 месяца назад
Bado wa Fedha Ana dharau sana kwa kauli zake kwa wabunge na wananchi hadi wafanyabiashara
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 2 месяца назад
Alichokisema Nape ni uhalisia wa kinachofanyika, ila tatizo ni kusema hadharani. Unapokula na kipofu usiseme unavyomdhurumu yaani usimshike mkono, bali endelea tu kumdhurumu kimya kimya. Kumwondoa ni kuweka kizibo kwenye chupa iliyo na uchafu ndani ili kuondoa harufu iliyojitokeza nje. Bora uchafu ubakie tu ndani ya chupa. Wapiga kura wanatumika kama maigizo tu, lakini uchaguzi ulishaamriwa nje ya kura. Sasa anaeyasema yaliyojificha lazima aondolewe ili kipofu azidi kudhurumiwa kwenye chakula cha uchaguzi kwa amani bila kuguswa mkono. Lakini labda pengine Mama hana siasa kama za watangulizi wake. Hebu tusubiri.
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 2 месяца назад
Nyinyi mshinde lakini sisi tutaunda serikali.Wazee walituambia CCM isipokuwa imara na serikali haitakuwa imara
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Huwezi kuamini ktk 4R na falsafa ya goli la mkono pamoja. Falsafa za lazima tushinde kwa kishindo hata kwa dhambi haziendani na falsafa ya 4R hata siku moja.
@christophermwampashe465
@christophermwampashe465 2 месяца назад
Waziri wa ardhi angeachwa kwenye ardhi.
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 2 месяца назад
Mama samia fanyakazi uyo atoshkuwa serekarini ata ivyo ahondorewe ktk chama
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 2 месяца назад
TAFADHALI mrudishe Jerry kule ardhi hatukuelewi kabisa, mini hii unafanya raisi
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Jamani ya Nape ni mungu alimpa mguvu ili atoe siri ya ndani ili kulinusuru taifa.
@AdamuKivango
@AdamuKivango 2 месяца назад
hiikufanya hatawasiyejua wajue japo wanajua wotewatanzania
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 2 месяца назад
Ana fanya makosa mala 2 kila mwaka yeye kutenguriwa atoke
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 месяца назад
Turejee kwenye hizi chaguzi ndogo ndogo zinazofanyika nchini ndipo tumhukumu Nape kama alichokisema ni uzushi au ni uhalisia!
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 2 месяца назад
Ata kwenye chama atorewe wana mchafuwa mh Rais na chamacha mapinduzi
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 2 месяца назад
Mama wants to be surrounded by more 'yes' men & women and sycophants than ever. You just can’t change everyday. No wander anateua hata wafu .
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 месяца назад
Hii awamu imetia fora
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 2 месяца назад
Ila kwa Jery slaa mama hakufikiria
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 2 месяца назад
Asichaguriwetena uyo kisa baba yake arikuwa brigedia uko mbona mtotowa kikwete asumbui
@geraldJoseph-x8k
@geraldJoseph-x8k 2 месяца назад
Ukipata kula chunga usiongee ongee wkati unakula tonge lisijekutoka mdomoni, kwani huweziliokota tena Bali limekuwa chakula cha umbwa
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
Rais wangu Samia, natofautiana sana na Peter Madeleka kwamba eti Rais hupendi goli la mkono yaani eti Rais unapenda haki, Rais ungekuwa hupendi goli la mkono(USHINDI HARAMU). INGEKUWA HIVYO BASI, TANGU ZAMANI UNGEKUWA UMEISHA TUPATIA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI INGEKUWA NI KINYUME NA SASA!!! NDIVYO NINAVYO AMINI. NINACHO KIONA HAPA NI HASIRA YAKO KALI JUU YA NAPE NA KAULI YAKE KWA KUWAMBUA KWA TENDO HILI HARAMU LILILOPIGIWA KELELE SANA NA WAPENDA HAKI KWA MIAKA MINGI TANGU 1995!!! RAIS WANGU UNALIJUA HILO. BILA SHAKA YOYOTE NAAMINI KAULI YA NAPE IMESABABISHA HII TEUA TENGUA YAKO!!! MWISHO NAMWOMBA MUNGU AKUPE HEKIMA YAKE YA KUTAMBUA KUWA KAULI YA NAPE NI BOMU LA ATOMIC KUELEKEA CHAGUZI ZILIZO MBELE YETU, RAIS WANGU USIITEGEMEE KABISA KAULI YA MZEE MAKALA YA KUIKANUSHA KAULI YA NAPE KWAMBA IMEKUBALIKA, LA HASHA WAPENDA HAKI WAMEIAMINI KAULI YA NAPE SI YA KAULI YA MAKALA!!! MUNGU AKUONGOZE AKUPE HEKIMA UTAMBUE KUWA USALAMA WA NCHI HII UKO MIKONONI MWAKO KABISAA SI MWINGINE AWAYE YEYOTE KATI YETU SOTE ZAIDI YA MILIONI 60 KAMA HUKUWAHI KUONA NA KUFIKIRIA UMUHIMU WA KUTUPA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI BASI FIKIRIA SASA KUTUPATIA KABLA YA CHAGUZI ZILIZO MBELE YETU, HASA NI KUTOKANA NA KAULI YA SASA YA NAPE TOFAUTI NA YA ZAMANI YA GOLI LA MKONO HAKUIDADAVUA YA SASA AMEIDADAVU NA WATU WENGI NDIVYO WANAVYO AMINI!!! USISAHAU KUWA KURA NI MALI HALALI KAMA MALI NYINGE YOYOTE ANAYOIMILIKI MTU KIHALALI!!! KWA MUJIBU WA MITANDAONI SAUTI ZIMEPAZWA ZIKITOA WITO KWA WAPENDA HAKI KUZILINDA KURA KWA HALINA MALI. RAIS WANGU SI KAULI ZA KUPUUZWA KIRAHISI RAHISI TU. NIKIWA MWANA NCHI WA KAWAIDA NIKO CHINI YA MIGUU YAKO NIKIWA NIMEJAA WASI WASI JUU YA MSTAKABALI WA AMANI YA NCHI YETU!!! MIMI NINA AMINI KUWA MLINZI WA AMANI NI HAKI BASI, WALA SI MTUTU WA BUNDUKI. NAKUOMBA KWA UNYENYEKEVU WAPE HAKI YAO WANANCHI WAKO NCHI IWE SALAMA. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU.
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.