Тёмный
Baharia TV
Baharia TV
Baharia TV
Подписаться
KANUNI NA MUONGOZO KWA WAFUATILIAJI WETU
Baharia TV inamilikiwa na kampuni ya BAHARIA MEDIA GROUP LTD.
Hiki ni chombo rasmi kwa ajili ya kutoa habari ndani na nje ya Tanzania, Habari za kisiasa, kiuchumi, Kijamii na michezo, tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
A. Kuripoti habari za ukweli
B. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
C. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
D. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi

MUONGOZO KWA WAFUATILIAJI WETU
A. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
B. Baharia TV ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali
C. Baharia TV ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
D. Baharia TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

Mawasiliano:
0620400226
Комментарии
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 14 часов назад
Acha mungu atatuongoza tuombe mungu ana majibu juu ya watanzania
@GaradiGaradi-zq1wf
@GaradiGaradi-zq1wf 14 часов назад
Hakuna jipya lisu hawezi kunyamaza hata kidogo kwa sababu ya huo ujinga🎉
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 14 часов назад
Mungu amlinde askari wetu
@ChristerKoku
@ChristerKoku 15 часов назад
Mamlaka ya mahakama itamwita Hiyo Awadhi.
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 15 часов назад
Mungu akulinde na kukutetea wewe na kizazi chako.
@yohanakateko
@yohanakateko 15 часов назад
RPC uko vizuri nakubali
@emanueljohn-xy7je
@emanueljohn-xy7je 15 часов назад
Pole sana kamanda wetu sungu mungu akupe wepesi upone haraka
@GidionKombe-h1p
@GidionKombe-h1p 15 часов назад
Achana na hizo pesa yaani lazima uingie ccm naliona hilo
@DianaKalinga-ho1cy
@DianaKalinga-ho1cy 15 часов назад
Pole sana Mr sugu ,hao matwende wote wakitumwa huku wapo kule wap hawatadumu walikuwepo wababe wako wapi sembuse Hawa
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 15 часов назад
Wanamchangia wakati hawapelelezi alivyo pigwa risasi
@user-hd3xm8bh8o
@user-hd3xm8bh8o 16 часов назад
Wewe mchungaji feki wa michongo ndio utaparalaizi na familia yako wacha kuleta uchawi wako tapeli mkubwa.
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 16 часов назад
Mchango wa Ccm kwa Lisu hauzuii harakati za Kisiasa na hauzuii Chadema kuendeleza. Sera zake na kutafuta haki zake za kisheria dhidi ya Dhuluma walizofanyiwa huko MBEYA.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 16 часов назад
MUNGU AZIDI KUMLINDA ASIKALI KAMA HAWA NI WACHACHE SANA KWENYE TAIFA LETU
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 16 часов назад
MChungaji wawapi huyu nichizi mbona
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 17 часов назад
Pole mwanangu maelekezo wanataka kuchukua ubunge mtelemko washidwe kwa jina la yesu wamepata aibu kubwaaaaa
@Nyanda506
@Nyanda506 17 часов назад
RPC Ana utu sana na ana huruma ,maana sisi ni watanzania wote
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 17 часов назад
Nam haina mana kuwa hakuna polis wazur wapo kama huyo Benjamini anaonekana ni polisi mwema ila huyu mjinga anaitwa Awadhi juma huyu mjinga mmoja
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 17 часов назад
Mjanja mjanja uyo msigwa we mwangalie usoni akiwa anaongea anavyo pepesa macho nakupayuka hovyo anatumia nguvu ili apate kuteuliwa ubunge uko CCM
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 17 часов назад
Mi uyo msigwa nisha mtoa kwenye mawazo
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 17 часов назад
Hiyo ni mtoto wa darasa la kwanza. Bado hajitambui kama ni mchg. Huyo amejidhalilisha mwenyewe.
@byabachwezirugemalila9838
@byabachwezirugemalila9838 17 часов назад
Huyu RPC wa mbeya ni mtu mwema sana sio tu kwa raia bali hata askari wake, mm namfahamu toka akiwa singida alikuwa msaidizi wa RCO ni mtu mwenye busaraha sana
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 18 часов назад
Mm sina chama lkn jamaa kaongea ukweli mtupu
@AshrafuJonny-sz4gs
@AshrafuJonny-sz4gs 18 часов назад
Kasha zibwa uyo auwezi ongeatena
@petermbuja3783
@petermbuja3783 18 часов назад
Huyu ni wakili msomi siyo mjinga anajua vzr sheria
@user-uc5py2ll5n
@user-uc5py2ll5n 19 часов назад
Anafaa sana huyu
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 17 часов назад
Watanganyika mna matatizo....
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 17 часов назад
Ndio maana njaa imejaa!
@danielkanso
@danielkanso 19 часов назад
Kwa namna nilivyosikiliza utendaji wa Benjamin inaonekana ni mwanajeshi anayefuata maadili ya kazi yake lakini wengine waliacha njia zao
@malackedson7706
@malackedson7706 19 часов назад
Katiba tatizo
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz 19 часов назад
Huyo Awadhi Haji na wenzako (mnaojiita au kuitwa polisi) mnaibia raia simu,pesa na vinginevyo kwa kutumia silaha za Kavita, mnapiga,kuteka na kuua raia; wahalifu sugu ni nani? Ninyi ni nani? Boko haramu ,alqaeda n.k.wanawazidi kwa lipi?--mtavuna muda si mrefu.
@ndemabhwila
@ndemabhwila 19 часов назад
Kwa sifa hizo lazima atenguliwe ndio Mambo yetu
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 19 часов назад
Lisu wasikie Watanzania wamekuchangia yatosha, acha tamaa zinakuponza hata kwenye kampeni zako. Na wewe mwogope Mungu. ITAKUGHARIMU SANA. HUWEZI KUJINASUA ATHERWISE UNATAKA KUHAMIA KAMA ALIVYOSEMA MSIGWA. MUDA UTAONGEA. KUMBUKA WANAKUCHANGIA KAMA CHAMA SI KAMA WANACCM KUMBUKA CCM NA MWANA CCM. TANGU LINI CCM WAKAKUPENDA?. JAMANI UMELOGWAJE NA HILI DOGO. ULISEMA ABDUL AMEKULETEA FEDHA UMEKATAA. TUKAKUPONGEZA INAWEZEKANA HELA NI ZILE ZILE ULIZOKATAA KWA ABDUL. UTAKUWA MNYONGE SANA KWENYE KAMPENI ZAKO SHTUKA KABLA HUJAZIPOKEA UTAWAFANYA HATA WENZAKA WAKOSE CHA KUSEMA. NA KUKOSA KURA. KABLA UNGEWASHIRIKISHA WENZAKO KWANZA HELA ZENYEWE WANAKUPA KWA MASIMANGO WANAKUCHONGANISHA KWANZA NA MWENYEKITI WAKO. MZEE BABA HAPO MAFUNUO YAKO YAMEPITA KUSHOTO.
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 19 часов назад
Kizuri kinajiuza Ummyewetu tunakupenda Sana tunajuwa chuki binafsi Majungu .Utasaliankuwa nuru na Lulu Kwa wanawake wote wa Tanzanie Ummy wewe ni Lulu na mwangaza ni wakuigwa na watubwape da mema.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 20 часов назад
Ana high ya mungu abarikiwe azidisjhwe sana na mungu
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 20 часов назад
Hawa jamaa wa mbogamboga ni wanajifanya wako smart ila watizii si wajinga.?
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p 20 часов назад
Jamanikamasouwaduwi ilikuwajeapigwelisas
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 20 часов назад
Abarikiwe sana Benjamin ❤❤🎉🎉🎉
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 20 часов назад
Changamoto kubwa sana
@RachelMaeda-cq3mo
@RachelMaeda-cq3mo 20 часов назад
Pole Sana ndugu yangu sugu ninachoamini mbeba maono hafi lazima yatimie Ila namwomba mungu akutane na hawawatu waliofanya vtendo vyakikatili namna hii mungu Ni mwema utapona broo
@AdamKaponda
@AdamKaponda 20 часов назад
Nina umri wa miaka68sijawahi kuona mtuakipewasifa nzuri Kwa mama ya wananchi kama alizopewa RPC wa mbeya inaonyesha RPC hiyo anaitendea haki elimuyake ,nchi yake na mungu atamuinua TU,,ikosiku waweka historian ya nchiyetu wataandika historian yakenzuri kama vile ya akina kinjikitile,mkwawa nk,hata kitendo Cha kuondolewa kama ataondolewa nacho kitaandikwa
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 20 часов назад
Wanasheria, tunaomba mtuelekeze, ivi inawezekanaje kumshitaki haji kama rpc wa mbeya kafokewa kiasi kile nani ataenda kumkamata au litaenda jeshi la wananchi, naombeni msaada sielewi
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 19 часов назад
🎉mungu ambarikiana
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 21 час назад
rpc kuzaga ni polisi👮
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 21 час назад
You are reliable and straight to the issues. NGOLO TV are useless and misleading. Continue to be professional you will succeed
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 21 час назад
CCM WAMEANZA KUOMBA RADHI NA KUJIPENDEKEZA KWA RAIS AJAE WA MWAKA 2025. WAMESHA SOMA UPEPO KUWA SERIKALI ITAKUWA CHINI YA CHADEMA 2025. YAMEANZA UCHAWA. MH. LISSU CHUKUA ILA MSIMAMO WETU CHADEMA UPO PALEPALE LAZIMA TUWABURUZE MAHAKANI NA KUWASHITAKI KWA WANANCHI WENYE NCHI
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 21 час назад
Mungu anaendelea kukutetea Sugu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 19 часов назад
Na ataendelea kukulinda
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 21 час назад
democracy dies in darkness😢😮
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 21 час назад
wamechanga wananchi wa tz😢
@deosimba
@deosimba 21 час назад
Huyu Afande alisoma Seminari. Kwa hiyo hawezi kuwa na roho mbaya kama hiyo mingine yenye roho mbaya ambao utadhani walisomeshwa na shetani.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 17 часов назад
Tabia nzuri ni ya kuzaliwa,seminary haifundishi elimu ya tabia nzuri
@askarikanzu1054
@askarikanzu1054 21 час назад
Kwa hiyo yeye Madeleka ndio anafaa? Aache kujiona.
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 21 час назад
Mungu ambariki
@user-hi7df6js2m
@user-hi7df6js2m 21 час назад
Katika suala bandari alihusika kwa aslimia 100
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 22 часа назад
Lisu auto mpumbavu taahila kama nyinyi mlimpiga lisasi hizi mbeya mmempiga mnafikiri lisu hana akiri timam mnazani mtamchukuwa mjitasimini kwa kitendo cha juzi mlichokifanya mbeya mahakani panawahusu halafu wanachadema siyo masikini sisi endeleeni kuju😅pendekeza ccm