Тёмный

MAMA KIMBO AMCHARUKIA BARNABA KUISHI NA MTOTO WAKE MIAKA 4 BILA POSA "ANAISHI NA MTOTO WANGU KIHUNI" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 131 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 196   
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Mama kimbo umeongea kwa uchungu hapo kwa mwanao, na umesema kweli kbs
@najuf8021
@najuf8021 3 года назад
Mama kaongea point kabisa
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Kumbe huyu dada ni mtoto wa Mama kimbo????ndio Leo ndio nimejua 😳😳😳
@ngoshachaula172
@ngoshachaula172 3 года назад
Ata mimi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 года назад
Mashallah, Mama kimbo Mrembo 💕
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 года назад
Pisi kali ya buza nakupenda sana mama kimbo 😍pambe 👌
@aishaaboud4406
@aishaaboud4406 3 года назад
Golden speech kwa mama Kimbo a aongea machozi yangu Sure mama ni mama 💞💞💞💞💞
@carolcamilla2662
@carolcamilla2662 3 года назад
Love you so much mama Kimbo💕
@bintihijjah9822
@bintihijjah9822 3 года назад
😂😂😂😂 Pisi kali ya buza penda sana Mama kimbo upo vizur.👊
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
Upo sawa mama kimbo
@godfraymgaya2654
@godfraymgaya2654 3 года назад
Mtagazaji bhana anamaswari ya kizushi kinoma
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 года назад
Ukisema huna mme ao la na mtoto wako hajui kama anaishi kwa Barnaba ao la,…😬😬😬
@cathykavishe4734
@cathykavishe4734 3 года назад
Mwanao karidhia kuishi hivyo hivyo angekuwa anajitambua asingekubali kuishi na mwanaume bila kunyolea posa na kufunga ndoa ....kwa hiyo ni makosa ya mwanao🤗🤗🤗na ndoa hailazimishwi...
@joyzach8820
@joyzach8820 3 года назад
Mama kimbo umeongea point apo ukitaka mausiano uchague wa imani yako
@dominarwechungura5797
@dominarwechungura5797 3 года назад
Una ongea ukweli mama
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
Sasa Barnaba anakosa gani?mama kimbo wapaswa kumuongelesha au kumlaumu mwanao Raya na si Barnaba maana Raya amekwenda kuishi kwa Barnaba yeye mwenyewe ilhali hajaolewa nani hapo wa kulaumiwa?Barnaba au Raya?
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 3 года назад
Raya ndo wakulaumiwa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
@@gulfomanbb2119 exerctly 👍
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 3 года назад
Barnaba angekuwa na akili angeenda kumchukua kuhakali
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 3 года назад
Wote
@divinebernard1047
@divinebernard1047 3 года назад
Wote wana kosa,barnaba angekuwa anampenda angemtoleya mahari,tena yy anaongeya kamamzazi roho nilazma imuume
@rehemakassim4915
@rehemakassim4915 3 года назад
Kama miaka yote hiyo imepita Basi kwa Barnaba asitegemee Hana Nia nae anamchezea t huy Ila kuhusu ndoa labda kwa mwanaume mwengine Ila sio huy
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Kweli au utani
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
Wewe unaongea umevaa barnaba atamuoa raya wakiwa wamevua na utaaibika mchana kweupe lazima barnaba atamuoa huyo raya tena kwa ndoa ndio utajua usiusemee moyo wa mtu kwenye mapenzi maana huju hisia za mtu mbuzi wewe
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 года назад
Boss wenu kakaa na Zari miaka mingapi🙄🙄 na Watoto Juu... Alimuoa🙄 Wasanii wengi ni mashetani..
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 3 года назад
Sasa umeongea Nini chaaaa
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 года назад
Mbona huna point na kilichopo hapo
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 3 года назад
Mond kaingiaje Sasa hapo
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Huyo anehoji anahoji kinoko khaaa anatisha
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Mcristo na mwislam hakuna ndoa mpaka mmoja amfute mwenzie,na hata wazazi wakitanzania hawana msimamo uwezi mwacha mtoto akakae na bwana bila ndoa Tz bwana Bora mtoto ukae kwenu kuliko kuamia uko .
@wemamgala4869
@wemamgala4869 3 года назад
Mm mwenyewe nilikua sijui Kama nimtoto wake
@radhiyarashid1314
@radhiyarashid1314 3 года назад
Kumbe yule dada ni mtoto wa huyu mama
@oliviermoses4041
@oliviermoses4041 3 года назад
Nakupenda bureeeee mama😍😍😍❤
@mussasongo9774
@mussasongo9774 3 года назад
Huyo mama kimbo hajaolewa anataka na mwanae apitie kama maisha anayoishi yeye
@najuf8021
@najuf8021 3 года назад
Leo ndio najua huyu dada nimtoto wa mama kimbo
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 3 года назад
Hat me barnab anakaz mama mkwe ndo huyu😳😳😳😳😳😳😳😳😳
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 3 года назад
Kwa kweli huwezi kosa mume
@oman9880
@oman9880 3 года назад
Naam sahihi🤝🏻 mama
@husseinkombo446
@husseinkombo446 3 года назад
mama uko sawa kabisa...hawa wasanii changamoto sana
@daynesnyanda3221
@daynesnyanda3221 3 года назад
Mama alitakiwa aseme na mwanae,kwanza si vizuri kuanika hadharani
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 3 года назад
Mimi kama mzaz ni nina mtoto wa kike na pia ni bado nazaa mwanao kama anafanya hiv inauma saana so mama kimbo alaumiw hapa ni mzaz huyu anaumia pia
@nikizagloria2855
@nikizagloria2855 3 года назад
Barnaba kazi kwako
@SirdickOmondi
@SirdickOmondi 3 года назад
Mama kimbo Barnabas ana "HENG"....... ila barnabas anasema SI TUMECHOKA KUBENG. ... kamata glass weka Wine
@najuf8021
@najuf8021 3 года назад
Dah nawanafanana sana tu
@sharifagama2367
@sharifagama2367 2 года назад
Mama kimbo❤❤❤
@Mimy_keys
@Mimy_keys 3 года назад
Mama Kimbo 😅💕🤗
@allymdaki7868
@allymdaki7868 3 года назад
ILOVE mama kimbo
@aminavunde6307
@aminavunde6307 3 года назад
Huyu mama kimbo ni yule alikuwa anaishi karibu na shule ya usagara tanga
@helenkambi3918
@helenkambi3918 3 года назад
Mama Kimbo usiuze dini yako kwa thamani ndogo ya dunia
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Barnaba sura kavu kamekomaa huyo barnaba hata Baba yake hamjali ije kua Mama mkwe 😂😂😂😂😂😂
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
Amjali nini wakati hakumjali, na huyo mkwe alitegemea mtoto amlee hayo maisha ya zamani Sasa ivi mtoto ajimudu akiwa nayaziada atampatia mzazi lakini si lazima
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 3 года назад
Pole km utawaozesha dini tofaut
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Inauma iyooooooooo
@felistawilson4815
@felistawilson4815 3 года назад
Ko piscall ya buza Ni muisilamu? Sa mbona hujistill piscall yetu?
@aishakhatibu4309
@aishakhatibu4309 3 года назад
Nakukubali sana mama kimbo
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 года назад
Hahahahahahhaha 😂😃😀 eti hajui Kama anae mume au hanaa
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 3 года назад
Wasanii wengi wanapenda kuengiii
@rachelmgema3521
@rachelmgema3521 3 года назад
Umri Huo unasema hv,cc under 30 inakuaje 🤭😂
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 года назад
Mama kimbo
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 3 года назад
😀😀😀 Barnaba Sina hakika kuhusu mke Ila kwa mama mkwe tu, umepata!!!!. Utachambwa hadi maji na damu ikauke mwilini ufe!!!!!.
@erizabethdeus1624
@erizabethdeus1624 3 года назад
Pisi Kali ya buza nakupenda Sana mama 💜💜💜💜
@thomasboso3081
@thomasboso3081 3 года назад
Maari haidaiwi mtandaoni jamani mama Kimbo!!!
@lovenessmwaipopo806
@lovenessmwaipopo806 2 года назад
So wote tutaolewa Mama wengine tupo kwajili yakuoa 🙄
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 3 года назад
Nimeishiwa poz🙄🤔
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
😂😂😂
@budahman2908
@budahman2908 3 года назад
Huyu jamaa anaewashikia mic Kama atapewa airtime wakati anawahoji hao wasanii Huwa ananogesha sanaa
@Emmamusiccmb
@Emmamusiccmb 3 года назад
*NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO PEMBENI NAAMINI MTAUPENDA 🎬💥💥🎬💥🎬*
@cathykavishe4734
@cathykavishe4734 3 года назад
Barnaba mkwe umepata...🤗🤗
@PiusJusta
@PiusJusta 3 года назад
Siku ukimzemgua uyo mtoto utamjua umjui uyo mkweo
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 3 года назад
👏👏👏
@code_rapper6317
@code_rapper6317 3 года назад
NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUDA WAKO KAMA HUTOJALI KUSIKILIZA WIMBO WANGU UNAITWA WEKA BOFYA PICHA HAPO KUSHOTO🙏🙏🙏🙏🙏NAOMBA
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 3 года назад
Apowakumsema mwanao nasio mwanaume
@singidaone5628
@singidaone5628 3 года назад
Duh mama kimbo 😁😁
@YusraDonad-zx1ml
@YusraDonad-zx1ml Год назад
Wambie Mama angu hata mm Nina miaka Kama 10 na mzazi mwenzangu lakini hanioi
@activestudios.
@activestudios. 3 года назад
Miaka 4 MICHACHE SANA WAUNI MPAKA TUKUOE LAZIMA TUWETUMETOBOA WOTE MIAKA 15
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Duh 🙄🙄🙄
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Tena wahuni mnatoboa matobo yote...
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 3 года назад
😄😄😄wahun balaa saana
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
@@ismailyusuph740 wanatoboa masikio yote 2 🙄🙄🙄
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 года назад
😂😂
@macrinechao2779
@macrinechao2779 3 года назад
Mama kimbo kwa kipindi cha ndani ya boksi alisemaga ana mume
@hdggu6792
@hdggu6792 3 года назад
Mmmh sio imiaka mine dad labda unawafichia raya toka yupo nae miaka hata miaka sota au saba
@mussasongo9774
@mussasongo9774 3 года назад
Mama kimbo kila kitu anajua yeye
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 года назад
kivip
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 года назад
Hakuna ndoa baina ya Barnaba na raya...
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 3 года назад
Hio ni ndoana😂😂😂
@ephimat7931
@ephimat7931 3 года назад
Hawezi kuoa tena kwa kuwa ameshaoa na Wakristo wana ndoa moja .hapo inakuwa ngumu sana
@tabumpate9762
@tabumpate9762 3 года назад
M/MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI NA AKUEPUSHE NA HASADI
@khadijamalifedha4786
@khadijamalifedha4786 3 года назад
Na anafanana na mama yake jmn
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 года назад
We mama huna akili hayo mambo ni yakifamilia sasa umeyaweka wazi unamtangazia nani we mama fara kweli unataka ujue Ili iweje si ushajua shida hapo ni dini TU huna lolotena una roho mbaya na wewe unaonekana ndio kikwazo kwa Binti Yako kwani alifungwa kamba bintiako si kaenda mwenyewe povu ra nini sasa kwenye mitandao hujierewi unatafuta umaarufu kiki za kijinga kwenda
@laurarashid9153
@laurarashid9153 3 года назад
Huna akili wewe....
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 года назад
@@laurarashid9153 sawa mi sina akili we akili zako zimekeria wapi 🐷
@dalilambalilaki3762
@dalilambalilaki3762 3 года назад
Huyu mama kimbo yupo Sawa Sana kuna wadada wanajirahisisha Sana Kwa wanaume wakidhani ndo wataolewa kumbe hakuna lolote
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 года назад
@@dalilambalilaki3762 nikweli lakini hayo mambo ni mambo ya kifamili je ingekua hamna mitandao angesemie wapi kama mkweo umeshibdwa kuita wazee na kwenda kuongea nae i.
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 3 года назад
Mimi mbona naona ni swali kaulizwa ktk interview?Au nakosea?Interview hii inahusu nini?Basi na huyo aliyeitisha hii interviw ni ovyo,asingetakiwa alete kwenye mtandao
@happyjey8345
@happyjey8345 3 года назад
Lakin wanawake ss hua hatuna din kamili
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
We nani kakwambia wanawake hawana dini kamili wewe acha bendera fuata upepo kasome dini vizuri acha ujinga
@chany9950
@chany9950 2 года назад
Eee mama kaombe sana kwa mutoto wako inAUMIZA SANA
@addisalemyakabelet8911
@addisalemyakabelet8911 Год назад
Mim nakpenda nipo tayari kukuoa.
@rehemaathuman6669
@rehemaathuman6669 3 года назад
Apo kwenye Imani ni uwongo
@firdausgreen1886
@firdausgreen1886 3 года назад
Kwa kwel
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад
ANZA KUJIUKUMU WEWE NA FAMILIA YAKO NA MAJIRANI ZAKO USISAHAU MARAFIKI HAKUNA MKAMILIFU KAZI YA KUHUKUMU WACHIA MUNGU JE WEWE NI MKAMILIFU?? KWELI NYANI HAONI KUNDULE 🚶‍♀️
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 3 года назад
Mtoto atoke ktk uislamu aingie ktk ukristo. Huyu mma mbona analeta uhanangwa
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 года назад
Duh
@dianajohn3493
@dianajohn3493 3 года назад
Sasa tatizo ni nin? Atatoka tu
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 3 года назад
@@dianajohn3493 ntmn ungejuwa usemalo🤔
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 года назад
Ujinga tu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 3 года назад
Sasa barnaba mkiristo raya muislm na wewe cjajua. Na mnajua kuna kuulizwa kesho juu ya aya mnayoyachunga Allah awasamee
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 3 года назад
Kilasik tumuombe Allah atuongoz na zizazi vyetu na tuwashaur San wtt wakike wakiume waingiy kwenye mahusiyano achaguwe mwenye dini yake niborazaidi
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 3 года назад
Mtangazaji mbona unafosi? Mtoe idhini kwan we unahuskaje? Huyo mwanaume kwan ye hawez kuslim mpaka ulazmishe raya aritad?we vipi!
@Wastara001
@Wastara001 3 года назад
Zinaa ya miaka minne!!!!!
@apichitseso8435
@apichitseso8435 3 года назад
Hapo sasa ndoa itafungwa vipi wakati kila mtu Ana dini yake nimmoja hpo amfuate mwnzke wawe dini moja ndo ndoa itakubalika
@matridahenry6432
@matridahenry6432 3 года назад
Mmmmh
@NjumaMussa
@NjumaMussa Год назад
?
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 года назад
Huyu mama hana msimamo wa dini yupo tayari kubariki ndoa mchanganyiko muislam na mkiristo ambapo hakuna ndoa apo
@christinafanuel1587
@christinafanuel1587 3 года назад
Wew uliyonayo imekusaidia nn
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 года назад
@@christinafanuel1587 wewe unataka ya nini wakati haikuhusu hata nikikwambia bure tu
@uvuvweweonyetenyevwe1348
@uvuvweweonyetenyevwe1348 3 года назад
Njaa ndo zinazowaponza bint zenu
@aminamodi8927
@aminamodi8927 3 года назад
Kama mbwai.na iwe mbwai Anajipinda tuu kwa mtoto wa WATU
@azamajid9530
@azamajid9530 3 года назад
Ila duuu miaka 5 umevumilia Ila miaka duu
@Sharifa.46
@Sharifa.46 3 года назад
😘😘😘😘😘😘
@isnahnully2723
@isnahnully2723 2 года назад
Umeongea vyema kama mzazi
@Mama_masai_Tz
@Mama_masai_Tz Год назад
Nimecheka kwa sauti
@happyjey8345
@happyjey8345 3 года назад
Sion kama wakiona kuna tatizo
@gradnessshitindishitindi4881
@gradnessshitindishitindi4881 3 года назад
Haaaaa ndo maana wanafanana! Kumbe mke wa Barnaba n mtoto wa mama kimbo??
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 года назад
Hajamuoa sio mke wake...
@amiryanwaly1935
@amiryanwaly1935 3 года назад
Kimbo
@fatumaahmada2182
@fatumaahmada2182 3 года назад
Mama kimbo weweee usimcharue mtu dooo
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 3 года назад
Mnafiki mkubwa kama ww muislam msafi sana mbona uko kichwa wazi
@mwansitiayoub9447
@mwansitiayoub9447 3 года назад
Kasema kwao enzi hizo yy akufata malezi alolelewa
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 года назад
Mafurusi lete😘🤩😁😆
@ashankusa1514
@ashankusa1514 3 года назад
Hovyo eti unajisifia talaka
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 года назад
kwan ajabu au yeye ndo wakwanza kupewa talaka
@taucyomary2882
@taucyomary2882 2 года назад
Barbana mkwe umepata, utakuja kuchambwa mpaka utakoma
@beautycaren7257
@beautycaren7257 3 года назад
Mmh si barnaba alioa au ndo ilikuwa Ni ile nyimbo ya cheketua
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Ilikuwa nyimbo
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 года назад
Nyimbo tu
@beautycaren7257
@beautycaren7257 3 года назад
@@khadijahali4837 aah! Sa Kama miaka 4 mbna barnaba alikuwa na mke ma Steve na toka waachane atah miak 4 haijfka
@beautycaren7257
@beautycaren7257 3 года назад
@@slimmuhabesh2400 aah! Sawa
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
@@beautycaren7257 sasa wenyw wamesema miaka minne mie ni nan? Nibishe
@riziwanially6324
@riziwanially6324 3 года назад
NDUGU MTANGAZAJI MBONA UNAPENDA KUMCHOKOWA CHOKOWA MGENI WW
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 года назад
Mweu we
@hafidhali3020
@hafidhali3020 3 года назад
Sasa ikiwa nyinyi ni Waislam sana mbona mtoto wako anafirwa na kafiri?
@sophiaalnuru5507
@sophiaalnuru5507 2 года назад
Kafiri mwenyewe
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 года назад
Huyo mtangazaji mbona kama dume nae ni msichana na hijab??
@butturachel8139
@butturachel8139 3 года назад
Ilaakiongea huyu Bibi anatumia nguvusana
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
Penda mama kimbo 😂😂
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 года назад
Kumbe Tanga?
@rehemaathuman6669
@rehemaathuman6669 3 года назад
Mapenz ya kweli ayana dini ,,,,dini ni dini tuu haijalishi muislamu Wala mkristu
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 года назад
Hpna siungi mkono hoja,kama ww muslim kasome suratl kaf,allah alipo muambia mtume wao wana dini yao nasi tunadini yetu,hatupaswi kushare jmn tusiogope kuisema haki dunia tunapita,na hii alama tutaikuta,sema haki japo chungu
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 3 года назад
Kwelii dada rehema athuman
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Ni kweli Mapenzi ya uhawara hayana dini ‘ ...Lkn ya NDOA yana DINI...!
@hajikhatib8840
@hajikhatib8840 3 года назад
Duuh wewe umebugi ktk uislam mungu alieka vigexo vya mwanamke wa kumuowa ...na ktk hiyo vigezo dino imo..
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 3 года назад
Daaaaa m apo nakupinga
@mussasongo9774
@mussasongo9774 3 года назад
Hii mijimama ya ki tanga shida tupu!!!!!!
@arafaomari1832
@arafaomari1832 3 года назад
Kwakweli mtihani huu
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
Tatizo wanajifanya wanajua kumbe hawajui
Далее
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 2,9 млн
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн
Гравировка на iPhone, iPad и Apple Watch
00:40
KOMBOLELA S01 EP03 of 01
13:49
Просмотров 155 тыс.
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37