Тёмный

BARNABA AMTOLEA UVIVU MAMA MKWE/AMEZIDI/NAONGEZA MKE WA PILI 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 46 тыс.
50% 1

BARNABA AMTOLEA UVIVU MAMA MKWE/AMEZIDI/NAONGEZA MKE WA PILI

Развлечения

Опубликовано:

 

11 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 Месяц назад
Mdogo wangu Barnaba,unajibu vizuri big up👍
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Месяц назад
Mashaallah anampenda mkewe kwa moyo wake mungu awazidishie mapenzi na maskilizano inshallah mashaallah mtt wa kiume ana maadil maziri
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Месяц назад
Yes Barnabas amelelewa katika malezi mazuri .. babake ni mchungaji .. ❤❤ huko kwenye dini aliohamia anakrashi tu ..
@EdinaJoel
@EdinaJoel 21 день назад
❤❤ kaka tafuta ela pesa​@@annasolomon9855
@saniasezzy9085
@saniasezzy9085 Месяц назад
Barnaba anatubroken twake twingi sena anavyoongea haraka haraka unaweza sena anapatia sana😂😂😂
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 Месяц назад
Yaani mswahili dah hy mama mkwe ni kwere kwerekweche Yao..anawezaje kumuongelea mume wa mtoto wake kwa u babe hivo. 😂😂😂
@user-cw6jq7cv2k
@user-cw6jq7cv2k Месяц назад
Oa wanangu wewe bado kijana. Fanya Ile kitu roho inapenda but be careful on the wife you select. Congrats for good music and hard work .
@johanjoha5262
@johanjoha5262 Месяц назад
Dada uko vizuri kwa maswali
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Mkisema wamemtoa kwenye dini yake inakuwa mnakosea:yeye kwani alilazimishwa kuingia wislam au mtu unaga analazimishwa kuingia ukiristo:jibu hapana mtu ni Matakwa yake:
@SalmaMasabile
@SalmaMasabile Месяц назад
Mungu akupe uvumilivu kaka yangu yatapita
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Месяц назад
Yeye ni kijana wakiislamu sasa anayo ruksa ya kuongeza mke, na uwezo anao so ajue tu haki zake! mke hana haki kumuendesha mume wake
@chany9950
@chany9950 Месяц назад
Barbara is 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾👍🏾
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 Месяц назад
Barnabar kuhusu wewe na yammi, nadhan ni utakuwa msanii wa Kwanza uliye weza kuwa na busara Kwa matatizo kama haya yaliyokukuta na mama mkwe wako atambue ata kama syo mziki usingeweza kumuoa mke wako,,, alikupendea nyotaaa baba we kuwa tu na busara na uaminifu wala usiwasikilize hawa wapemben
@user-fx4ok3ky8h
@user-fx4ok3ky8h Месяц назад
Barnab achana na hao kina raya..njoo unioe mm
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
😂😂😂😂 ombi limekubaliwa
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Месяц назад
😂😂😂😂
@kokusimabuberwa259
@kokusimabuberwa259 Месяц назад
Umeongea kwa ekima sana nimekufurahia🌹
@MustymediaTv
@MustymediaTv Месяц назад
Yuko very smart
@shakiramshule342
@shakiramshule342 Месяц назад
Awakumtoa kwenye dini yake kajitoa mwenye,maana uyu ni mtu mzima
@MariaWaYesu
@MariaWaYesu Месяц назад
JAMANII MTU AKIJICHOKONOA PUA MBELE ZA WATU INABOAAAA
@DativaMbowe
@DativaMbowe 28 дней назад
Anaongea kama kameza cd😅😅😅
@Hkboy900
@Hkboy900 Месяц назад
🎉🎉
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 Месяц назад
Barnaba, mama Kimbo yuleee🤣🤣🤣🤣🤣
@ChristoweluMatuta
@ChristoweluMatuta Месяц назад
Mm najua babraba hajabadilisha dini ni vile watu hamuwajui wanaume vizuri yn akikutaka hashindwi kufanya unachotaka
@user-sr7qt3nq2i
@user-sr7qt3nq2i Месяц назад
👌👌👌
@dianaonesmo6951
@dianaonesmo6951 Месяц назад
Mbosso Khan uyoo
@SaidOmari-sx4ix
@SaidOmari-sx4ix Месяц назад
Kuongeza mke sio sifa ila ujue kuwa mudu coz nyie wana muziki kila uonae waona mzuri
@subiraandongolile7903
@subiraandongolile7903 Месяц назад
Ninyi wenyewe msio wanamuziki mnaongeza wanawake kila uchwao na hamfuati taratibu za dini yenu mnaweka matabaka kwa wake zenu mara nyingi mnaongeza wake na uwezo wa kuwahudumia hamna
@user-vo3wk9yr7k
@user-vo3wk9yr7k Месяц назад
Anaulizwa maswali na anajibu vizuri, kwa akili sana.
@user-mt2pn4ds9k
@user-mt2pn4ds9k Месяц назад
Mstarabu sana barnaba😂😂
@silaslemayian5871
@silaslemayian5871 Месяц назад
❤❤,
@Official83640
@Official83640 Месяц назад
Wamekutoa dini yako wajue km Uislam ruhsa wake wa 4 sasa watulie n akuwakomesha uongeoa bila kupenda ili akili ziwakae sawa yaani unapomtoa mtu kwenye dini yake basi mu9nyeshe matendo ya dini uliyomuingiza lkn wao kutwa kukaa uchi kukatika mitandaoni unafikiri wanakufunza nn km sio kukuharibia thawàbu zako😂😂😂
@IssaMbaru-qw6ug
@IssaMbaru-qw6ug Месяц назад
Tuheshihane ataa wakiristu sikuhizi wanahowa ata 2 ao 3 mpaka 4 sikuhiz wanahowa
@DM.2200
@DM.2200 Месяц назад
​@@IssaMbaru-qw6ug sawa ila sio sheria kama waislam inajulikana ni 4 ila wakristu ni 1 sema kuna kuvunja sheria ndo maana inayokea 2 au 3 ila iyo sio sheria ya wakrist "sad truth" 😢
@anunalamin6472
@anunalamin6472 Месяц назад
Bora kuoa kila mtu ajue kuliko huyo mmoja na una wengine kwa siri kuendekeza zinaa na dini zote hukataza
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Месяц назад
​@@IssaMbaru-qw6ugAcha uongo wako wewe ni mnafiki wa kiwango cha phd, wakristo wanaoa wake 2,3,4 kwa ndoa ipi? ndoa yetu ni moja tu mpaka kifo sio kama nyinyi ndoa zote 4 ni halali 😂😂 kwetu ndoa halali ni moja TU sema wakristo wanaishi na wanawake zaidi ya mmoja 2,3,4,5 _100 sio wanaoa mke zaidi ya mmoja huo ni uongo wako 😂😂😂 mkristo hana ruhusa wala uhalali wa kuoa wanawake wengi NEVER
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Месяц назад
​@@DM.2200 Mkristo having wanawake wengi ndoa yetu ni moja tu, angesema wanaishi na wanawake wengi sawa tungemuelewa sio wanaoa ajue kutofautisha kuishi na kuoa ndio maana wao wanaoa wake 4 kwa ndoa halali ila sisi hakuna ndoa ya wake wengi kwa halai NEVER kwetu kuoa ni mke mmoja tu ndio halali hata aishi na wanawake 200 mke wake halali atabakia kuwa mmoja tu
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Месяц назад
Suwezi badili kitu kinacho itwa dini sioni yoyote wa kuweza nibadili hilo
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Месяц назад
Ndo uloshinda kama firauni alofika hadi anakufa yupo katika kumuaasi mungu nakuabudu misanamu
@amirinestory
@amirinestory Месяц назад
huna akili
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
@@ukhtyrayyan7884hahahha njooo uone nikabu zinavyopishana kwa manabiiii ndo utajua wapi pa kweli amja usingizini 😂😂😂
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi Месяц назад
Barnaba unamkana yesu kweli
@martinlema4192
@martinlema4192 Месяц назад
Kusahau ni kawaida ya binadamu na wakati mwingine hajijui, 'USISAHAU/USIMSAHAU ALIYEKUFIKISHA HAPO'!
@EvaTewele
@EvaTewele Месяц назад
🎉
@rukiamasayanyika2284
@rukiamasayanyika2284 Месяц назад
Banaba nikuozeshe mwanangu una hekima sana
@rukiamasayanyika2284
@rukiamasayanyika2284 Месяц назад
Na mwanangu namjua anahekima hivyo naamini utafarijika
@user-pw2bl4qd8w
@user-pw2bl4qd8w Месяц назад
😂😂😂😂jamani watu kwenye coment wanamakasiriko wengine hawajaoa wengine hawajaolewa hawajui mume anauma au mke anauma nyie acheni kitu kinaitwa muhabat mie nitulie2 muendelee na makasiriko siku mkiolewa au mkaoa mtaelewa2😂😂😂 maskini siku mkichitw mtaelwa siku ykulia kwenu inakaribia 😭😭😭
@boubabizo246
@boubabizo246 Месяц назад
Ivi kweli hawa wasani😂 mnapo ongea kengereza huwa mnakosea saana, maana makosa ni mengi mnoo. Someni shule please
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 Месяц назад
Uowako niuhasidi tu huna lolote
@cettyamandus2929
@cettyamandus2929 Месяц назад
Kumbe uyu Malaya ndiyo maana aliashwa akiowa achika
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Месяц назад
Kwanini munamuita mjinga
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 Месяц назад
Umefanya jambo zur kubadil din uislam ndio din ya kwel owa wa 4 din inakuruhusu usijal maneno
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Ashura dini zoe zinamwamini Mungu toa ujinga wako wa ubaguzi wa dini
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
oooh safi sana ukristo ndo dini waislam wengi saizi wanakimbilia makanisani na kwa manabiii kupata uponyaji sioni wakristo wakikimbilia kw misikiti yenu 😅😅😅😅😅😅😅
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Месяц назад
Bora kutowa kuliko kupokeya.unapo towa usitarajiye kurejeshewa.tenda mema nenda.
@lovelym9562
@lovelym9562 Месяц назад
Wale usiowe mke mwingine huyo huyo Raya yote hii vivu tu Raha anakupenda sana
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
😅
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Месяц назад
Kuna watu wana stress kwenye comment 😂😅
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Месяц назад
😂
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Месяц назад
😂😂😂
@user-en5ng4sc2x
@user-en5ng4sc2x Месяц назад
Wewe unamkashif mwenzio kumwita mbwa wewe ndio jibwa
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Месяц назад
Wewe nimtu unaependa Sana kuwakashfu watu sijuwi kwanini
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Месяц назад
Barnabas ni kama haupo sawa kwa mke yupi familia ya kiswahili had din unabadili haupo sawa maskini
@lucasernest6012
@lucasernest6012 Месяц назад
we ni fala ndo maana,mpk utakua mwehu
@AdiaOmari
@AdiaOmari Месяц назад
We mbwa unamjuwa wew tukalie kmy bwanaaa wee vp kujisemea Wanacham we zangu kwani huyo barnaba alikuwa amelll wakat Biray anaenda kumsilimisha bas tunyamazie wew kama hawna chakuongea bora ukae kmya t
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i Месяц назад
Mjinga huyu toka abadili nini mie namwonaga tu ni mbwa
@hameezhami7795
@hameezhami7795 Месяц назад
Na wewe ni mbwa ama?astaghfirullah
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Месяц назад
We ni mbwa na mamaako, babaako na ukoo wako woote jjibwa makubwa weee nyoooh
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i Месяц назад
@@salmahalfani6307 kapige kwanza mswaki mbwa wewe . Kwanza hujui kuoga
@user-bi3ky7vy2q
@user-bi3ky7vy2q Месяц назад
Comment yako tu inaonyesha we ndio ni mbwa.
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i Месяц назад
@@user-bi3ky7vy2q mwanaume unabadili dini kisa mwanamke c ni sasawa tu umeolewa unatofauti gani mbwa koko
@EvaTewele
@EvaTewele Месяц назад
🎉
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 1,3 млн
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 572 тыс.
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Просмотров 7 тыс.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
Просмотров 21 тыс.
Aibu/Sababu za luludiva kumkana mume wake
15:19
Просмотров 36 тыс.
I meet Mr.Beast
0:15
Просмотров 8 млн