Тёмный

MAMA KUBWA EP 1: STARRING MARIAM ISMAIL, GETRUDE MWITA, TITO, ALEX SPONGA, MIRIAM ROBERT 

MAGAZIJUTO TV
Подписаться 17 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Tabia za ubabe za MAMA KUBWA (Mariam Ismail) zinamwingiza kwenye mgogoro mkubwa wa kimapenzi, baada ya JEMMY na SIWEMA kujitosa kwenye penzi la mume wa Mama Kubwa, PIZZO (Alex Sponga).
Wakati huohuo, mwanadada msomi JULITA (Getrude Mwita) anakuwa gumzo mtaani baada ya urembo wake kuwa sukari ya wanaume wengi, na kuibua mgogoro mkubwa kati yake na mabinti wengine.
#MariamIsmail #GetrudeMwita #MrishoZimbwe #AlexSponga #bongomovies #bongotrend #love #subscribe #lifetimemovies2024

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Месяц назад
Maryam Ismail nampenda anajua sana ❤❤❤
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 9 дней назад
Waoooh nan enjoy enjoy faces ewaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShedrackLittah
@ShedrackLittah 27 дней назад
Mashaallah maryam mungu akuzidishie kila atua unayo pija inshaallah ya khery
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl Месяц назад
Nampenda Mariam Wang jmn❤❤❤❤
@MeditriceZai
@MeditriceZai Месяц назад
Mariam wangu leo umenifraisha ni moto❤❤❤
@MalkaNinik
@MalkaNinik Месяц назад
Jmn dada Mariam❤❤❤ umeweza sana🎉🎉🎉🎉🎉 yako
@halimaali1900
@halimaali1900 Месяц назад
Maryam Ismail anacheza vizuri Sana mashaallah
@MwanaishaKarata
@MwanaishaKarata 27 дней назад
Sana ❤mi na mpenda mno
@NuwayraGinger
@NuwayraGinger 15 дней назад
Anajua sana ❤
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 25 дней назад
Kumbe ni wajina langu Mariya mashallah wajina unajuwa sana sana unatisha dada angu
@maylucson001
@maylucson001 27 дней назад
Niko hapa juu ya kibibi kiboko yetuu 🎉🎉mwambaaa mama asoshindwa na lake ❤❤❤
@AnithaNahimana
@AnithaNahimana 28 дней назад
Hongera sana naitizam sana tu nawapenda wote❤
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 9 дней назад
Kibibi au naona vbay 🎉🎉
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 7 дней назад
😂😂😂😂😂ukorofi😂😂😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 7 дней назад
Ujamwona tunu wa juakali😅
@zawadichengokatana4750
@zawadichengokatana4750 29 дней назад
Safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JASTINSEZA
@JASTINSEZA Месяц назад
🎉🎉🎉🎉mau nawapatia nice
@ancillarneema
@ancillarneema Месяц назад
Waah mmeweza sana aky😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
@neykidoti102
@neykidoti102 24 дня назад
Uuhh Lalaaah
@happysindani6708
@happysindani6708 15 дней назад
Fokasi
@zainabunechesa8659
@zainabunechesa8659 8 дней назад
umbea utakua we dada
@tifashadrack7135
@tifashadrack7135 9 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉,,,,,😂😂😂😂
@teddyurio2582
@teddyurio2582 27 дней назад
Miriam anamtembeza doziii😅😅😅😅😅😅
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Месяц назад
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml Месяц назад
🎉🎉🎉❤❤❤❤hongeren nyote
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 22 дня назад
Ya movie zote maryam. Anakuwa mtu asiepebda maneno 😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
😂😂Mariam utauwa
@ممال-ن8ظ
@ممال-ن8ظ Месяц назад
Maryam wekiboko😂😂
@lusajokajange519
@lusajokajange519 Месяц назад
❤❤❤ kazi yako njema
@neemakarisa6117
@neemakarisa6117 26 дней назад
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@AlexKasena-d9p
@AlexKasena-d9p Месяц назад
Nice❤❤❤
@MagdalenapMashauli
@MagdalenapMashauli 28 дней назад
❤❤❤
@DidahSalim
@DidahSalim 22 дня назад
😂😂😂😂 hii kali mme achapwa kama mtoto
@GloriaJohn-i3x
@GloriaJohn-i3x Месяц назад
Mamu umeweza 😂😅
@janecharo1196
@janecharo1196 22 дня назад
Agnes mumbea 😂😂😂😂
@ellahjonas4881
@ellahjonas4881 26 дней назад
Huyo dada mmbeya anaitwa nani??😂❤
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 25 дней назад
Huu mtaa una heka heka huu Kila mtu mmbea hadi wanaume😂😂😂
@ساميعلى-م1ذ
@ساميعلى-م1ذ Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaRono
@AminaRono 23 дня назад
😅😅😅😅😅😅
@FettyIddi-z2k
@FettyIddi-z2k 10 дней назад
😅
@mairahomary6567
@mairahomary6567 27 дней назад
😂😂😂😂
@McT-m1m
@McT-m1m 27 дней назад
Nawaoenda kibibi na huyo marimu watu wangu pendwa
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 25 дней назад
Hhhhhhh
@xaveriandunguru
@xaveriandunguru Месяц назад
Jmn yakudowlodia
@khawiapauline1429
@khawiapauline1429 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂𝚖𝚊𝚖𝚊 𝚔𝚞𝚋𝚠𝚊 𝚔𝚒𝚙𝚒𝚐𝚘 𝚞𝚗𝚊𝚔𝚒𝚓𝚞𝚊 𝚋𝚊𝚕𝚊𝚊
Далее
WAGENI WA KIJIJI | EP 01 |.
18:06
Просмотров 90 тыс.
MAUMIVU [2]
16:44
Просмотров 32 тыс.
MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU
1:04:02
Просмотров 19 тыс.
MVUVI | FULL MOVIE | MPYA 2024
1:43:13
Просмотров 89 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 608 тыс.