Тёмный

MAMA MWENYE HIRIZI YA KICHAWI KIBOKO AITEKETEZA MADHABAONI 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

MAMA MWENYE HIRIZI YA KICHAWI KIBOKO AITEKETEZA MADHABAONI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ignou

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 124   
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
Tuko pamoja Daddy Mungu akubariki unaifanya kazi ya Mungu kwa uhakika,wanakuonea wivu Mungu awaaibishe kwa jina la Yeeeeeeeeeesu
@MilindiZahinda
@MilindiZahinda 2 месяца назад
Ubariwe sana baba, na wenyi kukuogeleya vibaya washidwe kwajina la Yesu kristo
@ChristineChea-bv7uy
@ChristineChea-bv7uy 3 месяца назад
Jameni wachawi mtakoma mchunganji mungu akubariki🙏
@LatifaSelemani-ft8of
@LatifaSelemani-ft8of 4 месяца назад
NAITWA LATIFA PASTA KIBOKO YA WACHAWI NIPO TANGA NAKUJA HAPO KANISANI MWEZI WA 6 MUNGU WA HAPO ANIPONYE NIPATE MIMBA NA MUME WANGU AACHE UMARAYA ANIPENDE SN MM MKEWE.KWA JINA LA YESU.AMEEEN.
@bushbabytz
@bushbabytz 4 месяца назад
utaenda ukiwa tayari umeshika mimba
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
Nakupenda sanaa Daddy
@GeorgeFungo-t3d
@GeorgeFungo-t3d Месяц назад
MUNGU anakutumia wewe tunaomba utufungue katika familia yangu
@AgustinoMpondo
@AgustinoMpondo 2 месяца назад
Mtumishi nakupenda sana lazima nije niko dodoma
@GraceEmil-w4w
@GraceEmil-w4w 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki Nabii kiboko ya wachawi Nabii malizia wachawi wote. wanaotesa wenzao
@JonhMboya
@JonhMboya 2 месяца назад
Naitwa Grace Wa Arusha Nabii Apigwe Huyo Mama Na Watu Wote Wanaoniroga Mimi na Familia Yangu
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 Месяц назад
True true Dad
@magekimei4676
@magekimei4676 Месяц назад
Baba nabii naomba unifungue na familia yangu
@jennifernyongesa2713
@jennifernyongesa2713 2 месяца назад
Amen amen amen amen amen Wako hapa Chwele Bungoma
@AyanJafar-vy4hi
@AyanJafar-vy4hi 3 месяца назад
Baba naomba unisaidie na uniponyexhe baba naumwa vidonda vya tumba na kooni kuna uma sana baba naomb uniombee pia baba naomba unisaidie nipate mume bora na utupatie ridhiki
@HellenAlber
@HellenAlber 6 месяцев назад
Baba naomba watesi wangu wote wateketee kwa moto 🔥🔥🔥🔥
@olivierbisimwachirimwami
@olivierbisimwachirimwami 6 месяцев назад
Mungu abariki kazi yako Baba
@tumainimpangala.pendezasan2911
@tumainimpangala.pendezasan2911 4 месяца назад
Nabiii nakuafatilia sana MUNGU akuinue zaidi uokoe watu ,naomba nisaidie familia yangu nakuomba sana tamka neno juu yangu
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 8 месяцев назад
Pastor baba angu anakifafa mwaka huu anae mloga naomba mngu afe amen
@mathazyunga839
@mathazyunga839 6 месяцев назад
Mungu akuinue masihi wa Bwana
@user-my9iu6gb9k
@user-my9iu6gb9k 7 месяцев назад
pasta naomba uniangali namimi maisha ninayoishi sjui kama nikusudi LA mungu ameni
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I 🙏🙏🙏🙏🙏
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 8 месяцев назад
bure nyie mtapeli
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn 4 месяца назад
Papa courage Boss mutoto Amen amen God bless you 🥰🥰🥰💯🙏🙏🙏
@elishamafulu106
@elishamafulu106 7 месяцев назад
Amen amen Amen amen
@user-vh5km8qt1b
@user-vh5km8qt1b 8 месяцев назад
Ameen naomb Mungu anifungue ktk ndoa yngu na maisha yngu
@marrykimaro9792
@marrykimaro9792 8 месяцев назад
Baba naomba unionyeshe watesi wangu Mimi na familia yangu.Mimi Simbo Kimaro
@MichaelKuboja-ix9bi
@MichaelKuboja-ix9bi 4 месяца назад
Mungu akuinue
@NyiranezaWarda-bk1yn
@NyiranezaWarda-bk1yn 4 месяца назад
Amen amen amen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏
@LeahAmani-yz9wh
@LeahAmani-yz9wh 4 месяца назад
Shalom shalom baba nipo hapa
@josephinepeter4551
@josephinepeter4551 3 месяца назад
Nambari ya simu tunataka pia sisi tupone, from Kenya
@JosephatMartin
@JosephatMartin 3 месяца назад
Nabii nitabilii namm
@mercymusembei5575
@mercymusembei5575 3 месяца назад
Kazi zuri man of God pray for my family pls
@RahmaMohamed-rn5gq
@RahmaMohamed-rn5gq 5 месяцев назад
Mungu yupo upande wako
@InnocentShoje
@InnocentShoje 3 месяца назад
Naomba unitabilie maisha yangu
@HawaSiame
@HawaSiame 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi naitwa hawa natoka mireran naomba unisaidie nipate kaz na mme wangu apate madini ndani ya mwezi huu na nipate ujauzito wa mtoto wa kike ndani ya mwezi huu
@HawaSiame
@HawaSiame 4 месяца назад
Bwana yesu asifiwe mtumishi naitwa hawa natoka mireran naomba unisaidie kuniombea nipate kaz na mme wangu apate madini ndani ya mwezi huu na nipate ujauzito wa mtoto wa kike ndani ya mwezi huu asante
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
Amen Amen papa
@KornelNyenzi
@KornelNyenzi 3 месяца назад
Kuja kwake yesu alikuja kutukomboa na kutupa nafas ya kutubu tukoseapo apata shida kuona mtumishi w Mungu unasema utaua mchawi badala ya kumfanyisha Sara y Toba n kumrjesha ngomen mw Mungu n sio kuhukum wewe huna hakiny kuhukum bali Mungu pekeee ndugu zangu upofu usitufanye tumkoseee Mungu wetu wala shida zetu , matatuzo yetu , umaskinj wetu usitufanye tuvifanye ibda hakika tutapoteza wengi, naomba turudi katik njia iliyo y kweli tumtafute Mungu aliyehai n sio miungu ya ashera wala.dagon Wala baali
@DoraNasinyari
@DoraNasinyari 2 месяца назад
Natamani nifike kwa kiboko ya wachawi aky
@MichaelKuboja-ix9bi
@MichaelKuboja-ix9bi 4 месяца назад
Mungu akutunze
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏
@FaridaMasawe-ym7ni
@FaridaMasawe-ym7ni 6 месяцев назад
Kibongo wa wachawi nisaidie naumwa sana mimi farida
@furahamwamkonga9783
@furahamwamkonga9783 7 месяцев назад
Amena
@user-bl8wk9hj9i
@user-bl8wk9hj9i 7 месяцев назад
Baba mungu akuongezee miaka nami uje unisaidie maana nateseka
@michaelsoka8321
@michaelsoka8321 8 месяцев назад
Amen
@MkubwaMgamba
@MkubwaMgamba 3 месяца назад
Yaan ni moto
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-cg7hs8ko1s
@user-cg7hs8ko1s 4 месяца назад
Naintwa monica nakataa umasikini
@AbigaelJohn-lf7ws
@AbigaelJohn-lf7ws 3 месяца назад
Tabiri nabii
@user-xx8nz6dy6p
@user-xx8nz6dy6p 6 месяцев назад
🙏🙏🙏🙌🙌
@kizadorcas3321
@kizadorcas3321 7 месяцев назад
Uyu Baba nikiboko kweli
@siamrema-yo4bk
@siamrema-yo4bk 8 месяцев назад
Mungu akusamehe maana hayajakufika
@marrykimaro9792
@marrykimaro9792 7 месяцев назад
Mpumbavu yoyote anayemkataa huyu Nabii Ni mchawi amini usiaminiLkn hawamwezi kwa jina la Yesu Kristo
@Judith-m5k
@Judith-m5k 3 месяца назад
Dada unq no zake??? Nna shida nae nipo mkoani. Nimechukua hiyo hapo juu haipokelew
@KornelNyenzi
@KornelNyenzi 3 месяца назад
Mtafuteni Mungu wa kweli Wana wa Israel walipoitafuta miungu mingne walifanywa kuw watumwa n wakashindw vita lakin pia wakauliw n maadau , ndugu zangun unamwamin Mungu au Iman yenu ipo kw nabiii maombi yenu mnasema nabiii yote Mungu n mwenye wivu sofa n utukufu n w yeye pekee aliye juuu geukeni mtangulizen Mungu w ibrahmu na Mungu w yakobo yeye anajibu , kiyama kinakarbia s punde yote haya Mungu alishasema watafanya miujiza kupitia jina langu n watatoa pepo kw jina langu n wataita Bean Bwana lakin jueni kuw SI wote watokao kwang wengi watakuw wapinga kristo TU
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 3 месяца назад
Koboko y a wachawi Niko Arusha nikomboe baba
@EstherPatrick-ec4nm
@EstherPatrick-ec4nm 2 месяца назад
Tunakusubiri na morogoro tunakupenda
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 8 месяцев назад
Msamehe Hataridia Tena
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Yani unajua kabisa kaja na hiriz ya mchongooo mmjupanga kuwatapeli
@AbelMrina
@AbelMrina 3 месяца назад
Nabiii kimbiza wanga hao wanatutesa
@AnnamarySeth
@AnnamarySeth 2 месяца назад
Piga wote Baba.
@3leggedbird222
@3leggedbird222 8 месяцев назад
Baba nimedhulumiwa haki yangu ya kufanya kazi nje ya nchi niombee baba wakionidhulumu nao wapokonywe kila walicho nacho
@user-zs7br9wq2y
@user-zs7br9wq2y 8 месяцев назад
Niombee nabii nipate kazi nilie isimamia miaka miwili nabii afu anakuja kupewa mwingine ambae haja sotea kabisa naitwa nuhu kikoti naomba nisaidie anipigie sim mda wowote
@nuruelymboya6994
@nuruelymboya6994 5 месяцев назад
Ndugu yangu kaja katapeliwa laki 2. Nenda jifungie mochwari ya amana au muhimbili umfufue japo mmoja
@GodfreyNgonyani
@GodfreyNgonyani 4 месяца назад
mungu akupe malsha malefu san bab
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 3 месяца назад
Ameen
@user-lx9ki4ec4d
@user-lx9ki4ec4d 8 месяцев назад
Mtu anayekataa kuhusu uchawi hayajamkuta Nabii naomba unitabilie Mimi na familia yangu.
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 8 месяцев назад
Ukiona mbwa anamkataa nabii ujue ni lichawi,linaona huruma kwa wachawi wenxake.Hili linalotetea life.
@user-ju4uo5kx3j
@user-ju4uo5kx3j 8 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@RosenaBenedict
@RosenaBenedict 8 месяцев назад
Endelea kupoteza wachawi nabii
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 5 месяцев назад
Mi nakuamini
@renaldegidi
@renaldegidi 4 месяца назад
Nisaidi na mimi
@HawaSiame
@HawaSiame 4 месяца назад
Baba naomba nisaidie mimi na familia yangu tunapitia hali duni japo ni watafutaji
@MichaelKuboja-ix9bi
@MichaelKuboja-ix9bi 4 месяца назад
Mungu ni m u 5:09
@JosephatMartin
@JosephatMartin 3 месяца назад
Nabii naitwa Agness nitabilie
@Joy-g5j
@Joy-g5j 5 месяцев назад
Baba nakuomba utusaidiye tunateswa na wachawi hatuna mafanyikiyo tunangaika sana
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
Wachawi wafe katika maisha yangu Kwa jina la YESU kristo amen
@merabushukia4352
@merabushukia4352 4 месяца назад
Mtumishi naomba uniombee kazi yangu iwe na mafanikio na wateja wengi
@HappyChicken-to4vy
@HappyChicken-to4vy 5 месяцев назад
Amen amen😂
@user-yn3xu3nm4t
@user-yn3xu3nm4t 8 месяцев назад
Msamehe wewe ni mtumishi wa mungu hatarudia tena
@user-lb7lg9ke2b
@user-lb7lg9ke2b 8 месяцев назад
Angemuua je angesamehewa na nani mwacha afe amezi uchawi akufe Kule Asante baba wanatutesa sana hao
@geofreymkwelele3588
@geofreymkwelele3588 8 месяцев назад
Acha wafe maana wanatutesa sana
@user-ts3gz3qh4x
@user-ts3gz3qh4x 3 месяца назад
Nabii kata uchawi kwenye familia na hao wanaotumwa kwako wateketee kwa Jina la Yesu.
@fatumamichael5664
@fatumamichael5664 7 месяцев назад
Safe tu
@shaurikibwiru8588
@shaurikibwiru8588 8 месяцев назад
Huuu ni usaniii madhabahuni wanawatengeneza watu siyokweli
@user-lb7lg9ke2b
@user-lb7lg9ke2b 8 месяцев назад
Pole ukuje siku moja fanya kama unavyoendaga kutembea Kwa waganga zako uje yakukute ndiyo utajua anapangwa mtu ama huyu pastor don't test aisee pana Mungu kweli kweli ndg yng
@user-yg7dy8ls9e
@user-yg7dy8ls9e 6 месяцев назад
😅nabii Elia njoo huku ujionee wanVocop nakupest
@LatifaSelemani-ft8of
@LatifaSelemani-ft8of 4 месяца назад
MUNGU WA KIBOKO.YA WACHAWI NIFUNGUE TUMBO LANGU NIPATE WATT PACHA WAWILI KWA JINA LA YESU AMINA .NAITWA KWEGE AU LATIFA
@ruthkosgei3786
@ruthkosgei3786 8 месяцев назад
Aki pasta niombe kweli Sina mume watu wananijeka pls natoka Kenya Nairobi
@Joy-g5j
@Joy-g5j 5 месяцев назад
Kaka yangu amekua tajiri ila kwasasa nakula nitabu
@HamisMzungu-q9t
@HamisMzungu-q9t 2 месяца назад
Pambana kaka wafeke wote wachawi hawo
@user-vx4ss6uo9x
@user-vx4ss6uo9x 4 месяца назад
Kiboko ya wachawi nisahidiye bba nina mwaka kumi na Sita si jazaha nisahidiye bba nahangahika sana ni sahidiye
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 5 месяцев назад
Baba naomba namimi siku nikija uguswe unitabirie napita changamoto
@JacklineFulgensi
@JacklineFulgensi 7 месяцев назад
Jamanii nabii naomba nisaidie,Mara nyingi naota najifungua mtoto,Nina changamoto nyingi,huwa sidumu na mwanamme,hili kanisa liko wapi jamani nije
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Serikali ifanye kazi yake sasa
@EvelineWilsonimwaisemba
@EvelineWilsonimwaisemba 3 месяца назад
Je pasta unatoa muujiza kutibu mgonjwa akiwa mbali?mam yang anatatizo la akil Toka 2006 naomba msada nipo ruangwa Rindi
@ruthkosgei3786
@ruthkosgei3786 8 месяцев назад
Aki pasta 2024usiniabishe niombe baba ipate mume watu wanani tukana
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 месяцев назад
Maigizoooo hayooo
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 3 месяца назад
Igiza na wewe kama rahisi😏
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 4 месяца назад
Kiboko ya wachawi niombee nipone magonjwa wachawi wafe
@RehemaMganga-jk6jx
@RehemaMganga-jk6jx 5 месяцев назад
Nabii naomba unitabiliye naitwa rehema mganga
@BoniphacGasper
@BoniphacGasper 3 месяца назад
nabii naomb nipate mpez
@allynganyagwa344
@allynganyagwa344 6 месяцев назад
Mbaya zaidi anachukua pesa za Watu, Kwa makubaliano ya kuponywa Kwa maombezi Hakuna lolote mazingaombwe na uongo mtupu
@amosirajabumchome
@amosirajabumchome 4 месяца назад
Babanisaidiedadaanguanaumwakwelinaitwa,agnesi
@aminarama711
@aminarama711 8 месяцев назад
Nisaidie Mimi baba agu mwaka wa tatu nahatjui yuko wapi please nihurumie to Mimi
@SaimoniHesroni
@SaimoniHesroni 4 месяца назад
Nakataa kifo kwajina layesu naitwa saimoni jeremia
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 8 месяцев назад
Wachawi wafe
@user-ft7wl4uu5t
@user-ft7wl4uu5t 8 месяцев назад
wachawi wasibaki wamenitesa sana mpaka uchumi umeyumba
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l 5 месяцев назад
Kiboko ndiyo huyo bana mungu akuwongezee maisha
Далее
Что думаете?
00:54
Просмотров 514 тыс.
BROTHER KEY / MPOKI KAJA NA DEMU MSIBANI
8:38
Просмотров 10 тыс.
VITIMBI VYA WANAWAKE KANISANI
1:11:09
Просмотров 3,5 тыс.