Тёмный

MAMA WA KAMBO | 1 | 

MOVIE MPYA
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 687 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 488   
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 11 месяцев назад
Sio wamama wote jamani msituchukie nimelea mtoto wa mume wangu sijawahi kumgusa nimekaa nae kuliko wanangu niliowazaa na yeye ananipenda sana sana sana kulikoni baba ake ambae ni mume wangu na yote nimefanya kwanza na muhofu allah na lapili kwa nini nimuonee mtoto mdogo hana hatia mimi mtu yoyote mwenye kumtesa mtoto na mchukia mama angu ameleya mtoto wa mumewe walipoachana mtoto hajataka kuondoka nyumbani kalelewa na siye anaenda kwao kutembea na kurudi tumuogopeni sana MMUNGU wanawake wenzangu tusiwe na roho za kwa nini huyu mtoto huwezi kujuwa kesho yake atakuwa nani na hatujui mwisho wetu tuthamini hawa ni watoto wetu ndio nguvu kazi ya baadae👏🏻👏🏻
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Sio wote wenye moyo kama wako wengine roho zao ndo kama hivi mwenyezi mungu akubariki sana kwa malezi mazuri❤️
@safiababu9266
@safiababu9266 10 месяцев назад
Yah sio wote Na Mungu akulipe mmy na yeye mtoto Allah amjalie akujue wewe nani kwa maana wee hao pia huwa wengi wao wana mitihani but Alhamdulillah utapata kwa Mungu
@sophiamaiga5623
@sophiamaiga5623 10 месяцев назад
Hata wewe ni marehemu mtaraiwa kumbuka kuomba mama yake afe
@aflahabdula4084
@aflahabdula4084 8 месяцев назад
@@MOVIEMPYA Ameen yaraby
@DrLucas-gr5gs
@DrLucas-gr5gs 8 месяцев назад
Aisee roho imeniuma huyu mtot mungu akubaliki wew mwenyw roh nzur❤
@STORYZALEO
@STORYZALEO 11 месяцев назад
Daah uyu mtoto kaniliza
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Pole 😢
@EstherMalewo
@EstherMalewo 11 месяцев назад
Huyu mama shetani kbx mama wa kambo x mama jaman nawachukia sana
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
INAUMIZA sana
@AliceMwacharo
@AliceMwacharo 11 месяцев назад
Hawa viumbe wanajiita mama w kambo nyoka sana
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 11 месяцев назад
Amecheza kialisia wallah uyu mma roho mbaya Yani we acha tu
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭🙏
@linahmacha370
@linahmacha370 10 месяцев назад
Ee Mwenyezi Mungu utujalie wa mama wote maisha marefu tuwalee watoto wetu 😭😭😭
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 11 месяцев назад
Huyu mama mbona anareflect sura yake na tabia maana wenye sura mbaya usiombe akawa mama yako wa kambo 😂😂😂
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Kabisa yan
@امينهاا-ق4ف
@امينهاا-ق4ف 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@HusseinNovatus
@HusseinNovatus 9 месяцев назад
Mm😂😂 nakmbuka mbali sana Kwan ata mm nimeyapitia mhhh jaman tuwe na roho za huruma
@Zaiambi
@Zaiambi Месяц назад
Ni kweri na Mimi nirilelewa na mama. Wa mambo na akunitesa ❤
@Mdakuog
@Mdakuog 11 месяцев назад
Uyu mama katili
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭
@DenGospels
@DenGospels 4 месяца назад
Kweli
@merryananias
@merryananias 11 месяцев назад
Jaman we mam kua na uruma haujaenda reba hatakama ni moveee sio ivoooo😢😢😢😢😢😢😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭
@mwanaSalim-re4pn
@mwanaSalim-re4pn 11 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣walai wewe
@MaulidUpei
@MaulidUpei 11 месяцев назад
True
@MathayoKakanyi
@MathayoKakanyi 8 месяцев назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@cathymwangi2490
@cathymwangi2490 5 месяцев назад
ak umeniliza 😭😭😭😭
@SalmaOmar-x4p
@SalmaOmar-x4p 11 месяцев назад
Kwa kweli ss wanawake tunajisahau kweli tujuwe yatatufika😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Kabisa 😭🙏
@HellenKwamboka-x5h
@HellenKwamboka-x5h 11 месяцев назад
Jamani wanatezwa mama wa kambo si mama
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭😭
@SaidiAbdallahSaidiAbdallah
@SaidiAbdallahSaidiAbdallah 11 месяцев назад
Namim pia ameniliz😢🇦🇪
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Daah Yani huruma 😢 uyu mama jamani
@Jojo-y7k8g
@Jojo-y7k8g 11 месяцев назад
Pole Sana mdogo wng umeniliza from 🇧🇮
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭 Ina huzinisha
@Mdakuog
@Mdakuog 11 месяцев назад
Niacheni jamani nimeshindwa KUANGALIA Hadi mwisho
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭😭
@alexanderstephen1689
@alexanderstephen1689 2 месяца назад
Jamaniii daaaah dunianii kuna mateso kama Haya 😢😢😢😢😢
@jacklinemutende
@jacklinemutende Месяц назад
woooiii mungu nipee nguvu ya kulea watoto wangu jameni
@RahelCosmas-p5x
@RahelCosmas-p5x 11 месяцев назад
Jamani mama wa jambo muwalee vyema watoto wa wenzenu
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Kabisa 😭
@Mariam-h6h6v
@Mariam-h6h6v 11 месяцев назад
😢😢😢😢jmni ndio mna niliapa mwanangu ata nife stki alelewe n mke mwenza kher mamangu kma pia hyuko hri mpita njia 😢😢😢 mungu t
@selinanimbodza2931
@selinanimbodza2931 11 месяцев назад
Walai mtoto wa mwenzio mchukulie kama mtoto wako. Juu mungu halali jameni
@mariamfungamali
@mariamfungamali 5 месяцев назад
Siyo wote
@ShabikiMedia-wc1fk
@ShabikiMedia-wc1fk 11 месяцев назад
😢 dah
@ubuyumediatz
@ubuyumediatz 11 месяцев назад
Imeniumiza sana
@AllyShop-x9s
@AllyShop-x9s 2 месяца назад
Hahaaaaa huyu mama Nadhan hajazaa kbx tena mungu atamlipa matexo ya huyo mtoto!!
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 2 месяца назад
Kuna wanawake wanaroho mbaya sana
@Maua-mj7pm
@Maua-mj7pm 4 месяца назад
Jaman mm pia mama wa kambo niko na watoto 3 wa mume wangu lkn siez8 fanya watoto hivi mungu aninusuru na ili wallah wangu nawapenda sana
@latifabahati-rk5ev
@latifabahati-rk5ev 4 месяца назад
Amin
@MicalOnzete
@MicalOnzete 3 месяца назад
Sio poa hvo Kwa sababu ni mbayw
@MwachendaMwachenda
@MwachendaMwachenda Месяц назад
Ndivyo walivyo mama wote wakambo mzuri n mumoja 2 lakn Mungu atamuxaidia
@selinanimbodza2931
@selinanimbodza2931 11 месяцев назад
Waah uchungu wa mwana ajue ni mama 😭😭😭😭
@nemahk2361
@nemahk2361 11 месяцев назад
Najikuta Nalia😢😢😢😢😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Jikaze mtoto kaniliza Huyu 😭
@ubuyumediatz
@ubuyumediatz 11 месяцев назад
Mtoto aendi shinda baba hajui
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭
@RobaiBarasa
@RobaiBarasa 2 месяца назад
Waa huyo mama shetani kweli kweli
@NiyonkuruEspoir-v8e
@NiyonkuruEspoir-v8e 11 месяцев назад
Mtoto anakipaji kikubwa sana kiufupi wote walicheza vizuri sana
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Shukrani sana 🙏
@BarikiAkyoo-cs2qf
@BarikiAkyoo-cs2qf 2 месяца назад
Ongera ​@@MOVIEMPYA
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 10 месяцев назад
Waaa waenga hawakukosea kusema mama wakambo si mama...i feel the pain
@MwajabuNyinge
@MwajabuNyinge 3 дня назад
inauma sana wa mama wahivo waache tabiya mbaya haya nimaisha
@ZuhuraHamissi
@ZuhuraHamissi 23 дня назад
Pole sana yalinikuta hayo jitahid kupambana iposiku yatakwisha 😢😢
@elizabethnzomo2517
@elizabethnzomo2517 11 месяцев назад
Hakuna mama wakambo mzuri hata siku moja mungu saindia watoto
@زهرةكيني-ث3ل
@زهرةكيني-ث3ل 11 месяцев назад
Jaman 😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭
@AuntyDerick
@AuntyDerick 12 дней назад
Huyu mama ni laana kabisa shetani
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 11 месяцев назад
Kweli nimeishiwa cha kusema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Ina huzinisha 😭
@charitykatuveemutheu8056
@charitykatuveemutheu8056 10 месяцев назад
Inaumiza sana 😭😭😭
@nakajohn9196
@nakajohn9196 9 месяцев назад
Ww sema tu
@HappyRuharara
@HappyRuharara 3 месяца назад
Yani mpaka machoz yanatoka kateseka sana huyu kijana
@CheerfulValley-ei9dr
@CheerfulValley-ei9dr 25 дней назад
Jaman mtoto amenilza atal maan me mwenyew nmelelewa km huy mtoto dah ee mungu mxaidie huy kijan
@floramacheva5855
@floramacheva5855 11 месяцев назад
😭😭😭😭😭 kweli huyu mtoto anaipitia..... Mungu saitia watoto wote wanaolelewa na mama wa kambo
@LaitonMwansyange
@LaitonMwansyange 9 месяцев назад
Jamani uyumtoto ana pitiamaishamagumu
@NaomiSaid-m1i
@NaomiSaid-m1i 9 месяцев назад
Mungu tusaidie ambao mama xetu wametagulia mbele xa haki🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EVAKIMARIO-nq3he
@EVAKIMARIO-nq3he 11 месяцев назад
😭😭😭😭
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭😭🔥
@habilimediatv
@habilimediatv 11 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭Aiseee aya mateso daah
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭
@ThomssKapep
@ThomssKapep 8 месяцев назад
wanawake ni wauni sana hasa walio achika
@clubindangamico-yj7pp
@clubindangamico-yj7pp 10 месяцев назад
Wamama kama hao watesi wawatoto hawastahili kusamehwa na mwenyezi Mungu kweli
@bintiDullah
@bintiDullah 8 месяцев назад
Ntapambana na mwanang halelew na mama wa kambo
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 6 месяцев назад
Jaman mama wa jambo wanaume muwe mnachunguza maisha ya watoto wenu jamaniiii
@Shariphashabani
@Shariphashabani 11 месяцев назад
Nimelia sana Dah
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Pole
@AgnesPauli-n7k
@AgnesPauli-n7k 18 дней назад
mama shetani sana anahadamu anajifanya mwemaa
@MercySilvester
@MercySilvester 11 месяцев назад
😢.😢😢😢 mama wa kambo simama mungu nilinde
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Amina 🙏
@SilviaMassawe
@SilviaMassawe 3 месяца назад
Jaman mama wa kambo nawaogopa sana😢😢
@Irenejelshom
@Irenejelshom 11 месяцев назад
Baraha
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭
@Irenejelshom
@Irenejelshom 11 месяцев назад
Mmeua
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml 10 месяцев назад
Waa maskin kumbe kweli mama wa kambo si mama 😭😭😭😭😭
@pendopeter4058
@pendopeter4058 Месяц назад
We mama mnafiki sana mung anakuona
@CharlesPoulo-dm1er
@CharlesPoulo-dm1er Месяц назад
Kaa namwanao vivuli muulize kwaupendo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AshaAsinaly
@AshaAsinaly 7 месяцев назад
Lait WA nawake wange lijua fadhila zakumlea mtoto ambae siwake wallah huwez Hata mnyooshea kidole Yarab tuwezeshe kuwa wa mama Bora tuweze takase nafus zetu natuwe na tuwe wakufanya vitu Kwa kumuogopa Allah kwali inauma😢😢
@Footballdata25
@Footballdata25 11 месяцев назад
😢😢😢😢😢
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😢
@GrolySilvano
@GrolySilvano 3 месяца назад
Watu kama hawa siku ya mwisho hukumu yao ni kunyongwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SHUNGURAPPER
@SHUNGURAPPER 11 месяцев назад
GOOD IDEA
@getrayakoyi9185
@getrayakoyi9185 11 месяцев назад
Wewe mama una ujungu kweli na mtoto wa mwenzio
@FatumaHassan-vi5km
@FatumaHassan-vi5km 8 месяцев назад
Usimfanyie ivo mtt was mwenzio uyui wakwako watalelewa na nani tuwapende watoto jaman inauma sanaa
@JescaTindwa
@JescaTindwa 8 месяцев назад
Mungu nakuomba uwabariki yatima maan si Kwa mateso hayo
@abdiZuberi
@abdiZuberi 7 месяцев назад
hero kuwa na mama l love you mam so mush💯❣️💝💯💚💟
@YahayaHamza-x3q
@YahayaHamza-x3q Месяц назад
Mama wa kambo sio mama kwakweli
@ThebawseFantasy
@ThebawseFantasy 22 дня назад
Kuliko mama wa kambo bora ukakae na bibi kijijini
@SolomonKamau-i1m
@SolomonKamau-i1m 8 месяцев назад
Mama kambo ni mbaya sana.
@ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh
@ChristinekitonyoKitonyo-kg4dh 11 месяцев назад
Mama una loo mbaya kama sura yako
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭😭😭
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Amuonei hata huruma
@makochali2516
@makochali2516 7 месяцев назад
Jaman waking mama achen mates kam Hay jaman kumbuken kunasik ya mwush na pia kuna kufa
@malandojames5151
@malandojames5151 10 месяцев назад
Mama wa kambo namchukia sana aise!!!
@dottokibiki8984
@dottokibiki8984 11 месяцев назад
Wanawake jamani!!!!!! Ajuaye ni Mungu
@JudyJudy-ig4wl
@JudyJudy-ig4wl 8 месяцев назад
Jaman wa mama wengine daa😮
@MudiDua
@MudiDua 21 день назад
Ww mama mungu atakuhukumu mbwa ww
@Husna-s5k
@Husna-s5k Месяц назад
Hii move inahuzunishaa sana juu ya haka katoto kanavyoteseka na huyu limama anavyomtesaa
@PriscilarKabibi
@PriscilarKabibi 5 месяцев назад
Cpoa aki
@HusseinAdam-zn6iz
@HusseinAdam-zn6iz 11 месяцев назад
We mam umeza kwli
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
😭 Yani huruma sana
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 11 месяцев назад
Huyu tasa
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 4 месяца назад
Uyu hajaenda leb wallah lazim mung atamlan jaman daaa machoz yananitok
@HappyRuharara
@HappyRuharara 3 месяца назад
Hapana yawezekana amezaa ilatabiya yake sio zr hawez kukaa namtoto wakambo huyu dada
@GloryMoses-v6t
@GloryMoses-v6t 2 месяца назад
Duuh!! Haya maisha bhn weachatu, ila mm siwezi kukaa na mama wakambo, maisha mateso ivi mpakaunamkumbuka mama yako mzazi 😢😢😢😢
@venerandakisaki94
@venerandakisaki94 9 месяцев назад
Siwezi kutesa mtoto wa mwanamke mwenzangu Mwenyezi Mungu nisaidie kwahili 😓😓
@khadijayusuf7968
@khadijayusuf7968 11 месяцев назад
Hadi nimelia jaman
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Pole 😭😭
@khadijayusuf7968
@khadijayusuf7968 11 месяцев назад
@@MOVIEMPYA Asante musichelewe mwendelezo basi
@KilyKidende
@KilyKidende 9 дней назад
Mhu Jamani Huyu Mama Ninaona Aseee
@JosureMutisya
@JosureMutisya 3 месяца назад
Wamama jameni aiii
@JosphineAdhiambo-f1d
@JosphineAdhiambo-f1d 4 дня назад
Kwakweli uyu ni mama anaye jua uchungu wa mtoto, uyu mwanamke alaniwe kabisa
@AngoreAngore
@AngoreAngore 7 месяцев назад
Kwa kweli mama wa kambo si mama
@JacklineNassary
@JacklineNassary 3 месяца назад
Daaah mama wakambo sio mama kweli
@BethaKIBONA
@BethaKIBONA 5 месяцев назад
Wamama tulee watoto wetu tulio watafuta leba tumuombe MUNGU atupe Uzima angalau wajitegemee hata mama angekuwa na watoto wengi ila mtoto wa kambo lazima amubaguwe kwani moyo huwa hautaki ila anajitahidi sana kuulazimisha hiyo ni nature ya shetani kwa mama 😭😭😭wa pili
@LovenessSifuni
@LovenessSifuni 8 месяцев назад
Wewe mama Mungu akusamehetu mana m
@OlivierMageni
@OlivierMageni 11 месяцев назад
Mwana Muke mubaya Saaana, mama mtesi
@JenipherKisege
@JenipherKisege Месяц назад
Daah jamn sis wanawake tunann kwan
@khadijaseif3614
@khadijaseif3614 4 месяца назад
😭😭😭😭😭 my mom mjalie maisha mema.amin
@ERICKNJERU
@ERICKNJERU 8 месяцев назад
Mama wa kambo bure kabisa 😂😂😂😂😂😂
@JemimahKago-nb9bp
@JemimahKago-nb9bp 9 месяцев назад
Nimeyakataa haya maisha ya unyonge na pia mateso.Mungu nisaidie nisiwai tesa mtoto wa wenyewe au wetu.😂😂😂.
@AlphoncePaulo-p5i
@AlphoncePaulo-p5i 8 месяцев назад
Jamani sio wote hata mimi nina watoto wa wili wanaume wangu lakini sijawahi fanya hivyo siowote
@SyproseAchieng-q2v
@SyproseAchieng-q2v 2 месяца назад
Mama mbaya sana
@SemeniBaby-rj2he
@SemeniBaby-rj2he 9 месяцев назад
Eeee mwenyez mungu nakuomba uniweke niwalee watt wangu hadi wafikie umri wa kujitafutia 🙏🙏🙏🙏 😢😢😢😢 sisi binadam tumeumbwa kwa kutofautiana sanaa dah 😢😢😢
@JUMAJUMBE-ww7rd
@JUMAJUMBE-ww7rd 2 месяца назад
Jaman wazaz weng tuwe wavumiliv kwenye ndoa zet
@maryd1538
@maryd1538 11 месяцев назад
Yaliza aki 😢😢😢❤❤
@MOVIEMPYA
@MOVIEMPYA 11 месяцев назад
Yani acha tu 😭
@VeronicaShinyaka
@VeronicaShinyaka 2 месяца назад
Tunakosea wamama kidogo tu kamulilie mama ako kabulini da inauma sana
@annafuraha4942
@annafuraha4942 Месяц назад
Tenasana
@Happyness-w9z
@Happyness-w9z 2 месяца назад
We mwanamke shetan kabisa
@Janeth-kv7pp
@Janeth-kv7pp 3 месяца назад
Mama wa kambo sio wote mimi mwenyew napenda mama wa kambo kuliko chochote
@NadiaKatush
@NadiaKatush 2 месяца назад
Acha mungu akuonekanie
@danfordmgeni9459
@danfordmgeni9459 9 месяцев назад
😭😭😭😭 mungu wakumbuke watoto wanaopitia mazingila magumu
@RauhiaMohmed
@RauhiaMohmed 2 месяца назад
Weeeeeee uyooo mama au nn
@Annamtanga-b8c
@Annamtanga-b8c 24 дня назад
mama wakambo anasahau kama tunasafali yakwenda mbingini shetan anamtumia haswaaa
@LevinaRichard
@LevinaRichard 4 месяца назад
Mshenzi sana we mwanamke
@RedseaOfficial
@RedseaOfficial 2 месяца назад
We hatakama haujazaa kuwa mstarab kwa watoto wawezi kwni haujuw baadae😢
Далее
MAMA WA KAMBO | 2 |
11:10
Просмотров 251 тыс.
НЮША УСПОКОИЛА КОТЯТ#cat
00:43
Просмотров 1 млн
MAMA WA KAMBO EP5
25:11
Просмотров 223 тыс.
DADA WA KAZI MCHAWI (full movie)
1:00:37
Просмотров 1 млн
Njia rahisi ya Kuitambua Siku ya Kubeba mimba
13:03
Просмотров 3,2 млн
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
Просмотров 5 млн
UKIWA NA SIFA HIZI UNAMUOA MIRIAM CHIRWA
5:40
Просмотров 212 тыс.
Kp Na Zebuu | KIHEREHERE
19:55
Просмотров 411 тыс.
MAMA WA KAMBO EP [11]
17:20
Просмотров 128 тыс.
KIPESILE   | 1 |
23:39
Просмотров 950 тыс.