Тёмный

MAMA WA KWAYA AKIRI KUWA WAKRISTO WAMEPOTEA 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 118   
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 11 месяцев назад
Hao ma mama Kweli wametupa sisi waislamu challenge. "Kwa nini hamufanyi crusade". Yaani kwa nini hatutangazi Uislamu? I feel ashamed to answer.
@faridbashuu
@faridbashuu 11 месяцев назад
Assalam aleykum ? Barakallahu Feek Mlinganiaji Ramadhan Kuria
@Adm9464
@Adm9464 11 месяцев назад
Dada hamfuati mila yenu, munafuata mila ya Mzungu badala ya kumfuata maneno ya Yesu na bibilia
@kanchorujarsomohamed4860
@kanchorujarsomohamed4860 11 месяцев назад
Mola awaongoze ndugu zetu
@Jingajinga64
@Jingajinga64 11 месяцев назад
Assalamu Alaykum sheikh. Allah Barik fiq
@pricesalim1127
@pricesalim1127 11 месяцев назад
Mashaallah....napenda sana kuatazama hizi video..hunitia moyo na kuzidisha Imani yangu sana...Allah akuzidishie mwalim Ramadhan
@bentybenty2343
@bentybenty2343 11 месяцев назад
Allahumah Amiin
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 11 месяцев назад
Huwa cjutii bando lngu kuishia hpa
@iddijumah9309
@iddijumah9309 10 месяцев назад
Allaah akupeni uwepesi wa mambo yenu. Na akuzidishieni kheir ktk Dunia na Akhera
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 месяцев назад
Daagh....hadi machoz yamenitoka....Allah akueke shekhe ili uzid kufumbua macho wenzetu maaana kiukweli wapotea😢😢😢😢
@sarahronoh540
@sarahronoh540 11 месяцев назад
Allahu Akbar
@ismailbadrudin6388
@ismailbadrudin6388 11 месяцев назад
Allahu akbar Allahu akbar
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
umeslimu halafu unamtumikia Allah mashallah sio hao wanaopigania maulidi na kuchezea kiyoyozi Allah akulipe kheri inshallah
@ChristianRamadhan-uf3ob
@ChristianRamadhan-uf3ob 10 месяцев назад
Very nice
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 11 месяцев назад
Maashaallah tabarakallah. Kakibu kwwnye Dini ya haki kipenzi. Mwarim wetu Ramazani. Allah akulinde na kilashali hakupe Afya na hakupe sababuya manenoyahaki unayoyafikisha watu warudi kwa uislam Diniwalozaliwa nayo🤲
@lokedavid4949
@lokedavid4949 11 месяцев назад
Jesus morality is higher than Mohammed Mohammed raping of Aisha and killings of enemies is wonting and cannot be emulated by humanity
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 месяцев назад
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh
@hassadube225
@hassadube225 11 месяцев назад
Mash ALLAH
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 11 месяцев назад
Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar la ilaha illa Allah
@adanabdi5249
@adanabdi5249 11 месяцев назад
Hapo hapo.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
mashallah maneno ya Allah yamemuingia amerudi Allah akuongoze inshallah
@RailiMohamedy-sp1mq
@RailiMohamedy-sp1mq 11 месяцев назад
Kwaiyo Kwa akili Yako unaona yesu ni mungu ?!! Mungu awaongoze wakristu
@daru2549
@daru2549 11 месяцев назад
MashaAllah Tabarakallah kazi nzuri ustadh
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
Huyo mdada kama kasilimu kwer na hajaolewa, m natafuta mke shehe Ramadan, nipo Tanzania 🇹🇿, nina miaka minne tangu nisilimu, jina Lang la dini naitwa Ramadan pia.........
@AhmedAdow-h2q
@AhmedAdow-h2q 11 месяцев назад
MashaAllah
@jei_Ibrahim
@jei_Ibrahim 11 месяцев назад
🎉🎉
@hamisijm8437
@hamisijm8437 11 месяцев назад
Masha allahy
@aishaally6602
@aishaally6602 11 месяцев назад
Mashallah huyu dada alosilimu alikuwa kashapanda bodaboda Anaondoka SUBHANAH ALLAH amuongoze she so cute
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 11 месяцев назад
Imagine.. Allah akitaka kumuongoza mja wake kun fayakun. Allah amhifadhi dada Yasmin
@Bintiiiiiiiiii
@Bintiiiiiiiiii 5 месяцев назад
Mashaa Allah huyu Dada afundishwe dini na atakuwa mwalimu mzuri sana
@Asha-ug1tj
@Asha-ug1tj 11 месяцев назад
Duuh 😅 nimecheka kwa uchungu eti hata wamama wanakuaga waislam
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk 11 месяцев назад
Eti wamama wanakuwaga waislamu.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
mhmm si hawaoni misikitini na wanaume
@ashaalali1221
@ashaalali1221 11 месяцев назад
Shk sio lazima luqa ya kiarabu .tumia mtu luqa yake .tumia hekma.badaye kirabu.unatumia kiarabu mtu ajui..ya nini..ata adani tumieni kiswahili...unatumia kiarabu watu ajui ..jamani ya nini.unaweza kumia chini na mtu ni muafrica? No.
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 11 месяцев назад
Maashaallah
@RailiMohamedy-sp1mq
@RailiMohamedy-sp1mq 11 месяцев назад
Wakristu jaman hata hayo mnaitaji tochi mambo Yako wazi achen ujanja yesu ni mtume sio mungu mbona mnakuwa ivo
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 11 месяцев назад
Mashallah Allah bless
@jumahamad3723
@jumahamad3723 11 месяцев назад
Hongreni street daawa mtaani Allah akuongozeni katika harakati hizi
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 11 месяцев назад
MashaAllah.
@adanabdulahi8219
@adanabdulahi8219 11 месяцев назад
Allahu Akbar.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 11 месяцев назад
Mashalla Allah ❤❤❤
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 11 месяцев назад
Leo uko home keroka, ALHAMDULILLAH.
@maymgaya4192
@maymgaya4192 10 месяцев назад
Mashallah Mashallah.... Allah akuweke miaka teeeleeee.... Aamiyn.
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 9 месяцев назад
Amiin 🤲
@Fumokale
@Fumokale 11 месяцев назад
Na ww shaikh Allah akupe mazuri ya dunia na akhira na akujaalie IKHLAS...amiin
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 9 месяцев назад
Amiin 🤲
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 9 месяцев назад
Hapo KC LEJEA hata mata 1000 mbaka waelewe UISLAM hapo
@Bintiiiiiiiiii
@Bintiiiiiiiiii 5 месяцев назад
Mashaa Allah my sister welcome to Islam, nimekupenda sana❤ mwenyezi mungu aendelee kukuongoza
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA 11 месяцев назад
MASHA ALLAH ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ♥️ ❤️ 🙏 ♥️
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 9 месяцев назад
Dada mashaallah karibu katika UISLAM kiongozi kama baodo hajapata fikra Mimi nipo Tanzania nimfanyie fikra huyo binti
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 11 месяцев назад
Maashaallah baarakallah nusra imepatkana dadaetu amesilimu..madadaa kama hawa tujitolee vjana tuwaoe tuwafunze dini
@salmanassor8732
@salmanassor8732 11 месяцев назад
❤❤❤
@malikdodo5190
@malikdodo5190 11 месяцев назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 3 месяца назад
Simple question. Yesu ata rusi hiyo tuma kubaliyana wote . Aki rudi kuna kenisa. Zaidi ya Mia mskiti kila fasi. Dhunia. Ni makiti - 1. Sasa ata ingia. Kagi sda Roman sanatı and more and is only 1 men . Ask yourself??
@aishamoha3141
@aishamoha3141 11 месяцев назад
Mashallah shekh unafanya kazi nzuri.Allah akujalie umri mrefu In Sha Allah
@PeterNjeru-r6k
@PeterNjeru-r6k 11 месяцев назад
Wacha kudangaya wale awasomi biblia ,yesu wa kolohani na yesu wa biblia ni watu wawili tofauti yesu wa biblia Mathayo2-1 yesu wa kolohani alizaliwa ualabununi chini ya mtende kolhani 19-19
@ramaamani5009
@ramaamani5009 3 месяца назад
Naomi yanguu wanaona silimu muwaanzie kwa bismiAllah
@lokedavid4949
@lokedavid4949 11 месяцев назад
Where is Sanaa munuscript hiyo Mohammed Ni Pepo ambayo alikua akiulizwa Na mtoto Aisha kwamba kwani huyu mungu wako anakupea Tamaa Kila saa
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 11 месяцев назад
MashaAllah tabaraqaallah 💕💕💕💕💕💕💕🇰🇪🇰🇪
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 9 месяцев назад
Barakallahu feek sheikhe Ramadan
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 11 месяцев назад
Nafurahi kuona familia ikiongezeka
@salmaminja7714
@salmaminja7714 11 месяцев назад
Mashallah Allah akupe afya njma na akulinde/ akulipe dunian na akhera. Allahumma Amiiyn
@ElizabethWanjiru-n8r
@ElizabethWanjiru-n8r 10 месяцев назад
Huyo ata hajui yesu mbona musitafute wanaojua neno
@ElizabethWanjiru-n8r
@ElizabethWanjiru-n8r 10 месяцев назад
Hakuna njia ila Kwa yesu utakapojua ukweli utakuweka uhuru
@khadijanigogo698
@khadijanigogo698 8 месяцев назад
Mashallah sheikh Ramadan 🎉
@ethanngeno517
@ethanngeno517 11 месяцев назад
Sasa waislaimu ni dini ya kupotea kusimu, yesu ni mungu kamili , tupuni na mwamini yesu kama bwana bure jehanum inawasubiri😢
@Jingajinga64
@Jingajinga64 11 месяцев назад
😂😅😂
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 ety mungu
@ethanngeno517
@ethanngeno517 11 месяцев назад
Sio mungu tu , ni mungu mwenye kuimidiwa milele
@omarmakame3027
@omarmakame3027 9 месяцев назад
Uislamu ndio ndio unaendelea uoo
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Karbu ddngu Mungu akuogoze
@guenterernst5481
@guenterernst5481 11 месяцев назад
Mashaallah
@africancurrenciesrevolutio2462
@africancurrenciesrevolutio2462 11 месяцев назад
😂😂😂 huo uwezo wa kunitoa kwa Yesu unipeleke kwenye Dini ya kutunga haujatokea bado
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 11 месяцев назад
Hyo ni iman ya Paul sio ya yesu
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 11 месяцев назад
Mimi ndio njia na kweli na uzima.Mtu haji Kwa baba ila kwa kupitia kwangu.Yohana 14:6
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
Ni kwer yesu ni njia ya kwenda kwa Mungu, sio yesu tu, mitume wote ni njia ya kwenda kwa Mungu. Ukimkataa YESU hutoboi, ukimkataa mohamad, Musa, Ibrahim, NUHU, luti n.k. hutoboi mjomba,,,,, shida yenu mnamuabudu YESU nyie ni wanafik. Marko 7:6-7,8,9
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 11 месяцев назад
@@RamadanPaul Mohamed alisema hajui atafanywa nini sembuse wewe...
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
@@NathanielNathan-m4o kufanywa nn sasa mbona huerewek
@bassambashirou4604
@bassambashirou4604 9 месяцев назад
​@@NathanielNathan-m4o Hata yesu hajui lolote isipokua Mwenyezi Mungu pekee
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 месяцев назад
Maa shaa ALLAH 💚💚💚 💚
@bentybenty2343
@bentybenty2343 11 месяцев назад
Masha ALLAH..❤❤❤ ALLAH akuhifadh sheikh Ramadhan 🤲🤲🤲
@samxx411
@samxx411 11 месяцев назад
Kama unamfata yesu basi jifunze kusujudu kama yeye..kwasababu yeye ndie mwalimu wetu tujifunze kwake
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 11 месяцев назад
MashaAllah ❤
@ramazanzibar8264
@ramazanzibar8264 11 месяцев назад
RAMADAN KURIA may ALLAH bless you we are proud of you. 100℅
@PeterNjeru-r6k
@PeterNjeru-r6k 11 месяцев назад
Big lie
@collinsmuganzi5061
@collinsmuganzi5061 11 месяцев назад
Fuata imani yako wacha kukashifu za wengine mbona mnapenda kufuatilia wakristo na hawana haja na nyinyi, mti yenye matunda hupigwa mawe
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 11 месяцев назад
Sindano imeingia 😊
@bassambashirou4604
@bassambashirou4604 9 месяцев назад
Hata mti wenye nyoka hupigwa mawe 😅😅😅
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 месяцев назад
Waislamu hawakashifu dini ya kikristo ispokuwa tunawaelimishaa na niwajibu kwetu sisi wanaadamu kumjuaa na kumuabudu mungu Ambae anaestahiki pekee kuabudiwa Kwa haki ,ila nyinyi munachanganya dawa na hatuwezi kuwaona watu wanakunywa sumu ety tuwaache lazima tuwasaidie ,😂😂 yaani mtu anakunywa petrol anaona ndio dawaa utamuachia anywee ? Na wakati unajua sio dawa?
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 11 месяцев назад
Bwana Yesu alisema mtu asipokaa katika neno lake, mvua na pepo na mafuriko vitakuja na kumsomba. Waislamu huwa wanawavuta wakristo wasiojua kitu yaani wa jina tu iwe ni wachungaji au waumini wa kawaida. Lakini wakristo wanawavuta waislamu wenye kujua dini yao iwe ni viongozi au waumini wa kawaida. Mungu ameruhusu kila anaejiita mkristo huku hajakaa katika neno, haijaifahamu kweli inayomweka huru, basi hakuna nguvu ya kumzuia kusombwa na upepo wa uislamu. Bwana Yesu aliweka wazi kusema tawi lolote lisilokaa katika neno lake, litakatwa, na wadanganyaji watalichukua na kulifukutia kwenye jehanamu - Yohana 15:1-8. Kupotoka kwa wakristo kimafundisho ndicho kinachowaukuza uislamu, na kubainika kwa uongo mwingi na tabia mbaya ya Muhamad ndiko kunakoukomesha uislamu.
@lokedavid4949
@lokedavid4949 11 месяцев назад
Mohammed moral behaviour cannot be compared to Jesus . Aisha was raped by Mohammed several times from age nine
@bakariomari3692
@bakariomari3692 11 месяцев назад
Elimu nayo haibagui inafaa kupewa kila mtu ambaye hana, infact elimu inafaa kupewa mtu mwenye hajui, mwenye anajua na bado anaenda kinyume na maandiko hana haja ya kupewa elimu coz anajua lkn anafanya kusudi tu
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel 10 месяцев назад
Hhhhh Allahu Akbar Asanti sana bro....ungejua mtu aliotajwa kwa tabia nzuri katika Ardhi nzima ni Muhammad na ni wakristo wenu yaani wanasayansi....Wewe unaongea nini???
@omarmakame3027
@omarmakame3027 9 месяцев назад
Muhammad ni mbora Kwa tabia nzuri kuliko wote.Na alikuwa akiishi na watu vizuri na akiaminiana na watu Kwa wema, na alikuwa mkweli
@omarmakame3027
@omarmakame3027 9 месяцев назад
Ukisema Muhammad ana tabia mbaya maana yake haujasoma vitabu vya Mungu ukafahamu maandiko . Wakristo msomeni Muhammad Kisha ndio mujue yeye ni nani na ana nafasi Gani na yeye ana uhusiani Gani na yesu.
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 11 месяцев назад
Tatzo mashekhe wengi hawajui bibilia kwaio inakua ngumu sana kumvaaa mkiristo kumkomvis mpk kuuwelewa uislam.......shekhe ramadhan Allah amekuletea ili kua mkomboz....Allah akupe umri mrefu na akutie nguvu sana...tunakupenda sana❤❤❤❤
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 11 месяцев назад
Umeongea ukwl❤
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад
Kweli.sisi.waisla.wengi.hatujuiBiblia.siyo.rahis..mkristo.kuamini.
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 11 месяцев назад
Bwana Yesu alisema mtu asipokaa katika neno lake, mvua na pepo na mafuriko vitakuja na kumsomba. Waislamu huwa wanawavuta wakristo wasiojua kitu yaani wa jina tu iwe ni wachungaji au waumini wa kawaida. Lakini wakristo wanawavuta waislamu wenye kujua dini yao iwe ni viongozi au waumini wa kawaida. Mungu ameruhusu kila anaejiita mkristo huku hajakaa katika neno, haijaifahamu kweli inayomweka huru, basi hakuna nguvu ya kumzuia kusombwa na upepo wa uislamu. Bwana Yesu aliweka wazi kusema tawi lolote lisilokaa katika neno lake, litakatwa, na wadanganyaji watalichukua na kulifukutia kwenye jehanamu - Yohana 15:1-8. Kupotoka kwa wakristo kimafundisho ndicho kinachowaukuza uislamu, na kubainika kwa uongo mwingi na tabia mbaya ya Muhamad ndiko kunakoukomesha uislamu.
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 11 месяцев назад
Kasome vzr uelewe mafundsho ya yesu wanao wafuata ni waislam kuanzia mavaz had mfumo wa ibada
@willymwaipaja6783
@willymwaipaja6783 11 месяцев назад
Yesu anafundisha amri 10, anafundisha mke mmoja, anafundisha ubatizo, anafundisha kuwa yeye ni njia kweli na uzima, anafundisha yeye ndiye atakayefufua waamninifu siku ya mwisho, anafundisha yeye ni wa kwanza na wa mwisho, Anasema alikuja duniani akiwa kama mtu, huku asili yake ni ya uungu. Anasema yeye ndiye kuhani Mkuu na ndiye mwankondoo wa Mungu aondoae dhambi za ulimwengu. Yesu hajawahi kufundisha kushika ijumaa, kubusu jiwe jeusi ili kusamehewa dhambi, Hajawahi kufundisha kuwa Mungu anasikia kiarabu tu. hajawahi kufundisha kusafisha pua kwa sababu shetani analala kwenye pua n.k. Ni kweli waislamu wanawake wanavaa mavazi ya kujisitiri, lakini ndg ujue kuwa wakristo wasiovaa mavazi ya kujisitiri hao ni feki na walitabiriwa kuwepo kama ambavyo wanawake waislamu wengi wapo ambao huvaa bila kujisitiri. Kwa hiyo tatizo hapo si mafundisho, bali kukengeuka kwa hao wavaao uchi na kufanya machukizo mengi tu. @@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 11 месяцев назад
@@willymwaipaja6783 acha ngojera leta maandko na ndomana nasema hauna elim haujui ata Mana ya busu busu ni ishara ya upendo sio kufutiwa dhambi haya yesu alisema msali sku gan
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 11 месяцев назад
@@willymwaipaja6783 soma uialam uelewe ndo uje kubishana wap Qur'an imesema mungu anaskia lugha moja na ni andko gan limesema kuweka maji pumuan ni kumuondoa shetan soma Kwanza tafuta elim Kwanza acha ushabik
@bassambashirou4604
@bassambashirou4604 9 месяцев назад
​@@willymwaipaja6783 Sasa mbona yesu aliwatawadhisha wanafunzi wake akasema asie fanya hivyo hana shirika nae Swali je unatawadha ? Unasujudu? Au ndio mna macho lakini hamuoni mna masikio lakini hamsikii
Далее
Qalpoq - Amakivachcha (hajviy ko'rsatuv)
41:44
Просмотров 421 тыс.
Ко мне подкатил бармен
00:58
Просмотров 149 тыс.
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 6 млн
KIZAAZAA,  BINTI YA YESU ADAI KUWA MJUKUU WA MUNGU 😢
1:00:36
MAJI YAZIDI UNGA KWA WANAOAMINI UTATU (PART 2)
1:04:10
Просмотров 17 тыс.
MUKURINO ADAI UKATOLIKI NI DINI YA WAZUNGU
54:47
Просмотров 10 тыс.
Qalpoq - Amakivachcha (hajviy ko'rsatuv)
41:44
Просмотров 421 тыс.