Тёмный

KIZAAZAA, BINTI YA YESU ADAI KUWA MJUKUU WA MUNGU 😢 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 76 тыс.
50% 1

Tafadhali kumbuka kusubscribe, kucomment, kulike na kushare. Straight Path Da'wah tunajitahidi kufikisha dawah mitaani na mashinani.

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 389   
@ismailmohamed7730
@ismailmohamed7730 8 месяцев назад
AlhamduliAllah 💕 may Allah guide them
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara Год назад
Waisilamu hatuambudu binadamu sisi tunajua Allah ndio mungu mbingu na aridhi
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Watu wanalaana kwenye hii dunia haya malaika na miguo mekundu kama mganga wakienyeji kweli wajinga ndio waliwao kha
@akibaali1450
@akibaali1450 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Malaika wanakula ,wanaenda Choo na damu ya mwezi pia subhanallah wamepotea xna
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 6 месяцев назад
Innalillah wainnalillah rajiun msiba mkubwa 😂😂😂😂😂😂wanafanya Kila kitu Hadi wajukuu wako subhanah allah
@samxx411
@samxx411 Год назад
Sheikh pole sana inanibidi nikupe pole, najua roho inakuuma ila unastahamili, basi ujue na mitume walipata mitihani hiyo hiyo na wengine walishindwa ila usichoke hiyo ndio kazi tuloachiwa na mitume
@allyngozi9571
@allyngozi9571 Год назад
nabii nuhu amerudi kuwa mwanamke 😀😀😀
@DottoVales-m7p
@DottoVales-m7p Месяц назад
😂😂
@meshacklekie4002
@meshacklekie4002 Год назад
Tanzania ni Tanzia neno la kutatanisha watu🤣🤣🤣🤣 huyu yesu ni msenge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ruthkamau4489
@ruthkamau4489 Год назад
Ati mpaka kuna grandchild wa mungu 😂😂😂😂mm nitaisha nikucheka...halafu nafurahia vile shekh anauliza maswali
@amandasarah3558
@amandasarah3558 Год назад
Those women wamekaa tu hapo ni kuchekacheka, eti mimi ni Nuhu mjenga safina,
@ruthkamau4489
@ruthkamau4489 Год назад
Kwani nuhu alikuwa mwanamke.😂😂😂😂😂..
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Год назад
Wallah mbavu sina dunia ina watu wake😅😅😅😅😅😅😅
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
Uwazimu tupu! TENA wana wake wao wanaji fanya WAJUAJI kweli! Kwani hawa MaFala hawa jui Biblia ni STORY BOOK ilio TUNGWA na Wazungu? TENA juzi tuu! 411 years ago! Ati tafauti sha baina ya Ishmail na Isaaq? WaJinga WaFrika! As long Mzungu ame andika, WaFrika wana fikiri ni 'god's word' !
@Adm9464
@Adm9464 Год назад
Kila kitu ni ki roho hapo.
@paradisomwagala-jh3ki
@paradisomwagala-jh3ki Год назад
Awa wametoka wapi jamani shetani anahangaika 😅😅😅 mpaka aibu😅😅
@mjukuuwakwetu356
@mjukuuwakwetu356 Год назад
Are these people realy serious, are they brain washed or have they convinced themselves on what they believe in?
@abcfisheries2865
@abcfisheries2865 Год назад
Biblia ina sema" Mtu mwenye ROHO, huwa ako na Wazimu! Na hawa WOTEEwana sema wsko na 'ROHO'!
@aishaissa2512
@aishaissa2512 11 месяцев назад
Mandiko yanasema lakini watu wana fanya kiburi kuelewa Allah atujalie mwisho mwema 🕋❤️❤️🤲
@marymukolwe5137
@marymukolwe5137 Год назад
Mungu anisamehe lkn kuna manabii wauongo na ni yeye,,mpaka mtoto mdogo wakike kaa shapotea mungu amuokoe uyu mtoto,,na mbn ni familia tuu ndio watumishi apo😮😮
@udaudauda8594
@udaudauda8594 Год назад
Allah akutangulie sheikh Ramadhan kwa kujitoleya hivi ndivyo vipindi vya kuangalia yafaa tumjuwe mwenyezi mungu atuongoze njia iliyo nyooka siyo ya wale walio kasirikiwa wala ya wale walio poteya🤲
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 Год назад
Ubarikiwe ishallah kwa sababu wamepotea kweli kweli mpaka wamevunja mipaka ya mungu hâta yesu hakujidai kua yéyé nimjukuu wa mungu subuhana Allah mungu ya wawokoe ishallah
@thomaslewis7361
@thomaslewis7361 Год назад
Uyo Jama awache ujinga apeleke izo bhangi zake uko
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
Shekhe Ramadhani inakuwaje hucheki wakati Yesu anapo kujibu ? Wallah me nacheka 😅😅alafu nawahurumia 😢. Mwenyezi Mungu awaongoze hawa ndugu zetu Amiin.
@husna34562
@husna34562 Год назад
😅😅😅😅😅😅
@husna34562
@husna34562 Год назад
Amiin 😊
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Год назад
🤣🤣🤣
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Год назад
@@husna34562 Aminaaaaaaa 😆😆
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Navumilia na kuhuzunika
@ismailmwadzuya3347
@ismailmwadzuya3347 Год назад
Kumbe nabii nuhu alikua mwanamke?? Aki mm siwezi kua mkristo hadi kufa
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 Год назад
😂😂😂. Malaika tena . Wakiristo , mko na vituko
@felixmuoki2021
@felixmuoki2021 Год назад
Walai mie n mkristo lakini waislam n werefu
@saidhassanahmed4
@saidhassanahmed4 Год назад
Da shekhe ramadhan kama ulivosema utochoka kwenda apo mpaka aujue uislamu mungu amuongoze yeye na watu wake wawe waislamu inshaalah mungu akulipe shekhe shekhe ramadhan kuria bila ya hesabu na akupe pepo pamoja na mtume muhamad ww pamoja na familia yako inshaalah nakufatilia sana shekhe wangu from tanzania 🇹🇿
@markmurunga5215
@markmurunga5215 Год назад
Sheikh today u got my subscription
@OmaryJuma-vj2on
@OmaryJuma-vj2on Год назад
Sheikh Ramadhani allah akuhifadhi Inshaallah
@wanjikunaomy3287
@wanjikunaomy3287 Год назад
Amiin
@AssdfAssd-g3y
@AssdfAssd-g3y 6 месяцев назад
Amiin
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 Год назад
Inna Lilahi Wa Inna Ilaihi Rajiun, Allah awaongoze kwenye haki na waijue haki na Allah awaonyeshe shari waijue shari na waweze kuiepuka Allah Ummah Amiin
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 Год назад
Hatari mjukuu wa Mungu tena ama kweli mmepotea kabisa Mwenyezi Mungu awajalie ufahamu
@sadcommpalestina4530
@sadcommpalestina4530 Год назад
ni hatar sana kwakwel
@allyngozi9571
@allyngozi9571 Год назад
huyu yesu na wafuasi wake vichaa sana, tanzania to tanzia, tanzia ni neno la kiswahili na maana yake ni tangazo la kifo
@twaine40
@twaine40 Год назад
Sub'haana Allah astaghfirullah eti Sifa na utukufu niza yesu😢😢 Mwenyeezi Mungu awasameh mana hawajui wanayoyatemda
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Год назад
Hhhmmmm kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe uislam hautokubeba mbinguni ndugu hata ukristo hautotubeba mbinguni sema sisi wote tutabebwa na matendo yetu ndugu
@twaine40
@twaine40 Год назад
@@lilianeerica3318 Mwenyeezi Mungu akuongoze uijue haki
@veronicawangari8089
@veronicawangari8089 Год назад
Mimi nagonja kuona Jesu mtu .akisubishwa Sasa itakwa whn
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
Subkhanallah,Inalilahi wainailahi Rajiuni.
@hahs3822
@hahs3822 Год назад
Komashetani kwajinala yesu uyo niyesu wawapi ndunia imeisha isha kabisa mwenye nziMugu tuulumie baba 🎉
@stevenomondi3263
@stevenomondi3263 Год назад
Lakini binti wa yesu ni kienyeji safi😊
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@rickraey5572
@rickraey5572 Год назад
ramadhan naye hana huruma na hawa vinyangarika 😂😂😂
@allywilson4155
@allywilson4155 Год назад
Hao watu wakachunguzwe akili Hapo sawa mentally..
@omwengaomwenga9743
@omwengaomwenga9743 Год назад
Hii dini kwani haitambui gender...😂😂😂😂. Mwanamke anasema ye ni Ibrahim, mwingine nuu
@nancykarimi7257
@nancykarimi7257 Год назад
😅😅😅😅
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Год назад
Ovyoooo! Tanzania ndo tanzia mjinga nini usituchefue
@amandasarah3558
@amandasarah3558 Год назад
Kwanza hiyo tanzia yenyewe hajui maana yake
@wahidasalum780
@wahidasalum780 Год назад
Huyo mke wa yesu kisirani na hujiiita nabiii nabiii anakua hivo 😂😂😂😂😂
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Год назад
TULISKIA KUA JAMA huyu atasulubiwa pasaka hii. Vipi kuhusu hilo nilakweli alienda polisi kushtaki au?
@zakariakiema621
@zakariakiema621 Год назад
Malaika wakiluyha na yesu 😅😅I enjoy this comedy,,Aminaaa, amina, aminaaa,,,halafu matamshi pia wololo 😄,,alitoka-alidoka, macho-majo nakadhalika
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 Год назад
Sheikh RAMADHANI charaza wote hao bakora wajinga hao.
@ruthmocks6973
@ruthmocks6973 Год назад
Nugu mjenga safina😅
@d.abigail.j4127
@d.abigail.j4127 Год назад
Shida ya Muslim ;mmeshikilia dini kuliko kutendabyaliyo ya MUNGU
@Alex.124
@Alex.124 Год назад
I think the young sister can be a good student if she can find good bible students discussion aje SDA tujadili biblia
@mwanaishaakinyi-l3g
@mwanaishaakinyi-l3g 6 месяцев назад
Allahu Akbar.... Ya Allah tuongoze sote tuliopotea ameen yarabi inshaallah
@salmaali6605
@salmaali6605 Год назад
Allah ongoza watu wako wasipoteye mungu onesha miujiza watu wako.huyo yesu nipubafu wa togereni
@ftoomibrhoom7512
@ftoomibrhoom7512 Год назад
Mungu awaongoze wasilimu wawe waisilamu Tena kwa kupenda kwao nakujiridhisha kua mungu ni mmoja nahana mshiriki
@mushmorrytv
@mushmorrytv Год назад
Amini
@enockkorir6404
@enockkorir6404 Год назад
Huyu wife wa yesu ananisinya saaana!!!!!!!
@mushmorrytv
@mushmorrytv Год назад
@@enockkorir6404 waache ujinga watuambie majina Yao kamili😅😅
@ambbabu4122
@ambbabu4122 Год назад
Innalillahi wa innaillahi rajjiun ukweli huu n msiba mkubwa sana haki, mwenyezi mungu awaongoze wallahy, Sababu cjui huyu mzee aliwafanyaje hawa watu, yani hakuna hata mwenye nafuu haki yani woote akili zao zimelala
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 Год назад
Ushirikina wake
@LOGOSNew
@LOGOSNew Год назад
WAZIMU HUU! SHETANI AENDELEA KUDHIHAKI YESU KUPITIA HAWA MANABII WA UWONGO. SHINDWE KWA JINA LA YESU!!!!👎👎👎👎👎
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Yani wanao wafatisha hawa watu wachunguzwe akili kama zinafanya kazi
@husna34562
@husna34562 Год назад
Unazaa watoto wakikua waje wakufae ndio hao wakikua wajiita yes na malaika 😅😅Ewe Mwenyezi Mungu nipe uzao watakaokuabudu weee pekee
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Mwambie huyo yesu aache uhuni Tanzania sio tanzia
@d.abigail.j4127
@d.abigail.j4127 Год назад
Wacha upuzi YESU Chrito alirudi mara ya pili ni kuja kuhukumu Si basi uanzebkutuchoma sisi wenye dhambi Mkikosa kazi maanake si kutumia ukristo vibaya😢😢😢
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Год назад
Yaani tafsiri za wakristo ni zakujipotosha sana Eti kanisa ni mimi na yesu anaingia ndani yangu🤣🤣🤣🤣
@d.abigail.j4127
@d.abigail.j4127 Год назад
Nyinyi wote MUNGU alirudi sasa hivi mnaenda jehanam nyote Kwa sababu mmeyasahau kuyatenda mapenzi ya mwenyezi MUNGU mmeanza kupi ga maandiko Dini itawapeleka wapi??
@christophermakwata6780
@christophermakwata6780 Год назад
Kazi nzuri ndugu ramadhan mimi ntakutafta kwenye simu tucheke kidogo nisha piga ile screenshot ya number zako nitakuongelesha
@sakow747
@sakow747 Год назад
Mashaalah allah protect you keep going
@hitmanabelo3218
@hitmanabelo3218 Год назад
Uko so clear kwa maono zako,kulingana na hao wengine nikama wanajichanganya
@issackhussein356
@issackhussein356 Год назад
Kazi nzuri sana shehe wangu,God bless you and may Allah open the guess of your audience to see the right path InshaAllah!
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara Год назад
Ee Allah wasemehe Hawa juu wajui Wanasema nini
@eglahmuthoni400
@eglahmuthoni400 Год назад
Huyu mtu kazaliwa(by another woman) not Mary...wazee wa hicho kijiji walimwona akikua..kwa nini wasijitokeze waongee...why didn't this yesu start his work kitambo?,mbona hajui mambo yanayotendeka countrywide ama worldwide...Jesus that we read about in the Bible knew everything na fikra za watu waliomzingira.huyu wa saa hii hajui anything.hawa wamama wana mabwana wako sawa kichwani ama mabwana zao ni mazuzu?..aki niko na maswali mengi kichwani.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Год назад
Mbona clip yenyewe imejaa vipande vingi vilivyo haririwa ?. Inaonekana usanii wa kiislamu
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 Год назад
Yani kenya aki ukikufa n pressure au stress ni we umejitakia mwenyewe,eti nuhu mjenga safina 🤣🤣🤣🤣🤣oh Allah okoa watu wko kabla waangamie,am great full to be Amuslim hii ujinga hautaii ona kw waislamu utapigwa bakora ushangae
@michaeljuma8179
@michaeljuma8179 10 месяцев назад
wewe bwana ramadhan, unatumia maandiko vibaya na isivyo takikana.You are creating your own contradictions from the bible which is very wrong if we were to look at the quran keenly it has a thousand to a thousand clear contradictions which cannot even be explained.Secondly you are looking for week and amature christians so that you can bully them with fear and lies.tafuta watu waliosoma bibilia wakabobea baba, dont ride on the glory of killing a sick lion. The same way umeisoma quran ukaielewa pia tafuta walisoma bibilia na wakaielewa kwasababu kwa maoni yangu, bibilia hauijui hata kidogo waisoma kama gazeti kwa kupachika maoni yako.wewe naona waelewa quran bakia kwa quran....wacha wanao ielewa bibilia wakusaidie kuielewa....these coversations are one sided and not fruitfull at all...ningependa kusikia mtu akiichambua biblia vile unavyoichambua qurani so tafuta ligi yako achana na watoto wangali wanakunywa maziwa.....it is like a full grow beaded man playing football with a grade 2 kid then going through the villege claiming "tumewaweza"...swali ni umeweza nani?
@catherine7202
@catherine7202 Год назад
Yesu huu niyawaluhya tuu anaongea kwakiluhya dunia huu umeisha😅😅😅
@ruthwittmann3392
@ruthwittmann3392 Год назад
Huo niupuzi mtupu ,Achana, nao , hawaelewi chochote
@GULF444
@GULF444 Год назад
Ata hamfanani na malaika wa kuzimu acha uyoYesu mwenyewe.mnashidwa na uyu muislam tu.
@HusseinChaka
@HusseinChaka 4 дня назад
Huyo mjukuu wa Mungu na Nabii Nuhu hawajui wanachosema usiwaulize maswali mentioned kwani wanaonekana wamejazwa imagine potofu
@abdiazizali373
@abdiazizali373 Год назад
Hawa wakipigwa na nyaunyo watasema ukweli walai😂😂
@binpodah6003
@binpodah6003 Год назад
Barakallah brother.
@LillianS-qt6gi
@LillianS-qt6gi Месяц назад
Kweli kabisa hiyo ni njaa inayomsumbua huyo mzee kujiita Yesu. Anatafuta kiki ili naye awe mwanamziki au muigizaji 😂😂😂
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂walipoanza kuruka nika jua ndo wanapaa
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw Год назад
Yeye alitowatu mfano ila ni muzungu.😅😅😅
@yassinali3123
@yassinali3123 Год назад
MashaAllah my brother napenda unavo enda nao, Allah awaongoze waje kwa dini ya islam
@farhadimranmoodyimran5119
@farhadimranmoodyimran5119 Год назад
Hata kitabu chao chenyewe hawakijui innah lillah waina lillah rajiun 😢😢
@denismasese3208
@denismasese3208 Год назад
Ramadhan lainisha hawa watu maana ni wapumbavu sana hawajui wanafanya nini,,,,,,,na uwaslimishe wote
@patrickmshaughi4155
@patrickmshaughi4155 Год назад
Subah Allah, hapo Pana kazi Dawah yatakikana kwa nguvu hapo. Yarabbi Mungu awaongowe
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw Год назад
Mimi ni mukristo acenikudanganya huyo aliye ceza filamu nimusanii haiko yesu.
@samxx411
@samxx411 Год назад
Hichi kiroho hichi itabidi watumie akili sana ndugu zetu
@HerculesPaulin-zg7pj
@HerculesPaulin-zg7pj 6 месяцев назад
Muna poteza wakati bure tu,moto Ina wa subiri milele🔥🔥🔥 muta juta
@salmaali6605
@salmaali6605 Год назад
Huyu yesu wawongo anapoteza watu .fariseli
@DfYoungboy
@DfYoungboy 21 день назад
Wanapaswa kuuliwa hao hawajielewi wanakufuru hao
@musaguga
@musaguga Год назад
Huyu mpuuzi sana, nach yetu Tanzania haijatokana na tanzia kama alivosema, Tanzania imetokana na muungano WA Tanganyika na Zanzibar, ikapatikana Herufi zenye neno TANZANIA, wawe makini wasipotoshe watu kwakutaja nchi yetu, naipenda TANZANIA yangu.
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Год назад
Tena ashukuru kazaliwa Kenya angekua anaishi Tanzania huyo angeshashuhulikiwa kitambo azungumze uongo wake tu asiingize nchi yetu
@Sandra39823
@Sandra39823 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi nimecheka tu, cos anajichanganya
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Mnayumbishwa na mpumbavu wakati Yesu anaingia sinagogi uisilamu haukuepo .sinagogi. au msikiti ulikua makutaniko wawayahudi sasa kwaakilizenu Muhammed alikuako kwenye hilo sinagogi
@augustinemwengi8779
@augustinemwengi8779 Год назад
Yesu mwenyewe akasema watajitokeza wengi nyakati za mwisho na kujiita yesu,huyu anavaa kupigwa burukenge sana,eti yesu amerudi Mara ya pili,alisema atarudi Kama mwizi nyinyi ni pumbavu sana
@maryamjuma1980
@maryamjuma1980 Год назад
Allah akulipe kheri sheikh Ramadhan pamoja na walinganiaji wenzio na Allah atufishe tukiwa waisilamu
@wanjikunaomy3287
@wanjikunaomy3287 Год назад
Amiin
@saifalhussaini9702
@saifalhussaini9702 Год назад
Allahumma ameen
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Год назад
Duh Kaka ebu wahubiri hao maake tafsiri zao na maelezo yao hayaendani. Sasa Yesu huyo asulubiwe afufuke ndio tutaamini. Alisimama mkono wa kuume lini huyu jamani
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Год назад
Mamayako ni mariyam alkuza wapi tupe hitorya ulivyo zaliqa ulikuwa wapi ujana wako nivipi hivyo
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz Год назад
Wape washike icho kitabu shehe wasome sababu ni wanadamu ukiwanyima kushika icho kitabu ni Cha majini mungu hajumo hekima muhimu
@halimaa9367
@halimaa9367 Год назад
Mungu akuhifadhi mwalim ramadhan inshalha
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 9 месяцев назад
amin mana nimtiyani
@radhiamohaa3723
@radhiamohaa3723 Год назад
Sasa yesu leo Kawa mluya ,jamani dunia imeisha 😢😢😢😢😢😢😢
@robertsoita
@robertsoita Год назад
Waaaah makubwa hayo
@johnwanjala4311
@johnwanjala4311 Год назад
Atendaye kazi ya babake ni yesu
@aminashabangonzi4020
@aminashabangonzi4020 Год назад
🤣🤣🤣 nacheka kama mazur ila hii dunia ina mamb jmn. Shukran sana shekh Rama na wenzak endeleen kuizindua dunia ukwel na uongo utajipambanua kwa wenye akili In Sha Allah
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 Год назад
Kwann Tanzia kwenye jina la Tanzania jaman 😂😂😂 "Kwakweli sijapenda"
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Год назад
Sasa hawo wana acting kidrama kupitiya vitabu wanayovisoma wajiita watu wasiyo kujifanya kama walivyo fikiriya walivyokiakili
@nasramusaro
@nasramusaro Год назад
Jaman kazi ipo watu wanajitoa ufahamu hasaa ukweli unakataliwa kinaga ubaya bila haya yarab wafungue waja wako
@jamada-by3rq
@jamada-by3rq Месяц назад
😂😂 eti alikuwa ndani ya television 📺 hehe hatari
@vitelinenyambura5650
@vitelinenyambura5650 Год назад
Huyo Ramadhani anasema ,ukiingia kua muisilamu usimshirikishe Mungu, kwani ukiwa mwislimu unamshirikisha Nani au shetani
@denny_mlinzi
@denny_mlinzi Год назад
Sipendi jinsi huyu msichana alivyopofushwa na babake... She is supposed to be the one to enlighten her dad. Kweli giza imewatapakaa.
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 Год назад
Wewe unaejiita mjukuu wa mungu wewe umepotea na Moto wa jahanamu unakungoja wewe na hayo wenzio yesu hawajuwi nyote
@bimuabdallah9083
@bimuabdallah9083 Год назад
Kristian islamik tueni makini tunapo ziangalia hizi picha ukweli unatoka wapi mbona wakristo hamko sirias kwanini mnapindisha pindisha
Далее
YESU WA TONGAREN ATETEWA NA MKEWE (PART 2 OF 4)
1:01:10
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 6 млн
🛑самое главное в жизни!
00:11
Просмотров 35 тыс.
Трудности СГОРЕВШЕЙ BMW M4!
49:41
Просмотров 1,7 млн
MKRISTO APAMBANA NA "KRISTO" ANA KWA ANA
1:12:19
Просмотров 90 тыс.
MAMA WA KWAYA AKIRI KUWA WAKRISTO WAMEPOTEA
38:39
Просмотров 16 тыс.
'MANABII' WA YESU WAONA SHAKA KWENYE MASWALI
55:04
Просмотров 48 тыс.
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 6 млн