Тёмный

Mambo 3 ya Kuzingatia ili Kupata Ufadhili Ughaibuni 

Elimika na Elimisha
Подписаться 2,1 тыс.
Просмотров 493
50% 1

Je, u miongoni mwa wenye ndoto za Ughaibuni? Basi, katika video hii nimekufafanulia mambo matatu ya muhimu kuzingatia katika safari yako ya kutafuta fursa ya kusoma Ughaibuni.
1) Kutofanya makosa ya uandishi (kuandika bila kukosea).
2) Kutunza sifa yako (sifa nzuri) mtandaoni.
3) Kusoma (penda kusoma au kujisomea maudhui ya kuelimisha).
Nicheki Facebook: / neema-loy-103037288071159
Instagram: mwalimu neemaloy
Tiktok: neema_swahili

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@frankminja
@frankminja 4 года назад
Hongera sana Mwalimu Neema kwa ujumbe huu mzuri! DICOTA pia tunajitahidi kusaidia kutoa elimu hii: dicotaus.org/free-scholarship-resources/
@mwalimuneema
@mwalimuneema 4 года назад
Hongera sana. Nimepini komenti yako juu kabisa ili wanaosikiliza video hii waone tovuti na kufuatilia zaidi. Asante sana na tupo pamoja.
@EBMSCHOLARS
@EBMSCHOLARS 4 года назад
This is very good, hongera sana kwa kazi nzuri hii na ujumbe wa kusaidia watu wengi wanaotafuta fursa nje ya nchi
@mwalimuneema
@mwalimuneema 4 года назад
Asante sana kaka. Nitaongeza linki zako ili watu wazifuate kupata mafunzo kamili ya nama ya kupata ufadhili na udhamini.
@samsonmallenga4924
@samsonmallenga4924 4 года назад
Tunashukuru Sana dada neema kwa kutupatia elimu nzuri kwa sisi vijana wa kitanzania wenye ndoto za kufika huko, barikiwa Sana
@papaabejobraiz4248
@papaabejobraiz4248 4 года назад
Vizuri san
@khalingua6085
@khalingua6085 4 года назад
Thank you for your videos, they are helping me learn Swahili!
@doraliana6253
@doraliana6253 4 года назад
Nice
@mr.ydthefuture8458
@mr.ydthefuture8458 4 года назад
1. 1:50 Kuandika bila kukosea 2. 6:31 Sifa yako Mtandaoni 3. 9:55 Kujifunza kujieleza
@mwalimuneema
@mwalimuneema 4 года назад
Asante kwa kuangalia na kutoa ramani.
Далее
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49
Mbinu nne (4) za namna ya kufikiri
6:21
Просмотров 90 тыс.
KRISTO KAZALIWA BY CAISER THADEUS
3:42
Просмотров 2,8 тыс.
Who are you?
13:32
Просмотров 20 млн
What’s your English level? Take this test!
28:03
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30