Bongo, artists are supported,,, but kenya it is close to no support,,, plus Bongo, artists know swahili ngeli ziko nyumbani hee kuja kenya nakupenda twasema nakulove sheng haina mshiko kabisa tuachiwe tu gengetone😂
Eti nini? As if she did in swahili A to Z!. Sorry, Watanzania tunaelewa Kiingereza pia msitushushe hivyo. Mbona ameongea kiingereza mara nyingi tu na alikuwa anaeleweka.
@@mariej6962 mrembo iza ka sema ivo ju mamito ni wa nai huko ni sheng so vile ka ongea apa at least ni kiswahili kile mbongo na 254 twaeza elewa, by the way unakaa supu! Ghai
sema nini koyo camera man alizembea au niuhaba wa camera mzee yaan hata mashabiki hatuwaoni kwann cameraman asiwe mbunifu au ulimwambia camera imulike jukwaa tu