Na hii ikawe funzo Kwa stand up comedians wote wa TZ, comedy unatunga, Unaandika kama unavyotunga nyimbo pia kuna mda una freestyle ,comedians wa Kenya wako way far from ours ni kitu cha kujifunza kutoka kwao stand up comedy Sio kupanda stejin na kutuhadithia memes
Prof Hamo huwa "hafanyi makosa" apatapo jukwaa. Namkubali kama ninavyowakubali pia Kapteni Otoyo, Adhis Jojo, Mammito na MCA! Asanteni kwa kumleta Bongo!
Kenya mpo vzr nakubali Nadhani comedian wetu wanajifunza and soon watakuwa vzr zaidi ya walipo Sasa . Thanks ndugu zetu Wakenya kwa kushirikiana nasi kukuza Cheka tu
Mpaka leo hamjui kuconnect sauti inayotoka kwenye mixer na video ili muwe na good sound jamani. Mbona nyie wakubwa tayari jifunzeni video za churchill na sound zake
We know what makes us laugh. Na Tanzania hatuhitaji kuchekeshwa ili tucheke maana hata tusipochekeshwa tuna Furaha. Kwa hiyo Kenya you need a lot of energy to make someone laugh in Tanzania you need only a person to laugh... Labda mje tukufundisheni what it means to make someone laugh. But anyway we will take that as a compliment 😊😊
Mshikaji aliyevaa kanzu hapo mbele 11'45'' yupo wrong place kabisa - una muda wa kuchat kwenye simu wakati Prof Hamo yupo on the stage na hatujui atarudi tena lini Bongo kuchekesha ! Daaaamn
Hongera kwa kumleta hamo,ntakuja cheka tu sababu ya kuwepo watu kama hawa wanajuwa kuchekesha ukienda lazma ucheke,nasubiri PR kuria,mamito,MCA,Teacher wanjiku,teacher mpamire,Jessy na kansiime,tz jifunzen kwa hawa kiukwel wanajuwa
Coy hongera sana unapush sana stand up comedy Ila fanyieni maboresho zaidi katika sound engineering, na maiki za kushika zinachosha sana mpaka mchekeshaji kumalizia segment
Hizi microphone sio nzuri nyie cheka tuu... Nmetoka kusikiliza Churchill ya prof harmo na saiv naskiza hii ya cheka tuu ni mbingu na ardhi... Embu jirekebisheni