Тёмный

MAMLUKI WA WAGNER GROUP NA MISHE ZAO (Part 1) 

WAZO TV
Подписаться 146 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Pichalinaanza mwezi September 2022 iliposambaa video ya ‘konekshen’ lakini haikuwa konekshen ya staa wa bongofleva,bongomovie au mitandaoni bali ilikuwa konekshen clip ya Jela moja iliyopo Urusi,ikimuonesha mtu aliyetambuliwa na wanaomfahamuni YEVGENY PRIGOZHIN wanaomjua wanamuita PUTIN's CHEF kwa kiswahili MPISHI WA PUTIN...PICHALINAANZA na hii ni part 1 usikos ijayo
#wagnergroup #PMC #pichalinaanza

Развлечения

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Год назад
Unyama San
@hassandaudibalagha4248
@hassandaudibalagha4248 Год назад
Nakubali
@assateke7199
@assateke7199 Год назад
Ndi ndi ndi.... Picha Linaanzaaa!
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 Год назад
KAZI NZURI
@anangisyembughi6476
@anangisyembughi6476 Год назад
Ondoeni Sheria hiyo kwani Ajira tz haipo,nafasi kama inapatikana ya kujiunga na jeshi ni kujiunga.kutoboa inawezekana sana tuu.
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Год назад
Razii yuko wap kka
@salumadam2862
@salumadam2862 Год назад
🔥🔥🔥
@donraykiko4243
@donraykiko4243 Год назад
Muendelezo uko api. Razzi yuko wapi.
@chundabadsingasinga3130
@chundabadsingasinga3130 Год назад
Razi Yupo wapi???
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Hata mimi nipo tayari kujiunga na Wagner,bora kufia Ucrain kuliko wanasiasa wasiojitambua wa africa kazi kuuza nchi zao na kujinufaisha na familia zao hasa tanzania.Mimi nafuta contact za wagner tu kuliko kufuatilia ccm sijui chadema ujinga mtupu hawana uzalendo wowote.Najua nimefia kazini big up wagner group soon nakuja urusi.Yaani baada ya kuiona taarifa hii mwisho nilijua mtaweka contact zao dahh nimetokea kuvutiwa ghafla na wagner nipo tayari kwenda kinyume na sheria za nchi yangu nijiunge na Wagner group dahh.
@annurmohamedi9824
@annurmohamedi9824 Год назад
😂😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Wekeni contact basi jinsi ya kujiunga mbona wengine udenda unatutoka tushachoka maisha ya tz haya na siasa zao.
@harerimanamoses9878
@harerimanamoses9878 Год назад
Razzi mmetisha 🔥
@jamessiame5169
@jamessiame5169 Год назад
Wanafanya unyama
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Nafasi kama hii ya kujiunga na Wagner group huwa kwenye maisha inatokea mara moja tu wekeni contact kama mwamba mwenzetu aliamua ajiunge
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
Топ 3 Мачехи 👩🟠⚫️ #shorts
0:13
ПРАНК НАД МУЖЕМ | тгк - itzdanilaa
0:42