Тёмный
No video :(

Mandojo na Domokaya - Dingi (Official Video) 

Domokaya
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 531 тыс.
50% 1

Please like and subscribe to my channel and leave a comment
Thank you.......
#Domokaya #domokayatz

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 763   
@OmarSeafood
@OmarSeafood 13 дней назад
Kama umeangalia baada ya kusikia taarifa za msiba wa Mandojo gonga like
@IbrahimMosha-i2y
@IbrahimMosha-i2y 13 дней назад
Acha tu kaka jamaa katutoka kweli
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 13 дней назад
😢😢😢😢
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s 13 дней назад
Ndio hivyo
@moseti100
@moseti100 13 дней назад
Like za nn shog wewe
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 13 дней назад
Acha tu 😢😢
@directormr.kamwene6439
@directormr.kamwene6439 12 дней назад
kama nawewe uliposikia kifo chache umekuja kufata hii nyimbo gonga like
@bizomenyimanaelias5455
@bizomenyimanaelias5455 13 дней назад
nilipenda hizi nyimbo kipindi nikiwa mdogo nilikua sijui kiswahili nikiwa primary nchi kwetu Burundi
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 13 дней назад
Kma umeangalia nyimbo zake baada ya kusikia msiba aise mungu akupe kaul thabit😢😭😭
@HafuaSwalehe-je8rp
@HafuaSwalehe-je8rp 13 дней назад
Nimekuja apa baada ya kusikia taarifa za kuumiza 😢😢😢
@eng.hamisim.maliki9133
@eng.hamisim.maliki9133 12 дней назад
Tunaomtakia pumziko jema Dojo like hapo
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm 13 дней назад
Tulio kuja kuangalia baada ya kusikia R I P mandojo tujuane hapa
@nasraamir7042
@nasraamir7042 Год назад
It's 2023 still listening to this Masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alexjohn7361
@alexjohn7361 Год назад
Together here
@omarmwaiwe7269
@omarmwaiwe7269 Год назад
Sitaki kukumbuka hizo enzi, nahisi ni km machozi yatanindoka
@HassanAbdu-pq4rh
@HassanAbdu-pq4rh Год назад
Together
@eshukodethinker8603
@eshukodethinker8603 Год назад
yeah this song is a lifetime..
@user-bt7oo6kz3q
@user-bt7oo6kz3q 8 месяцев назад
❤❤❤😢😢😢❤❤
@miriammanyanga698
@miriammanyanga698 13 дней назад
Dahhh R.I.P mandojo imebidi nije kuangalia Ngoma kwa mara ya mwisho
@HafuaSwalehe-je8rp
@HafuaSwalehe-je8rp 13 дней назад
Yani nimeumia mnooo
@SaidIssa-ow8ee
@SaidIssa-ow8ee 13 дней назад
Ata mim pia
@alanpeter4590
@alanpeter4590 13 дней назад
Mi pia imeniuma sana😢
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 13 дней назад
Ata mm asee imeniuma sana
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 13 дней назад
Rip kamanda
@lynahasiko6454
@lynahasiko6454 10 дней назад
Tugonge like kama tumetoka facebook baada ya kuskia kifo cha legend😢😢
@piusthomas5713
@piusthomas5713 4 месяца назад
twende mbele turudi nyuma huu mdundo wa guitar ni hatari sana, 2024 bado ngoma kali
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 12 дней назад
Na gitaa alikua analipiga sana yeye
@mamachris6811
@mamachris6811 10 дней назад
Wenye music mzuri hupotea hivyo tu 😢
@stevgahamanyi5085
@stevgahamanyi5085 12 дней назад
Daaah inauma sana. RIP . Tutakukumbuka Daima Milele..... all the way from KIGALI -Rwanda.
@NilhaniHusein
@NilhaniHusein 11 дней назад
Mungu akulaze mahali pema kamanda man dojoo 😢😢
@rubberbandman1213
@rubberbandman1213 11 месяцев назад
Hello it's 2030 Huyu jamaa kaimba verse moja tu kwny hii ngoma. Verse kali sana halafu ndefu mno salute nyingi kwa domokaya, very powerful 💪
@frankbyarugaba9638
@frankbyarugaba9638 12 дней назад
yaani ndefu balaaa pumzi kama zoote
@josephathamidu111
@josephathamidu111 5 месяцев назад
Eeeeh bana old is gold hii nyimbo mistari yake haitakufa milele maaana Ina ujumbe na melody tamu sana
@LihoyaMwisongo
@LihoyaMwisongo 13 дней назад
Hii dunia hii ushetani ni mwingi kuliko hofu ya Mungu 😭😭
@samtz1399
@samtz1399 13 дней назад
Aisee mungu amlaze mahal pema pepon mandojo ,,tutaonan siku Moja 🙏🙏🙏🙏
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 2 года назад
Mkenya nipo mwenyewe tu, au wapo wakenya, kutoka mombasa tujuane, hizi ndo nyimbo tulokua nazo utotoni🔥🔥🔥
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 года назад
Nipo bro...wa Mombasa hapa😁
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes 2 года назад
@@CoachHafidh Nakubali mwana, bamburi moja hii sijui wewe anga zipi
@skulfees5453
@skulfees5453 22 дня назад
South Coast moja hioo tuko pamoja 🎉
@IsaacLyaruu
@IsaacLyaruu 13 дней назад
Mmoja amefatiki mandojo
@Bartle20
@Bartle20 3 месяца назад
Da miaka inakimbia sana wakati hii ngoma inatoka nilikuwa primary school pale Magereza tabora ilikuwa kila jioni lazima niisubirie ipigwe kwenye tv isipopigwa nilikuwa najisikia vibaya 😂 na ukweli kuna baadhi ya mistari ndio miaka ya karibuni naelewa kiliimbwa nn mi nilikuwa napenda beat na wale wahusika wa kwenye video. Ila asanteni sana brothers kwa kutubariki na ngoma kali zinazoishi Respect.
@habarikaonlinetelevision4142
@habarikaonlinetelevision4142 2 дня назад
Ilikua mwaka Gani Ngoma inatoka
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 13 дней назад
Pumzika kwa amani mandojo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@abdulapolinari178
@abdulapolinari178 4 дня назад
Kama umeingia baada ya domo kumposti dingi gongq like hapa, eee baba
@nelsonmsafiri3693
@nelsonmsafiri3693 6 месяцев назад
Aliyepiga Hilo guitar 🎸 la base katisha 2024 still hot
@iddyvedastus8457
@iddyvedastus8457 5 месяцев назад
Produced by Micca Mwamba MJ record 🔥
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 12 дней назад
Guitar alipiga mandojo tumuombee tuu apmzike
@rajabubasoloma1080
@rajabubasoloma1080 8 месяцев назад
Chuma hiki hakiwezi kupoa daima, hongera sana broo
@solomonhaule2795
@solomonhaule2795 13 дней назад
Naisikiliza mida hii. Walifanya kazi nzuri
@kudramzee5769
@kudramzee5769 10 дней назад
Daaah pumzika kwa amani mwamba mandojo ila kazi zako bado zinaishi
@jefftonyrichard2358
@jefftonyrichard2358 6 месяцев назад
Nani anasikiliza hii track 2024
@Hamisimenjuka654
@Hamisimenjuka654 5 месяцев назад
Mm hapa march 2024
@erickagwe8841
@erickagwe8841 5 месяцев назад
🔨💯
@KenMtitu
@KenMtitu 5 месяцев назад
Still here March 25 2024
@irenethilia8853
@irenethilia8853 4 месяца назад
Still here April 14 2024.
@MbataNgonkola-sl8lv
@MbataNgonkola-sl8lv 4 месяца назад
Hapa
@DOUBLE_G_DA_BST
@DOUBLE_G_DA_BST 8 месяцев назад
Hawa jamaa walikuw na kipaji kwel daah👏
@metroplanetstudios
@metroplanetstudios 2 дня назад
Aisee watu walikuwa naimba zamani na siyo siku izi wahuni wamejaa kwenye music industry
@frankyohana208
@frankyohana208 2 года назад
Ngoma inaishi na itaendelea kuishi kwenye watu waelewa.."
@juliusloy5023
@juliusloy5023 12 дней назад
R.I.P mandojo sijawah kuacha kusikiliza nyimbo zao toka enzi hizo tuko na moringe na mdogo wako
@maureenandrew
@maureenandrew 3 дня назад
Ila MIKA MWAMBA bonge la Producer. Huu muziki ni 🔥🔥
@chrispinmwazembe973
@chrispinmwazembe973 13 дней назад
Pumzika kwa amani mandojo
@baragatimaingu5623
@baragatimaingu5623 13 дней назад
Mandojo nimekuja tena tizama hii video baada ya kupata taarifa za kigo chako.. Ilikuwa bonge la ngoma enzi za channel five. Na pale star tv... Pumzika kwa amani legendary😢
@Moudmtanzania
@Moudmtanzania 10 дней назад
Pumzika kwa amani kaka tunashukuru kwa wimbo mzuri 😢
@JumaMlawa-r6d
@JumaMlawa-r6d 12 дней назад
Mungu ailaze roho ya marehemu mandojo mahala pema peponi😢😢😢
@Wikitiki1245
@Wikitiki1245 10 дней назад
Enzi hizo gwanda za jeshi unavaa tu
@hadithizetutv
@hadithizetutv 9 дней назад
Hii ni moja ya ngoma ninayoikubali sana nakumbuka nilikuwa napenda kuiplay kwenye laptop ya mama yangu.
@barakaalec5162
@barakaalec5162 Год назад
One of the most lyrically conscious song ever written in Bongo Flava hIstory..Hats Off..
@jaffesonjackson2333
@jaffesonjackson2333 8 дней назад
Utaishi milele legend. Inauma sana. Mzik wako utadumu milele
@matyboymtanzaniano
@matyboymtanzaniano 9 дней назад
wabongo bwana mpaka mtu afariki ndio munauona umuimu wake daah
@jumamohamed9916
@jumamohamed9916 2 года назад
Ngoma kali sana ,kuna kipande kinasema "sikusifi hizi kejeri"
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 года назад
Dah!! Brothers kweli miaka inaenda hii ngoma nilikuwa shule!! Mungu awabarik kaka zangu!! Nyimbo zenu zitaish
@Domokaya
@Domokaya 2 года назад
Amen 🙏
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 4 месяца назад
​@@Domokayakunikumbusha mbali sana walai 😢😢😢😢😢😢 maisha magumu sanaaa😢😢😢😢😢😢😢
@yustinkivamba4721
@yustinkivamba4721 6 дней назад
Nimekuwa naish nahuu mzik mda mref sana
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 10 дней назад
Gitaa la dojo will be missed. RIP ..Pole sana domokaya.
@reaganogare8938
@reaganogare8938 5 дней назад
Timeless music..hawa majamaa walikuwa magenius..RIP DOJO
@Aman-lr7xx
@Aman-lr7xx 6 месяцев назад
Nipo hapa 2024 tarehe 1 mwezi wa 2❤❤❤❤❤❤
@ayoublowlance4645
@ayoublowlance4645 13 дней назад
R.I.P Mandojo 😢😢😢😢
@RachelJulius-h1p
@RachelJulius-h1p 13 дней назад
Aisee me simjui uyu jamaa ila hii nyimbo sina ugen nayo tulozaliwa miaka ya 2000 tujuane me simjui jmn😢 ila nimeumia
@dullahhamis7126
@dullahhamis7126 12 дней назад
Nyimbo maarufu sana hii.. muwe mnasikilizaga na music ya zaman sio kina diamond tu😂😂
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 12 дней назад
sikia tuu chorus yake na utulivu wa upigaji gitaaa
@mshovay5859
@mshovay5859 Год назад
Hawa ndio WANAMUZIKI wa kweli. Wanatunga, wanaimba na wanapiga vyombo vya muziki.
@KuyaLalaito-wx5om
@KuyaLalaito-wx5om 8 дней назад
Mungu amlaze mwili wa marehemu mahali pema peponi
@adamhussein8337
@adamhussein8337 2 года назад
Yembo yenye uahai na ujumbe Kwa kila mtu dahhhh nakusikiliza muda sana iliwatoto wangu wasijepitia maisha niliyo pitia
@Domokaya
@Domokaya 2 года назад
Asante sana 🙌
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 3 месяца назад
Bro ulipotea wapi nyinyi na mabanga fc​@@Domokaya
@amosimtui4872
@amosimtui4872 13 дней назад
Daaah R.I.P mwambaaaaa😢😢😢😢
@mwinyihamisidee5813
@mwinyihamisidee5813 5 месяцев назад
Its march 2024 still listening to this beautiful masterpiece from mandojo ft domo🔥🖐️
@user-qu4wq5us8d
@user-qu4wq5us8d 8 дней назад
Nasikitika Sana namkubali Sana man dojo mungu ailate loh Yake pepon amen 🙏
@allyjumaally8353
@allyjumaally8353 3 дня назад
Hii nyimbo inagusa maisha yangu
@lucymgonja3734
@lucymgonja3734 7 месяцев назад
Hii nyimbo ina vibe yakee ina penya adi kwenye moyoo an..... Nakubal sanaaaa
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 10 дней назад
Huu ndo urafiki wa ukweli walikua nao RIP mandojo 🕊️
@RamadhaniJuma-re7be
@RamadhaniJuma-re7be 18 дней назад
wahuni wametupiaa full kombatiii
@mariahwayesu7312
@mariahwayesu7312 Месяц назад
Mika mwamba aligonga beat humu daaah
@EmmerMacher-e3w
@EmmerMacher-e3w 13 дней назад
Ngom kariiii r.i.p mandojo
@geofreymwamengo
@geofreymwamengo 4 дня назад
Jamaaa watisha kinoma
@hudhud5669
@hudhud5669 9 дней назад
Mm nasikiliza Ngoma Kali hii yakitambo
@willehardkimbi5645
@willehardkimbi5645 4 месяца назад
Ukiona hii comment, I like ili notification inirudishe hapa kusikiliza mziki mzuri
@ronaldreagan7772
@ronaldreagan7772 3 месяца назад
Sku understand mtoto wa jirani kukomaa sura Wengine wamekonda mfano wa astaghafirulah 😂😂
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 11 дней назад
Daah mex wamoto sana hiyo beat kali sana
@cassytv9995
@cassytv9995 2 года назад
Mandojo ni fundi na sijui kapotelea wapi😓😓😓
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 9 дней назад
Verse moja ya kibabe sana... R.I.P LEGEND
@Mkingacomedian6010
@Mkingacomedian6010 11 дней назад
🎉🎉🎉jamaa alkuwa anajua kiukwelii
@nicholaskobelo8748
@nicholaskobelo8748 Год назад
Verse moja tuuu ila ujumbe kila mstari this generation was blessed.
@allypharahani2168
@allypharahani2168 13 дней назад
Jamaa ameuawa 10 August 2024
@loitolaisser3040
@loitolaisser3040 2 года назад
Naikubali sana ngoma since day 1 naijua mpka nikawa natunga na verse zangu 🤣🙌🏾
@Domokaya
@Domokaya 2 года назад
😃😃
@anethmweya7317
@anethmweya7317 11 дней назад
RIP bro 😢,japo nilikuwa cijielew vizr but beat za nyimbo zako hazitopotea kamwe.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 7 месяцев назад
Dah! Hili PINI HILII✊👊!!!
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 8 дней назад
Watanzania tukukumbuka sote hasa wapenz wa muziki
@sebastianmpepayena5587
@sebastianmpepayena5587 Год назад
Baba mbona ukanikimbiaa🙌🙌🙌🙌
@damasmangole2604
@damasmangole2604 13 дней назад
Pumzika kwa Aman man ndojo, safari ni yetu sote nasisi tutafuata. Kazi zako bado zipo hai ahsante kwa hii kumbukumbu ulio tuachia. Kazi ya Mungu haina makosa.
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Год назад
Hio verse ya kwanza ni noma sana,ndefu nzur
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 10 дней назад
Your combination was good brother doh
@abrahamkapungwe1856
@abrahamkapungwe1856 11 дней назад
Mandojo kweli umekufa kifo kikali shujaa wa bongo flava..R.I.P
@edwinelias8554
@edwinelias8554 7 дней назад
Tulikuja kuisikiliza huu wimbo baada ya man mandojo kuumaliza mwendo tujuane kwa like 2024
@mussajafarisideboy-lt2vp
@mussajafarisideboy-lt2vp 11 дней назад
Poleni sana ndugu marafiki na majamaa wote tulimpenda sana mungu kampenda zaidi mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema pepon amin
@kevinevans9923
@kevinevans9923 Год назад
Absolutely the most lyrical poetry masterpiece from bongo land😮❤
@mamachris6811
@mamachris6811 10 дней назад
Wenye music mzuri hupotea hivyo tu 😳😳
@latifsahib7110
@latifsahib7110 2 года назад
Jamaa ni wakali wa storytelling... Hatari sana
@anniebismarck4696
@anniebismarck4696 Год назад
Old is Truly GOLD😅🙌🏽, I wish siku zirudi Kama zamani😭
@asadsuleiman6719
@asadsuleiman6719 Год назад
Life was so much better in them days wenit?
@anniebismarck4696
@anniebismarck4696 Год назад
Surely 😢
@mazy4784
@mazy4784 6 месяцев назад
2024 hii trak 🏆🏆🙌🙌
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 10 дней назад
😭😭😭😭Ila Tanzania tumekuwa na roho ngumu kiasi hiki😭😭😭😭unampiga mwenzio mpaka unamuua😭😭😭😭😭😭Mungu tusamehe🙏
@KennyGaudence
@KennyGaudence 11 дней назад
Dah I wish ningekuepo buda hata usingeguswa man dah tunazidi kupungua
@Hballenmusic
@Hballenmusic 10 дней назад
moja ya nyimbo ninayo ipenda sana rest in peace mandojo
@theosimba283
@theosimba283 13 дней назад
RIP mandojo…… biggest fan
@marklekasango9300
@marklekasango9300 12 дней назад
Hii goma ilikaa nafasi kwanza mda mrefu dah. R I P
@venancemasegese9953
@venancemasegese9953 2 года назад
Morden singer igeni mziki mzuri toka huku.kwa wakongwe.... Hizi mara paka mate pitisha kwa chini .ni majanga matupu
@Domokaya
@Domokaya 2 года назад
🙌🙏 respect
@Istqamagrapher
@Istqamagrapher 25 дней назад
Bong moj la ngom i wish leo ungekua katik mafanikion makubw kwa kaz bor uliy fany bro
@Jackjuneart_tz
@Jackjuneart_tz 4 месяца назад
Ngoma kali sana story nzuri naisikiliza 2024 /3/30
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 года назад
What a song ... They don't songs like these nowadays, wote wanaishia na nyimbo za tambo na mademu.
@thomasedward2125
@thomasedward2125 Год назад
katika ngoma zinaongea maisha yangu hii ni moja wapo from way back
@youngtone4333
@youngtone4333 12 дней назад
MIKA MWAMBA HUYU PRODUCer alikuwa mzungu walimzingua waki p funk na huyu wa m j
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 11 дней назад
Dah! 𝐌𝐚𝐧 𝐍𝐝𝐨𝐣𝐨....Hii ngoma inankumbusha mbali sana na apa ndo umetutoka🤐😭
@isaacgichuki4044
@isaacgichuki4044 Год назад
From Nairobi Kenya... Siii hii ngoma ilikuwa Kali... Still a banger!!
@juniorjotham1524
@juniorjotham1524 2 года назад
Duh bongo fleva imekufa jaman One among the best track ever
Далее
Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
5:05
Х.евая доставка 😂
00:23
Просмотров 640 тыс.
Mandojo & Domokaya - Wanok Nok
5:00
Просмотров 338 тыс.
daz baba nipe tano
4:06
Просмотров 174 тыс.
Banana Zoro - Zoba
7:43
Просмотров 1,3 млн