Тёмный

MANDONGA AMVAA HASSAN MWAKINYO KUMCHEKA TWAHA KIDUKU/YEYE MBONA HATAKI KUPIGANA NA TWAHA KIDUKU/ 

JEMBESPORTS
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 125   
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Huyu jamaa yeye hua yuko wazi sana hanaga bifu na mtu, hata akipigwa hana shida yani chuki hana kabisa kama umemuelewa, ana furaha ya moyo tu❤
@ramadhanmsangi4676
@ramadhanmsangi4676 Год назад
Mandonga umetisha sn mwakinyo siyo bondia wa Tanzania 😀😀😀😀😀😀unapita nae kweli mandonga noma
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 Год назад
Aah Mwakinyo mwambaaaa💯
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x Год назад
Wew boya kuwa makini haustahili hata kulitaja jina la mwakinyo maana yeye ni super proffesional
@vannyeddo-gm2dm
@vannyeddo-gm2dm Год назад
Mpuuuzi huyooo mwandishiii mwakinyooo kafanyaje sasa hapo Mwakinyoo bingwa wa Tanzania
@theodorycharles
@theodorycharles Год назад
Huyu maandishi kilasiku anamuongolea Mwakinyo kwa ubaya sana
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Mueleweni mandonga msimlewe😂😂😂😂 kipenzi cha watu Mandonga
@AbbasMwakichui-db9tn
@AbbasMwakichui-db9tn Год назад
We muandishi mchochezi sana. Nakufuatilia hakuna siku usiomtaja mwakinyo kwa ubaya sijui shida yako nn na hasan mwakinyo
@mlekwa
@mlekwa Год назад
Ngoja waje wampe left moja tu ndy atakoma
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Bila mwakinyo interview zao aztoenda ndo Mana wanakuwa Kama manyumbu
@ramamwaliza6135
@ramamwaliza6135 Год назад
Ndy maana namkubali sana Somba Somba the best anajua kuhoji maswali muhimu sana sio hawa waandishi maandazi
@ramamwaliza6135
@ramamwaliza6135 Год назад
Ndy maana namkubali sana Somba Somba the best anajua kuhoji maswali muhimu sana sio hawa waandishi maandazi
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Hahahhahahahhaha😂😂😂 mwakinyo amjui kbs
@Salimajeeb
@Salimajeeb Год назад
Hawes kupigana na mwakinyo atauliwa uwanjan
@athumanhatibumkombolaguha
@athumanhatibumkombolaguha Год назад
Mnahoji muathirika wa ngumi, hamujui Mwakinyo bado anakizungu zungu cha ile ngumi ya Golola,
@cclaudeshilling957
@cclaudeshilling957 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bondia huyu sio mtanzania alishalikataa taifa lake🤣🤣🤣🤣🤣
@PauloPetro-d7q
@PauloPetro-d7q Год назад
Mwakinyo ni mwamba💪
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Год назад
watz tunaroho mbaya sana yaaani mandoga anamchukia mwakinyo sio sababu ukwel mwakinyo kausema ila watu hawapendi ukweli mwakinyo ww pambana na yako achana na yawatz
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Год назад
Wasenge wanamuogopa mwakinyo waende bc
@saidabdallah-tu7qh
@saidabdallah-tu7qh Год назад
Mtangazaji mchochez choko tu
@jumanyangonyani-tr2lq
@jumanyangonyani-tr2lq Год назад
mandonga ni moto mkubwa sana
@mussakilo4916
@mussakilo4916 Год назад
Mandonga akipigwa kichwani dah ni kama bata ukimgusa tu chali
@allykarupa1411
@allykarupa1411 Год назад
Mabondia wengine wabongo wanawivu na mwakinyo. Hatakamahamumjui lakininikweli amefikambali kwajuudizake. Nanikamsaidi
@SADIKIMUYA
@SADIKIMUYA Год назад
Mimi kinachonikera kwa mwakinyo ni dharau tuu,lkn bondia mzuri
@user-ty7zt8ei5l
@user-ty7zt8ei5l Год назад
Mnaongea Sana kwanza mwakinyo sio saizi yenu kuona kama hamumuwezi mnapeana kampani hata kumzungumzia kama we mandonga hata mm nakuweza
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
Ndyo mumshawish akupgana tumalze ubish tujue nan mkal kati yao
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Год назад
Kwanii amuwezi maliza mahujiano yenu mpaka MWAKINYO
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 Год назад
Mwakinyo itisha pambano na huyu mwehu umkande vzri,siku hizi yeye ni wa kupigwa tu😂😂😂
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
Haina haja ya kutafuta huyu atampga tunajua amtafute twaha pale kidogo uzan unaendana
@user-ih6lm8jt3q
@user-ih6lm8jt3q Год назад
Mwaakinyo atakuuwa
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Год назад
Wewe tahira unatuzalilisha chizi wew
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Год назад
Bro Mandonga nakukubali sna ila nakuomba kutokana na umri staafu ngumi kula vyako tu
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 Год назад
Ulianguka kama mwembe kibuno ukaweka juu😂😂
@roi2553
@roi2553 Год назад
Mandonga hamjui mwakinyo ukuu😂😂😂😂
@SlumSaad
@SlumSaad Год назад
Ana chuki
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 Год назад
😂
@kennedysteven9957
@kennedysteven9957 Год назад
Mwakinyo brandi kwanza kama asipoandikwa mwakinyo hakuna anaengalia kunanini anawasaidia sana kupata watazamaji nanyie muonekane mnataamwa
@chingychingy2066
@chingychingy2066 Год назад
ndo nani uyooo daaaah😂😂😂
@user-ll2fd4jw7e
@user-ll2fd4jw7e Год назад
Mandonga ana jizima data rakini nawey mwakinyo hato mjua sasa mtu kirasiku anabondwa arafu apigane na mwakinyo mandonga usitadute kutuletea msiba nyumban sie katafute wakupigana nae broo mwakinyo muache
@petrochikawe1797
@petrochikawe1797 Год назад
Upigane na MWAKINYO 😃😃😃
@JumaNguchiro
@JumaNguchiro Год назад
Watot watanga uwawezi ngumi asili ngumi kazi
@AbdallahSaid-e1r
@AbdallahSaid-e1r Год назад
Mnganda hana rorote hajuiy ngumi
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 Год назад
Mandonga kavu Yani acheki eti simjui simjui 🤣🤣🤣👊
@user-ll2fd4jw7e
@user-ll2fd4jw7e Год назад
😂😂😂😂kumbe unamfuatilia mpaka unajua unajua mpaka anapo tokea usitupumbae 😂😂😂yani unajuampaka kwao 😅😅😅 umanga kote uk
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Год назад
Mwakinyo level ni ya kimataifa hawezi kuendelea kupigana na watu wa Ndani tena elewa hilo
@user-ih6lm8jt3q
@user-ih6lm8jt3q Год назад
Utakufa kwa mwaakinyo
@marisirogamaris1017
@marisirogamaris1017 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 nitpigan paka yesu azaliwa mara y pili duu madongo n hatar ww ndyo utkufwa mar kwanza xx
@charugamba218
@charugamba218 Год назад
Mandonga wewe noma hivi ni kweli humjui Mwakinyo . 😂😂😂😂 et! Siyo mtanzaniaHajui taifa lake duh! 😂😂😂😂
@abn8331
@abn8331 Год назад
Acha wapigwe tu,Sio Mwakinyo tu alitefurahi hata mimi nimefurahi sana,mabondia wa mchongo hawa,,,na wakikutana na mabondia wazuri watapigwa sana tu
@salmamzashi3609
@salmamzashi3609 Год назад
Man packiao unamjua
@GasperMwangede-nb8yj
@GasperMwangede-nb8yj Год назад
Kwanza we unataifa ww mwenye taifa ni mamaenu mama samia matako ww
@Sxllxvio_wrld
@Sxllxvio_wrld Год назад
Kaka anamuogopa mwakinyo tangu amepigwa😂😂😂
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Год назад
Mwakinyo ndo champez one
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Год назад
Kama mnapromote mabondia kama hawa wakina mandonga hawana skills, safari itakua ngumu kufika
@user-lj3gn8xx4w
@user-lj3gn8xx4w Год назад
ujue kila mtu husema kwa mtazamo wake ila mashabiki sisi huwa ndio tunajua nan bora wabishane lakini aliye bora tutamjua tu
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Год назад
Mandonga unaitaka kifo kwa mwakinyo
@benjo_brighter
@benjo_brighter Год назад
Na wewe uende Uganda ukiwa umevaa shanga pia 😂😂😂 Sema kumkana Mwakinyo kwamba humjui,hapo braza umeua 🤣🤣🤣🙌
@bonifacemizambwa2251
@bonifacemizambwa2251 Год назад
Uyo mwanamitindo siyo bondia kazi kujipodoa na kuvaa vinguo vya kishoga tu harafu maneno mengi kama shoga bwana
@charlesmihuwa6287
@charlesmihuwa6287 Год назад
Tuwasiliane Mandonga Mtu Kazi nikupe siri ya wewe kupigwa kwako na hutopigwa tena..
@abasiismail8495
@abasiismail8495 Год назад
😅😅😅
@patrickalfred3680
@patrickalfred3680 Год назад
Eversing everyday
@Seluh_classic
@Seluh_classic Год назад
Kumbe mandonga bingwa alaf hamtuambii kbsa 😅
@AngeliJoseph-es9hi
@AngeliJoseph-es9hi Год назад
Mwakinyo ni mpuuzi tu apgane na watanzania aone moto
@yohanayohana377
@yohanayohana377 Год назад
Mandonga usiende kupigana ugenini kamanyumbani umepigwa ugenini huwezi kushida yule jamaa kakuzidi
@kennedysteven9957
@kennedysteven9957 Год назад
Wewe mandoga tunaamini kila mtu atakufa lkn siku yakujichanganya ukapigana na mwakinyo siku hiyoyo kama utabahatika tena kuishi basi hutasikika tena maana utakuwa chizi... Watanzania hamna uzalendo mtu akikuzidi mwombe akupe mafunzo .
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂simjui uyu 😂
@charlesally6028
@charlesally6028 Год назад
Mtaishia hivyo hivyo tu
@BakariMwachonje
@BakariMwachonje Год назад
Ndo ttzo letu ukiwa na mafanikio tu kila mmoja analake lazima tulijue ilo
@mohammedihamisi3493
@mohammedihamisi3493 Год назад
mmanga mandonga fala utakufa
@dr.iddymswakiundp6248
@dr.iddymswakiundp6248 Год назад
Madonna mjinga tuu kauguze maumivu tuu bregenz weee
@KahawaHouse-qt9bt
@KahawaHouse-qt9bt Год назад
Endelea kunya tu hapo mwakinyo atakuua
@athumanikingi-ll9nj
@athumanikingi-ll9nj Год назад
Ety hamjui😅😅
@MaweniMwinami
@MaweniMwinami Год назад
mandonga untakakufia Kwa watu
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og Год назад
Mandonga bondia sio mwalim wa ziada
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Ila mandonga wa unganda syo mchezo apge zoez kweli tkalpze ksas Ila syo kwa maneno
@charlesally6028
@charlesally6028 Год назад
Taifa limepata aibu sana
@bonifacemizambwa2251
@bonifacemizambwa2251 Год назад
Mie kwakweli na mandonga simfahamu kwani ni muimba taharabu au nani?
@michaelkilango9300
@michaelkilango9300 Год назад
Mwakinyo nibondia mzuri ila tatizolake aachekuwadharau mambondia wa nyumbani ukubwawake utumike kuwasapoti sio kuwabeza kupigwa nikawaida yeye aliuzamechi akaxingizia kuibiwa nakujizaririsha kulialia kwenyemitandao
@adammswaki703
@adammswaki703 Год назад
Acha wivu choko mmoja
@GasperMwangede-nb8yj
@GasperMwangede-nb8yj Год назад
Ww acha kulopokalopoka kama umekunywa pombe ndomaana mwakinyo anakataa anasema awezi kupigana na warevi mmoja wapo ni ww na wenzako wanaondisi mwakinyo sio levo zenu mkatae mkubali ukweri atabaki hivyo
@hamidaabdillah5190
@hamidaabdillah5190 Год назад
😂😂
@k.ayubutv5146
@k.ayubutv5146 Год назад
Anataka kufa mandonga
@user-su1iw1dn8u
@user-su1iw1dn8u Год назад
Wwe mwandish mchochezi xana
@fauziasenkondo7022
@fauziasenkondo7022 Год назад
Wewe akili huna ......una pigo za Bata ukipigwa kichwa unapoteza mwelekeo
@bakarmustafa
@bakarmustafa Год назад
Mandonga we we nimwanamke tu huna lolote kaz maneno tu
@sarahkalinga2522
@sarahkalinga2522 Год назад
Huyu mwakinyo ndo alipegwa ulaya akakamatwa na uchawi??
@soonvetcveterinary
@soonvetcveterinary Год назад
Kazi unayo kwa huyo bondia
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Год назад
Tanzania bondia ninaye mkubari mwakinyo rufiji apa ikwiriri wengine maemctu
@christophermanyaku1390
@christophermanyaku1390 Год назад
Chizi huyoo
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
5:40 mandonga kategwa akategeka..kabla alikataa hamjui mwakinyo
@mussamajisu9781
@mussamajisu9781 Год назад
Wivu mshapigwa tayar nendeni mkapige debe wacheni bang'ang'a
@pilatomwambujule4634
@pilatomwambujule4634 Год назад
Huna nyimbo ni wivu tu,ila sio lazima wewe umjue kikubwa wapenzi wa boxing tunamfahamu
@user-on5up6bi6u
@user-on5up6bi6u Год назад
Jamaa anaongea point huwez kulikataa taifa lako kisa MAFANIKIO huo ni ujinga
@mohammedihamisi3493
@mohammedihamisi3493 Год назад
usinilewe😂
@user-fq9wr8iy8j
@user-fq9wr8iy8j Год назад
😂😂😂😂
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 Год назад
Duuu
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Год назад
Mamndonga yupo sawa
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
Mandonga K. Yani USO tuu unaonekana tuu unajishtukia eti umjui mwakinyo
@nuhu6949
@nuhu6949 Год назад
Mamudogo huyo
@MaskoRubz
@MaskoRubz Год назад
mama mdomo madongo has too many unnecessary words,golola will beat you again if you continue shouting
@user-ru8kc6wf1g
@user-ru8kc6wf1g Год назад
Acha usenge wewe tunataka ushindi acha mbambamba
@morrisalascas5124
@morrisalascas5124 Год назад
Mandonga ww sio bondia kabisa..usijaribu kuchukua fight na mwakinyo ..hio ndio itakua fight yako ya mwisho period
@stanastana3199
@stanastana3199 Год назад
Eti mandoga hamfahamu mwakinyo,ama ni masihara
@HassanNapalamula
@HassanNapalamula Год назад
PROPAGANDA ZA MANDONGA SIO MCHEZO
@omarmwabege
@omarmwabege Год назад
😂
@jummane3306
@jummane3306 Год назад
Mandonga umeishiwa huna lolote umegongwa
@rajabujumbe7914
@rajabujumbe7914 Год назад
Mandonga nenda kajifunze ngumi wewe bado hujui kupigana
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og Год назад
Mandonga mwamba
@hermankihwili1095
@hermankihwili1095 Год назад
Nina amini mandonga ume shinda mana jamaa alikuwa round ya kwanza tu alikupiga ngwara arifu duuh yule solo ana kumbatia habariii ebu rudiana naye tena usikubali akukumbatie tena
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@antonyfrancis9696
@antonyfrancis9696 Год назад
Mti wenye matunda ni mwakinyo Mta subili sana ila wakati Wa mungu uta wajibu hao wenye chuki nae Wana lazimisha kula jasho lamtu Kwa kupenda mseleleko mwenzao kapambana kufika pale yeye kama anamjua kiongozi wangumi aliye mfikisha mwakinyo pale mataje bule ya ghari iyo bule ya mandonga ita mgalimu asione panchi zinazo mkuta nawatu wanafurahi kuwa Wana mpenda tutapata jibu aendelee kupandikiza chuki Kwa mabondia wenzake kumchukia mwakinyo ilamm naamini mwakinyo ata wanyamazisha siku Moja kwakuto kukipenda chetu niwivu tu una wasumbua wengine SIwalipata nafasi kama ya mwakinyo mbona awaja jiblandi wengi tu mlipata nafasi mkazi chezea Kwa kuwasikiliza wasio penda mafanikio yenu Leo mnaona mwenzenu aliziba pamba masikio Kwa kujua anapotoshwa akafaiti katusua mnamuona daui mwakinyo mungu akutangulie ktk pambano lako la mwezi Wa nane akuondolee chuki na Vikwazo vyote utakavyo kutana vyo mtangulize mungu napia muombee Kwa mungu shabiki yako Namba Moja aliyekuwa na mapenzi ya zati kutoka moyoni nyakati zote ulizopitia mapaka Leo apo ambaye shabiki uyo ndiyo ninae mjua ambaye asinge weza Kuku saliti kama awa wasio lijua walitendalo shabikiuyo ninaemjua mimi shabiyako Namba Moja mwakinyo alikuwa ni malem Mama yako jua binadamu tume jiwekea chuki kwenye mafanikio ya mtu alafu chuki yenyewe Wa aimsaidii kaka kazabuti uwezi kupendwa na wote shukulu maaduizako mungu kakuletea azalani
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 Год назад
MANDONGA HATA GOLOLA ALIKUWA HAMJUI ILA KWASASA ANAMJUA VIZURI IPO SIKU UTAMJUA TU
@jonaycemoshi7261
@jonaycemoshi7261 Год назад
Acha uongo!Eti humjui Mwakinyo anaejulikana duniani?Shame on you
@mkonojr53
@mkonojr53 Год назад
Kama humjui mwakinyo basi huna sifa ya ubondia
@charlesally6028
@charlesally6028 Год назад
Humjui bingwa wa tanzania wewe ni muongo huo ni wivu tuu unamsumbua
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 Год назад
syo mandonga tu ata mm simfahamu mwakinyo nimemjua baada ya kupingwa twaha zile post zake ndio nikamjua jmn
@fettyabuu2644
@fettyabuu2644 Год назад
Hapo mwakinyo kajaje maana yeye shindano halimuhusu
Далее
Сколько стоят роды мечты?
00:59
Просмотров 139 тыс.
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 314 тыс.
Сколько стоят роды мечты?
00:59
Просмотров 139 тыс.