Тёмный

DAAH HASSAN MWAKINYO AMJIBU TWAHA KIDUKU "NYIE BADO SANA HAMNIWEZI " AMTAJA MFAUME MFAUME 

SIMAMIA TV
Подписаться 53 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@edyedy3391
@edyedy3391 Год назад
Safi sana bro tuko pamoja nawe M/Mungu akulinde
@selekijazi4310
@selekijazi4310 Год назад
Safi sana mwamba unacho unacho sema ndio uhalisia na huo ndio msingi wa mtuu anae jiamini ndugu yetu champezzz hakuna bondia hapa nchini wa kufanana na wewe Kama Kuna mtuu anabisha ayakanyage Tanga tunalinga sana na wewe mungu akujalie achana na huyo mapafu ya panzi ni mwimba taarabu
@nuhumabenanuhu2989
@nuhumabenanuhu2989 Год назад
Sawa sawa kaka nakubali
@user-xk7vp6ie5i
@user-xk7vp6ie5i Год назад
W bondia mzuri tatizo una maneno ya kike sana, wanaume hatupo hvyo
@jamalisebarua9594
@jamalisebarua9594 Год назад
Maneno yakike nikama yapi ndugu tuwambie
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 Год назад
Unamfahamu Mohammed Ali? Unafahamu kwamba alikua anaongea maneno ya shombo enzi za ujana wake wa ngumi? E ifike pahala sasa muelewe hizi ni ngumi na ngumi kuwa na maneno ya shombo ni sahihi kabisa.
@KhalifaMbeteni
@KhalifaMbeteni 3 месяца назад
Wewe ndio Tanzania one
@ramadhanirashidi4175
@ramadhanirashidi4175 Год назад
Nakubali unajiamini sana na huna hofu na mtu
@BON357
@BON357 Год назад
Mbona uyu mwakinyo uweleki
@FrankTadei-dm5he
@FrankTadei-dm5he 11 месяцев назад
Ww mwakinyo sisi atutajie ujekupigwa useme viatu vinanibana mshamba tu
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 5 месяцев назад
Waziri wa michezo ajae ni mwakinyo sa mwingine umemuona wapi ???
@BON357
@BON357 Год назад
Msambaa akipata
@reginaldstephen7712
@reginaldstephen7712 Год назад
Sasa ww mwakinyo unasema umesimama wakati umekaa.simama sasa
@hishamally4846
@hishamally4846 Год назад
Huna jipya vigelegele vingi tuu wewe kitumbuwa tuu zarau nyingi
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 Год назад
Hom boy
@ramadhanirashidi4175
@ramadhanirashidi4175 Год назад
Hahahaha mapafu ya panya nani ana mjua
@user-pv1wm5jn4c
@user-pv1wm5jn4c Год назад
W usitukan watu
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Год назад
Ulingoni unajitahid tatizo lako maneno mengi kama mtoto wa kike ulipigwa na kaonekana umepata jina baada ya kupewa mabondia ndizi mbona hutaki pambano,huna mafanikio zaidi ya kuwa muuza mgahawa
@jumahatibu9240
@jumahatibu9240 Год назад
We unafanya kaz gan
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 Год назад
@@jumahatibu9240 kama yako
@thadeusmahendeka4466
@thadeusmahendeka4466 Год назад
Unamfahamu Muhammad Ali? Unafahamu kwamba alikua anaongea maneno ya shombo enzi za ujana wake wa ngumi? Ifike pahala sasa muelewe hizi ni ngumi na ngumi kuwa na maneno ya shombo ni sahihi kabisa.
@HashimSaidi-qd5dl
@HashimSaidi-qd5dl Год назад
😂 kwani kakataa kupigana baasi! Si kawaambia waende Jiym watamkuta tena waende na waandishi wa habari
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Год назад
Ndicho alichopewa naa mungu na anashukuruu mungu kamvisha.....sasaa wewe duuhhh..mwakinnyo pigaa kazi
@BON357
@BON357 Год назад
Anazalau uyo msambaa
@allydebarber5650
@allydebarber5650 11 месяцев назад
Sasa we na mwakinyo nani msambaa😂😂
@Marjeby
@Marjeby Год назад
Mvaa vikuku wewe tarabu nyingi vitendo ziro fala wewe
Далее