Тёмный

MANENO RICH MITINDO WOLPER ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI 

Bona Tv
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 183 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MANENO RICH MITINDO WOLPER ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI
#Bonatv #Exclusive #wolper

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 147   
@umfahad2609
@umfahad2609 3 года назад
Jack hongera saana. Huyu kijana cmjui. Ila anaonekana ni mstaarabu saana. Na anajielewa. Nakuombeeni muowane na mlee mtt wenu vizuri. Nawapenda saana. ❤️🇴🇲🇹🇿
@jasminayub5298
@jasminayub5298 Год назад
Mashaa Allah Wolper idumishe ndoa yako pamoj na kaka yetu
@jullypendo966
@jullypendo966 3 года назад
Mi pia nalia nahata sijui nalia mm nawapenda sana mama p na baba p mungu awape upendo usio na mwisho 😘😘😘🙏🙏 mpaka naumwa na kichwaa yaani kwakulia aki nawapenda bure
@hidayaally7059
@hidayaally7059 Год назад
🤣🤣🤣
@afsarazia831
@afsarazia831 2 года назад
Congratulations Wolper kiwukwel namimi pia nimejikuta macoz yanitok , sio kitu raisi nawomba Mungu awatunziy pendolenu
@winnieumanzi5572
@winnieumanzi5572 Год назад
A man of respect and very big respect even from Kenya we love Tanzania 🇰🇪 we love you wolper and richy
@zenakioga6567
@zenakioga6567 Год назад
Hongera Richi napenda unavyomuangalia worper yaani unajiamini unafurahia chaguo lako hakika mpendane milele
@binti_jannet
@binti_jannet 3 года назад
Congratulations, God's time is the best🙏🇰🇪🇺🇬
@asinathmuhidini4046
@asinathmuhidini4046 3 года назад
Ilove ma p love ba p. Mungu awape wepesi awaepushie vijavi javina mungu awape wepesi. Kuepukane na mabalaa ya dunia mana dunia sio mbya walimwengu ndo. Mikosi. Ya dunia. Nawapenda sana.
@queentoto3878
@queentoto3878 3 года назад
🥰🥰🥰🥰munaendana kwakweli na vile munapanda kuvaa miguo mikumbwa
@nellyflo9736
@nellyflo9736 3 года назад
Gods time is the best.❤🙏🏻❤🙏🏻keep going my favorite model.queen Wolper.
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 3 года назад
MashaAllah hongera
@habibatyntosso1436
@habibatyntosso1436 3 года назад
Ila wengi wamemchezea sana Jack ila hapa I hope kapata kijana anajielewa hongereni
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Saaana aisee
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 3 года назад
Mungu akubariki jack, kweli siku imekaribia ya furaha
@samwa9496
@samwa9496 Год назад
huyo ndio atatulia maana zote anazijua
@jescahaule4802
@jescahaule4802 Год назад
Jackrin mpenz hongera baba p hongera kwa upendo wa dhat
@judithmakuto3612
@judithmakuto3612 3 года назад
Hongera Wolper kwa kupata Mume Keepitup!
@superdeeboy6100
@superdeeboy6100 3 года назад
Ongeren san na ongera san richi uko vizur upendo wenu mungu awabarik mfike mbali san❤❤😙😙nalia pia ata mim jomon
@aishamother9943
@aishamother9943 Год назад
Yani hadi raha
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 3 года назад
Mi naomba irudiwe 😄😄😄
@stn4873
@stn4873 3 года назад
Mtaalam GARA B kubwaaa. Hii hazina hii serikali siku ikupe kitengo ikulu pale kwenye suala la kipaza.
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 Год назад
Huyu kaka yupo romantic sana mashallah
@tatuseleman7303
@tatuseleman7303 3 года назад
Wamejua kunliza jaman huyu mkaakaa ana upendo mungu awasimamie
@fettylusewa7620
@fettylusewa7620 2 года назад
nawapenda sana♥️ yaan nmejifunza kituu kutoka kwakoo wolper wewe ni jasiri sana
@lucysimon5013
@lucysimon5013 3 года назад
Nimependa sana neno LA mwisho ulilo liongea
@fatumayusufu1706
@fatumayusufu1706 3 года назад
Sa mbona unanitoa machozi mpka mm mama p
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Hongereni Ant Ezekiel na jack maana kunakipindi mlikuwa mnadaiyana pesa za vikoba mpka mkawa mnadharirishana kwa mitandao mnatupiana maneno ila Nimefurahi saivi mpo pamoja Mungu Awatunze
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Sio_na_,jack_waligombana_na_shemsa
@malekahmm7502
@malekahmm7502 3 года назад
@@habibakhalfan1065 najaki walitupiana maneno mabaya kabisa
@habibahabiba7128
@habibahabiba7128 3 года назад
@@habibakhalfan1065 wolper, aligombana na aunt na shamsa
@annrobin9291
@annrobin9291 3 года назад
Usituharibia mchele bna
@ashurajay4839
@ashurajay4839 3 года назад
Aise katika wote walitambuwa kitu kizur katika hii inshu wew niwakwanza aise mm nilikuwa nushasahau Kama aunty na wolper waliwah kugombana
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Kiasi ulie kwa furaha My
@dayanachia2878
@dayanachia2878 Год назад
Rich n hb sana
@ndugumwananchi5644
@ndugumwananchi5644 3 года назад
Jack umejipodoa sana bhanaaa,,, hadi umeonekana mzee
@mamaconde8588
@mamaconde8588 Год назад
Why you people always judge people ?can't you be happy for her at list today ?
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Год назад
Hongera kwenu jmn muendelee kupenda kwa dhati mungu awe na nyinyi ktk kila hatua
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 4 месяца назад
Good ❤
@agnesssimba6929
@agnesssimba6929 Год назад
Hongereni sana
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 года назад
Ant nakupenda sna pia umependeza natamani naww ckumoja mzazi mwenzio ulie nae ssahv naww akuvishe Pete na muwe mke na Mume.
@gracengunga348
@gracengunga348 2 года назад
Jack hongera umepata mme mzurii dear
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 3 года назад
Hongera sana jacq Mungu awaongoze ktk hatua zenu
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Anty Ez Safi Sana kwa ushauri jambo la kheri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kennyseleman4623
@kennyseleman4623 3 года назад
Mmmmh. Mnachekesha kweli ingekuwa ndoa ingekuwaje jamani. Uwiiiii mbav zang mieee
@aishamwinyi5048
@aishamwinyi5048 3 года назад
Wabaya si wote hongera sana rich
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 3 года назад
Vinachekesha 🤣🤣🤣🤣 kweli ustaa kazi kweli kweli 🏃‍♀️
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
😂😂😂MI nimecheka wewe
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 3 года назад
Mmmmh bongo move bana nakulia Pete yenyewe yapili hii
@ashatimo4666
@ashatimo4666 3 года назад
M p bwana unatuliza mnapendana 💋💋💋
@fettylusewa7620
@fettylusewa7620 2 года назад
Yaan Mimi nataman nicomment Mara mia😃
@btylove1870
@btylove1870 3 года назад
Mashaallah hongereni🔥
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 года назад
Huyu Kaka mzur jmn mweeeeeh
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 3 года назад
Walai mzur Alafu anaonekana kichwan kupo Vizur Jack kapata mtu
@teychriss3248
@teychriss3248 3 года назад
Soo touching!!
@sofiamilanzi1387
@sofiamilanzi1387 3 года назад
Waoooh ongera
@neemaphanuel7007
@neemaphanuel7007 3 года назад
Jaman irudiwe
@nafrajuma2886
@nafrajuma2886 Год назад
Jaman nimelia
@majidbabalao676
@majidbabalao676 3 года назад
Nawapenda buree loveeeeee uuuuuu ny'ang'any'ang'a
@aureliamapunda6568
@aureliamapunda6568 3 года назад
Asije akapaa tu Jack iyo blouse km parachute
@sueherman6980
@sueherman6980 2 года назад
😂😂😂
@gracethomas683
@gracethomas683 Год назад
😂😂
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 года назад
Masha'allah kijana ana busara
@teddylameck21
@teddylameck21 3 года назад
Jackii ausikii joto 😀😀ilo wigi sasa ila ongera Mungu awatangulie
@triphoniaenock1741
@triphoniaenock1741 3 года назад
😂😂😂😂😂🤣
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 Год назад
Umeona wifi tu
@ndugumwananchi5644
@ndugumwananchi5644 3 года назад
Yan hayo manyweleee Jacky mmmm😂😂
@annahwislay7664
@annahwislay7664 3 года назад
Rich anapaswa kufahamu kuwa jack ni mwigizaji mzuri
@mzalendowaasili1727
@mzalendowaasili1727 3 года назад
ila jack kapata mume jamani yani asichezee bahati
@bablon3753
@bablon3753 3 года назад
😂🙌🙌
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Год назад
Jack hiyo Make up na hizo Nywele utazani PAKA wa Kiarabu 😂😂😂😂
@neemanyove9130
@neemanyove9130 Год назад
😹😹😹😹
@magrethmaurus7255
@magrethmaurus7255 Год назад
😂😂😂😂
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 3 года назад
Mashaallah ongereni sana
@winniejames70
@winniejames70 Год назад
👏👏❤️
@glorianikiza92
@glorianikiza92 3 года назад
Ongera
@gloryjulius1108
@gloryjulius1108 3 года назад
Rich mzuri
@flavianaludovick7830
@flavianaludovick7830 2 года назад
Kweli Mungu awabariki wafunge ndoa jamani.
@hildawilfred117
@hildawilfred117 Год назад
Mzuri sanaaaa
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 года назад
Walio cheka kama mimi tujuane please 🙏 😄😄😄😄😄😄😄😄
@annakbunga8377
@annakbunga8377 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 года назад
Uoe Sasa, hatutaki show off za kitoto hapa
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 3 года назад
Hongera mwaya
@amidjaja5695
@amidjaja5695 Год назад
🤔🤔🤔🤔🤔🤔kumbe kukosa bando nimkosi wallah nilikuwa nime pitwa
@sabrenazeroo6921
@sabrenazeroo6921 3 года назад
Mashaallah wolper
@mwanamisimatini5908
@mwanamisimatini5908 3 года назад
Wooh hongera
@salha6596
@salha6596 3 года назад
Jack umeniliza
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 3 года назад
Hadiraha
@irenemagreti5921
@irenemagreti5921 3 года назад
Mungunawa tangulie niwa chache sana
@angelamumo5253
@angelamumo5253 3 года назад
Cograts be blessed
@omanoman1371
@omanoman1371 3 года назад
Hongera sana
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Umeniliza
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 года назад
Hongera
@oliverbernard2033
@oliverbernard2033 Год назад
Mungu awatangulie,baba P ni mwanaume anayejitambua na mwenye upendo mwingi sana Kwa jack,na zaidi ya yote ana utu ktk nafsi yake
@joycemageta4876
@joycemageta4876 3 года назад
Mahar ilisha toka au
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 года назад
Anavyolia sasa Kama kweli hajui kilichokuwa kinaendelea😂😂 wasanii bhana
@mgenirama2305
@mgenirama2305 3 года назад
Alikua ajui kwani ukuskia
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Umeona ee halafu hyo Pete usikute niyake ila sio mbaya ni hapo tu anavyodai hajui 😂😂
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
@@mgenirama2305 wew hivi huwajui wasanii vizur ee ila sio mbaya iko vizur Bali a sijui hyo vip
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Dah so touching
@sanisani5266
@sanisani5266 3 года назад
😂😂Usilie frah mamy
@herieththomasi2282
@herieththomasi2282 3 года назад
Mumeo mzuri ongera ila kazanA KUMTUNZA
@charleswaryoba8859
@charleswaryoba8859 3 года назад
Mmependeza wote jack Maisha marefu na mme wako kaa utulie
@tinabellafashionz
@tinabellafashionz 3 года назад
🔥🔥
@faridashisiasaleh9839
@faridashisiasaleh9839 3 года назад
Kilio cha mamba
@zumlatykidoti1113
@zumlatykidoti1113 3 года назад
Ndowa za pete 2 mnaongoza
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 3 года назад
Jack,msanii_jamani_hiyo_sauti_jaman
@matildakejo7785
@matildakejo7785 3 года назад
Jack i like ubunifu wako wa mavazi hata natamani siku moja nishone nguo kwk ila duuh hayo mawigi yk uwage unajiangalia kabla utoke home km hilo la ck y engagement duuh hatari didnt fit u well
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
Na mimi nalia ila sijui nalilia nini jamani 😆😆😆
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@elizayanga9756
@elizayanga9756 3 года назад
@@mumyhendry2919 na mi nacheka cjui ata nacheka nn
@cristerthomasy4978
@cristerthomasy4978 3 года назад
Ha ha haaaaa phole....
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 3 года назад
Kaka akili imetulia hongera mama p
@hamiyukiruva6243
@hamiyukiruva6243 Год назад
Machozi ya furaha
@beatricelichoti5028
@beatricelichoti5028 2 года назад
Jacky yuko kama mdoli
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
😂😂😂Kumbe hujui sie tunaozalishwa na kuachwa hatuna hata 100sasa mwanaume asile mbuga kwanini,,, hongera but we mkubwa bwana usitowe machozi mwiko😂😂
@dianahemedy7239
@dianahemedy7239 3 года назад
♥️♥️
@wastaranachuli2999
@wastaranachuli2999 3 года назад
Nalia hadi mi😭
@yusuphpilion2465
@yusuphpilion2465 3 года назад
Mc gara B bwana utakuja kuwa shahidi wa wengi
@mwanaharusialifakifaki8716
@mwanaharusialifakifaki8716 3 года назад
Hongera ila ulipoweka hilo wigi naona kama
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
bora angebaki na kipara chake mweee
@catenzeki678
@catenzeki678 3 года назад
@@naimamunishi1241 😂😂😂😂
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 3 года назад
Kuwa staa ni tabu
@loyceackim4296
@loyceackim4296 3 года назад
Mbona Kama umealika wengi ni wadada?
@jenifaranthony869
@jenifaranthony869 3 года назад
Mablauzi yako tu sijui unayapendea nn nimeyaona Kama sita
@neemanyove9130
@neemanyove9130 Год назад
😹😹😹😹
@beatricelichoti5028
@beatricelichoti5028 Год назад
Kama.mdoli vili.ume pendeza
@ednahassan9362
@ednahassan9362 3 года назад
Izi mekap jaman sijui umekuwaje
@ashuuyusuf3978
@ashuuyusuf3978 3 года назад
Dress sasa ya wolper
@tresiakaovela9109
@tresiakaovela9109 3 года назад
Kwani mimi nalilia nini sasa
@miriam7186
@miriam7186 3 года назад
Mumeona pete ikifika disemba imevuliwa wasanii kwa kuzenguana
@hijrakassim304
@hijrakassim304 3 года назад
Maicooo
@vanessanuru9916
@vanessanuru9916 3 года назад
Ukweli ilo wigi alijakupendezaa na iyo mekap hapanaa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
Hata blauzi mana anaonekana kanenepa juu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
🤣🤣🤣🤣alivyomkumbatia nkasema mara litoke🤣🤣
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
MASANJA COMEDY INALIPA KULIKO UCHUNGAJI
36:21
Просмотров 2,1 тыс.