Тёмный
No video :(

MANENO YA BERNARD MEMBE KABLA YA KIFO CHAKE KUTOKEA | 🤔 

HB TV
Подписаться 697 тыс.
Просмотров 88 тыс.
50% 1

#BernardMembe
#has_billion
#has_billion

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Год назад
Akumbukwe doctor John Joseph pombe mangufuli 😢😥
@mellandc3995
@mellandc3995 Год назад
Daah Kumbe hulikua huna baya Mungu akulaze muheshimiwa
@Christopher-ns6cq
@Christopher-ns6cq Год назад
Huyu mzee nimemusoma alikuwa full hospitality r.i.p
@yegokubebekamugurus8072
@yegokubebekamugurus8072 Год назад
Kwaheri Mzee binafsi nilikukubali sanaaaaa
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Sijawahi sikitika kufa kwa mwanasiasa yoyote Tang zaidi ya membe inalilah wainnaillaih rajiun
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Membe mungu akulaze pema peponi Amin
@fransiscotsii2671
@fransiscotsii2671 Год назад
Ni mtulivu sana
@bonifacefaustine3075
@bonifacefaustine3075 Год назад
Mzee alikuwa muungwana sana huyu na mtu muhimu sana katika Taifa letu,Taifa limempoteza kiongozi shupavu na imara,Mungu aipumzishe roho yake mahala pema.pole sana kwa familia
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Mungwana gani wezi wote na kikwete wake kama mungwana nsiangemsamehe msiba
@happynelson1180
@happynelson1180 Год назад
Kama ni corona bado ipo ila imepungua na wengi wamechoma sindano za kinga na inawapata kwa sana watu wenye umri mkubwa ndiyo maana huku majuu watu wote wenye umri mkubwa wamechoma sindano za kinga na huku ukienda hospitali cha kwanza wanakupima corona mpaka sasa
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Год назад
Wayu wajue kuwa Covid bafo ipo Duniani na bado inaathiri watu na watu warndelee kuchukua tahadhari.
@ngisamakaranga
@ngisamakaranga Год назад
Watu wazuri hawafi mungu katoa somo kubwa sana, kwa sisi tuliobakia duniani aise
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Год назад
Tumia akili acha ujinga
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Pumzika kwaamani Amina🙏
@user-tt5lv9lp8r
@user-tt5lv9lp8r Год назад
Viongoz wa kisiasa mnajifunza nn membe leo hayupo magufuri reo hayupo je? nn mnajifunza unaweza shangiria reo kesho ukashangiriwa
@jeniphacosmas1749
@jeniphacosmas1749 Год назад
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema Ameeeeen 🙏🙏🙏🙏
@mbelwajeremiahpaschal390
@mbelwajeremiahpaschal390 Год назад
Mpigajii Mmmoja nenda zako
@hamisikingakachu1259
@hamisikingakachu1259 Год назад
Kidume peke kilichoweza kumkadhia magufuli akuomba msamaa ndie mtu aliyekua anaekosoa
@maryammussa7929
@maryammussa7929 Год назад
Kazi yake mola haina makosa mh membe umeniumixa moyo kwakweli
@setiseti5281
@setiseti5281 Год назад
Inauma sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Год назад
Raha ya milele umpe eh Bwana na mwanga wa milele umuangazie; apumzike kwa amani milele amina...
@Christopher-ns6cq
@Christopher-ns6cq Год назад
Rip mh
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Wazuri wameanza kufa!?
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Год назад
Yaani wameanza kufa na Wazuri Kwa upande wangu alikuwa mzuri
@EliwampukaMbwana-ff2pu
@EliwampukaMbwana-ff2pu Год назад
Alikua mtu mzuri sana
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Wa sura au?
@ndibanjegerard1691
@ndibanjegerard1691 5 месяцев назад
Jama alitema madini tupuu
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Год назад
huko hatuendi na mabilion tuna enda na matendo mema
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Год назад
❤❤❤❤
@SmithJamesMalumalu-gj9sn
@SmithJamesMalumalu-gj9sn Год назад
Wame anza kumfuata waliye mtenda!!!
@eduardomala150
@eduardomala150 Год назад
Mungu ailaze roho yake peponi.
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Год назад
Alikuwa si mnafiki
@jantsjefta8381
@jantsjefta8381 Год назад
Mungu alilaze roho yake mahali pema peponi
@leonardmakwela3407
@leonardmakwela3407 Год назад
R.I.P lovely legend
@allyshafi4391
@allyshafi4391 Год назад
😮
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Год назад
Covid 19 starts to eat these leaders as usual..RIP
@godfreyntibakula5697
@godfreyntibakula5697 Год назад
Hekima imetutoka kwako Membe Tutakukumbuka Pumzika Kwa Amani
@Mobmob2013
@Mobmob2013 Год назад
Wee nenda bhana wee nenda unakostahili
@frankjoely3313
@frankjoely3313 Год назад
We hauna akili we ni shetani tu
@Mobmob2013
@Mobmob2013 Год назад
@@frankjoely3313 Mbona povu kubwa man Mimi Sina mbingu wala jehanam anayemjua mtu ni Mungu mwenyewe utapelekwa unakostahili Ukitokwa na povu jingi hueleweki
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Год назад
Bunge huru na mahzakama Huru ni muhimu.
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 Год назад
Kufa usifiwe Ishi ulaumiwe
@rashiditibangayukaa9711
@rashiditibangayukaa9711 Год назад
Ulale pema MEMBE
@groungreen4013
@groungreen4013 Год назад
😭😭😭😭
@AllyKapongo-vn4oc
@AllyKapongo-vn4oc Год назад
mbele yake nyuma yetu
@josephelias-df1mk
@josephelias-df1mk Год назад
R. I. P
@user-rf1uc8we6n
@user-rf1uc8we6n Год назад
Polen sana!
@joynjarabi4065
@joynjarabi4065 Год назад
Nimepokea taarifa za kifo cha Mhe Bernard Membe kwa masikitiko makubwa, Namlilia Mhe Membe Mtu Muungwana, Mtana shati na mwenye kujua shida za watu, Mhe Membe alikuwa zaidi ya kiongozi aliofanya nao kazi watakuwa mashahidi Nitamkumbuka sana Mhe Bernard Membe enzi za Uhai wake,Nikiwa Mwandishi wa Habari mwaka 2008 ,2009 na 2010 sikuwa mbobezi sana wa masuala ya kidiplomasia, lkn baadaye kupitia kwake na kunipa vitabu vya masuala ya Diplomasia ilinisaidia sana kuwa mbobezi katika masuala ya kidiplomasia kama nilivyo hivi sasa ,Nakumbuka Mhe Membe aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya nchi mwaka 2005 na Rais Kikwete baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005 . Baadaye Mhe Membe akateuliwa kuwa Naibu waziri wa Nishati na Madini mwaka 2006 , na Mwaka uliofuata akateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Kigeni baada ya Mhe ASHA-ROSE MIGIRO aliyekuwa Waziri wa Mambo ya kigeni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini akuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa BAN KI-MOON kuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mhe Membe alinipa heshima kubwa sana nilipofika ofisini kwake Wizarani kufanya naye mahojiano anapotoka safari za nje ya nchi, Mimi nikiwa Uhuru Fm, Sikuwahi kukaa foleni Wizarani hata mara moja na nilifanya naye mahojiano ya hata zaidi ya saa nzima kwa ridhaa yake Nilifika kwa mara ya kwanza Ofisini kwa Mhe Membe Wizarani mwezi May ,2008 alinituma Mkurugenzi wetu Marehemu JUMA PENZA wakati huo Comrade Katibu Mkuu wa CCM DANIEL CHONGOLO alikuwa Mhariri Mkuu wa Chumba chetu cha Habari, Baada ya mahojiano ya mara moja tu, kila mara aliniita Wizarani kufanya naye mahojiano anaporudi safari na Mahojiano yetu yalileta Impact kubwa sana, wakati ambapo Watanzania walikuwa wanalalamikia safari nyingi za Mhe Rais JAKAYA KIKWETE nje ya nchi . Kupitia Mahojiano hayo na Mhe Membe yalizima kabisa malalamiko ya Watanzania juu ya Mhe Rais Kikwete kusafiri sana nje ya nchi , baada ya Mhe Membe kutoa elimu kuhusu safari za Mhe Rais nje ya Nchi na Watz walimwelewa Mhe Membe , Wizara ya Mambo ya kigeni kimsingi ni wizara ambayo iko chini ya Ikulu . Mhe Membe alipenda sana mahojiano yangu na yeye, alizungumza mbele ya wasaidizi wake ya kwamba anapenda sana ninavyofanya mahojiano naye , nilitumia mbinu ya CONTRACTIVE JOURNALISM katika mahojiano yetu na Mhe Membe ya kuuliza maswali ya Changamoto na kupata suluhisho la changamoto hizo . Mhe Membe kwenye Library yake kuna CDs za vipindi vyangu nilivyofanya naye akiwa Waziri wa Mambo ya Kigeni na hata baada ya Utumishi wake serikalini, kila kipindi nilimpelekea copy yake . Mhe Membe mtu Muungwana sana , Mcheshi ,Mnyenyekevu , Mwenye ufahamu mkubwa wa mambo, nilipata elimu kubwa sana kutoka kwake alinipa history tangu alipokuwa akisoma miaka ya 1990 Chuo Kikuu cha JOHN HOPKINS Washington DC, Marekani na baadaye akafanya kazi kwenye Ubalozi wa Tanzania Ottawa, nchini Canada kwa zaidi ya miaka minane kuanzia mwaka 1992 kabla ya kuingia kwenye masuala ya kisiasa mwaka 2000 na hatimaye mwaka 2005 akashinda Ubunge nyumbani kwao jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe Membe alikuwa mbobezi wa masuala ya usalama na diplomasia , Kwa mara ya mwisho nilikutana na Mhe Membe mwezi march mwaka huu hapa Dar nilifurahi sana, na bado alikuwa ananikumbuka. Jambo alilonisihi sana Mhe Membe wakati ule ananipa vitabu vya diplomasia alisema hivi "Sigori wewe ni Mtangazaji mzuri sana wa masuala ya Siasa na Michezo ninakusikiliza ninapopata muda,, lakini nakusihi sana ukipata nafasi nenda ukasome uongeze ujuzi zaidi kwenye tasnia ya habari " Maneno ya Mhe Membe mwaka 2009 . Nina mshukuru sana Mhe Membe na kwa kweli hivi sasa niko Chuoni nasoma masomo ya ngazi ya juu ya Uandishi wa Habari na Utangazaji wa TV na Radio na mwenyezi Mungu akinivusha salama nitamaliza chuo mwezi July Mwaka huu, lakini pia nilipata nafanya ya kwenda Cairo Misri nilisoma masomo ya ngazi ya juu ya uandishi wa habari za uchunguzi na siasa za kimataifa , pia nikapata Mafunzo ya Habari na Shirika la Utangazaji la Uingereza kupitia mradi wa BBC MEDIA ACTION nikawa mkufuzi wa Radio mbalimbali nchini Bara na Zanzibar, Na hivi karibu nimemaliza mafunzo ya ngazi ya juu ya Uandishi wa Habari wa masuala ya Fedha, Uchumi, Sera , Data, Uchambuzi na kuutafsiri Uchumi katika Chuo Kikuu cha Strathmore cha Nchini Afrika Kusini, na hivi sasa nasoma Uandishi wa habari za Uchunguzi na masuala ya utafiti , Ninamshukuru sana Mhe Membe kwa mawazo yake ya kunisukuma nisome. Safari ya Jimboni kwake mpaka nyumbani kwake Mtama ni miongoni mwa mambo ambayo sitayasahau , Poleni sana Familia , Poleni sana Watanzania, poleni sana wana Lindi na hasa ndugu zetu wa Mtama, tumempoteza mtu shujaa na shupavu. Nimepokea taarifa za Kifo cha Mhe Membe mchana wa leo nikiwa kwenye Presentation Chuoni , kwa masikitiko makubwa sana, namlilia Mhe Membe, Sitamsahau , Mtu mungwana asiye na dharau na mwenye kujua shida za watu, Mengine ya kibinadamu siwezi kuyaandika hapa lakini sitamsahau Mhe Membe, Baba umeumaliza mwendo, Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi , Upumzike kwa amani, Amen .
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 Год назад
Apumzike kwa amani.binafsi nimeumia mno. Kiongozi muungwana kweli kwa kweli.
@johnman4619
@johnman4619 Год назад
Riyatonga mulema.benard membe magufuli muhongo kijazi mze self mkapa .nawengi rip
@petrojacob6070
@petrojacob6070 Год назад
Muhongo yupi?
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Год назад
Muhongo
@jacklinesimon7597
@jacklinesimon7597 Год назад
Wewe Muhongo bado Yupo usimchulie mzee wa watu jmn bado yuko hai.
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Год назад
Rip jemedari na mwana diplomasia mkongwe Taifa limepoteza mtu mhimu sanaaaa
@joynjarabi4065
@joynjarabi4065 Год назад
Na Sigori Paul Nimepokea taarifa za kifo cha Mhe Bernard Membe kwa masikitiko makubwa, Namlilia Mhe Membe Mtu Muungwana, Mtana shati na mwenye kujua shida za watu, Mhe Membe alikuwa zaidi ya kiongozi aliofanya nao kazi watakuwa mashahidi Nitamkumbuka sana Mhe Bernard Membe enzi za Uhai wake,Nikiwa Mwandishi wa Habari mwaka 2008 ,2009 na 2010 sikuwa mbobezi sana wa masuala ya kidiplomasia, lkn baadaye kupitia kwake na kunipa vitabu vya masuala ya Diplomasia ilinisaidia sana kuwa mbobezi katika masuala ya kidiplomasia kama nilivyo hivi sasa ,Nakumbuka Mhe Membe aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya nchi mwaka 2005 na Rais Kikwete baada ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005 . Baadaye Mhe Membe akateuliwa kuwa Naibu waziri wa Nishati na Madini mwaka 2006 , na Mwaka uliofuata akateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Kigeni baada ya Mhe ASHA-ROSE MIGIRO aliyekuwa Waziri wa Mambo ya kigeni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini akuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa BAN KI-MOON kuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mhe Membe alinipa heshima kubwa sana nilipofika ofisini kwake Wizarani kufanya naye mahojiano anapotoka safari za nje ya nchi, Mimi nikiwa Uhuru Fm, Sikuwahi kukaa foleni Wizarani hata mara moja na nilifanya naye mahojiano ya hata zaidi ya saa nzima kwa ridhaa yake Nilifika kwa mara ya kwanza Ofisini kwa Mhe Membe Wizarani mwezi May ,2008 alinituma Mkurugenzi wetu Marehemu JUMA PENZA wakati huo Comrade Katibu Mkuu wa CCM DANIEL CHONGOLO alikuwa Mhariri Mkuu wa Chumba chetu cha Habari, Baada ya mahojiano ya mara moja tu, kila mara aliniita Wizarani kufanya naye mahojiano anaporudi safari na Mahojiano yetu yalileta Impact kubwa sana, wakati ambapo Watanzania walikuwa wanalalamikia safari nyingi za Mhe Rais JAKAYA KIKWETE nje ya nchi . Kupitia Mahojiano hayo na Mhe Membe yalizima kabisa malalamiko ya Watanzania juu ya Mhe Rais Kikwete kusafiri sana nje ya nchi , baada ya Mhe Membe kutoa elimu kuhusu safari za Mhe Rais nje ya Nchi na Watz walimwelewa Mhe Membe , Wizara ya Mambo ya kigeni kimsingi ni wizara ambayo iko chini ya Ikulu . Mhe Membe alipenda sana mahojiano yangu na yeye, alizungumza mbele ya wasaidizi wake ya kwamba anapenda sana ninavyofanya mahojiano naye , nilitumia mbinu ya CONTRACTIVE JOURNALISM katika mahojiano yetu na Mhe Membe ya kuuliza maswali ya Changamoto na kupata suluhisho la changamoto hizo . Mhe Membe kwenye Library yake kuna CDs za vipindi vyangu nilivyofanya naye akiwa Waziri wa Mambo ya Kigeni na hata baada ya Utumishi wake serikalini, kila kipindi nilimpelekea copy yake . Mhe Membe mtu Muungwana sana , Mcheshi ,Mnyenyekevu , Mwenye ufahamu mkubwa wa mambo, nilipata elimu kubwa sana kutoka kwake alinipa history tangu alipokuwa akisoma miaka ya 1990 Chuo Kikuu cha JOHN HOPKINS Washington DC, Marekani na baadaye akafanya kazi kwenye Ubalozi wa Tanzania Ottawa, nchini Canada kwa zaidi ya miaka minane kuanzia mwaka 1992 kabla ya kuingia kwenye masuala ya kisiasa mwaka 2000 na hatimaye mwaka 2005 akashinda Ubunge nyumbani kwao jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe Membe alikuwa mbobezi wa masuala ya usalama na diplomasia , Kwa mara ya mwisho nilikutana na Mhe Membe mwezi march mwaka huu hapa Dar nilifurahi sana, na bado alikuwa ananikumbuka. Jambo alilonisihi sana Mhe Membe wakati ule ananipa vitabu vya diplomasia alisema hivi "Sigori wewe ni Mtangazaji mzuri sana wa masuala ya Siasa na Michezo ninakusikiliza ninapopata muda,, lakini nakusihi sana ukipata nafasi nenda ukasome uongeze ujuzi zaidi kwenye tasnia ya habari " Maneno ya Mhe Membe mwaka 2009 . Nina mshukuru sana Mhe Membe na kwa kweli hivi sasa niko Chuoni nasoma masomo ya ngazi ya juu ya Uandishi wa Habari na Utangazaji wa TV na Radio na mwenyezi Mungu akinivusha salama nitamaliza chuo mwezi July Mwaka huu, lakini pia nilipata nafanya ya kwenda Cairo Misri nilisoma masomo ya ngazi ya juu ya uandishi wa habari za uchunguzi na siasa za kimataifa , pia nikapata Mafunzo ya Habari na Shirika la Utangazaji la Uingereza kupitia mradi wa BBC MEDIA ACTION nikawa mkufuzi wa Radio mbalimbali nchini Bara na Zanzibar, Na hivi karibu nimemaliza mafunzo ya ngazi ya juu ya Uandishi wa Habari wa masuala ya Fedha, Uchumi, Sera , Data, Uchambuzi na kuutafsiri Uchumi katika Chuo Kikuu cha Strathmore cha Nchini Afrika Kusini, na hivi sasa nasoma Uandishi wa habari za Uchunguzi na masuala ya utafiti , Ninamshukuru sana Mhe Membe kwa mawazo yake ya kunisukuma nisome. Safari ya Jimboni kwake mpaka nyumbani kwake Mtama ni miongoni mwa mambo ambayo sitayasahau , Poleni sana Familia , Poleni sana Watanzania, poleni sana wana Lindi na hasa ndugu zetu wa Mtama, tumempoteza mtu shujaa na shupavu. Nimepokea taarifa za Kifo cha Mhe Membe mchana wa leo nikiwa kwenye Presentation Chuoni , kwa masikitiko makubwa sana, namlilia Mhe Membe, Sitamsahau , Mtu mungwana asiye na dharau na mwenye kujua shida za watu, Mengine ya kibinadamu siwezi kuyaandika hapa lakini sitamsahau Mhe Membe, Baba umeumaliza mwendo, Mungu aiweke roho yako mahala pema peponi , Upumzike kwa amani, Amen . SIGORI PAUL
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Muhimu sana kwa ufisadi. Tushukuru!!
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 Год назад
R.I.P
Далее
MAJIBU YA JENNIFER KUHUSU KUOLEWA
28:50
Просмотров 162 тыс.
Кого из блогеров узнали?
00:10
Просмотров 282 тыс.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA AFANDE SELE NA UTAJIRI WAKE
22:55
JK Alivyomkana Membe | Amuelezea Magufuli
5:50
Просмотров 75 тыс.
SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay
3:13:44
Просмотров 44 тыс.