Тёмный

MANULA AFUNGUKA KUGOMBANA NA TSHABALALA 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 195 тыс.
50% 1

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 158   
@farajibuteta6258
@farajibuteta6258 5 лет назад
safi manula jibu zuri kimsingi wachezaji wa mpira wa miguu mmekuwa na nidhamu sana ya kuzungumza
@franshyera8970
@franshyera8970 5 лет назад
Safi sanaaaa manula umeongea vizuri sanaaa.watangazaji Ni wagombanishi .
@harunaomy1807
@harunaomy1807 5 лет назад
Huna ishu Manula hata kama nirafiki yako sawa ila Kwa mchezaji mkubwa kama ww haipendezi kumfokea mwenzako kama ivo watu wa najifunga kwenye fainali kombe lipo uwanjani na watu wanaelewa ile nibahati mbaya hata you hajapenda ajifunge,,Manula mara nyingi sana unafungisha timu kwakuliacha goli nan kakufokea au kuitwa Tanzania one kumekupa kibur Manula jirekebixhe sana mpira haupo ivo...💪💪
@boscomaboga1021
@boscomaboga1021 5 лет назад
Zuzu kweli ww mahali popote pale goalkeeper ana justification ya kumgombeza mchezaji mwenzake uwanjani wakati wote wa mchezo, kaa kimya hujui mpira ww
@fikiriyusuph2107
@fikiriyusuph2107 5 лет назад
Haruna Omy ile kufoka ni kawaida tuu. Ile ni panik ya kimchezo. Ndio maana akawaambia kuwa ni rafiki yake wenyewe wanajuwana
@happydede5191
@happydede5191 5 лет назад
Hivi ulishawahi kumuona kipa wa azam anavyowafokea mabeki wake
@yuzotv458
@yuzotv458 5 лет назад
wewe ni bakuli fc kajambe uko,kipa ni kazima awagombeze wachezaji ili wapate stata kwani ukiwaacha wanarelax.
@petersubi552
@petersubi552 5 лет назад
Nakukubari manula,hayo ni makosa ya kawaida kwenye soka
@zalinaseif4430
@zalinaseif4430 5 лет назад
Safi sana manula.sio vizuri kugombana nyie nikitu kimoja
@rodinadaniel4309
@rodinadaniel4309 5 лет назад
Manula unapenda kutoka sana golini bila taarifa punguza
@wilsonwaziri9678
@wilsonwaziri9678 5 лет назад
Shukuru mungu hukucheza na mabeki makatili km juma jabu au juma nyoso pale angeshakufika ndoo ila nimpe hongera tshabalala anaonesha ni nn maana ya nahodha hakupaniki wala nn akachukulia ni sehem ya mchezo
@mwanaidmnzava2414
@mwanaidmnzava2414 5 лет назад
Aaaaaah manula wew mkubwa bwn mbn kawaida2 xo we relaaax
@chijochijo5539
@chijochijo5539 5 лет назад
Vizuri Manura.... Majibu nimeyapenda......
@princematta2150
@princematta2150 5 лет назад
tshabalala smart sana ningekuwa mimi ningekutia ndonga broo wewe mwenye ushatufungisha sana tu watu wanakukaushia
@ashelyabel3008
@ashelyabel3008 5 лет назад
Hilo nikosa dogo sana wala msinung'unikiane ubingwa upo palepale yanga watapata taabu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 лет назад
Umeongea vizuri!!!!
@franckgudluckmpogole1066
@franckgudluckmpogole1066 5 лет назад
Kagera Sugarc Congrats...
@hunningtonmissango1681
@hunningtonmissango1681 5 лет назад
Manula umezungumza kama mchezaji mkubwa, unastahili pongezi kwa ukomavu.
@afidbillmusic8461
@afidbillmusic8461 5 лет назад
Well said Manula! Hilo ni tukio la kawaida mchezoni. Tshabalala ni mkomavu aliona akuache na presha zako so longer as goal limeshaingia 😂. Nimemuelewa! After all SIMBA NDIYE BINGWA WA NCHI HII!! 🔥🔥🔥
@imanndimbwa9807
@imanndimbwa9807 5 лет назад
Mnafanyeje vizur bila kuwafunga mzee
@edwardsemwenda3117
@edwardsemwenda3117 5 лет назад
manula sio kumpiga mwenzio sio vizuri mbona umefungwa magoli mengi
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 лет назад
Pia ushauri kwa Haishi Manura, usipende kutoka gorini, toka tuu kwa sababu maalum na kama kuna gap ambalo halitasababisha hasara, Mara kadhaa Manura nimelaumu kitendo chako cha kutoka golini, kuwa mwangalifu sana.
@dullahmudy2255
@dullahmudy2255 5 лет назад
Husen yuko smart saana alikutulizia mpira ili uudake kipind ww ushatoka golini wakt hakuna hatar yoyote umebugi saana kumpiga mwenzako..ushaanza kulewa sifa amin hivyooo
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 лет назад
Hongera kwa mahojiano mazur Aishi
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 5 лет назад
Mmeanza kuwachonganisha
@mwambajrking7575
@mwambajrking7575 5 лет назад
Japo mimi ni shabik wa Yanga bt sijapenda alichofanya Manula mistake hazikosekani ukiwa mchezoni alitakiwa kumfariji mwenzake ili arudi mchezon na sio kufanya alichofanya kwanza yeye ndie aliyekurupuka kutoka wakati beki yupo na mpira haukuwa wa hatari kiviile
@starboychyner3458
@starboychyner3458 5 лет назад
MANULA NDIO MWENYE KOSA HAPO.... UTAACHAJE LANGO LAKO NA KUKAA NYUMA YA BEKI WAKO TENA LANGO LIKIWA WAZI....
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 лет назад
Simba ipo juu tu haina mpinzani. Kufungwa ndo sehemu ya matokeo. Ushindi ni Simba
@richardfredy1257
@richardfredy1257 5 лет назад
romana mbelle mbona yanga anapofungwa hamuelew kua nisehem yamchezo??
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 5 лет назад
@@richardfredy1257 kakuambia nani?
@josephjonh5002
@josephjonh5002 5 лет назад
romana mbelle
@mohamedmbuzu5524
@mohamedmbuzu5524 5 лет назад
Nlifikiri utajitetea, ila umeongea vizuri sana
@magretkomba2006
@magretkomba2006 5 лет назад
Manura acha ubabe shaballala umemkuta 2 umemkosea Sana ikiwa yeye naonza umekosa
@mohamed.hassani9917
@mohamed.hassani9917 5 лет назад
Muulizeni Manula game ya coast alifungwa kama lile akikosa mawasiliano na Nyoni,tena cha kushangaa hao mabeki ni waswahili wenziwe sio mabeki wa kigeni, Kipa amekua bubu ,anatoka ovyo golini bila timing. Akifanya mchezo atapigwa Magoli misri.
@josephjonh5002
@josephjonh5002 5 лет назад
mpira auitajiasila yaliyotokea yametokea tusaau yaliopita tugange yajoyo this is simba
@majanindalu2566
@majanindalu2566 5 лет назад
Aish mpumbavu huwez kumfokea mwenzio hv makosa yakwako mwenyewe
@hamisikharidy3137
@hamisikharidy3137 5 лет назад
Ulimlaum bure wew kama golkipa ulikuwa unaenda wapi unatoka golin hovy
@bilalichadimba3936
@bilalichadimba3936 5 лет назад
Manula wew ndio mwenyekosa ungemwambia beki wako ajipange vip sio unakaa kimya
@telesphorypaul2044
@telesphorypaul2044 5 лет назад
Nakukubali TZ 1 lkn nikuambie ukweli kuwa usipokuwa makini kiti kitakaliwa na mchaga (DEO) coz saiv anarudi mchezoni
@husseinmagari3245
@husseinmagari3245 5 лет назад
mi ni yanga lakini Hussein alijua Manula ni adui kwani jezi ya Manila na kagera is same
@micamathew6433
@micamathew6433 5 лет назад
Msijali jmn mbn ubingwa tunachukua ubingwa kesho tu?
@janevictormackie4206
@janevictormackie4206 5 лет назад
shabalala beki mzr hiyo ni moja ya mchezo simba bado ni kubwa. kaza but I ubingwa wetu
@sammybahaj949
@sammybahaj949 5 лет назад
kila k2 allah ndio mpangaji ha2na budi kusema alhamdulilah kwa kila jambo na kama ipo bc Ipo 2
@mantz3763
@mantz3763 5 лет назад
Kaka manura nakuomba sana uwe makini na haya magoli ya kizembe zembe samahani sana kama nimekosea maana magoli ufungwayo ni yakizembe sana hembu itumie nafasi yako vzuri kama kaseja
@robert.maganya1051
@robert.maganya1051 5 лет назад
usiogope manula hizi ni changamoto za harufu ya ubingwa, msilumbane na tshabalala hiyo ni sehemu ya mchezo tunawategemea acha kabsa
@syksyk7295
@syksyk7295 5 лет назад
Na km mnaendlea kfany makosa n Isenberg w maksud bac Ubngwa w lig kuu tutauskia kwny radio Ivy bek lain wa cmba kuwen Makn
@sharifahamisi8604
@sharifahamisi8604 5 лет назад
manul kunywa bac hat mayai mabichi ili urekebishe saut lak saut kaa lindeg liko pangon
@petermmary7195
@petermmary7195 5 лет назад
sharifa Hamisi nisaut yakiume chokoww
@othumanmwela9710
@othumanmwela9710 5 лет назад
Hy jaamaa mbovu saana
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Inachonishangaza ni kwamba.. yeye Hussein kama mchezaji wa pembeni.. anachotakiwa kufanya ni kusogea kati ya uwanja iwapo wachezaji wa kati wamesogea kulia ili kulinda.. Anajua wajibu huo kama beki wa mwisho..! Lakini hakuwa na ulazima kuucheza mpira ule kwani Manula alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuudaka mpira..! Hakuwa na sababu ya kuingilia kati ya mpigaji na Manula..! Huyo akae benchi toka sasa hadi mwisho wa ligi..! Hana akili ya mpira..! Kwa tabia hii ya kipumbavu ya wachezaji wa Simba NDIO MAANA INAFUNGWA TANO KILA SIKU.. ! Sitasikitika kombe likienda Yanga.. au timu ye yote .. WOGA WA WACHEZAJI WA SIMBA NI AIBU .. Wanawaogopa hata Kagera ambao hawajashiriki klabu Bingwa Afrika kama TP Mazembe..?? No confidence ? THIS IS A DISGRACE AND FUCKING DISGUSTING..! Kombe liende else where..!
@zaituniyusuph7061
@zaituniyusuph7061 5 лет назад
Gori lako lile umekosea kumpanga beki wako
@ramadhanikhamisi770
@ramadhanikhamisi770 5 лет назад
Manula tatizo huongei jalibu kuwa unaongea ukiwa uwanjan na mabek wako huongei kbisa kaka
@hawardjasinimahenge2924
@hawardjasinimahenge2924 5 лет назад
manula hua haongei na mabeki wake
@jamesdaudi9591
@jamesdaudi9591 5 лет назад
Manula umekosea Sana huwezi mgombeza mchezaji mwenzio kama vile alafu captain wako ,hivi mfano tu ingekuwa timu ya taifa ndio inacheza alafu beki Yondani ungefanya vile ?.
@nelsonmapunda6797
@nelsonmapunda6797 5 лет назад
Me nafikiri alikuwa sahihi kumkalipia coz ukiangalia hata shabalala asingeenda kuucheza ule mpira Manula alikuwa sehem sahihi ya kuudaka ule mpira. So kwa hali ile na kimchezo Manula hakuwa na kosa la kukalipia. Hata ingekuwa timu ya taifa
@sharifahamisi8604
@sharifahamisi8604 5 лет назад
mimi ni simba dam lakin kitendo alichokifanya manula cjakipenda kabis kumkoromea mwenzak hata mm imenium san manul anakihereher san cha kutok kocha mbon dida yuk vizur 2 kwann unapend san kumuwek manul
@nelsonmapunda6797
@nelsonmapunda6797 5 лет назад
Sasa pale Manula alikuwq sehem sahihi kwake shabalala alienda kufanya nn pale ili hali hakukuwa na adui. Angemuachia tu golikipa wake
@muhandochesko6913
@muhandochesko6913 5 лет назад
ww nimzembe kosa lako unamlaumù mwenzio
@allymkamba1115
@allymkamba1115 5 лет назад
Kwani manura ushapitiya jeshi nn unaongea kama mjedaa
@geofreychalamila9778
@geofreychalamila9778 5 лет назад
Manura tatizo lako kubwa hauongei na mabeki
@amanimwaifunga6524
@amanimwaifunga6524 5 лет назад
Mpira ni mchezo wa makosa ni kila mtu anaweza kosea lakin Manura umealubu Tu jinc ulivyomjia juuu mwenzio ingali ni kosa lako ila bado tunaimani na nyie
@ramamambo4082
@ramamambo4082 5 лет назад
Manula ulikuwa xahihi ila Txhabalala alikoxea kuja juu alixtahiki anyamaze wkt wamgomba cz ndio kawaida ya kipa.Ximba mbele kwa mbele
@luckyyusto8159
@luckyyusto8159 5 лет назад
hizi sauti kama sijazielewa hivi!!
@hasefaameery8838
@hasefaameery8838 5 лет назад
ivi jmn wewe jmn manura shabalala alivyo komaa ivyo arikuachia tu maana kakuonea huruma t arafu bby wang mm sio muongeaj san shabaa
@muuzakahawa3035
@muuzakahawa3035 5 лет назад
Hivi hii mutu iko na meno kwel au imepasuliwa koo
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 5 лет назад
Manula nakukubali lakin kwa ktendo Cha kumpga Mohammed husein 15 sio poah kabsa
@isayacharles8725
@isayacharles8725 5 лет назад
Kwani alimpiga wapi, mbona unamambo ya hovyo mjomba
@bujiiclassic1964
@bujiiclassic1964 5 лет назад
@@isayacharles8725 oya mm mwenyw Simba damu an hunambiii ktu kuhusu ukwer ndo huo almpga kifuan km huamin angalia clip upya ndo utaaaamin may be ungenamby hakukusudia kumpga ningekuerewa
@aminimambea1289
@aminimambea1289 5 лет назад
Kiwango kimeshuka unachomesha sana naomba kipa mwingine apewe nafasi timu ya taifa iangalie kipa namba moja jamaa kiwango kinashuka kwa kasi
@eneageorge6063
@eneageorge6063 5 лет назад
Manula leo ndo kachomesha kumfata beki wakati anaokoa mpira kumbe yeye yupo nyuma keshatoka kwenye goli alafu anamlaumu zimbwe binafsi nimejiskia vibaya kumlaumu beki wakati kosa ni lake
@giftimushi732
@giftimushi732 5 лет назад
Makosa ni sehemu ya mchezo kwaiyo sioni ajabu ni mamba ya kawaida kwenye mpira
@abelmakungu2880
@abelmakungu2880 5 лет назад
Amini Mambea aitwe kindoki mavi akadake misri et
@nicolausnicolaus734
@nicolausnicolaus734 5 лет назад
kosa lipo kwako kwann uliache lango nakuenda kwa mlinzi wako wkati unaona vzr kuliko yeye
@sirkipingu6721
@sirkipingu6721 5 лет назад
Manula wewe umekuwa boya sana,,,unafungwa magoli ya kishamba sana,,unadakaje mpira nyuma ya beki wako,,alafu unamtia singi dogo shabalala,,ningekuwa mimi ndo shabalala ningekuzibua mimbata mamae nisingekubali
@charlesfundisha6376
@charlesfundisha6376 5 лет назад
Wewe manula shabalala sio mjinga wa ivo lengo alikuwa kuokoa mpira wewe maana y yeye ndio mpira ulimkuta no mistake tu za kimchezo akuna cha kuongea mii mwenyeww simba damu ila izo. Kauri acha
@syksyk7295
@syksyk7295 5 лет назад
Ksho j3 fanyen mnakosa y kzembe Tufungwe ten n Azam
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 5 лет назад
Sifa zilimponza shabala hakuwa na haja ya kuucheza ule mpira, sio lazima ucheze kila mpira!
@subiransasi8029
@subiransasi8029 5 лет назад
kumbe unasauti mbaya kiasi hicho
@michaeljohn9438
@michaeljohn9438 5 лет назад
Unampenda
@jumasitta2788
@jumasitta2788 5 лет назад
MALENYA s majangito
@arunaomari2819
@arunaomari2819 5 лет назад
Acha kujitetea paZia we hun lolot
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 5 лет назад
Kamdakishe dadako
@johnjackson4363
@johnjackson4363 5 лет назад
Manula ameongea kiutu uzima
@zittokabwe7792
@zittokabwe7792 5 лет назад
Manula ndo kazingua
@naiiemkosovo8132
@naiiemkosovo8132 5 лет назад
Mnawaogopa ndomana wana kufungeni
@abubakarjuma443
@abubakarjuma443 5 лет назад
Manula unajielewa lkn Kama wewe ni mtu wa mwisho unaona kila kitu kosa ni lako umepotea maboya ilatunawapenda nyote
@syksyk7295
@syksyk7295 5 лет назад
Aish umekosea pal ucngemsema tyu Ungempja mkof wa Uso mchezaj akikosea kwny eneo lak we pga makof at mawil il asrudie ten
@mountcholo7039
@mountcholo7039 5 лет назад
Ila manula ndio aliyekosea, yy kama kipa aongee na beki wake ili audake mpira
@msyanituntufye3441
@msyanituntufye3441 5 лет назад
Wote tuu wamekosea kikubwa tusahau yaliyopita tusonge mbele kwa kuangalia mechi zinazokuja
@modelmamodel4229
@modelmamodel4229 5 лет назад
Tatizo lilikua kwamanula kuacha goli kumfata shabalala
@gigotz1755
@gigotz1755 5 лет назад
Nahisi pepo LA ngono linamtesa tshabalala
@ibnhajar8600
@ibnhajar8600 5 лет назад
Hu ni uongo sio sauti yake
@mantz3763
@mantz3763 5 лет назад
Kaka usijari ndugu yangu ndo mpila ulivyo ila nakuomba sana uwe makini maana naona unafungwa magoli ya kizembe sana mimi nakukubari sana kaka wala usije kunifikilia vibaya niyangu macho ndio yanavyo ona magoli unayo fungwa kaka
@sulymansalymaly3859
@sulymansalymaly3859 5 лет назад
Kiukweli nikupongeze kwa jinsi ulivoawajibu hao waandishi wasiojua kuuliza maswali lkn umewajibu vzur ila kosa ni la kwako coz ww ndo mtu wa mwisho unawaona wenzako wote na sio kukuona wewe beki siku zote anakulinda ww kwann hukuwasiliana nae mapema mmefungwa goli la uzembe wa kiwango cha Mfugale Bridge 😂😂
@noahmadal753
@noahmadal753 5 лет назад
Hivi kwann wanakosa utulivu mtu na golikipa wake wanaweweseka nn mpira kila siku mnashinda nao moira bongo bado wanatakiwa wawe ht na darasa kabisa wengine wanakosa magoli kizembe anapiga nje kabisa na goli bila sababu ya msingi
@godfreywambura1491
@godfreywambura1491 5 лет назад
Sasa ugomvi gani hapo umeuona wewe mtoa post? Mnashangaa hawa wakati Van dijk na Allison becker walikosa maelewano na wakafungwa goal rahisi na striker wa Fulham Ryan Babel acheni unazi
@mnyamwezimnyamwezi751
@mnyamwezimnyamwezi751 5 лет назад
Uyu mkubalini tu uko kwenu ila kwangu ni bwege tu.......... Poor positioning.... Iyo ilikuwa mpira Rahisi kwanza ni yeye alomfanya Hussein kutetema
@wolfugangtesha5724
@wolfugangtesha5724 5 лет назад
Huko kwenu ni papaa Kindoki
@aminabugembe3708
@aminabugembe3708 5 лет назад
Manula ndio mwenye kosa na sio tshabalala
@consiridahydan4564
@consiridahydan4564 5 лет назад
Hapana shabalala ndio mwenye makosa
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 лет назад
Makosa ni sehemu ya mchezo lkn Simba imecheza mpira mwingi na kama isingekuwa kujifunga tusingepoteza,tusikate tamaa ubingwa ni wetu mn hata TASAFfv wamepigwa Musoma!.
@shirazimdoha389
@shirazimdoha389 5 лет назад
Ndaro Gamba
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 5 лет назад
Kosa ni la kipa, alitoka gorini kwenda kufanya nini ? mbona hakukuwa na hatari yoyote ile gorini kwake ? Nonses !
@meshackmganga6948
@meshackmganga6948 5 лет назад
Kweli aliewaita mbumbumbu hakukosea unaulizwa hiki unajibu kile jibu kuhusu tshabalala
@rehemadongo1570
@rehemadongo1570 5 лет назад
Hajui kuongea kabisa poyoyo
@ahmadimohamede8792
@ahmadimohamede8792 5 лет назад
Manula ww ndio ulie zingua uliendaje kumkaba beki wako?
@prettyveronica5951
@prettyveronica5951 5 лет назад
Kufungwa ni kufungwa tu bn hata kafungwa bacerona nn simba tukaze buti mech zililobaki
@ellymeshacky5254
@ellymeshacky5254 5 лет назад
Pretty Veronica
@ellymeshacky5254
@ellymeshacky5254 5 лет назад
simba mbele daima
@rasulialidaffa69
@rasulialidaffa69 5 лет назад
Aishi hana kusa mbona mpira ulikuwa kwenye eneo lake beki ndo mwenye kusa
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 5 лет назад
UJANYOOSHA MANENO MANULA SS TULIONA TUKIO MLIVYOPAMBANA WW NA SHABALALA NA HAKUKUWEPO STRAIKA WA KAGERA SUGAR..WW BADO UKIWA MTOTO KAGERA WALIKUWA WANAWATEMBEZEA VIPIGO TENA GOLI MPAKA 3
@vincentvitalius281
@vincentvitalius281 5 лет назад
Binafsi goli liliniuma, lkn nimeamia sana kwa jinsi ulivyo act, yule ni captain wako nikiongozi wako uwanjani, na alichokifanya ni kosa hata yeye aliumia naamini ila wewe ulitaka kumvuruga zaidi, unatakiwa kumwambia hata kwa nguvu kabla ya kosa akikosea unamwambia pole then mnaendelea na badae Kocha anawaeleza zaidi, sasa unasema sio sehemu yake pale ulipomsukuma ndio sehemu yake? Na angekuwa kama wewe simngetolewa wote kwa kadi kwa kupigana, ukijielewa muombe msamaha hukumtendea captain sawa. Simba Nguvu Moja Kazeni buti.
@ashelyabel3008
@ashelyabel3008 5 лет назад
Upo sahihi shabiki wangu msamaha nisehemu ya kujishusha makuanza upya
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 5 лет назад
Kombe La Afrika Timu Inayoongoza Kwa Kufungwa Magoli Mengi Simba Km Ingekuwa Nusu Fainal Inakwenda Timu Iliyofungwa Magoli Mengi Nafasi Ingekuwa Ya Simba
@mnalikahngeme577
@mnalikahngeme577 5 лет назад
Hawa Muhammed kuelewa ishindwe pia kuona napo richa ya macho unayo lakn umeshndw ata kutizama duuuhh pole
@kasimukulele8115
@kasimukulele8115 5 лет назад
Kama ingekuwa
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 лет назад
Hawa Muhammed haikuwa ligi..
@anoldjose7793
@anoldjose7793 5 лет назад
Hawa Muhammed nyie ambao mmefungwa magor machache mmefka hatua gan???
@lucusmvuna8574
@lucusmvuna8574 5 лет назад
Jila lenyewe Hawa mm sikubalian sana na nyie Kwan Hata Adam
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 лет назад
Kagera wanabahati na simba mchezo Simba Juu angani kabisa. Tshabalala jisikie poa tu ni mchezo
@joshuaminazimikinda2678
@joshuaminazimikinda2678 5 лет назад
Wababe wa simba kagera
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 5 лет назад
Kosa lako wewe ulikuwa unafanya nini nyuma yake. Kwanini ilitoka golini.
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 лет назад
Acha mambo ya ovyo ww sasa hv sifa zimekujaa sana couch wetu awe makini na watu kama nyie msiojitambua sio siri umetuhaibisha sana
@aminajuma5151
@aminajuma5151 5 лет назад
Wewe ndo hujitambui
@harmoniky4000
@harmoniky4000 5 лет назад
BOFYA HAPA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NZbJer7du2g.html. UTAZAME VIDEO CLIPS ORIJINO. ZOTE ZA BONGOFLEVA.
@novatusabond9253
@novatusabond9253 5 лет назад
Makosa yako ,halafu unamlaum zimbwe
@lambokoismail8052
@lambokoismail8052 5 лет назад
Manula kosa lako
@naiiemkosovo8132
@naiiemkosovo8132 5 лет назад
Manula aongei na mabeki wake hii mara nyingi goli la manula
@directorinyangeadriano5031
@directorinyangeadriano5031 5 лет назад
Manula Usimlalamikie Dogo..unaendaj Wew kudaka mpila ukiwa nyuma ya mchezaji...? ungedakaj kwel?
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 5 лет назад
Bado Mtajifunga Sn Uchawi Wenu Unawarudia Wenyewe
@kasimukulele8115
@kasimukulele8115 5 лет назад
Hawa Muhamed acha kuteseka pamoja na matokeo haya Simba mtarajiwa msimu huu nyie hamna mnachokiwania zaid maumivu mioyoni mwenu
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 лет назад
Kasimu ,achana naye kwan ndo walewale waliokunywa uji wa mgonjwa
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 лет назад
Hawa ,kujifunga ni sehemu ya mchezo upo pia siyo simba pekee iliyojifunga hivyo acha kuiwaza simba ,wazeni yenu ya yanga kati yenu na simba yupi kapoteza zaidi na yupi anamichezo zaidi hivyo kujifunga kwa kagera usidhan kama kosa litajirudia .pia kumbuka nyie Jana mligeuka mabondia kwan nyinyi hamjui kufungwa mnajua kushinda tu je simba walionga ili biashara wawafunge ? Au
@kakurukakurupacha859
@kakurukakurupacha859 5 лет назад
Kuna mikundu mingine inakuwaga migumu kuelewa. Sasa kuongoza kufungwa magoli mengi klab bingwa Africa ndo ligi kuu Tanzania? Si useme anaye ongoza kufungwa magoli mengi ligi kuu?? Mfuuuuuuuu
@hawamuhammed3695
@hawamuhammed3695 5 лет назад
Hy Manula Hn Kitu Goli Kipa Namba 1 Anafungwa Magoli 17 Taifa Star Watafute Kipa Mwingine Namba 1 Hk Kwao Simba Si Timu Ya Taufa
@dionistindwa7429
@dionistindwa7429 5 лет назад
Hawa Muhammed hoja iko wapiii??? umejibu nini...!???
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 5 лет назад
Wewe zuzu kweli
@borikioga2234
@borikioga2234 5 лет назад
unakili wewe
@mangalilitarimo9702
@mangalilitarimo9702 5 лет назад
Unamavi www
@afidbillmusic8461
@afidbillmusic8461 5 лет назад
Huyu naye kashiba kande anaongea pumba 😂😂😂
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 5 лет назад
Manula unatumia mikono ulipaswa kuzuia mpira ule.
@naibumzitto5982
@naibumzitto5982 5 лет назад
Kweli kabisa, manula ana udhaifu mkubwa sana timu inaposhambuliwa. Binafsi mimi simuamni
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 лет назад
kipa lazima uwe unapiga kelele kwa mabeki ukinyamaza mchezaji atajuaje kama umetokea ulitakiwa upige kelele tatizo mawasiliano sina wakumlaumu kazeni buti makosa yashafanyika tunataka ubingwa sasa hayo yashapita
@halunamkufya1530
@halunamkufya1530 5 лет назад
ww ndio umezingua bhn usimlaumu zimbwe
@mohamedmwema8822
@mohamedmwema8822 5 лет назад
Manula wewe ni most Senior goalkeeper in Tz, unatakiwa ujitathmin Unafungwa magoli ya kizembe ,poor communication ,wewe ndo unaona mchezo unakwendaje
@brayancharles3720
@brayancharles3720 5 лет назад
Ivi mnataka kusema kwamba makosa ya kipa? Mkisema ivo manakosea kwan gem limekataa hakuna kumlaum mtu yeyote pale kwan kufungwa ni ajabu jaman kama gem limekataa haina haja ya kumlaum mtu
@abuyabally5086
@abuyabally5086 5 лет назад
@@brayancharles3720 nani kalaumu nimesema hakuna wakumlaumu nikatoa ushauri kipa mzuri anaongea na mabeki wake tatizo nn sasa uliloliona
@novatusabond9253
@novatusabond9253 5 лет назад
Makosa yako ,halafu unamlaum zimbwe
Далее
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
Tshabalala Awachanganya Waarabu Misr kwa Danadana
1:37