Mungu awabariki sana kwa kutukumbusha nyumbani na mazingira yake kwetu Mkigo Hongera sana wenu Mchungaji Benjamini Daudi kelegwa FPCT Bunju KINONDONI DAR ES SALAAM
Dada Joyce Kato nimekuona! It reminds of TASC seminary and your home at Usa river... Murakoze chane, salimia ndugu Tegemea Champanda, the back to then college pianist, alini influence kuwahi shule sabato kusikia anacheza muziki mzuri wa church/advent hymnals, the best being "oh Jesus my Redeemer"
Nakumbuka ndizi za manyovu,njegele,viazi mviringo,magimbi,maharage ya kila aina na mkubhi wake na maparachichi kwa wingi.Jamani ningekuwa kwetu dagaa na migebuka mawese.Hakika chakula na matunda tele, Manyovu kwetu umenikumbusha mbali mama kola kola.
Utwibhukije imhila nibhintu vyinshi vyotwali tukunda CHANE TWIBHUKE iwachu ni Mkigo Hongera sana ndugu umetukumbusha nyumbani pia vyakula vyetu vingi na mazingira yake kwetu Mkigo / Mchungaji Benjamini Daudi kelegwa FPCT Bunju KINONDONI DAR