Тёмный

MAPENZI YANAUMA !! Cassim alivyomuombea Jux Msamaha kwa Vanessa 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 189 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 112   
@silverrichard2975
@silverrichard2975 6 лет назад
Cassim unajua mziki tatizo nyota tu gonga like kama unamkubali
@mfaumeakida4389
@mfaumeakida4389 6 лет назад
kizaz san
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 6 лет назад
Mziki unaimbwa hivi sasa achana na wengine wanapiga makelele tu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Big up Cassim, love you brother wangu wa kutoka JIJI moja pande za waja leo waondoka.......
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 лет назад
kma unawakubali wasanii wa zamini gonga like hpa😍😍
@nasororamary6566
@nasororamary6566 6 лет назад
cassim wewe ni fundi sana Upo vizuri kaka
@chingerchinger4864
@chingerchinger4864 5 лет назад
Nasoro Ramary nic kasim
@dlsFOTBOLL
@dlsFOTBOLL 5 лет назад
Nasoro Ramary nimeelewa
@rajabukhan5025
@rajabukhan5025 6 лет назад
kassim umeshindikana huna mpinzani kwenye idala hiyo
@charlesalfred5161
@charlesalfred5161 6 лет назад
DAAAA... HADI UMEUNDIWA TUME VANESSA MKUBA;IE JUXX JAMANI HADI HURUMA C VZURI
@uniqueorestha9004
@uniqueorestha9004 6 лет назад
My favourite song ya cassim
@colimbahisia1225
@colimbahisia1225 6 лет назад
Cassim ni icon ya msanii mkubwa sanaaaaa
@hadassperez494
@hadassperez494 6 лет назад
Vanessa anavyojishaua😂😂😂😂😂.napenda muziki wa kassim😘😘
@maryaloyce6636
@maryaloyce6636 6 лет назад
amazing show bro big up saaaana
@zuhuraakida5932
@zuhuraakida5932 6 лет назад
JMANI nimejikuta nalia tu😢😢😢😢 haya mapenzi👏💔
@user-ws7bc8pv3f
@user-ws7bc8pv3f 4 года назад
Vanessa muulumie jux tunanyota sana kuwaona muko pamoja🇧🇮
@morama7jr559
@morama7jr559 6 лет назад
Tangaaaaaaaaa. Kama wewe ni MTANGA gonga like hapa
@salehemhando7078
@salehemhando7078 6 лет назад
Morama 7jr naaama mapenzi ndipo yalipianza.....tanga moja hii...bakhresa wa mahaba
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 6 лет назад
Morama 7jr Tupo watanga
@fraziabenard7066
@fraziabenard7066 6 лет назад
Hatar
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 года назад
Tangaaaaa akale ugar wa bada woyoooo
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 6 лет назад
Kassim anajua kuimba mi namsapot Vanessa atafute mw'me mwny malengo nae asipotezewe muda
@husseinhamza2054
@husseinhamza2054 6 лет назад
Mliozoea makelele hamjui mziki watu wanataka kuinjoy mziki mzuri
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 6 лет назад
Hussein Hamza umeonaeeeeeee big up kwako bro waelewa utawajua tu
@bahatimohamadi5904
@bahatimohamadi5904 6 лет назад
duh! kupendwa raha jamani
@evaonesmo8623
@evaonesmo8623 5 лет назад
Bahat
@salimshzube2851
@salimshzube2851 4 года назад
Swadakta I salute ur word's kaka👏
@emmanuelwilliam8721
@emmanuelwilliam8721 6 лет назад
Radha ya mziki wa kweli ndo hii..... Uko zaid ya vzur
@najmaomari3044
@najmaomari3044 6 лет назад
Vanessa mkubalie mwenzio bn yanijux anatia hadihuruma
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 6 лет назад
Kama wewe ni mtu WA Tanga au unaikubali Tanga gonga like twende sawa
@hopelightrichard9198
@hopelightrichard9198 4 года назад
Kwetu rahaaa tu💕
@rosechami649
@rosechami649 6 лет назад
Vannesa usipomkubalie tena basi hukumpenda mwenzio
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Casmu mapenzi haswa yamezaliwa tanga
@meshackmganga4639
@meshackmganga4639 6 лет назад
Nakukubali sana Broo ..tanga ndo home
@mamaaomar6041
@mamaaomar6041 6 лет назад
Nakukubali sana kssm
@rajabukhan5025
@rajabukhan5025 6 лет назад
kassim shikamooo
@mariamjemsi2163
@mariamjemsi2163 6 лет назад
Rajabu Khan safsan
@ckukuu8404
@ckukuu8404 6 лет назад
Kama kweli ulitaka msamaha wa jux bac hyo surprise mama nihaki ukubali yani wakongwe wabongo wanajua mpka balaaa...+254 Mombasa
@ayubuayubu1165
@ayubuayubu1165 6 лет назад
daa tanga ndo hom
@lucasjacob8510
@lucasjacob8510 6 лет назад
cassim fundi sana mzee... congrats to you
@ashleykipuge1246
@ashleykipuge1246 6 лет назад
hii ndyo aina ya miziki inayotakiwa kuimbwa live, imetisha sana cassim
@mwanamhd6748
@mwanamhd6748 6 лет назад
cassim uko juu
@hamzaadrin941
@hamzaadrin941 6 лет назад
Respect For You Brother #Cassim Live Unaiweza Mzee Baba
@omryally6992
@omryally6992 2 года назад
Nakubali fundi wangu kutoka home Tanga bgp 💕💕💕💕
@beatricekamenge3117
@beatricekamenge3117 4 года назад
Waoo cassimu umejua...... dah!😘😘😘😘😘
@mktv9476
@mktv9476 6 лет назад
daaah cassim anajua sanaaa sauti kamaaa kasukuu ukimsikizaaa unaenjoy sanaaa bg up broo
@hamisimlali1853
@hamisimlali1853 6 лет назад
king Cassim bonge la kuwad
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 6 лет назад
Way overboard but #Love 😊 You go Jux!
@luxtiller561
@luxtiller561 6 лет назад
Congratulations Jux and Vanessa Mdee
@spaice995
@spaice995 6 лет назад
Cha kare n dhahabu cassim na Qchifu for real hata kiba hajafikia japo hawakuwepo kwenye list n wamealikwa tu just imagine wangekuwa kwenye list
@didaamohsin6440
@didaamohsin6440 6 лет назад
loovee u kassim..mahaba
@zainakwemai3482
@zainakwemai3482 4 года назад
Cassom ukovzr mnoooo kk ang
@lameckkatwiga9456
@lameckkatwiga9456 6 лет назад
jux amshukuru cassim
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 6 лет назад
Nice
@simonmtuka6082
@simonmtuka6082 6 лет назад
good music
@issasindano6228
@issasindano6228 6 лет назад
kasimu mgaga unajua saaana one love
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Safi wakati nko shule kassim ww c wa nchi hii
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 6 лет назад
kasimu ana sauti nzuri sanaaaaaa
@talantap4966
@talantap4966 6 лет назад
mkaliii sana Kassim
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 лет назад
kasiiiiim kweli tajiri wa mapenziiiiiii
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 года назад
Mapenz haya jmn achen tu😭😭😭😭😭😭😭
@prettyshemsanelly4374
@prettyshemsanelly4374 6 лет назад
KASSIM WETU WW NI FUNDI WAMAPENZ WENGINE WAKAAEEE TU WATUACIY MIKELELE 😍😍😍
@annajoseph2998
@annajoseph2998 4 года назад
Pretty Shemsa Nelly you have u been up since uuuuuuuuuu
@aishakhamissi7107
@aishakhamissi7107 6 лет назад
nakukubali sana.kaka
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 лет назад
Kasi ww mkal safisha nyota hapohapo tanga maana uko good kimziki
@mrpromiseemmanuel3682
@mrpromiseemmanuel3682 6 лет назад
da huyu MTU ni shida anajua kuimba sana,anapanda ki zote yani da
@sylviareuben8636
@sylviareuben8636 6 лет назад
nice show unajua kukonga ila Vanessa aache ujinga, hiyo fiesta imekuwa yakuombeana msamaha Siku hizi???
@iamzillahx6901
@iamzillahx6901 6 лет назад
let 'em make money,, last yr JayZ Na Beyonce walizuga wameachana then wakapiga tour yao worldwide Na kutengeneza mkwanja wao freeeeeeeeesh
@allykipira6921
@allykipira6921 5 лет назад
It is good
@stainasmkoko604
@stainasmkoko604 6 лет назад
we noma kassim lazima mtoto asamehe
@nuluomar1812
@nuluomar1812 5 лет назад
dah couple hii ilikua bomba sana but now hawak pamoja
@abdulshaban6343
@abdulshaban6343 6 лет назад
mmhh jmn jmn jux kazama
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 лет назад
Kutoka Norway 😍😘😍😍😍😍
@selincharles3383
@selincharles3383 6 лет назад
mkiwa Sawa ntafurai Sana nice couple jux:v mapene
@stellajohn5019
@stellajohn5019 6 лет назад
hahhh nakubal San kassim mganga
@chinamilenas3375
@chinamilenas3375 6 лет назад
Yani naona hata mashabiki walichoka si kwa maigizo hayoo daaah
@halimasali.8081
@halimasali.8081 6 лет назад
Mapenzi jamani
@sadruhsnowwhite4679
@sadruhsnowwhite4679 4 года назад
V money
@mwatangamnondwa1540
@mwatangamnondwa1540 6 лет назад
Weweee ni fundi casimu
@goodneighbour2638
@goodneighbour2638 6 лет назад
na hii ndo show yangu bora ya fiesta
@ibrahimomarmussa4137
@ibrahimomarmussa4137 6 лет назад
Mahaba kwer kwer kassim tishaaasaa
@annahockson1427
@annahockson1427 6 лет назад
sipendi kuckia watu wakiongelea maoenz, ila nimejikuta nikijaa huzuni baada ya kumckiliza kassim
@jacksonndobeji9985
@jacksonndobeji9985 6 лет назад
duuuuuh!!! Kote huko ni kubemberezwa2
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 6 лет назад
Show bizz define.
@beatricelichoti1650
@beatricelichoti1650 5 лет назад
Walai hii nyimbo yanikusha boyfriend wangu wa kwanza, alikua yuapenda kuipigisha Sanaa,
@mbozder2748
@mbozder2748 6 лет назад
vee ameombwa sana kweli
@allyfetty8423
@allyfetty8423 6 лет назад
msamehe jaman
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 лет назад
upuuzi waludiane nini zinaa tupu kwanza huyo juma ni msilim nahuyo mdee krisitini
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 лет назад
Jamani vanessa jux amekukosea kipi kikubwa Lol ,
@ahmadymatuga9920
@ahmadymatuga9920 6 лет назад
Iyoo MARA PAAA Imemkuta VANESSA ....
@japharysety5602
@japharysety5602 6 лет назад
Fundi kazin
@jojofrancis5357
@jojofrancis5357 6 лет назад
nipenda walivyo rudiana
@belvinbelvin6622
@belvinbelvin6622 3 года назад
Ad nyimbo nilimuimbia lkn wap bdo aliniach
@aminasaid7657
@aminasaid7657 5 лет назад
Asantha
@ilasachogogwe8202
@ilasachogogwe8202 6 лет назад
mh
@aishakombo2037
@aishakombo2037 5 лет назад
Hawa wanajua bwana
@joowzeymashine1988
@joowzeymashine1988 6 лет назад
upuuuzi 2pu shenziiii
@ThetopDjMarc
@ThetopDjMarc 6 лет назад
wrong move Broda
@ashurasaloum6012
@ashurasaloum6012 5 лет назад
Huyu nae anazngua c kaenda kw mchina
@kindnesslaiser3857
@kindnesslaiser3857 6 лет назад
Hii caple inambamba kila mtu tuache unafki
@aminarashid4474
@aminarashid4474 6 лет назад
chezea watanga ww
@starmullon4932
@starmullon4932 4 года назад
Kasimu mganga
@MohamedAhmed-yn1lx
@MohamedAhmed-yn1lx 6 лет назад
Kasim anauwezo mkubwa sana
@zuberimkuba3674
@zuberimkuba3674 5 лет назад
Mapenzi yapo tanga kama unakubali wk like. Na kama bado hujakutana na watt wakitanga tafuta ukajioneee utamuuuuy
@greatthinker370
@greatthinker370 6 лет назад
Hizo zote ni kiki
@charlesmushi2305
@charlesmushi2305 6 лет назад
acheni drama Tz
@jacksonndobeji9985
@jacksonndobeji9985 6 лет назад
duuuuuh!!! Kote huko ni kubemberezwa2
@jojofrancis5357
@jojofrancis5357 6 лет назад
nipenda walivyo rudiana
@jacksonndobeji9985
@jacksonndobeji9985 6 лет назад
duuuuuh!!! Kote huko ni kubemberezwa2
@jacksonndobeji9985
@jacksonndobeji9985 6 лет назад
duuuuuh!!! Kote huko ni kubemberezwa2
@jojofrancis5357
@jojofrancis5357 6 лет назад
nipenda walivyo rudiana
@jacksonndobeji9985
@jacksonndobeji9985 6 лет назад
duuuuuh!!! Kote huko ni kubemberezwa2
Далее
ХИТРАЯ БАБУЛЯ #shorts
00:20
Просмотров 1,1 млн
Jux na Vanessa kwenye harusi  na walichokifanya
6:16
Просмотров 350 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
Jua Kali Leo Jumatano Full HD video
24:14
Просмотров 23 тыс.
Mahaba mazito ya Jux.. kam-kiss Vanessa FIESTA
5:44
Просмотров 205 тыс.