Тёмный

MAPYA" MASHUHUDA WAFUNGUKA A-Z KUTEKWA MPAKA KIFO "WATATUMALIZA" 

Yuhai media
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

MAPYA" MASHUHUDA WAFUNGUKA A-Z KUTEKWA MPAKA KIFO "WATATUMALIZA"

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 229   
@BaselisaGabriel
@BaselisaGabriel 6 дней назад
Yesu tusaidie watanzania tumekuwa kuku sio binadamu mnaowauwa watu kumbukeni na ninyi mtakufa tena mtakufa kifo kibaya Sana maana anayeua kwa upanga na yeye atauwawa kwa upanga Kile upandacho ndicho utakachovuna kwa kipimo cha kujaa na kusukwasukwa na kumwagika😢😢😢😢
@abdullahmuhammadKambona
@abdullahmuhammadKambona 8 дней назад
HUYU kiongozi mama ni mtihani sana kwa taifa,,😭😭😭 laana sana hii
@yonawilliam9419
@yonawilliam9419 8 дней назад
Ushauri wangu, Viongozi na wanaharakati wa upinzani muwe na vifaa vidogodogo vya GPS Mvifiche kwenye miili yenu ili isaidie kutrack mtakapo potezwa. Lakini pia itasaidia kuwakamata wahusika wa matukio haya.
@PULKERIAIZIDORY
@PULKERIAIZIDORY 8 дней назад
Polis ni adui wakubwa kwa raia wa Tanzania
@basilsimon676
@basilsimon676 8 дней назад
Bado hatujasema
@IvanKambindu
@IvanKambindu 8 дней назад
Kabisa yani
@annamtapila5761
@annamtapila5761 8 дней назад
This is so sad Jamani. Polisi nanyi mtakufa mjue. Kwa nini raia wauwawe badala ya kulindwa? 😢😢😢😢
@alexismwinyi8472
@alexismwinyi8472 8 дней назад
Nilicho gundua watanzania ni waoga
@errydeo8865
@errydeo8865 7 дней назад
Wapumbavu! Wao wambie mipira na matamasha,basiii! Na kusifia huyu malaya anayewauwa!
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 8 дней назад
Kujaribu kumtenga Rais na haya mambo ni matumizi mabaya ya AKILI
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f 8 дней назад
Upo sahihi kabisa ni matumizi mabaya ya akili. Uchawa unatupeleka pabaya.
@michaelmwalimu6057
@michaelmwalimu6057 7 дней назад
Kweli
@joycefrances4516
@joycefrances4516 8 дней назад
aibuuuuuu aibuuuuuu kwa nchi,inamchafua mama yetu mama Samia,tunaomba utoe neno,la kutatua tatizo la utekaji dah
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 8 дней назад
INAMCHAFUA MAMA YUPI INA MAANA HUYO MAMA HAJUI YANAYO ENDELEA KWA HIL TAIFAA NAN MTOA ODA HAYA NA NAN ANAWEZA STOPISHA HAYA YASIENDELEE
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 8 дней назад
Wasiojulikana WANAJULIKANA, wasiojulikana wana bunduki na pingu ambazo haruhusiwi kumiliki ila wasiojulikana ambao WANAJULIKANA, magari yanayotumika usajili wake yanamilikiwa na wadiojulikana ambao WANAJULIKANA
@KhadijaKhamisi-t1f
@KhadijaKhamisi-t1f 8 дней назад
😢😢😢 Eee,mungu tulinde namadui Hawa wasio jurikana ila wew mola wetu unawajua
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 8 дней назад
Daaaah inaumizaa sanaaa jamanii jamaniii Mungu tusaidie Tanzania
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 8 дней назад
kesi ya nyani anatatua nyani mwenyewe
@user-ke1et1kl1s
@user-ke1et1kl1s 8 дней назад
😭😭😭😭 nchi yangu TANZANIA naipenda sana lakini mama yetu anatuua ee MUNGU upo wapi fanya hima uje upesi
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 8 дней назад
Mungu wetu yupo mtetezi wa haki. Amen.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 8 дней назад
Inaumaa sana sana tena sana,na hii nihatari sana
@nr8782
@nr8782 8 дней назад
Jeshi la polisi tanzania ni kundi la vibaka..wanapenda kutesa sana raia na kuua watanzania bila kufuata sheria...polisi hata sheria hawajui wala kufuata...
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 8 дней назад
Inaumiza sana.
@errydeo8865
@errydeo8865 7 дней назад
Hakuna wa kuwasadia,NI NYINYI WENYEWE KUJISAIDIA! MKIAMBIWA INGIENI KITAA NCHI NZIMA WEEK NZIMA ,MNAENDA MIPIRANI !
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 8 дней назад
KWA MARA YA KWANZA NAOGOPA SANA
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 8 дней назад
Saivi kaa Kimya ,Hali ni mbaya,tunaelekea uchaguzi,bado yanakuja mengi zaidi,tuombe sana.😢
@peteraleck6962
@peteraleck6962 8 дней назад
Usikubali kuchukuliwa kizembe. Bora pambana wakuue hapo hapo kuliko kwenda kuteswa
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde 8 дней назад
Rais Mama Samia,Kwanza nakupenda Sana. Ila hii Nchi ni ya Vyana Vingi.sasa kwa hiki kinachoendelea hebu fungus macho uone kinachoendelea,kinachafua heshima ya Nchi hii. Nikuombe Mama liangalie hili 🙏🙏🙏
@errydeo8865
@errydeo8865 7 дней назад
Aingilie kati wakati yeye ndo anaamuru! Acheni ujinga! SAMIA ni nyoka , muuaji,mwenye roho kwa WATANGANYIKA! ARUDI KWAO! TUVUNJE MUUNGANO
@errydeo8865
@errydeo8865 7 дней назад
Wakati yeye ndo anaamuru! SAMIA is a murderer ,arudi kwao! TUVUNJE MUUNGANO
@daviddsouza735
@daviddsouza735 7 дней назад
Hapendwi mtu. Huwa anapendwa tabia. Hachukiwi mtu, huwa anachukiwa tabia zake.
@SwalafyAct-ks5gz
@SwalafyAct-ks5gz 6 дней назад
Wakati wa magu mbns hamkusema km Mvunje mungano ​@@errydeo8865
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 6 дней назад
WATANZANIA LEO TUJILINDE WENYEWE...AMA ZAO AMA ZETU NITAFIA AMA NITAUA ATAKAYEKUJA KIJINGA MBELE YANGU
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Nduguu wa hawa watu waende UN. Wapeleke waeleze kuwa wanatusumbua tu hawataki kuwasikiliza
@laylayl5166
@laylayl5166 День назад
Wafanye wafanyavyo lakini mungu yupoo nawao wTakufaatu
@ignasmlonge8384
@ignasmlonge8384 8 дней назад
Haya Mambo mungu atusaidie tu hatuna watetezi mahakama lao moja polisi lao moja pamoja na bunge sijajua wanajeshi na wao nina mashaka walianzia kutubomolea kibaha loliondo sasa hivi haya na wanasikia ila lao moja sisi wote tutaonja umauti kila mtu kea wakati wake mungu yupo yeye ataamua halo ilipo
@WilisonMphunami
@WilisonMphunami 8 дней назад
Wasakwe kwa udi na uvumba lazima wakamatwe nao wapewe kipigo kisichosaulika na wateswe Hadi kufa Ili iwe fundisho kwa wengine.Likifika mahakamani hatutapata usuluishi sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.Watanzania tuungane wote kwa pamoja.Tusipofanya hivyo, jambo hili litachafua uchaguzi wa mwakani.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 8 дней назад
Inaumiza sana. Mungu mkuu yupo mtetezi wa haki. Kwanini haya,kwanini chuki hizi?. Tanzania inaelekea wapi?. Je bahadhi ya waliopo madarakani siyo wanadamu tena?.ni wanyama tena wakali na wasiyo na uruma?.( 03/03/2023 Mazabahuni asubuhi sauti ikisema wazi mara tatu Tanzania ipo gizani ndiyo naelewa sauti iyo sasa). Mungu mkuu aturehemu kwa yote. Amen.
@MohammedPakia
@MohammedPakia 6 дней назад
Tanzania tunakoelekea sasa tumkabidhi mungu atuna sehemu yakutetewa
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml 8 дней назад
CCM MWAKA HUU HAMTAIBA KURA MUNGU ATASHUSHA KIPIGO KABLA YA KUIBA PIA HATUTAKUBALI KUTEKWA TUTAJILINDI NA KUJIHAMI WASIOJULIKANA TUTAWAKABILI BARABARA.
@SimbaJumma
@SimbaJumma День назад
aya mambo ni ya kumuchafuwa mama yangu samia jameni oo niwapizani wanajalibu kuuwa ili mama aonekane mubaya mbona mama musitalabu ana peda amani sio kila kitu nimama jameni mama pole kwamangumu unayo pitia mungu yupo kaza looo
@lusajomwankusye602
@lusajomwankusye602 6 дней назад
Inauma sana!!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 8 дней назад
Hii kwao hawana huruma, Firaun Farao mbabe yukowp aliishia bahar ya sham,
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 8 дней назад
Nchi hii tunakwenda.wapi jamani ?
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 8 дней назад
Yan hata sijui niongee nini yule mama jana anaansika eti nimepokea kwa masikitiko kifo cha kiongozi wa chadema why alipo tekwa hajasema na hawa vijana wamepotea muda mrefu ila hajasema kitu hadi sasa
@mwangajilemwangajile-hd9vj
@mwangajilemwangajile-hd9vj 8 дней назад
Well said Boniface. Be blessed
@nyanjachannel5517
@nyanjachannel5517 8 дней назад
Nikujilinda kwa siraha akikudeshi mpige bisu Nora kushtakiwa kunyongwa kuliko wakuuwe utupwe inauma sana tujenga Taifa la hovyo sana
@EmanuelMarandu-o2q
@EmanuelMarandu-o2q 8 дней назад
Tanzania ni nchi ya kisenge na uongozi wake
@iddyekanda6456
@iddyekanda6456 8 дней назад
Amani haiji ila kwa ncha ya upanga, watanzania wamekuwa wapole muda mrefu SASA imefika hatua wananchi Bila kujali itikadi zao kuingia barabarani kudai haki rais huyu hafaia kabisa na genge lake
@MrleeLee-ki7sj
@MrleeLee-ki7sj 8 дней назад
Wewe mama tulia maneno bila vitendo havisaidii kitu hii nchi haiwezi kua salama kwamaneno ya mdomoni free dom is come
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 8 дней назад
Ukikuta wanavowashikilia wezi wakuku utashangaa lakini watekaji wawatu na kuwauwa alieleweki
@scorpionblack-tl6sv
@scorpionblack-tl6sv 7 дней назад
Tanzania amna amani tuna danganywa😢😊
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 8 дней назад
Daaah hatari sana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 8 дней назад
hii nchi inatakiwa kuishi kwa kulipiza kisasi ndıyo wataogopa na ww teka hata ndugu yake mmoja wa polis mtoto dada chukıa nuonga tukııshi hiiv wataogopaaa
@fatmaally7252
@fatmaally7252 8 дней назад
Kabisa mana wanavyo lopoka kwa sababu aiwausu wala haiwaumi ila na wao wakiuliwa ndugu zao au watoto wao wangepata akili
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 8 дней назад
Jamani tuiombee nchi yetu, Amani
@frankraphael7546
@frankraphael7546 8 дней назад
Iyi nchi narais wake niyakipimbavu sana Samia umeshindwa kuendesha nchi plz
@SainabaP-es5me
@SainabaP-es5me 4 дня назад
😢😢😢munguwangu itetee tanzania kume 8ngia nn mbona hatuku zoeajamani
@CassySalum
@CassySalum 8 дней назад
Tanzania ni inchi ya aman Leo kutekwa mara kupotezwa. tunaelekea wapi watanzania. viongozi wa dini na viongozi wa serikali hii swala wakikaa kimya ni hatari Kwa Kila mtu.kibaki chama kimoja tu. mfumo wa vyama vingi haupo tanzania
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 6 дней назад
Kwa hali hii inayoendelea, inawezekana hata JPM hakufa bali aliuwawa...😢😢
@TemboKaijage-kg2mm
@TemboKaijage-kg2mm 8 дней назад
Tanzania tunachezewa kisenge sana
@HoseaPeter-yu3qh
@HoseaPeter-yu3qh 8 дней назад
Mungu tusaidie mi naogopa
@VeronicaAnael
@VeronicaAnael 8 дней назад
Tanzania Yetu inatisha Jamani
@peternyamasiriri5450
@peternyamasiriri5450 8 дней назад
Tunadhani ukikamatwa na polece umeingia sehemu salama kumbe sivyo kumbe polece akija kukukamata mmalizane hapo hapo liwalo na liwe kama ni kufa ufie hapohapo
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 8 дней назад
Samia sio rais na nyie,huyo mwanamke hafai,pamoja na ccm yao yote ni mazombi,hawafai kuwepo
@user-qk5tr8dt7j
@user-qk5tr8dt7j 7 дней назад
Hii nchi aise duuuh
@abdullahmuhammadKambona
@abdullahmuhammadKambona 8 дней назад
VIONGOZI WA DINI WA TANZANIA NI WANAFIKI SANA
@daviddsouza735
@daviddsouza735 7 дней назад
Yule nanlii wa Longido vipi kishahojiwa?
@PatrickLembeli
@PatrickLembeli 8 дней назад
C mlifurai JPM arivyo kufa wakat yeye aripunguza vitendo hivyo hata kama, ee binadam hajakamilika sawa ili tutakukumbuka daima JPM tunao jierewa hata kama hatuna kitu 😂😮😅😮
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 8 дней назад
Yeye alikuwa anapiga risasi tu sio
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 8 дней назад
Anaongoza kwa kuuwa Maguful kaa kimyaa tunajua alichokua anafanya
@rashidissa5887
@rashidissa5887 8 дней назад
Bangi tupu wewe
@danfordkessy515
@danfordkessy515 7 дней назад
Nchi nchi nchi
@davidnkombe9393
@davidnkombe9393 8 дней назад
Raisi yupo kwajili ya kuua wanachi au kutetea masilahi a wananchi
@errydeo8865
@errydeo8865 7 дней назад
Mungu anawatandika viboko,na bado! Alitushushia JPM,tukamtukana,tukambeza,tukamdharau nk, sasa acheni huyu malaya wenu awakomeshe!!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 8 дней назад
Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia,
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 8 дней назад
HAYA MACHOZ NA DAMU HAVITA ENDA BUREE
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 7 дней назад
Jamani hivi raisi yuko wapi magufuli namukumbuka sana alisema mutanikumbuka kwa vitendo
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s 6 дней назад
Hicho kilio mama samia kinamuhusu.
@Josephshilu-y2z
@Josephshilu-y2z 8 дней назад
Pole kwa mpendwa kutekwa
@MugundaKamilo
@MugundaKamilo 8 дней назад
Kwahy wanaoteka ni polisi au usalama wa taifa? Tutofautishe au wote wanashirikiana?
@user-cn2pl5mp5k
@user-cn2pl5mp5k 6 дней назад
Mtakapojitambua mtaacha kutegemea serikali kwa usalama wenu kilamtu amiliki siraha kwa ajiri ya kujilinda
@BakariAthumani-vs8lk
@BakariAthumani-vs8lk 5 дней назад
Jamani kuuliza sio ukinga kwani watatekewa Nini au tupo urus na ukrein
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 6 дней назад
Sasa waziri wake Masauni mbona hamuondowi !!!?? Km hawahusiki na yanayotokea.
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 8 дней назад
Wamama wanauchungu kwakua ni wazazi Mungu tusaidie
@MengineyoBernad
@MengineyoBernad 7 дней назад
kweli kabisa kaka tuamue watanzania si serikali tena
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 дней назад
Watanzania.tungane tujilinde wenyewe polis niwauji ccm niwauwaji
@romaemmanuel3860
@romaemmanuel3860 8 дней назад
Tuache kulalamika, tutalalamika mpaka lini?
@jumabonge8577
@jumabonge8577 8 дней назад
mm no comment ww ongea sana
@mangashajunior242
@mangashajunior242 8 дней назад
Tufanye nini kujilinda na familia zetu kama hali ndo hiyo....
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 8 дней назад
Kaa tu Kimya,husiseme kitu chochote cha kisiasa😢
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 6 дней назад
T U M E S A L I T I W A 😢😢😢
@ZefaAntonypigangoma
@ZefaAntonypigangoma 8 дней назад
Jamani Tanzania mi sijui
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 7 дней назад
Shida watanzania mnakaria ujinga mbona masikini akifa amsemi ira tajiri yeye mngu angarieni viapo vyao vyautajiri wao
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 7 дней назад
Acheni ujinga nana anateka mnajiteka mnaraumu serekari
@romaemmanuel3860
@romaemmanuel3860 8 дней назад
We are rotten
@richardrobert2203
@richardrobert2203 7 дней назад
Definitely we are shit pits
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 8 дней назад
Samia anatumaliza
@surusuru1994
@surusuru1994 8 дней назад
Samia muuwaji pamoja na polis na jishi😢😢😢
@OsOs-l7c
@OsOs-l7c 8 дней назад
Pole
@BugayeRenatus
@BugayeRenatus 8 дней назад
Mitandao itakuwa adui ya maisha yetu
@SainabaP-es5me
@SainabaP-es5me 4 дня назад
Zaidi yaunjama
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 8 дней назад
Jamani watanzania mmesahau yaliyo tokea italia misiri tunisia bukianafaso na kazarika wote waliyo kuwa wanatesa watu walishuhukiwa pamoja na watoto wao na wake zao mpaka wajukuu zao ndugu zangu ebu tuwe na huruma raisi samia mimi nakupenda sana mama dada yetu ongea na vijana wamalize haya matatizo inamaana taifa linashindwa kujuwa hawa ni wakina nani wanao fanya haya mauaji rakini tayari taifa lina mashaka
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 8 дней назад
Tena ni Taifa lenye Amini kubwa Duniani hakuna kikundi kinacho Miliki vyombo vya kivita Zaid ya Serekali
@Ericzdeking24
@Ericzdeking24 5 дней назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 8 дней назад
Ushauri wangu taifa tufunge Kwa maombi.
@AmaniKwanza
@AmaniKwanza 8 дней назад
Inaumiza sana poleni watanzania poleni wana tanga kuna nini ambacho wana chadema wamefanya wao tu ndio yawakute haya mbona wanaharakati wengi wa vyama vya upinzani
@mohamedymussa7556
@mohamedymussa7556 7 дней назад
Washapewa bangi wanapiga makelele tu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Ukienda kutafuta haki ukakataliwa ufanye nini? Hii Inchi ya watu fulani kwenye utawala huu. Nadhani wanaotuuwa wanatolewa Inje ya Inchi chunguzeni na comments zinazotolewa kuwa mama Samia analipa kisasi cha kilichotokea huko.NyKati za Nyerere.
@hashimmwinja1940
@hashimmwinja1940 8 дней назад
Hakika hii inatisha sana kwa nchi iliyokuwa na sifa ya amqni na uyawala bora kamq hoi kugeiluka kuwa mahali hatari zaidi kuoshi
@ngwilaemmanuel
@ngwilaemmanuel 8 дней назад
One vitanuka Vita tanzania
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 7 дней назад
Watz hamuna maono yaani bado munamuona samia nimufajiri wenu pumbavu kabisa,acheni uoga wakujipendekeza kwamama,mtekaji niyule aliyekataa kabadrisha Mfumo huu wautawala,
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 6 дней назад
NARUDIA TENA WAJIBU WA KUJILINDA SISI WENYEWE
@MrKhatibu
@MrKhatibu 7 дней назад
4:35 Watanzania tujiongeze
@msafiriomary893
@msafiriomary893 8 дней назад
Magufuli arisema rakin
@MengineyoBernad
@MengineyoBernad 7 дней назад
lakini wa tanzania tukumbe maneno ya hayati mangufuli alisema mtanikimbuka na maneno mengi kadha wa kadha sasa tanzania na jehamu ndogo
@ngwilaemmanuel
@ngwilaemmanuel 8 дней назад
Watanzania tuache woga wenzetu wa Gabon tayar wapo huru..
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 7 дней назад
Serekari ainashida shida ipo kwenu matajiri
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 6 дней назад
INTELLIGENCE YA POLICE NI KUZUIA TU MIKUTANO YA WAPINZANI PAMOJA NA KUKAMATA MALI ZA WATU WALIZONUNUWA KIHALALI
Далее
Kimeumana: Acting IG Masengeli lands in big trouble
8:44
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08