Тёмный

MAPYA YAIBUKA DC, MEATU AINGIA KWENYE 18 ZA MPINA WANYUKANA VIKALI ''HIZO NI SIASA ZA MAJI TAKA'' 

JAMBO TV
Подписаться 923 тыс.
Просмотров 4,1 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 21 час назад
Jembe langu Mpina.Mungu akubariki,akulinde na kukupa maisha marefu zaidi.Huyu ni mzalendo na mtanzania mpenda utu na haki.
@KilundumyaAthumani
@KilundumyaAthumani День назад
Nafikili mkuu haya ulitakiwa kuyakabili wakati huo yanatokea na sio baadae ni wazi uko mbali na wananchi wako maana sio rahisi haya kutokea bila muwakilishi wa wananchi kujua,pili maswala haya yalitakiwa kuzungumzwa kupitia vikao vya chama chako na tamko hili ungekuachia chama chako na wewe ukawa sehem ya ufuatiliaji,na pia suala hili ungeweza kulimaliza kupitia vikao vya madiwani ambapo wewe ni mjumbe pia mgeweza limaliza bila kuleta mvutano na viongozi wenzio na mwisho siasa za kutishana kila wakati nazo hazina afya kwa Jamii na zingatia hapo unarumbana setikali siamini kama hayo yanatokea hapakuwa na vikao halali au uzingatifu wa sheria badala yake wewe pekee ulione hilo sina imani kabisaa kwa Mh Rais kukaa kimyaa uzuri tumeona marneo mbalimbali viongozi wanakosea tu hata kauli mama anakula kichwa siku hiyo hiyo,anyway bado naamini kupitia vikao tatzo kama hili linaweza kumalizika na hasa ukixingatia 4R
@FransiscoKaiza
@FransiscoKaiza День назад
Mungu akujalie tuna kuombea mungu akupe ulinzi🇹🇿♥️⛪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@gracemima5234
@gracemima5234 День назад
Tunahitaji wabunge kama Mpina. Watanzania wapole sana, wengi elimu zawo ndogo hawawezi kubishanae na viongozi dhuluma. Serikali iwarudishie fedha zawo.
@rajabumtuga7372
@rajabumtuga7372 День назад
Anasimamia haki.. hawez kupendwa na wezi
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 12 часов назад
Ivi kwa hii bei ya elfu 23000kwa mfuko wa siment wanainchi watatoboa
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 День назад
Mwacheni mpina yuko jimboni kwake nyinyi wa mtendeni jadilini ya kwenu
@Ajijji12
@Ajijji12 День назад
Bashe kakushinda unadandia mengine
@gracemima5234
@gracemima5234 День назад
Bashe atamushinda mjinga kama wewe hujielewi. Ndiyo maana watu kama Bashe anaweza kudanganya watanzania kwa kufikilia sisi wote wajinga kama wewe.
@Ajijji12
@Ajijji12 День назад
@@gracemima5234 jifunze kuandika kwanza
@FransiscoKaiza
@FransiscoKaiza День назад
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🏋️✍️✍️
@generosennko8343
@generosennko8343 День назад
Ccm ikiongeza idadi ya viongozi wa kaliba ya mpina, ambao ni wapenda haki na ukweli; nchi yetu itastawi na watu kuwa na furaha. Unastahili Nobel Laureate price son Mpina.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 21 час назад
Uko sahihi sana.yaani ccm ingekuwa na watu kama Mpina nchi yetu ingekuwa bora na imara sana.Ingekuwa ni nchi yenye utu,ubinadamu ,haki na furaha tele.
@VictorNphilip
@VictorNphilip День назад
Mwamba amuka naye huyo
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859 День назад
Kitu cha ajabu kwa nini chadema hasa kwa mbowe lissu lema na wengineo krb na uchaguzi waleta kitu cha kutofahamu pia wanakimbilia ubalozi wa America na ubalozi wa nchi zinginezo za kizungu kuwa kavia makosa yao
@pueblo148
@pueblo148 День назад
Wanapienda huko ni vizuri ili tukienda kudanganya tutuhojiwe kuhusu
@MalkiadiNaano
@MalkiadiNaano День назад
Je wewe mchango wako ni i nini katika kurekebisha hali hiyo ukiwa kiungo kati wananchi na erikali yachama chako na kwa nini unakimbilia vyombo vya habari badala ya vikao vya chama
@gracemima5234
@gracemima5234 День назад
Anatujulisha watanzania yeye kama mbunge na kuwaelimisha watu wasionewe. Wewe kama unafaidika na uonevu huu wa kudhulumu wanyonge
@gracemima5234
@gracemima5234 День назад
Mpina uko sawa baba. Saidia watu. Kuna uonevu mukubwa Tanzania haswa kwa wananchi wanyonge. Wenye fedha wanatumia fedha zawo kuwaibia wanyonge. Hawana pa kukimbilia zaidi kwa mbunge wawo musikivu. Wabunge wote wangekuwa kama wewe watanzania wangepumuwa. Umekuwa mbunge tofauti, na ndiyo maana unachukiwa bungeni. Wanatamani kukunyamazisha kaa kimya
Далее
ХИТРАЯ БАБУЛЯ #shorts
00:20
Просмотров 1,2 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /39/ #love
23:12
Просмотров 24 тыс.