Тёмный

MAPYA YAIBUKA! MTANDAO wa WIZI wa 'HANDSOME BOY' WANASWA kwenye CCTV, MENEJA HOTELI ZNZ ASIMULIA A-Z 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 217 тыс.
50% 1

MAPYA YAIBUKA! MTANDAO wa WIZI wa 'HANDSOME BOY' WANASWA kwenye CCTV, MENEJA HOTELI ZNZ ASIMULIA A-Z
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 396   
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 2 года назад
Daaah Jamaa kajidharirisha sana kwa media!!Unafichaje sura nchi nzima wanakujua ww mwizi😭😭
@oopsm3574
@oopsm3574 2 года назад
"kajidhalilisha"
@ally-26og
@ally-26og 14 дней назад
Huyo kaibana saana dar kwenye mwendo kasi kaibia saana watu kwenye madaladala ni kijana wa magomeni mikumi ni mteja wa unga anajulikana saana huyo ibra pia ni mchicha mwiba huyo mshenzi saana
@floramlowe7078
@floramlowe7078 2 года назад
Da Vijana tufanye kazi tutapoteza maisha mapema kwas ya uvivu na tamaa.
@mamajaphety1624
@mamajaphety1624 2 года назад
Mungu tuhurumie sisi wenye watoto wakiume wawe vijana wema kwakifupi mzazi anaumia sana lkn hana lakufanya kijana ndo ameshaharibikiwa
@auntyjoyke8316
@auntyjoyke8316 2 года назад
Ameen
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 года назад
Yaani ndugu xixi wazazi tunaumia sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 27 дней назад
Kbisa ndgu yngu tuwaombee
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 22 дня назад
Hata wakike waombewe
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 года назад
utakuta binti anajiskia nimepata chali handsome ooh my God 🇰🇪🇪🇺
@nangeboy5313
@nangeboy5313 2 года назад
Daah nikweli asee yaani aibu kubwa
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
Ataua
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 2 года назад
Tabia mbaya yani ss wazazi tunalea watoto kwa kung'ang'ana ili wajitume ili kesho watusaidie but unapata kijana na nguvu zake anajimaliza sababu ya tamaa na uvivu.. God have mercy on our children 👏
@farisjl5864
@farisjl5864 Месяц назад
Mnawalea Kwa kuwapenda sio kuwafundisha nidhamu
@preciousjohn9405
@preciousjohn9405 2 года назад
Kutoka kwenye kujaza kifua na maburichi Hadi wiz wa sim ,mabinti kuweni Makin na kuchagua wenza Kuna vitu vya msingi Sana vya kuangalia Lkn siyo mwonekano
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 года назад
Kweli kabisa love
@valeriachipeta774
@valeriachipeta774 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha haswa mabirichi ettii
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
@@valeriachipeta774 yan nimecheka sana iyo maburichi😂😂😂
@chulelubella2819
@chulelubella2819 Год назад
Ndio mjifunze
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Wamekuchakazaaaa🤔🤔ebwana we km utarudia tena bro utakuwa unaroho ngum sn mana izo sijui nifimbo sijui visu duh Allah akusaidie icho kijitabia kikuondeken pia Allah atunusur vizazi vyetu 👏
@nangeboy5313
@nangeboy5313 2 года назад
Nipe namba
@nangeboy5313
@nangeboy5313 2 года назад
Yako
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 2 года назад
Mmmhu jamani vijana wanapenda kamseleleko hawataki kufanyakazi utafikiri ni walemavu. Mungu kakupa viungo vyote vya mwili kakupa nguvu kwanini usifanyekazi? Hakika siku zao zimetimia.
@minmaxc485
@minmaxc485 2 года назад
Huyo police anabumba story cctv owner Yuko straight forward hamumunyi kaa police unaonaeeeh umenipata vizuri 😁😁😁😁😁 police bwana
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
CCTV camera nzuuri sana wangefunga ata barabaran dar es salaam ingependza
@mwigaadam9076
@mwigaadam9076 2 года назад
Ktk mji wazanzibar zipo kila kona
@dotosalim5090
@dotosalim5090 2 года назад
Wee wangeziiba
@jamilaratabu1586
@jamilaratabu1586 27 дней назад
😂😂😂😂​@@dotosalim5090
@shersaid7988
@shersaid7988 2 года назад
Vijana wanataka vitu kwa njia ya urahisi.Fanyeni kazi hamuoni haya.Nguvu mnazo kazi kuiba.
@gaspermwenguo7663
@gaspermwenguo7663 2 года назад
Unamuibiya mwenzako naye kachoka elewa shingo itagawanyika,maisha magumu kwa kila mtu
@AllySibila
@AllySibila 27 дней назад
Hatukatai serikali imechukua maliasili zetu kuwapa wazungu sisi vijana tukabaki hatuelewi lakini tusifikie hatua ya kuiba tujitume tufanye kazi kama kuiba basi tuiibie serikali tusiibiane wenyewe 🙏
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 21 день назад
Maliasili gani waliochukua?
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 2 года назад
Simu tu inakudhalilisha. Vijana tufanye kazi na tuache maisha ya short cut !🥲😅😂🤣😇🤣🤣
@agneswilbard9059
@agneswilbard9059 2 года назад
Hatua kali zichukuliwe wanaaibisha nchi yetu kwa wageni
@claranewaho1251
@claranewaho1251 2 года назад
Hii ndo hotel bhana big up chief
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 2 года назад
🙆‍♀️Handsome boy nani Jizi, Kweli za Mwizi ni Arobaini Ogopa 🤔😆😆😡
@sixphil9076
@sixphil9076 2 года назад
vijana tusali sana jaman kwennye swala kuna subira ndani yakee
@rede_nalisis_tz
@rede_nalisis_tz 2 года назад
Watu wa Dar kwa wizi...aaah Zanzibar kila sehemu kuna Camera
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 года назад
Ingekuwa wamekamatwa bara, wangekuwa marehemu.
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 года назад
Kabisa
@chamritaabdul1592
@chamritaabdul1592 2 года назад
😅😂😂
@mariamyusuphu5434
@mariamyusuphu5434 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@esterabonga7947
@esterabonga7947 2 года назад
Tunapenda ma handsome boy lakini wengi awajitumi kutafuta maisha na awanaga chochote
@josephstephen2047
@josephstephen2047 2 года назад
Wazanzibari ni wapole hawa jamaa wangekamatwa hapa dar mpaka sasa wangekuwa ni marehemu
@azizamohd5728
@azizamohd5728 2 года назад
Huko polisi wamepelekwa bure tu wangemaliza kazi hao hao wananchi
@user-hp4pf9cm4s
@user-hp4pf9cm4s 14 дней назад
Masikini haya maisha ,,,,aisee aisee mungu tusaidie vizazi vyetu inauma ,,,wanaumiza watu 😢😢😢sana sema wakikamatwa pia wanatia huruma snaa sema uwa awakomi mungu tusaidie
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 года назад
Mtu anjiita the don..kumbe udon wa kuiba😀😂😂😂. Ndio maana bija a wote wanaojitutumua kwenye mitandao kiwa wana pesa huwa ni matapeli
@NanaMugisha-e4i
@NanaMugisha-e4i 29 дней назад
Nahuo ndiyoukweli wengi wao ni matapeli
@abdulbora812
@abdulbora812 2 года назад
Dah ndugu zangu vijana wenzangu muekeni mungu mbele bidii nakustaamili.maisha nimagumu ndio hilo twalijuwa.ila uwizi hausaidii uhuni haulipi.rudini kwa mungu shetani yake ndio hayo.ujumbe ni malipo ya mwizi ni mauti
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 года назад
Inalilahi wainailayhi rajuun. Kusema kweli ulimwengu huu una baadhi ya mataifa yenye wanaume makini sana lakini inahuzunisha sana pale wanapokua na vichwa ambavyo hakuna mtu anafaidika nao isipokua vinyozi
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 2 года назад
Ndomaana sinaga imani na hawa mahandsome boy kabisaaaaaa
@mgogododoma5062
@mgogododoma5062 2 года назад
Hahahahaha kama mimi ,haw cyo watu wazureee kabsaaa
@mariamyusuphu5434
@mariamyusuphu5434 2 года назад
Wengi wezi sasaivi na umariooo basi
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 25 дней назад
YANI NI HATARI SANA UTAKUTA KAMA SI MHALIFU BASI BWABWA YANI KASHAFANYWA MKE WA MTU MAMMAEE 😂😂😂
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 года назад
For real, Roho imeniuma sana, kama Kijana, maana wana kila sababu ya nguvu akili na mwili kuweza kujituma na kuisaidia familia na jamii yake inayomzunguka kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Vijana tujitume tupate vyenye haki kadri Mungu alivyotukadiria
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 года назад
Yaani hii dunia lmefika mwisho unazaaa Mtoto akusaidie cy akuumize au aumize watu matalajio yako mzazi tofauti na Mambo yaliyopo
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 года назад
Pia angalieni uwezekano wa kuwa hao walinzi wa sehemu za starehe wanaweza kuwa wanashirikiana na wezi
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 года назад
Wakiambiwa habar ya injili wanaona n ushamba na shetan atawanyoosha san tu mpaka mshike adabu maan Yesu anawaita ili awaondolee Tabia mbaya muwe na tabia njema hamtaki!!!!usharobalo Wa kishamba kumbe wezi,yohana 3:16
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 года назад
Uyu jamaa mzanzibar sio wa bongo. Mzanzibar safi.
@IssaTamba-qh1gi
@IssaTamba-qh1gi 7 дней назад
Ni bongo nimeishi nae kinondoni
@kulwamussa3612
@kulwamussa3612 2 года назад
Vijana wa Dar wavivu kufanya kazingum wanachagua kazi pili nimamariyo sana mwishowe hugeuka wezi kwakutaka vitonga
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Sio wa dar tuu sema vijana wa sasa wengi wanapenda mtelezo
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 2 года назад
Siyo wa dar tuu,kila mahari vijana wamekuwa vibaka mnooo
@shukunyoni6865
@shukunyoni6865 2 года назад
Iyo kauli futa wez wap dar tup au
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
@@shukunyoni6865 hajitambui huyo
@eliyajeremia1447
@eliyajeremia1447 2 года назад
@@MohammedAli-rh5si watu wakifanya kazizaumachinga wanafukuzwa matokeo ndohayo
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Wallah aibu kubwa kwa vijana kama hao Dawa muwapige mpaka wakome
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Duh 🙄 haibu iyo anajifanya shalo kumbe jambazi
@wemamgala4869
@wemamgala4869 2 года назад
Kisa utakuta nayeye anataka aonekane Sasa jaman maisha haya kufanya kazi wanaona nn
@eliathedononlinetv7675
@eliathedononlinetv7675 2 года назад
Mara hatuachi weez
@manjaruu679
@manjaruu679 2 года назад
Ubishoo bila pesa mwili wako lazima utumike
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
🤣🤣🤣doni anatia urumaaaa jamaniiii😀😀😀😀😀😀
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
Masikini daah hakujuwa kama kuna CCTV
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Sub hanallah jmn vijana wazur tu kwann msifanye kz.... mtakuja fia mikononi mwawatu bure🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
@abdulraqeebfaiz9442
@abdulraqeebfaiz9442 2 года назад
Bado wale wa online wa kuiba pesa za watu na kujifanya ni wauzaji simu online hao ipo siku yao nshallah na wakipatana wapigwe lkn wasife yani wapigwe mpka watamni kufaaaa
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 2 года назад
Aah jamani boy mzuri hivi
@Yuzzoh_comedian
@Yuzzoh_comedian 20 дней назад
Bongo wa mwisho kutoka asisahau kuzima taa kwakweli 😂😂😂kuna maajabu sana hapa😂 Jaman mje mnisubscribe na mimi basi wale wapenzi wa comedy na trending kwa njia ya vituko.😅😅😅🙏🙏
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 года назад
Handsome pochi ziro
@superdupaproducer4294
@superdupaproducer4294 2 года назад
Taarifa ya polisi na manager wa hotel zimetofautiana kidogo. Piga like kama umeshtukia
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 2 года назад
We nae fala kafanye kaz like ya mavi
@superdupaproducer4294
@superdupaproducer4294 2 года назад
@@mrambadiana9678 kale mavi
@rehemasalim6062
@rehemasalim6062 Месяц назад
😂😂😂😂 tz siami
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 2 года назад
Aibu hii jamani fanyeni kazi vijana ,unacho kipanda lazima ukivune
@greatiq7835
@greatiq7835 2 года назад
Zanzibarnia!
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Yupo vizur ibrahim kwa wezi
@johnbidya119
@johnbidya119 2 года назад
Kwann mmewapiga kama hawakusumbua mnashitakiwa pia
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 2 года назад
Kwanza wamehurumiwa sana hao dawa sio kipigo tu ilitakiwa watoke na ukumbusho wa kusimulia ubaya wa wizi angepatikana scopion akawang'oa hata jicho mojamoja. ADHABU HAIKWEPEKI KWA MWIZI .
@saidaliy5173
@saidaliy5173 2 года назад
Wewe mwenyewe mwizi
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n 16 дней назад
Afadhali hata wamewabusu busu hao walikuwa wa kupiga kibiriti mamae
@johnbidya119
@johnbidya119 16 дней назад
@@saidaliy5173 hata wewe ni mwiz pia ..ambaye hajawahi kuiba anyoshe mkono
@IssaTamba-qh1gi
@IssaTamba-qh1gi 7 дней назад
Ibra mdogo wa john cena daah mungu hawape wazazi wao subra kwa maana watoto wote wa kiume mtihani
@luckyrasuli525
@luckyrasuli525 2 года назад
Wale ambao tuko nungwi baobao ZANZIBAR tuonane huku jaman vile vingereza vya how much ndo ivi😰😰😰
@Muba3304
@Muba3304 2 года назад
Hahahaha
@Bntv-4928
@Bntv-4928 2 года назад
Umetisha Lucky Rasuli
@khadijakhadija4476
@khadijakhadija4476 2 года назад
Jmn hawa wengine waenda kulabata zanzibar au wendea wizi tu mtatuogopesha jmn
@issahrashid6319
@issahrashid6319 2 года назад
Big up kw meneja
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 года назад
Tamaa mbaya 😂😂😂
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 2 года назад
Mbona tunamuona police
@getajo1153
@getajo1153 2 года назад
huyu siyo ZIDANE wa Kigamboni....
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Subhannallah, mtihani kwakweli
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 года назад
Asa hapo mtihani gani na wewe? Kila kitu mnasingizia Mtihani.Hakuna mtihani hapo usidanganye watu.
@ummyproductnatural4512
@ummyproductnatural4512 2 года назад
@@allyhassan7522 Kama sio mtihani Ni kitu gani?? Ktk maisha Kila kitu mtihani ima kupasi au kufeli
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 года назад
@@ummyproductnatural4512 Sasa hapo kufaulu au kufeli kukoje? Hakuja mtihani hapo usidanganye watu.
@halimasul6018
@halimasul6018 2 года назад
Duuh huwez htaa kuwadhaniaa mahensom basii😭😭😭
@lizlee7808
@lizlee7808 2 года назад
Napamic Sana hapa nungwi
@peterwapesa7947
@peterwapesa7947 2 года назад
Twende nikupeleke
@babylucky8303
@babylucky8303 2 года назад
Uyu ibra uyu ndo yupo kweny wimbo wa AYA ya marioo,, ety handsome kumbe mwizi.
@Bntv-4928
@Bntv-4928 2 года назад
Kwel kabsa
@AngelClement-f6o
@AngelClement-f6o 4 часа назад
Ndo yy ndio anakesha sn ktambaa huyu
@eddyrashid3329
@eddyrashid3329 2 года назад
Eti anaishi ilala.....wanaume wakinondoni wanakataa kwao🤣
@singinggirl6554
@singinggirl6554 2 года назад
🤣🤣🤣
@ashamohd4461
@ashamohd4461 2 года назад
Anaishi kinondoni
@everlyne8595
@everlyne8595 2 года назад
Wadada ulifikie htua hv vnavy jifny visanii mvione kawaid mn cioo huyoo tu vijana wengi wanao jihusisha n sanaa waiz wanakutongoz wanajifny wanaupend ukiend kukutan nae wanakuibiaa helaa n cm alf wanakimbiia serikal popot ilipo shughlikien hili swalaa kesi km hii ikij km msanii yoyot kaiba au vibarak vyaooo mchukulie hatua wanatumia majin yaooo kuwaliz watu
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 21 день назад
Hadi nimeona aibu mimi nikavuta picha mfano ndo angekua mtt wangu ningejificha wapi 😢😢
@EREVUKATV
@EREVUKATV 2 года назад
Ah mwezi ulopita nilivunjiwa duka mshakaj wangu bishoo flan iv sikuwah kujua kama ni mwiz lakn nashkuru walinisaidia kumkamata na nikampeleka mahakamani akahukumiwa washenzi sana hwa jamaa ogopa hawa vijana wanavaaa vaaa vzr afu hawaelewek wanafnya issue gan washenz sana ni kuwaua tu
@theprince5253
@theprince5253 2 года назад
Duuuuhhhh maisha haya ni hapana ni bora kwenda kutafuta kazi yes kazi hakuna lakini tusijikaze kutafuta
@tatukitwange2683
@tatukitwange2683 2 года назад
Ibrahimu unashindwa kutafuta Hera mwenyewe unaiba unajidharirisha acha kuoba bwana haundani na Mambo hayo
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 года назад
Vya bwerere vya uwa Tamaa mbele Mauti nyuma😂🇰🇪 kichapo cha mbwa hichoo
@yusufkatundu7774
@yusufkatundu7774 Месяц назад
Mwanangu ibrah
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 года назад
NAIPENDA SANA ZNZ YNG.
@iddykidito2136
@iddykidito2136 2 года назад
Huyu mwenye blichi c yupo kwenye video ya wimbo wa marioo AYA🤣
@EREVUKATV
@EREVUKATV 2 года назад
Kwel asee
@babylucky8303
@babylucky8303 2 года назад
Ni yeye kbs
@iddykidito2136
@iddykidito2136 2 года назад
Na ana kaa kinondoni B mtaa wa kanazi
@mbunah255
@mbunah255 2 года назад
Oya live au marioo na yeye mwizi 🤣
@manyamabenedictor1795
@manyamabenedictor1795 2 года назад
Live ata ule wimbo wa nandy wa helicopter
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 2 года назад
Tamaa zinawaponza
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 года назад
😂😂😂mimii nataka anitajie cream Gani anapaka?!
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 2 года назад
😀😀
@saidasao9897
@saidasao9897 2 года назад
😂😂😂😂🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Ohooo kazi ipo
@petermanala6138
@petermanala6138 27 дней назад
Jick😂😂😂😂
@Bombom-ze1sj
@Bombom-ze1sj 10 дней назад
Hapo mzazibar anatetewa na mtanganyika atafia jera nipo hapa nimkaa.. lazma uzanzibar uingie ndani
@visionman8277
@visionman8277 18 дней назад
Endeleeni kutamani maisha ya watu wa mtandaoni😂😂😂
@ZakiaAliy
@ZakiaAliy Месяц назад
Fa masihara na Zanzibar wew chezea kote ila sio zenj 😂😂😂😂
@irenemagreti5921
@irenemagreti5921 2 года назад
Vijana wazuri nanguvu zenu mnaji zaririsha mnauramba kwenda kwawatu kumbe wezi hebutazama alivyou ramba kwenye boti jamani utafikilia mtu naheshima zake kumbe anaenda kuiba
@yasyntapaul9242
@yasyntapaul9242 2 года назад
🙉et handsome boy 😀😀
@anjelamassawe8997
@anjelamassawe8997 2 года назад
Cm tu inakutoa roho
@winnerhapila155
@winnerhapila155 2 года назад
Mwizi na mchawi hakuna tofauti wangeuwa tuuu✍️
@issakobakimanga7738
@issakobakimanga7738 2 года назад
Washenzi sana hawaa
@finemichael2435
@finemichael2435 2 года назад
Na kweli
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 года назад
Jaman
@rizikmtu8063
@rizikmtu8063 2 года назад
Hadi aibu jamani
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 2 года назад
Skuzamwizi alobaini kweli nmeamini
@mtitaog2139
@mtitaog2139 2 года назад
Huyu kaka mbona kam wa mabibo
@agapekikoti3888
@agapekikoti3888 2 года назад
,wa knondon
@mtitaog2139
@mtitaog2139 2 года назад
Basi atakua ndio huyu huyu bhan kuna baa anakaaga mabibo na namjua alikua anatabia ya wizi wa simu hivi hiv ila naona kajiongeza kaamua kua mtalii
@mcdonaldkaaya8555
@mcdonaldkaaya8555 2 года назад
Aisee poleni lakini mliwaadhibu?? 😂😂😂
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 года назад
Vijanaa wengi ni matepeli apa mjini na sasaiv Serikali inawazuia kufanya biashara zao basi tutegemee ongezeko kubwa la wizi, uarifu ,unyangany ,utapeli kama huuu.... Tanzania nakupend sn
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
Mmmh kila jambo Serikali 🙄🤔Wizi nao Serikali JAMANI tuone aibu na tuwe wabunifu siyo Lawama.
@jullybonzo3011
@jullybonzo3011 2 года назад
Handsome alikuwa kwenye wimbo wa nandy kumbe mwizi
@teychriss3248
@teychriss3248 2 года назад
😲😲 mwimbo gani?
@greysonsimba5366
@greysonsimba5366 2 года назад
Hivi kwenye wimbo upi wa nandy
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 года назад
Hupi
@EREVUKATV
@EREVUKATV 2 года назад
Wimbo gan
@manyamabenedictor1795
@manyamabenedictor1795 2 года назад
Ambao kuna helicopter bana,ndo mwenywe wa kinondoni😆😆😆😆
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
dah wenyewe wazuri maashaallah marijali haswa
@Cyper255
@Cyper255 2 года назад
Tamaa ya ngono hiyo!!
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
kivipi
@catherinemuhagama7338
@catherinemuhagama7338 2 года назад
@@Cyper255 🤣🤣🤣nmechekaaaa 🙌ila bongo raha
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 года назад
Ukajuwaje kama marijali
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
kwani wale ni bibi zako au shangazi zako
@roseanankwabi6743
@roseanankwabi6743 2 года назад
Uyu jamaa namjua vizur anaishi kinondon mkwajun na yupo video nyingi tu za bongo na pia rafiki yake Sanaa t.i.d ndio alikuaga anamuita buyoder.
@lothelifaraja6089
@lothelifaraja6089 2 года назад
Yeah sahihi wa kinondon huyu
@hamisisalum6594
@hamisisalum6594 2 года назад
Ukwel mtupu
@husnahassan2708
@husnahassan2708 2 года назад
Yaani nimefurahi kweli ni mshenzii sana huyu anajeuli alinitukanaga mimi huyo sina ham nae mungu kanilipia alhamndulilah
@greatgabbage7681
@greatgabbage7681 2 года назад
@@husnahassan2708 😁😁😁
@mujwasteven
@mujwasteven 29 дней назад
Naenda kufanya interview na TID sijui itakuwaje
@cleartzboy
@cleartzboy 22 дня назад
Dada zngu mnaowtaka ma handsome mjifunzee hapo na watu msiowajua mnaona wamependeza tu
@mototv1599
@mototv1599 2 года назад
*Mi nilijua calisah*
@allymohammedothman6593
@allymohammedothman6593 2 года назад
Wamachinga watafutieni sehemu nyengine na watu wa boda boda bila ya hivyo wizi ndio itakua ajira zao na vifo ndio zitakua zawadi zao dah inavyoonekanwa walikua washazoea na issues zao ndio zilikua salam zitawafikia wenzao
@issacksaimon-oy5sv
@issacksaimon-oy5sv 26 дней назад
Zanzibar awajui kupiga sasa mbona Bado mzur Yan huyo ilitakiwa apigike mpaka asijulikane
@khadijamseya2344
@khadijamseya2344 13 дней назад
Huyu anakeshag kitambaa 😂 namuonaga
@009biafra8
@009biafra8 2 года назад
Hawa masharobaro wanazingua san
@NorezzyTZ
@NorezzyTZ 22 дня назад
Wapigwe2 sana washa nipiga sim mbwa ao
@juniormvungi2502
@juniormvungi2502 17 дней назад
Huyu jamaaa namuonaga saaana kitambaaa
@user-ds7ho1my4u
@user-ds7ho1my4u День назад
Sisi Zanzibar Zenj Err Barr, Unguja hatuna Tabia ya Wizi, Tabia yetu ni Kusagana, Ubasha, na Ushoga, Hili la Wizi ni Wabara ndiyo hupenda Wizi na Ulevi, Acheni Wizi, Bora Uuze chako, Ulichopewa Buree.
@catherinepamphili1242
@catherinepamphili1242 2 года назад
Vijana fanyeni kazi jaman acheni tamaa fanyeni kazi ukipata kidogo uridhike nacho vijana kama Hawa niwadogo na ndo taifa linawategemea Sasa wamekuwa wez dah 😭😭😭
@Abrahamtherealife
@Abrahamtherealife 2 года назад
Zanzibar tabia ya wizi hakuna lakini saiv imekuwa ipo ni kwasababu ya watu kuja kutoka bara uko ukweli wenzetu wa kibongo ni tamaa sana na hawezi kupitwa na kitu cha mtu mm mwenyewe tayar nishaibiwa na hao hao kutoka bara hii inasababushwa na kukaribishwa hapa kwetu zanzibar wizi wanatoka bara
@Bntv-4928
@Bntv-4928 2 года назад
Ndg Abrahamu Kite ,, jiulize na huyo alieshirikiana nae ambae ndo alifungua gar kwa master key je ni mbara ,,,, c mzanzibar hali tena damu ya kizanzibar usipende kulaumu upande mmoja
Далее
Ванесса 🆚 Крискас  | WICSUR #shorts
00:42
MWIZI WA MTANDAONI AELEZEA JINSI WANAVYOIBA
5:37
Просмотров 37 тыс.