Тёмный

Marco Joseph - Daktari (official video)4k 

Marco joseph
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 1,3 млн
50% 1

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@simonmutsami4178
@simonmutsami4178 18 дней назад
Kama unaona baada ya kifo cha huyu bingwa gonga like tukisonga.
@Pendo-ru4li
@Pendo-ru4li 7 дней назад
😢
@EmilyOchando
@EmilyOchando 24 дня назад
Hakika Kenya 🇰🇪🇰🇪 tumeumia sana pamoja na wenzetu wa Tanzania poleni sana ndugu zetu
@BabraWati
@BabraWati 23 дня назад
Walai 😂😂😂😂
@ashafelix8332
@ashafelix8332 22 дня назад
Hakika wakenya mnatusapoti sana kwenye injili, Mungu awabariki zaidi na zaidi.
@JulineAwuor
@JulineAwuor 21 день назад
Unacheka nini sasa ​@@BabraWati
@lydiamaneno2596
@lydiamaneno2596 17 дней назад
@@EmilyOchando Asanteni sana ndugu zetu mbarikiwe sana wapendwa.
@DeniciaKanyengele
@DeniciaKanyengele 29 дней назад
Huu wimbo aliutunga maalum kwa ajili yake yeye mwenyewe,,,, mwenyezi Mungu akupokee akupatie pumziko la milele...Amina
@faithjelagat176
@faithjelagat176 28 дней назад
Kabisaa
@josephineachieng6048
@josephineachieng6048 28 дней назад
Like he foresaw his death
@AminabellaNshimirimana
@AminabellaNshimirimana 28 дней назад
Mungu akulaze mahali pema kaka yangu
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 28 дней назад
Indeed
@sophianzali6818
@sophianzali6818 27 дней назад
ukaribie nyumban kwa Baba huko napo ukaimbe hosana hosana ndiwe mfariji wetu 😘
@isaacmwenda192
@isaacmwenda192 12 дней назад
huu wimbo una nguvu....kuwa Mungu ndiye Daktari...Mungu amlaze mahala pema palipo na pimziko ,hamna shinda za mwili,roho ....Yeye ni DAKTARI...wewe uko hai mpe nafasi HUYU DAKTARI AKUPE MATIBABU....PIGA LIKE
@abedysteven4930
@abedysteven4930 27 дней назад
2liorud kutazama baada kifo chake gonga like!!
@urslahkoech941
@urslahkoech941 25 дней назад
😢😭😭😭😭😭😭😭jamani inauma poleni sana ndugu zetu Watanzania 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
@Mariaezekiel-i6h
@Mariaezekiel-i6h 23 дня назад
Akika huu wimbo ni kama ulikuwa unajitabiria mwenyewe mungu akupumnzishe kwa amani tumeumia sana kwa kumpoteza kumpoteza mpeleka injili ya bwana
@SabbyMeshack-mp7lj
@SabbyMeshack-mp7lj 20 дней назад
Jamn mbon huu wimbo unamgusa yeye kabisa mungu aipumzishe roho yake Kwa aman maan kafany kazi yake Kwa ufasah San amen
@rosejohn8494
@rosejohn8494 19 дней назад
ila huo wimbo ni wa miaka miwili ilopita hvo cjajua kama alikuwa anaumwa kwann hakwenda vipimo
@Emytoto437
@Emytoto437 18 дней назад
😢😢
@Agustino-g4m
@Agustino-g4m 6 дней назад
Sote njia yetu ni moja, Marcos katangulia nasisi tutafuata njia hiyo siku yetu ikifika. like plz
@LaurenciaKitauli-or8rr
@LaurenciaKitauli-or8rr 19 дней назад
Mungu naomba umpokee mwanao ktk ufalme wa mbingu.. Huu wimbo unagusa nyoyo zetu.
@kahigafridah4743
@kahigafridah4743 20 дней назад
Support his kids na likes. .. ifike 10M. Pls Kenyans 😢
@MATIKO9640
@MATIKO9640 20 дней назад
Daah! Hakika kifo chako ni ibada kubwa sana kwetu tuliobaki, hasa tunaojifanya tuko bize na mambo ya dunia, naomba MUNGU usamehe dhambi zangu na za huyu anayesoma ujumbe huu, kufa katika kristo ndilo ombi langu, amen 🙏
@joycelaura4611
@joycelaura4611 25 дней назад
kama alijua jamani mbona huu wimbo 😭😭ni kama alishakwisha kujua ana tatizo la moyo😭😭😭😭😭 Mungu mpumzishe kwa amani pia tupe kuweza kuzihesabu siku zetu kwani duniani tunapita😭😭😭
@apollotee1929
@apollotee1929 24 дня назад
Umeonaee
@MariamMarco-z7r
@MariamMarco-z7r 21 день назад
Mimi nafikiria alijua ilo tatizo hakutaka kusema tu
@TheresiaMoruwao-zf8zn
@TheresiaMoruwao-zf8zn 15 дней назад
Yaaani kuna muda nahisi watu wanajua wanakufa ila hawataki kusema maana wengi walio fariki wanaushara walizofanya za kuashiria hadi unaweza sema alijua .
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 15 дней назад
Mungu hatufichi kitu km tunaamini. Unaweza usijue direct lkn ishara lzm zionekane.
@mitchelleaudrey.6873
@mitchelleaudrey.6873 День назад
@@MariamMarco-z7r Same HERE
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 12 дней назад
mungu hukuandaa mapema kukuchua bila kufahamu,jina la bwana lihimidiwe milele,PUMZIKA KWA AMANI,AMINA
@SafariSerusaza
@SafariSerusaza 11 дней назад
Mungu wambinguni akupe maisha marefu nyimbo hiyo minaipenda sana
@StephanieNgina-pk3ie
@StephanieNgina-pk3ie 8 дней назад
😢😢😢hayupo tena
@MarcelaMwegama-qr2fg
@MarcelaMwegama-qr2fg 6 дней назад
Hyupo tena😢
@brianrobert5763
@brianrobert5763 22 дня назад
Mimi kama Mkenya hii nayo nimeifeel poleni sana WaTanzania tunawapenda sana wakenya kujeni hapa wote tuwaombe pole wana Zabros Singers wakuwe na moyo wa kuvumilia Mungu aiweke Roho yake kaka mahali Pema
@teclakoech5451
@teclakoech5451 11 дней назад
It's been more than two weeks since we lost Marco and I am still suddened. What a great singer in the kingdom of God. So talented. His impact is felt all around the world. If this is what I feel as fan, I cannot imagine what his widow, children and family feel. May God heal his family and may he continue to sing with the angels.
@edithngeno8139
@edithngeno8139 11 дней назад
me too 😭😭😭😭😭
@VeronicaNziku
@VeronicaNziku 25 дней назад
Nibola ww umekuwa na mwisho mwema😭😭🙏Mungu naomba namimi niipate neema hii niwe na mwisho mwea😢😢🙏🙏🙏🙏😭
@LYDIAMSONGOLE
@LYDIAMSONGOLE 24 дня назад
Mungu tunaomba utusaidie tuwe na mwiso mwema
@carolineomori1032
@carolineomori1032 18 дней назад
Mungu asikie ombi lako. Ombi hili ndilo langu pia
@JULIUSCHIVOLI
@JULIUSCHIVOLI День назад
Hurting but it's where we belong. Have heard our brothers from Tanzania. From Kenya
@robertkairo8483
@robertkairo8483 29 дней назад
Kaka Marco Mungu akupumzishe na akuangazishie mwanga wa milele. Very sad but hatuna namna ya kubadili kuwa hauko nasi tena. Rest in peace rafiki yangu
@godsonmasseri7622
@godsonmasseri7622 29 дней назад
Ni kweli kafariki 😢 au mnatania
@helenadahn4613
@helenadahn4613 29 дней назад
It’s painful. Some news can’t just be taken easily 😭😭😭
@matikukibau306
@matikukibau306 29 дней назад
Dah hakika
@halimaKaniki-g6i
@halimaKaniki-g6i 28 дней назад
​@@godsonmasseri7622nikwel
@NaomiWamboi-m2j
@NaomiWamboi-m2j 27 дней назад
😭😭😭😭Mungu nawewe inauma
@ALaughs
@ALaughs 25 дней назад
He was my favourite in zabron I loved this guy songs he made me love zabron .much love from Kenya RIP my brother...his Demise has broken my heart 😭😭😭😭😭😭😭😭
@miriummbisse2278
@miriummbisse2278 10 дней назад
Kwakupitia maombi haya mungu naomba umsaidie prunnce kwe mitihani keshona alhamis
@SophiaMsila-q2d
@SophiaMsila-q2d 4 дня назад
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie APUMZIKE Kwa Amani.AMINA.
@sayunimrocky8445
@sayunimrocky8445 29 дней назад
Mwenzetu ameenda kwa baba kazi kwetu tuliobaki, huu wimbo unaonyesha dhahiri ni kitu gani kilikua kinamsumbua na alikua anafahamu, ila Mungu ameamua kumpumzisha mtumishi wake jina lake yy anajua sababu, Mungu aifariji familia yake haswa mke wake
@maelezokitabwire8855
@maelezokitabwire8855 17 дней назад
Pumzika salama kaka yetu naamini tuta kutana yesu atakapo kuja mara ya pili kulicukua kanisa.
@fridahmutuku542
@fridahmutuku542 2 года назад
Can't stop listening to this song..blessings all the way from Kenya ...
@HDHD-cg8rg
@HDHD-cg8rg 15 дней назад
pole sana mtumishi pumzika kwa amani mbele yako nyuma yetu tuna kuombea upumzike kwa amani 😢😢
@jacklinenyambura3508
@jacklinenyambura3508 2 года назад
Such a great song.Hakika ni dactari anayeponya . Can't stop listening to the song.May God bless you abundantly and continue using you . Trough this song I believe your going to another level 🙏🙏
@bahatikapapy1451
@bahatikapapy1451 21 день назад
😂
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 12 дней назад
Kifo ni fumbo, Siri!! Pumzika mungu ndo ajuae kesho ya mtu
@davidjoshua9634
@davidjoshua9634 15 дней назад
😢😢😢😢 aliutunga akiwa na Roho wa MUNGU Sana Kwa kwl 😢😢😢
@marydann6405
@marydann6405 11 дней назад
Pole 😂
@theresiamwanamkejasiri6510
@theresiamwanamkejasiri6510 27 дней назад
Hilo beti la pili😢,.....jibu lako Ndio au Sio nakuamini❤.....Tupambane Yesu akirudi tutakutana tena
@EthanTvm
@EthanTvm 24 дня назад
Yeye kamwimbia mungu haya Mimi nawew zaid ya zambi kipi tulicho kifanya Kwa mungu tujichunguze
@AdelinaChenjele
@AdelinaChenjele 16 дней назад
Mungu akupokee kaka Marco Tutakukumbuka sana😭😭😭
@jellydenmongish6120
@jellydenmongish6120 2 года назад
Kwa sote hii iko on another level..God please continue blessing kaka Macro Joseph kwa yote anayoyatenda💪💪🙏🙏🙏
@Marcojoseph
@Marcojoseph 2 года назад
Shukrani sana sifa na utukufu kwa bwana
@jellydenmongish6120
@jellydenmongish6120 2 года назад
Amen barikiwa Ndugu unanipea moyo sana
@peninahmwangi9802
@peninahmwangi9802 20 дней назад
Huu wimbo alitabiri kifo chake, walisema blood pressure ndio ilishuka sana...na hapa kwa wimbo iko 71/19 this is way too low to survive,,, na 83/23..woi Marco, what did you have in mind ukitunga huu wimbo?? Mungu tu ndiye anaye elewa
@JaneMaina-i6l
@JaneMaina-i6l 18 дней назад
Akih
@GraceKivolwe
@GraceKivolwe 18 дней назад
Poleni Tanzania 🇹🇿 kenya 🇰🇪 tunawapenda
@yucabethdavis4072
@yucabethdavis4072 26 дней назад
Jamaaaaani Mungu wetu wakumbuke hawa watoto na mamao kila kukija 😭😭😭😭😭😭. This is extremely sad 😞😞😞😭😭😭😭😭 from USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸😭😭😭😭😭
@JanetMumbi-n9x
@JanetMumbi-n9x 26 дней назад
Spiritually he was talking about himself here. Rest well marco
@NancyMunguti-vo4lm
@NancyMunguti-vo4lm 9 дней назад
Sometimes we do things as if we know but for sure we don't,,,,marco aliimba huu wimbo tu vizuri bila kujua itahappen aki God why????? Continue resting in peace,,miss your voice😭😭😭
@MaryEnos-h5i
@MaryEnos-h5i 12 дней назад
Beat ya wimbo TU haifanani na mke wa Marico...Ebu mpumzishen jaman 🙌. Hyo Hata CYO saut yake
@limimaduhu1907
@limimaduhu1907 27 дней назад
Maisha yako yamekuwa zawadi kwa wengne mwendo umeupiga vita umemevimaliza mwenyez mungu akujalie pumziko la milele kaka yetu 🙏🙏
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 27 дней назад
wengine tumemjua baada ya kifo🤔na tumo humu tuuuu waaaaaah🙆 Mungu akulaze penye wema 🙏
@AvePatrice
@AvePatrice 26 дней назад
Kabsaa we mwenzangu
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 26 дней назад
@@AvePatrice 😆 kumbe tupo wengi
@WinfreyLutta
@WinfreyLutta 26 дней назад
Alaaaaaaaaa na mpo tu miongoni mwetu
@chilovebeb4579
@chilovebeb4579 26 дней назад
@@WinfreyLutta yah tupo tuu
@CharityKoech-t9j
@CharityKoech-t9j 25 дней назад
Sad
@Phyllis-iz1gr
@Phyllis-iz1gr 9 дней назад
Much love from Kenya mungu awape nguvu kweli
@JS-kc4iz
@JS-kc4iz 2 года назад
Can’t stop listening to this song. Needed the affirmation to trust in our lord. Marco Joseph may God continue blessing you and the rest of your Zabron singers family. From wintery Canada 🇨🇦 🙏🏽
@immapraise1609
@immapraise1609 28 дней назад
so painful
@petermillumba7575
@petermillumba7575 24 дня назад
Kukutegemea kwa Hali zote hiyo ndio tabia uliyonifundisha😭😭😭
@maryathanasio6905
@maryathanasio6905 2 года назад
Awesome 🥰🥰our almighty God heals every situation and storms😊😊 I'm testifying that🙏🙏
@Marcojoseph
@Marcojoseph 2 года назад
Amen
@MariamPetro-rd3im
@MariamPetro-rd3im 8 дней назад
Nimelia sana mungu akupuzishe mahali pema pepone 🙏🙏🙏🙏
@GetrudeNyabera
@GetrudeNyabera 21 день назад
Marco acha mungu akupokee hakika tumeumia😢😢🇰🇪🇰🇪 pamoja na wenzetu wa Tanzania, lala sana😢💔
@geffkivisu95
@geffkivisu95 29 дней назад
Kama unasikiza after kusikia kifo chake nipe subscription please,Tusuppotiane kama tungali hai ndugu zangu
@HappyMaole
@HappyMaole 29 дней назад
yan mpka mchoz yamenitoka
@abby1956
@abby1956 29 дней назад
Mimi hapa aisee nimeumia sn
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 29 дней назад
Acha kabisa ndugu maumivu 😭😭😭
@winniewayeko3911
@winniewayeko3911 29 дней назад
I'm cutting onions
@SpenserKemunto
@SpenserKemunto 29 дней назад
It was a sign of predicting her death but ni vile hatujui siku na majira ya kutoka duniani
@bernadettemungadiane
@bernadettemungadiane 4 часа назад
MUNGU MKUU YESU KRISTO ASIFIWE WAPENDWA Kwa wimbo uhu
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 26 дней назад
Kupitia huu wimbo ni kama Marco alikua anajua ana tatizo la moyo, atakua hakutaka tu kusema, pumzika kwa amani Mtumishi wa Mungu
@nurukidakule9468
@nurukidakule9468 26 дней назад
Kweli kabisa, atakuwa aliwaficha ndugu zake alikuwa atawaumiza
@bethkunguatnow
@bethkunguatnow 25 дней назад
​@@nurukidakule9468it seems so. I wish he told his wife before he went for operation because it would have prepared her though painful and there would have no speculations of the cause
@junemukami140
@junemukami140 25 дней назад
No sister Ruth!!!The spirit of God knew but Marco didn't know,Pliz don't judge things like that,
@maryawino-lc3ho
@maryawino-lc3ho 24 дня назад
@@junemukami140 alijua that's why even the wife didn't tell mother in-law she lied to her that he has stomach wounds
@Marthamkilema
@Marthamkilema 24 дня назад
Kabisaa
@adeny80
@adeny80 21 день назад
This song is so deep tearing.......unto thee oh lord they lift up their souls for strength and peace
@schadomaliro1230
@schadomaliro1230 25 дней назад
Jamani Aliu imba kwa ajali ya fya yake hâta kabla haja kufa bado... Marco Kipenzi chetu pumzika kwa Amani Baba yangu toka DRCongo naku samini sana🇨🇩
@edwardmguye2483
@edwardmguye2483 19 дней назад
Huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana, maisha ya hapa duniani ni mafupi tuzidi kumuomba Mungu atutegemeze na kuyatenda yale yampendezayo Mungu na wanadamu.
@AlphonceMasende
@AlphonceMasende 26 дней назад
Kama bado tu ngali hai tuifanye kazi ya Mungu kwa unyenyekevu na kwa moyo mkujufu sana maana siku za mwanadamu zimejaa taabu na huzuni sana,
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 13 дней назад
Pumzika kwa amani na mwenyezi mungu akakupokee huko uendako
@jeremiahmwangi2379
@jeremiahmwangi2379 26 дней назад
We all have our secret battles that we don't tell anyone about. Ulivipiga vita vizuri, mwendo umeumaliza. Lala salama kaka
@virginiawangui7372
@virginiawangui7372 26 дней назад
😢😢😢
@joanchepkemoi2950
@joanchepkemoi2950 26 дней назад
True ni kama alikua anajua ako mgonjwa
@awalimunishi
@awalimunishi 9 дней назад
Sure
@damarisbyabato8288
@damarisbyabato8288 19 дней назад
Kwakweli inaumiza sana- poleni watumishi wa Mungu.Mjitie nguvu katika Bwana, endeleeni kumtumikia Mungu,MARCO ameumaliza mwendo🙏🏼Faraja ya Kristo Yesu, IWA ATAMIE🙏🏼
@ShijaMpanya
@ShijaMpanya 26 дней назад
Ahsante Kwa Maisha yako ya hapa duniani MUNGU amekupenda zaidy ya sisi pumzika Kwa Amani bro Marko😭😭😭😭😭😭😭😭
@zuhurahamadi
@zuhurahamadi 7 дней назад
Uhu Wimbo unanibariki sana Mungu ampuzishe kwa amani
@theconquerorsmusicministry2020
@theconquerorsmusicministry2020 28 дней назад
He wished things to go well for his heart, but knew God had a final say, and said whether God said yes or no, its ok.Marco concluded he trusted God with whatever final decision He Made😭😭😭😭🙏🙏🥺RIP son of the Most High God🥺😭
@annaaudax
@annaaudax 28 дней назад
Amen
@amanmalima940
@amanmalima940 22 дня назад
YESU Ndiye njia ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@johnnzumbe
@johnnzumbe 29 дней назад
Imebidi nirudi tena kuusikiliza huu wimbo. Naupenda sana kwakweli. Mwenyezi Mungu akurehemu
@patriciampinga1601
@patriciampinga1601 26 дней назад
Mi pia nakupenda sanaaa
@DianaMoraa-z2t
@DianaMoraa-z2t 18 дней назад
From Kenya can't control tears for what has happen it hurts so much God why so early taking Marco at this time God this is my special condolences to the entire of zablon singers and the family together oooh God it hurts so much its too early😭😭😭😭
@benjaminongwae9811
@benjaminongwae9811 2 года назад
Ndugu hii uligonga Ngoma Moto just soo nice with great message keep up
@adrielkwizera4198
@adrielkwizera4198 24 дня назад
Ooooohhh kumbe kuna wimbo marehu alitoa akiomba Mungu amsaidiye. Mungu akupokee shujaa
@EsterWiliam-to5mb
@EsterWiliam-to5mb 29 дней назад
Doctor wa moyo ni wewe MUNGU 😭😭 jaman huu wimbo kbs yaan aliimba kwa ajir yake anyway mungu alitoa na ametwaa jina lake libarikiwe sote tutapumzika tujitaid kurud kwa bwana YESU 🙏
@maggiesfooddiaries5652
@maggiesfooddiaries5652 26 дней назад
He is in the fullness of healing right now❤❤❤😊
@RoseRotich-s6g
@RoseRotich-s6g 9 дней назад
For sure Marco is in save place nakama mungu atatuamsha Marco hawe wa kwanza plz
@faithkiilu295
@faithkiilu295 24 дня назад
Mimi kama muimbaji nasemanga hakuna wimbo tunaandika from nowhere. There is always a message in every song. Na sababu ya kila wimbo. Na uzito wa kila wimbo. Pia tukumbuke kuna nguvu katika maneno. Marco aliimba moyo unauma, na akauliwa na moyo kuuma. 😭😭 Rest in peace Marco.
@maryawino-lc3ho
@maryawino-lc3ho 24 дня назад
alikua anaumwa before haimbe wimbo huu
@kamarhelo
@kamarhelo 23 дня назад
​@@maryawino-lc3howew huelew yani ni kama alikua namaono aliimba moyo nando ulio umuua haijalish aliumwa kabla au la
@Loved-jx6rd
@Loved-jx6rd 23 дня назад
Aliimba baada ya kujua ana shida ya moyo...
@edwinkwemoi9662
@edwinkwemoi9662 21 день назад
Don't you see he was referring to himself, some people though 😔
@barikieldallei1631
@barikieldallei1631 20 дней назад
One of the best song ever❤😢😢
@CyusaVanessa
@CyusaVanessa 23 дня назад
Umekua kama kivuri na kuelimisha watu kupitia nyimbo, Mungu anachukua vilivyo vizuri ijapokua umekatizwa maisha kwa umri mdogo sana , Mungu asimame na mke wake ampe hekima ya kulea watoto tulikupenda sana lakini Mungu ndie anaweza kujibu maswali yetu 😢, Bado tunajiuliza maswali why Lord😢,much love from Rwanda
@wycliffmutisya2868
@wycliffmutisya2868 29 дней назад
Mwangaza wa mbinguni ung'ae kizani Kwa jina la Yesu, Mungu tuponye tulobaki kwani wewe pekeee nsiwe daktari
@euphrasiakavayi7586
@euphrasiakavayi7586 28 дней назад
AMINA
@RoseRotich-s6g
@RoseRotich-s6g 9 дней назад
Haki Marco mtunzi kweli si mungu alikupenda Sana kwa kipawa hicho !!
@LeonBuhashe
@LeonBuhashe 28 дней назад
Ina wezekana wimbo huu ali utunga wala anajuwa tayari anauguwa 😢😢 poleni sana familia🇨🇩
@sulleRuth
@sulleRuth 27 дней назад
Ndo ukweli sema tu wagonjwa wa moyo Huwa ni wasiri san
@bettynzambi7612
@bettynzambi7612 21 день назад
Now is when am listening to this song crying...pumzika pema peponi
@AjuayeMwepelwa
@AjuayeMwepelwa 27 дней назад
Njia ya wote umetangulia tu Yesu atakufufua siku ya mwisho
@ombatiSarah
@ombatiSarah 2 дня назад
So painful lakini hatutobadilisha chochote,tukubaliane na hali halisi tumuombe mungu na kusonga mbele
@EzraOmwonga
@EzraOmwonga 19 дней назад
I never knew this song till he died,,,ohhh my God how I wish we had known ealir,,I could have invited him ,,here USA apate tiba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@stellachepkoech2867
@stellachepkoech2867 17 дней назад
Me too so sad
@tukapagamasandele7727
@tukapagamasandele7727 19 дней назад
Poleni wapendwa ni Mungu karuhusu . Mungu awatie nguvu.
@josephkisungu3375
@josephkisungu3375 26 дней назад
Fare thee well brethren, you ran your race well, till that beautiful resurrection morning, ila inaumiza sana😭😭😭 🙏🙏🙏
@tabithakaji2635
@tabithakaji2635 21 день назад
Inathamani mauti ya amchae Bwana.Onaa hatuko nawe kimwili lkn unaishi kupitia hizi nyimbo.Shine on your way
@nasribakari189
@nasribakari189 26 дней назад
Eeh mungu kumbe mungu katupa ata uwezo wa kuona kifo chetu eeh Asante mungu wangu
@جينجين-ل6ش
@جينجين-ل6ش 20 дней назад
So painful may he continue resting in peace condolences from Kenya 🇰🇪 peace upon you all
@glorysangei5387
@glorysangei5387 2 года назад
Hakika Yesu ni Tiba ya moyo.
@glorysangei5387
@glorysangei5387 28 дней назад
Miaka 2 iliyopita nilikoment kwa furaha...leo nakomenti kwa huzuni na majonzi makubwa.Mungu akupokee
@annina569.
@annina569. 28 дней назад
​@@glorysangei5387😢
@GraceNgao
@GraceNgao 22 дня назад
❤🎉 congratulations Marco hatuko nawe tena duniani from Kenya am say shiny on the way
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz 29 дней назад
Dah tunashukulu kwa maisha yako kaka yahapa duniani mungu akupe safar iliyo njema niwakati wamungu inauma ila hatuna budi kumshukulu
@PhausyWakenji
@PhausyWakenji 22 дня назад
Jamani kifo Haina huruma inamaliza wapendwa wa Mungu! Mungu azidi kuwalinda watoto pamoja na familia yote ya Marco hiyo nyimbo imenivutia Sana.
@reinfridajohnakangumisa9752
@reinfridajohnakangumisa9752 23 дня назад
Ni wimbo wa miaka 2 iliyopita lakini kama umetoka jana, natamani nisiache hata kuusikiliza
@mamasia9741
@mamasia9741 21 день назад
Ina umiza sana eemungu tufundishe kuzihesabu siku zetu marco alikijua kifo chake huu wimbo kamilisha kilichotokea pumzika shjaa wa imani
@sabasmbwiliza5590
@sabasmbwiliza5590 28 дней назад
Huu wimbo kama vile alikua anajua aisee...😭😭😭apumzike Kwa amani mtumishi
@mamayao-h6h
@mamayao-h6h 28 дней назад
What happened to him
@Regnard999
@Regnard999 26 дней назад
He is no more😭​@@mamayao-h6h
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 25 дней назад
Alijijua anaumwa aliimba Kwa kumaanisha
@gracenjeri2035
@gracenjeri2035 21 день назад
May God give you peace you need during this difficult moment,poleni sana.
@Agnesdaniel-i8u
@Agnesdaniel-i8u 25 дней назад
Siku zote naamin watu wanao weza kuhisi kifo ni watu walio karibu na mungu haijalishi dini gani kikubwa kumjua mungu na nini kinampendeza maishan mwetu ,mungu akuangazie mwanga wa milele
@Wangoi5
@Wangoi5 22 дня назад
kabisa😢
@Wangoi5
@Wangoi5 22 дня назад
kabisa😢
@sharonauma4962
@sharonauma4962 21 день назад
As kenyans let's hug them nyimbo zao hutubariki ki ukweli poleni sana na Mungu awatie nguvu
@ezekielmdavid4887
@ezekielmdavid4887 29 дней назад
Duuuh! Inauma sana sana, Nawaza sana, nini maana ya maisha, kwanin vitu vizuri ama watumishi wako ndo wanawahi kufariki, ama mwenyezi Mungu anawawaisha wakamtumikie yeye huko juu mbinguni. Nilipenda sana nyimbo zako, naupenda sana wimbo huu, lakn leo naangalia machozi yakinilenga aisee. R.I.P kaka
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s 27 дней назад
Nikwasabu mungu uwa anawapenda sana
@RoselynePamelaOduor-zi9sd
@RoselynePamelaOduor-zi9sd 25 дней назад
God have mercy on me, but this young servant of God is with Jesus whenever he is now.
@vijanafurniture1810
@vijanafurniture1810 29 дней назад
Nimesikitika kuja kuusikia huu wimbo mzuri kiasi hiki ukiwa haupo tena duniani.. Mungu akupe pumziko jema
@annaaudax
@annaaudax 28 дней назад
Uko km mimi. Toka msiba utokee nimejikuta ndo wimbi naosikiliza siku nzima na siuchoki. Hakika alikua na sauti nzuri ajabu. Baba mwanao alitumia sauti na kipaji kulitangaza jina lako. Mpokee na msamehe dhambi zake Mungu wako
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 16 дней назад
Mungu umpokee Mtumishi wako MARKO
@FlorenceKerubo-xw6lx
@FlorenceKerubo-xw6lx 29 дней назад
So sad 😭 nilikuwa nampenda sana lakini Mungu amempenda zaidi 😢
@Herly-nika
@Herly-nika 28 дней назад
Unishindi mimi afu alikua na upendo was hali ya juu kwa familia yake alikua mteja wangu mungu mpokee😢
@NovatusSweetbert
@NovatusSweetbert 27 дней назад
Mungu apendi waliokufa ndgu,
@EveALEX-tx2ix
@EveALEX-tx2ix 19 дней назад
Mungu Ni Mwema Sana Kwakwelii ...Kiukwelii Nimefurah Sana. Kuona Mkiendelea kumfarjii Mke Wa Marehemu...Poleni Sana Ndugu Zetu Mung Azidi Watia Nguvu
@Herly-nika
@Herly-nika 14 дней назад
Let’s take this song to 2m views for the family on behalf of the husband
@RoseRotich-s6g
@RoseRotich-s6g 9 дней назад
Sure Marco is a good example to the entire world in knowing GOD deeper rest well Marco missing you
@SmilingHoneyBadger-mp2uk
@SmilingHoneyBadger-mp2uk 23 дня назад
Mwanga wamilele akuangazie maana alikuonyesha mapema ila ningum kusema kama mungu amenionyesha kwa pendwa wako kaka umeifanya vema kazi ya mungu kwahaki atawakumbuka wale ulio Wacha🙏🙏🙏
@furahaolango2129
@furahaolango2129 10 дней назад
R.I.Pbrothermarcoiamtosadaboutthisfamily😭😭😭🕊️🕊️🕊️🙆‍♀️🙆‍♀️👨‍👨‍👧‍🌹🌹🌹💔💔💔
@user-yg8uj2vs7o
@user-yg8uj2vs7o 23 дня назад
Heli anaekufa katika kiristo maana huyo ataulisi uzima wa milele
@sporahdaniel4970
@sporahdaniel4970 20 дней назад
Amina my
@ChristinaKipalo
@ChristinaKipalo 21 день назад
Mwenyez mungu afute makosa yako yote bali aitazame iman iliyomo ndani ya moyo wako Amina
Далее
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
ИСЧЕЗНИ ВОДУ ДО КОНЦА
00:43
Просмотров 159 тыс.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 27 млн
MARCO JOSEPH - TOFAUTI (official video)4k
5:00
Просмотров 391 тыс.
Jua kali leo Ijumaa Full HD video
19:11
Просмотров 38 тыс.
Israel Mbonyi - Sikiliza
11:29
Просмотров 12 млн
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 61 млн