Тёмный

MAREKANI KATIKA KIZUNGUMKUTI|HUKU URUSI,KULE ISRAEL NA HAPA IRAN 

THE WORLD NEWS
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 часов назад
Maashaallah. ADAM HUSSEN. unatangaza vizuri sana. Allah akuifadhi🤲
@ShadrackShivachi-rp7ru
@ShadrackShivachi-rp7ru 8 часов назад
Mambo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 часов назад
Allah awapewepesi lran na palestina. Amyn🤲
@JacksondaudiJacksondaudiJackso
@JacksondaudiJacksondaudiJackso 8 часов назад
YESU KRISTO Anakuja mathayo 24:1-51,
@leonardmakena3317
@leonardmakena3317 9 часов назад
Yes
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 8 часов назад
Wallahi. Thuma wallahi imekwisha Israeli ni misaada tuu huwo kutoka Kwa hanisi mkubwa WA duniya
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 8 часов назад
Uko vizur kiutangazaji tukopamoja
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 6 часов назад
Marekani mimi sioni km itafanya chochote kwasababu km anazarahu inchi km urusi china marekani inakosea sn kwani marekani alisha wao pigana wapi ? Ila urusi china zina istoria nzuri kwaiyo marekani awe makini washirika wamarekani awana nguvu ukiangalia washirika wa urusi wana nguvu urusi china Iran niatari sn kwa marekani
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 8 часов назад
Dotoo ya alinacha kama munafuwata bibiliya tunafuwata Q.raani imesema haiwezikushinda Israel na umefika mudawake wakuondoka palestena mpakataeehe imo ndani ya Qraani na mutaona wakishirikiyana waraabu nammarekani wake hafuwi dafuu❤❤🎉😂😂
@makameomar5075
@makameomar5075 8 часов назад
Du eti bibilia ... aliowadanganya amewapata sana hio bibilia wameitunga wao mayahudi lkn wao wanadini zao sio wakristo nyinyi mnapelekwa tu hamujielewi
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 10 часов назад
One love Israel 🇮🇱 , chukua kwanza maeneo yote ya ramani ya Bibilia, tukimaliza hilo ndio tutadili na Iran, alafu kuhusu mateka. Waacheni kwanza ili tupate sababu ya kuwatandika hao warabu wote walio tuzunguka. SHALOM ISRAEL 🇮🇱 ❤️
@Awatee
@Awatee 10 часов назад
Inaonekana umechanganyikiwa na maisha Eti ichukue maeneo biblia yenyewe ya mchongo imejaa uongo zaidi kuliko ukweli 😂
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 10 часов назад
Shida inakuja hapa unaempenda akiwa hanahabari nawewe Israel Haina habari na wakristo wao wanadini zao Bibi nyetanyahu sio mkristo anaabudu shetani Ninakuomba chunguza kwanza utajua ukristo ni dini yangapi huko Israel From Uroa school Zanzibar
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 9 часов назад
0:49wewe kibaraka na kipofu hauwezi kumaloza warabu wala kuteka miji yao waizraeli wamengangania nchi za kiarabu miaka 70 wamesimama na mabomu hawajawamaliza kwanza wameumbuliwa eti nchi zao wakati majina ya maeneo yote ni ya kuarabu oneni aibu kwanza waliweze kubadili moja tu kuita izrael kwanza nyie wakristo hamjui hata history ya waizrael, waizrael hawali hata chakula cha wakrosto wanasema hawachinji sijui dini yenu na yao vipi inafana eti miji ya kikiristo warudi walikotoka ujerman na america na urusi wamejaa
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 9 часов назад
Hizi siyo zama za biblia
@samuelnthia8858
@samuelnthia8858 9 часов назад
Like.
Далее
7 Days Exploring An Underground City
20:35
Просмотров 40 млн
BRICS KUANZISHA BENKI YA ULIMWENGU ZAIDI YA IMF
6:32