We yombooo punguza kishindu nahilo komwe lako mimi wakwanza unanikoshaga nafsi sasa basi ukitaka towa saison 2 au usipotaka usitowe sisi tuta like n'a commenté tuwe wakwanza kuhona makazi yako takulamba kofi ww ninju tuu mimi siniko mukorofi😂😂😂
Tunakupenda saaana yombo n asant kwa Mariam team strong tuko apa final congratulations like mkipita team strong ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂😂😂n mcheke kbsaaa jmn like 50 tu
Weeeeh yombo ww n chuma.....yani hii mariam n moto sana....yaani na watch kama niko ndani ya movie 🎉🎉 nimependa sana.....tunasubiri msimu wa pili ...... love❤ from kenya.....sisi penda ww chaaaaanaaa.....kila lakheri kwa kuandaa msimu wa pili
Asante yombo tuna subir naona wiki ijayo nimbali vile tunakupenda Sana jaman Allah akubaliki kwakutuelimisha kutuchekesha Asante Sana🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹kula chuma hicho💖💖💖💖💖💋
Mimi nilikumbali mwanzo mwisho zuri sana namimi naikibali broo kivyangu nitakacho kuomba ungeze dakika ila tunongewe boss asikosi kwenye namba 2 kwasababu jama ananifuraisha sanatu atanikiwa nasira uwakilamara nacheka kwasababu maneno yaketu yakutisi sisi masikini .ujumbe kutoka kwa assumani nikiwa msumbiji 🇲🇿 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤❤❤❤❤❤
can't wait for season 2🎉🎉🎉 story ya Mariam tam saan kweli. zidi kukaza boot ipo kweny njia sahihi na mola akuzidishiy na akuwekey wepesi katik kazi yako.much love🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Season 2 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤