Mwanaume havai herini , herini huva mwanamke anaevaa herini anawalakini kwa kimtizamo wa malezi yetu tusiige mambo ya westen waimbaji wa ulaya wa marekani nao wanawalakin mimi mwanume anaevaa herini simuozeshi mwanangu
Hello habari! Hiki kipondi kiko poa sana ila mimi upande wangu naona itakuwa vzr kama hizo taa za washiriki zibadirishwe rangi kama blue au kijani au zambalau ,na nyinginezo ambazo hata wengine wanaweza kuona kwamba nani wamewasha taa na nani wamezima taa coz rangi hizo zilizopo tokea nimeanza kuangalia zinanichanganya lkn inabidi tu niwe makini kwenye kusikiliza ili nijue kinachoendelea.ni ushauri tu sorry kama nitakuwa nimemkwaza mtu yyt
He’s right man don’t hide what you like, and first you suppose to not beg for love … first answer is true answer was not must for you to get wife there