Тёмный

H BABA AMTONGOZA LULU DIVA KWENYE HELLO MR RIGHT SHOW 

ST BONGO TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 261 тыс.
50% 1

Local Tanzanian content TV Station broadcasting Exclusively on StarTimes Decoder Ch: DTH (Dish)- 401 & DTT (Antena)- 161

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc Год назад
H baba anajua kutongoza jamaaani🥰
@gilbertmutai2461
@gilbertmutai2461 Год назад
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪... Lakini hii kiswahili 😃😃😃
@violethmbasha4123
@violethmbasha4123 8 месяцев назад
Nimewapendaaa mtuwekee ndoa yenu jamani
@Enerygozbet
@Enerygozbet 8 месяцев назад
Ukweli imekuwa namba moja toka inaaza
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 Год назад
Hawa wasanii wa Bongo ambao ni waisilamu nawashangaa, uislamu na usanii usanii hauendani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Hata wakristo hawa ruhusiwi kila dini haitaki wahuni
@focusernest5610
@focusernest5610 Год назад
Ukristo ndyo unaendan na usanii...kwann mnajipa uspecial?
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 Год назад
Wanafki tu hao
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Год назад
@@focusernest5610 haujamuelewa hakuwa na maana hyo kajiongelea
@wazdanygao3118
@wazdanygao3118 Год назад
@@focusernest5610 kama ujaelewa sema acha kkurupuka wwe yye kajiongelea kma yy nawe tetea ukristo wko shda iko wap
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 8 месяцев назад
😂😂😂hamu subiri mwanzo tuanzio hapo kila mtu ana mtu wake na mtu anamtu na mtu anamtu wake yeye nae anataka kuwa mtu wa mtu😂😂😂😂
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Год назад
Mh! Wasukuma niwatu wakweli!!!??? Hayo maneno mazito alf hawa Waislaam!!! Duh😂😂😂
@Bless-b.DL-babyofficial8769
Aisee bro H baba lulu diva ame kuporomosha ila ndo ivo vumilia bro
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Diva kubali huko uolewe manake umetuchosha kulialia kwenye jua Kali kama unagundu hupati mume🤣🤣🤣🤣🤣
@maggieluvuno4666
@maggieluvuno4666 Год назад
🤣🤣🤣🤣😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
H Baba n Lulu diva mumependezana
@dinaalondamachozi7529
@dinaalondamachozi7529 Год назад
Munapendeza sana ❤❤❤❤
@benedictongujo1003
@benedictongujo1003 Год назад
H baba anaforce kupenda m2 ambaye ajampenda
@jamilahemed5131
@jamilahemed5131 Год назад
Mpenzi wa luludiva anabastola😂😂😂😂😂😂🤗
@sarazacharia
@sarazacharia Год назад
😂😂😂
@jacklinebarnabas
@jacklinebarnabas Год назад
Nimepapenda hapo kwenye bastola🤣🤣🤣🤣
@lakaspamedia
@lakaspamedia Год назад
hakika ni st bongo tv
@munasaid1429
@munasaid1429 Год назад
Ivi mshawai kuona wanafunga ndoa wakitoka apa kwenye ichi kipindi?
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Год назад
Hapana Sanaa tu na kulana
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Год назад
Unataka ujaribu zari lako nini
@chacknem
@chacknem Год назад
0:56 0:57 0:59 1:01
@kautharkayu6326
@kautharkayu6326 Год назад
Wasukuma oyeeeee😅
@munasaid1429
@munasaid1429 Год назад
Mwanzo nilijua ni kipindi cha ukweli kumbe ni sanaa tu
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Год назад
Kaole tu
@BukeAlfred-ds6rw
@BukeAlfred-ds6rw Год назад
Love this guy
@ESTERNSIMIRE
@ESTERNSIMIRE Год назад
Poa Sana
@joleal7941
@joleal7941 Год назад
Nimependa sauti ya uyu kaka eti imagine imagine🤣🤣🤣🤣
@HidayaMussa-mo4wz
@HidayaMussa-mo4wz Год назад
Jmn namm nahitaji jmn
@stivenapolo6961
@stivenapolo6961 Год назад
Jameni achini utani kwenye really life apo ni ukweli juu ya mapendo na mahaba .alafu munaleta ujinga kweli ? Achini izo bwn
@czechzyamwaga1021
@czechzyamwaga1021 Год назад
Acha wivu
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Год назад
Brother unahalibu unaweka watu wengne wanahalibu kipindi h baba siyo sehem yake
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 11 месяцев назад
kweli kabisa yaani
@ip_header
@ip_header Год назад
Acheni kufanya usanii kwenye Uislam, mkumbuke kuna siku pumzi itakata na mtaulizwa
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Год назад
Kwahyo pumzi ikikata kwa dini nyingine hawataulizwa
@ip_header
@ip_header Год назад
@@josamjoel2079 Dini nyingine zinautarabu wake, mimi naeleza utaratibu alioweka Mwenyezi Mungu kupitia dini anayoiridhia, Rejea Quran sura 3:19. "Indeed, the religion in the sight of Allah is Islam. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allah , then indeed, Allah is swift in [taking] account."
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Год назад
@@ip_header stop that nonsense of feeling more Superior than others we are all human and having the same origin of been created by God
@ip_header
@ip_header Год назад
@@josamjoel2079 no one said superior than other, I just give you a reference from almight God, if you want to argue on that just give me the same.
@watotokigendi8697
@watotokigendi8697 Год назад
mbona shemeji hatumjui
@abubakarshamuhuni3894
@abubakarshamuhuni3894 Год назад
Lulu diva muislamu hawi ivyo
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 Год назад
Ana wislam gani ana faa uchi una mtetea nn ss anamwitaje hawala mme acha utetea ujinga
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 11 месяцев назад
binti wakuislaam gani kuanika mapaja njenje tatuu kibao kwenye paja
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Fala mkata viuno vp world cup hakuenda kenge
@maulidihassani8324
@maulidihassani8324 Год назад
alisema yeye na mandonga watakwenda awamuyapili sasa sijui nilinii awamu ya pili 😂😂😂😂😂😂
@Mariambonifasi
@Mariambonifasi Год назад
❤❤❤
@najuf8021
@najuf8021 Год назад
Gara b anachombeza
@aminaa3284
@aminaa3284 Год назад
Jamani 😂😂😂😂
@irenecleophas5894
@irenecleophas5894 Год назад
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 Mali yake tayar
@renatusaugustine3410
@renatusaugustine3410 Год назад
Videmu vipuuz
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 Год назад
hao mademu wameshadanga sana sasaiv ndo wanatafuta waume
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 Год назад
Sio wote kaka kuna wengine huwa wametulia tu ila hawajabahatika kupata waume
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 Год назад
@@mariumpeter6147 ni sawa ila ni kweli hapa wanapata wanaume wa kuoana nao maana tangu waanza hawajawahi kutuonesha ndoa iliyotoka hapo me nachoona wanaunganisha tu zinaa kwa kweli reel love ndoa huja automatically ila sio kwa kujinad hapo japokauwa makutano ni popote
@josephinadismas4498
@josephinadismas4498 Год назад
Kama Mimi nimetulia mpk Leo Sina bwanaa sema tuu mungu ajapamgaa mda ukifikaa
@winifridanshunju-hx9gz
@winifridanshunju-hx9gz Год назад
Ety wasukuma wakweli 🤣🤣🤣
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone Год назад
Hahahaha umenifrahisha Kakaang
@jaffarymnaro566
@jaffarymnaro566 Год назад
H . Mshukuru Dana harmo tulisha kusahau
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Год назад
H baba yupo kabla ya huyo mshamba mwenzako
@jaffarymnaro566
@jaffarymnaro566 Год назад
Sawa hata wkina Babu inspector harun Bado wapo ila wapo wapi Sasa acha ushamba kaka
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Madanga yalokubuhu ayo apo
@joleal7941
@joleal7941 Год назад
😂😂😂😂😂jamani
@mlenglewis1747
@mlenglewis1747 Год назад
😆😆😂😂😅
@ayubuamsonjr9437
@ayubuamsonjr9437 Год назад
😅😅😅😅
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Год назад
😂😂😂😂😂
@salamoman9375
@salamoman9375 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
@fdff3980
@fdff3980 Год назад
😆😆😆😆😆😆😆
@emmanuelsanareemmanuelsana9137
❤❤❤❤❤❤
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 893 тыс.
LULUDIVA  ATANIUA  - LAVALAVA
5:18
Просмотров 278 тыс.