Yani umafanya wafiwa wamesahau kama wako na huzuni kwakwel barikiwa sana mtumishi mimi ni muislam lakini siku zote napenda kusikiliza na nyimbo za kristo na ata maombi yangu ni kwa jila la yesu ipo siku nitafata njia ya yesu naona yesu amenitawala barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana ndugu yangu masanja kwa kutulisha neno la Mungu.lakini itapendeza sana uende na Masimbwe ukawape neno la Mungu live.hakika utabarikiwa sana.
mwanawani ww ume nifraisha sn japo mm ni mwislam sn ila mahubiri yako huo yananikosha na ninakufatilia sn sn kila ufanyavyo katika vipindi vyako, hongera sn kwa kutowa elimuu
@@jumannemuyaha3401 Sasa wewe ulie nitukana apo umefaidika nini ? Jina lako lenyew iloo nila ki'slam ila umethubutu kinituka bila kosa lolotee ila MUNGU atanilipia2 iposiku 1 tu
Kwili kabisa mchungaji Massanja God bless you so much it's just the Matter of time but every one will reach his/her end we have to have the powerful Jesus in our lives bless you. Buddy
Mjomba angu umeniacha njia panda ila pumzika kwa amani , TAZARA itakukumbuka sana kwa kupigana kwako juu ya shirika mengi umeyafanya, USIKU NA MCHANA UKULALA ILA SAWA , ATUNA BUDI KUSEMA TUTAONANA BADAE AMINA😭😭😭😭
Daah Mungu akubariki sana Pastor, ulitutia moyo sana kwenye huu mziba wa uncle wangu Eng. Timothy Kayani kiukweli tulijikuta tunacheka. Huyo mama aliyeko hapo nyuma amevaa nguo ya Pink alikuwa mchungaji naye ameshafariki, kweli kifo ni fumbo.
Ati mpigie marehem makofi 😅na Iman na matendo vinaendana ktk kutafuta mtt🔥😅 nikweli Tanzania Ina watu wananimlilia Mungu na kuomba ktk kweli hiyo nikweli barikiwa