Тёмный
No video :(

REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING ( Masanja) 

Rev. Dr. Eliona Kimaro
Подписаться 156 тыс.
Просмотров 130 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 224   
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 Год назад
Mch Kimaro Mungu asikuache Kwa maono hayo Asante Kwa somo la leo
@user-sj4pv4gx3w
@user-sj4pv4gx3w Год назад
Kimaro ndie mch anayeenda na wakati, hongera sana Mungu azidi kukupa maono makubwa zaidi
@nsajimoses6781
@nsajimoses6781 Год назад
Ningepata hii elimu enzi hizo niko chuo kikuu ningekuwa mbali sana. Ubarikiwe sana Mch. Kimaro
@emmanuelmatinde4895
@emmanuelmatinde4895 Год назад
Very impressing am following from Kenya , agriculture is the only backbone
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Год назад
@masanja kuwa serious Sasa bro 😂😂😂 ubarikiwe Sana pastor kimaro na bro masanja Mungu akuweke siku nagonga hodi tukalime kaka watu waliopo mbele hapo Mungu awa bariki dada getrude pia Mungu akutete.
@AnnaMunishi-bm1qf
@AnnaMunishi-bm1qf 2 месяца назад
Yaa mch. Nikivyopindi laiti ungeniuza duniani . Hapa milipo nimelegea kbsaa.Nawaza mpk nimechanganyikiwa Lait ningepata ht mfadhili mmoja na Mungu ambariki. Mwanangu anasomea upadri lkn naona giza. Bb mwambie ht masanja anisaidia ufadhili kwa ht mtoto huyu mmoja. Bb umepitia shida unajua. Mungu akutunze kwa unayofanya Mchungaji.
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Год назад
Sijutii kutumia MB zangu kufuatilia hili, asante Yesu ww ujuaye maarifa na elimu tunayoihitaji sisi vijana wa kitanzania,Tujitafute tujipate😅😅😅
@dominickmassi7821
@dominickmassi7821 Год назад
Ubarikiwe mnoo mpendwa
@arubalydia224
@arubalydia224 Год назад
Niko hapa Saudia Arabia eneo la Riyadh naomba mawasiliano tufanye hii kazi waraabu wanakula mchele tangia asubuhi
@ndekusurasikawa6060
@ndekusurasikawa6060 Год назад
Asante Mungu kwa kunipa hii tecno nimejifunza makubwa kutoka watumishi hawa
@origakossan118
@origakossan118 Год назад
Ubarikiwe sana Mch. Kazi unayofanya utalipwa na Mungu🙏🙏
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Год назад
Nimejikuta nachukia kazi nahisi kuchelewa nimepata kitu Asanteni watumishi
@olivemwamengonakilimombeya6951
Mchungaji to be honest masanja alinifanya nirudi kulima
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 3 месяца назад
Uwiiiiii
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Год назад
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Mchungaji Dk.Eliona Kimaro hakika nimejifunza mengi kupitia mdahalo huu uliouandaa kwa neema ya Mungu.
@annamazengo975
@annamazengo975 Год назад
Safi Sana mch.kimario,endelea kuita makongamano ya kutuhamasisha huo ni ukombozi wa fikra.
@jordanchisawilo6177
@jordanchisawilo6177 Год назад
Maono mazuri mchungaji kwa kuamsha fikra zetu kujitambua safi sana mchungaji
@jacklinafrancis7457
@jacklinafrancis7457 Год назад
Amen hakika siku hii imekuwa siku ya mabadiliko makubwa sana katika ufahamu wangu kupitia Life experience ya kilimo kumuhusu Masanja naona kutiwa nguvu. Nimeanza leo, kwa imani kesho nitashuhudia mavuno ya shangwe. thank u Pastor Dr Eliona Kimaro.
@HolySmileMedia
@HolySmileMedia Год назад
*HAKIKA KAZI NZURI IMEFANYIKA*
@IREENNTIJE
@IREENNTIJE 5 месяцев назад
Yaaan mm ninaelekea shamba kweli masanja kutoka kuchekesha leo ubadilisha dunia mungu akutunze kabisa
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 Год назад
Hongera sana baba mchungaji,Masanja wewe ni mfano wa kuigwa Mungu akuinue zaid!
@victoriangomuo1501
@victoriangomuo1501 Год назад
Shalom. Mungu wa UPENDO azidi kukuinua na kukupa maono zaidi na zaidi na kufungua wengi zaidi na zaidi. Nakuomba usiishie kwenye kongamano kwa vijana Bali MUNGU akupe maono ya kuwafungua na Wazee waliostaafu wanakufa kwa msongo wa mawazo. Kwenye KONGAMANO hilo la wazee umkumbuke Dr Victoria Ngomuo miaka 71 mama LISHE TIBA uliemkaribisha kanisani siku moja ambapo kupitia Huu ufunuo Mungu aliempa KUPITIA MWANZO 1:29-30, HATA KANSA YA DAMU, YA "OVARY, YA UTUMBO MKUBWA, KIZAZI, KOO wamepona. UTUKUFU KWA MUNGU UZIDI KUPITIA KWAKO. AMEN
@victoriangomuo1501
@victoriangomuo1501 Год назад
MCH. DR ELIONA KIMARO MUNGU AZIDI KUKUINUA AKUPE MAISHA MAREFU UONE WANA WA WANAO KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE ILI WENGI WAPATE KUMJUA MUNGU ZAIDI NA ZAIDI KATIKA MAFUNDISHO YAKO NA MAKONGAMANO HAYA. VITA NI MTAJI WA KUMUINUA MTU ZAIDI NA ZAIDI NA KUMPA MUNGU UTUKUFU ZAIDI NA ZAIDI. AMEN
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 8 месяцев назад
Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 8 месяцев назад
Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta
@ElidaimaLevayo-xp1oe
@ElidaimaLevayo-xp1oe Год назад
Ongeraaa sana mchungajii wew ni wakipekee sanaa
@clintonnjiku3616
@clintonnjiku3616 9 дней назад
Barikiwe baba
@olivemwamengonakilimombeya6951
Azadea group is my company one of the biggest company, amazing company, and proud working with them, is by grace of GOD im here
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Год назад
Mtaji ndo tatizo.Masanja hajakurupuka.Asante kwa elimu lakini uwezeshaji uwepo.Mimi nimejaribu lakini hoi.Kilimo ni mtaji.
@dominickmassi7821
@dominickmassi7821 Год назад
KUBWA NI WAZO
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 3 месяца назад
Yeah ni mtaji ,kwaiyo anza na hicho kidogo au chagua kuuza mauza
@kilimba687
@kilimba687 Год назад
Amen, nimebarikiwa na nimejifunza kitu Sana Mtumishi, Mungu akubariki Sana kwa darasa hili Mimi nikiwa kama kijana inahitajika nichukue hatua na hii ndio sehemu mojawapo ya kuanza kuchukua hiyo hatua kupitia watu kama Hawa waliofanikiwa!
@enocklutonja339
@enocklutonja339 Год назад
Am so excited for the dialogue, we need to work up from the heavy dark wrapped our brain. Thank you for it
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Год назад
🇮🇱Ubarikiweeeeeeeeeeeeee! Mchungaji Kimaro Masanja Ubarikiwe tena na tena
@emmanueljacob4303
@emmanueljacob4303 Год назад
Pastor Kimaro I love you,just because what GOD insect in you,may GOD bless u.
@RamondLema-po6py
@RamondLema-po6py Год назад
Am feel very blessed, kwa sababu ili kusudi la BWANA litimie ni lazima watu tufanye kazi kwa kumaanisha. Hongereni watumishi wa mungu for this very special class.
@alphamosha5571
@alphamosha5571 11 месяцев назад
Thank you Pastor Kimaro for this i keep rewatching this interview it motivates me i want to farm like Masanja
@annamazengo975
@annamazengo975 Год назад
Asante sana tumepata kitu kikubwa Sana.
@anethkitambi3140
@anethkitambi3140 Год назад
Hongera sana Mch Kimaro, kazi unayofanya ni njema Mungu akulinde sana
@YonaFute-bq7mz
@YonaFute-bq7mz Год назад
Amen amen,sikitu kidogo umetoa maarifa kwa maelf ya maelf ya watu ili tufanikiwe hakika umejazwa Roho ya Mungu Kimaro Kutoka 31:3 [3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina.
@gracengole2773
@gracengole2773 Год назад
Asante kwakupitia utumishi wako Mchungaji Kimaro umefanya Hadi Mimi ninafikiwa na ujumbe huu mzuri. Asnte
@user-ho5wn8di5h
@user-ho5wn8di5h Год назад
Baba kimaro watashindana na hawatashinda songa mbele maneno yasikurudishe nyuma tupo pamoja kukuombea damu ya yesu ikufunike ❤
@ngusubilambope3964
@ngusubilambope3964 Год назад
So inspiring Pr Kimaro and your hosts nimejifunza kitu kikubwa sana! Mbarikiwe mnoooo!
@gracemkomwa5172
@gracemkomwa5172 Год назад
Mbarikiwe sana kwa maono mazuri yanayo hamasisha. Na kuwafanya vijana au watu kujitambua na kubadilisha maono yao. Mungu awabariki sana.
@mlimanigroup1278
@mlimanigroup1278 Год назад
Masanja bro nimekupata vizuri...nitachukua hatua
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Год назад
Mch ulichokifanya Mungu akubariki sana sana sana , maono yako ni makubwa mno, Hongera sana baba , chamecha mlisi o wandu wa ruwa
@ombeninassary7428
@ombeninassary7428 Год назад
Ni kweli vijana tunatumia mitandao ya kijamii vijana. Lakini kuna wanaotumia kama fursa. Mfano mm niko arusha nilinunua tv yangu smart tv online kwa njia ya instagram kutoka dar. Nilikuwaga nahofia sana kama nitatapeliwa lakini yule bwana alikuwa mwema sana nililipa kidogo kidogo hadi ikajaa milioni moja na laki tisa. Siku nimemalizia tu kulipa alinitumia picha ya mzigo na risiti ya cargo aliyopakia nikaenda kuichukua. Alikuwa mwema sana yule bwana hadi leo tunawasiliana japo hatukuwahi kuonana. Anaitwa somebody nyaki. Yupo kariakoo duka linaitwa nard electronics
@abigailbateyunga8187
@abigailbateyunga8187 Год назад
With much thanx dad🎉❤ 🎁 you're our blessing.let Phlp. 1:6 be yrs and Deut.28:15-68 be to yr enemies in the mighty name of Jesus Christ of Nazareth Amen.❤
@HolySmileMedia
@HolySmileMedia Год назад
*_HAKIKA_*
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 Год назад
Mchungaji ameupigaa mwingi sana hongeraaa sana mchungaji Kwa wazo hilii
@everlastinggospelchurchtz
@everlastinggospelchurchtz 2 месяца назад
Kimaro you are awesome pastor
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Год назад
Baba mchungaji Kimaro wewe ni wa pekee. Watching from USA 🇺🇸
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 Год назад
Huwa na barikiwa sana na matendo yako ya kiimani Mungu akutunze baba
@olivemwamengonakilimombeya6951
From dubai here mtumishi
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 Год назад
Asanteee Mch Masanja umeniokoa sana kiakili baba yangu
@user-mz5vf9ke3j
@user-mz5vf9ke3j Год назад
Mungu akubariki sana mchungaji kimaro. Tumejifunza mengi mno.
@echodelouange7722
@echodelouange7722 Год назад
Hongera sana pastor Kimaro and pastor Masanja kweli vijana wak’africa lazima tuhamke natujue kwamba africa yetu inazo opportunities nyingi.conference kama hizi zingeletwa pia Hapa USA KWA vijana wetu W’africa sababu wengi wafikirihi kuhusu investment.
@user-fk2cp6rl3m
@user-fk2cp6rl3m Год назад
Mungu akubariki Mch kimaro kumleta masanja umetufumbua macho
@mariachengula5166
@mariachengula5166 Год назад
Mchungaji kimaro Mungu akubariki sana kwa ufunuo huu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Asante kwa semina swali langu tuna vyakula vya asili ila mbona tunaishi maisha mafupi tatizo Nini
@user-mf9tu4yu3p
@user-mf9tu4yu3p 5 месяцев назад
MUNGU awabariki Sana watumishi wa MUNGU
@eliyamaswi6762
@eliyamaswi6762 Год назад
Have got something pastor. Mungu awe nanyiiii.
@agricolajoseph2017
@agricolajoseph2017 Год назад
Hongereni sana kilimo na ufugaji lazima utoke tusiogope vijana Tumepokea kwa kweli.
@sayunisisya4862
@sayunisisya4862 Год назад
Nimejifunza mengi sana nashkru sana mchungaji wangu
@thomasmakweta3860
@thomasmakweta3860 Год назад
Mch.Mungu akubariki kwa maono
@siambowe9875
@siambowe9875 Год назад
Hongera sana baba, mchungaji kimaro,ni jinsi gani unatamani vijana wetu,waamke,ili waeze kufanikiwa. Masanja ninaomba connection please 🙏 ya kupata mashamba😅
@lydiambwele7026
@lydiambwele7026 Год назад
Pastor Dr. Kimaro you are amazing. Be blessed ambundantly
@Linda-lr1lu
@Linda-lr1lu Год назад
Nimeipenda sana hii ni hood motivation asanteni sana
@mlimanigroup1278
@mlimanigroup1278 Год назад
Nimejifunza kitu mtumishi. Mungu azidi kukuinua.
@amonmnzava6522
@amonmnzava6522 Год назад
Mungu akubariki kwa kazi njema unayo ifanya
@dastansimpanzye4019
@dastansimpanzye4019 Год назад
Mungu awabariki sana, Ahsante Dr.Kimaro kwa maono mazuri.
@siansaw8572
@siansaw8572 Год назад
Kweli Rev. Anakuuza na umeniinspire sana nimemwandikia masanja insta nataka nimpe nondo ya UK safi sana
@zubedambilinyi6426
@zubedambilinyi6426 Год назад
Mungu akbariki masanja
@RahabuMgoo-pl6vy
@RahabuMgoo-pl6vy Год назад
Nashukuru Rev pamoja na Mr masanja kwa kinifungua akili
@mbokaandbahatitv8509
@mbokaandbahatitv8509 Год назад
Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako Mch Dr Kimaro na Mch Masanja... Asante sana kwa kazi nzuri
@olivemwamengonakilimombeya6951
GOD bless you pastor
@lovemayengo7426
@lovemayengo7426 Год назад
Nimebarikiwa sana, Asante Pastor Dr. Kimaro kwa maono haya. Be Blessed
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Год назад
Nimebarikiwa na mafundisho yenu kuna kitu nimechukua mungu awabariki sana
@stephanimtaita1158
@stephanimtaita1158 Год назад
Dah nimejikuta naisikiliza mwanzo mwisho. Very good
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Год назад
Masanja ana mtaji amejipanga na anafanya kazi nyingi
@JanethKahamba-cn4bq
@JanethKahamba-cn4bq Год назад
❤❤❤nimebarikiwa mno cntokatamaa kumbee Mm ni boss mkubwa tu
@WinfridaLyagoda-jh4xc
@WinfridaLyagoda-jh4xc Год назад
Mtumishi wangu kimaro nimeangalia na kiisikiliza tube hii mada nijifunza na kuipenda na nilikuwa napenda kuingia kwenye kilimo ila nilikosa mongozo mzuri km huu naomba niunganishe na kaka masnja amen🙏💯♥️
@BedaMselle-kj3rx
@BedaMselle-kj3rx Год назад
can we be partners?
@facebornbigborn3399
@facebornbigborn3399 Год назад
Aisee hata mm aniunganishe
@zerishmoses2280
@zerishmoses2280 Год назад
God bless you pastor kimaro
@MICHAELMOBILECARE
@MICHAELMOBILECARE Год назад
Shamba tour season 2 nimeinjoy sana kweli bishop unachange World kwa kilimo watu wajue ukweli
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Год назад
Nimebarikiwa Sana Sana na Maono ya mchungaji kimaro natamani siku moja nikuone Kwa macho ana mkono Kwa mkono nipate maarifa zaidi nipate maarifa maana ni miaka minne nahangaika na kilimo cha sasa nimeamua kuweka mikorosho ekari nyingi kwako nataka neno moja tuu kwangu nami nitapona
@honorathapaschal1523
@honorathapaschal1523 Год назад
Hongera sana mchungaji
@lulumasangwa9962
@lulumasangwa9962 Год назад
Naomben connection na masanja please nataka kwenda nae shamba na mimi nataka nikalime
@irenekilenga-jb7bh
@irenekilenga-jb7bh Год назад
Mungu akutunze much.kimaro Kwa maono yako
@ocenathrkalwans6545
@ocenathrkalwans6545 Год назад
Asante baba kwa kipindi hiki nimejifunza kitu barikiwa baba
@user-kl5ue1fx6b
@user-kl5ue1fx6b Год назад
Mchungaji Kimaro Hongera sana kwa jambo hili, Hili jambo mhimu sana
@RonaldMseke-ce9qn
@RonaldMseke-ce9qn Год назад
Mungu akubariki mchungaji,pamoja namasanja.nimenufaikasana
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 Год назад
Napenda kilimo ❤
@awazimwazembe8469
@awazimwazembe8469 2 месяца назад
Mungu naomba nitie Nguvu na kunipa kibali Cha kuwa mkulima mkubwa mwenye mafanikio
@elisanteyeremiamuro883
@elisanteyeremiamuro883 Год назад
Ubarikiwe sana mchungaji kimaro pamoja na masanja
@AlfredVicent-eu5fi
@AlfredVicent-eu5fi Год назад
Sawa safi kaka naomba mawasiliano yako
@hosealutangilo5058
@hosealutangilo5058 7 месяцев назад
Heri ukafeli shule ukafaulu maisha....
@AndreaMwinuka
@AndreaMwinuka Год назад
Nimebarikiwa sana masanja and pastor kimaro
@officiallymercymargaret3259
Mungu akubariki baba kwa kufungua vijana akili
@oswardndilahomba2903
@oswardndilahomba2903 Год назад
Ni kweli pastor Kimaro dagaa wa kigoma marekani wana soko kubwa sana kuna rafiki yangu ana password hiyo ya kuuza dagaa wa kigoma yako vizuri na oda zenyewe anapeleka kwa mwezi mara moja
@jonaslimbida8691
@jonaslimbida8691 6 месяцев назад
Waooow connection rafiki yangu
@farajalongo4528
@farajalongo4528 Год назад
1. Kupanda, 2. Kuweka mbolea, 3. Kuvuna Million moja kwa miezi sita!!!
@Madam255
@Madam255 Год назад
😂😂😂😂 ameeen
@lucianambalamwezi1864
@lucianambalamwezi1864 Год назад
Mungu akubariki mchungaji
@banguha
@banguha Год назад
Ningepata elimu hii miaka 3 iliyopita nisingekuwa na hali ngumu hivi nilitumia zaid ya m 10 kwenye biashara nyingine ikanikata si ningefanya kilimo eee Mungu nipe nguvu nataman kulima
@user-mo8zo5ge2i
@user-mo8zo5ge2i Год назад
Blessing 🙌 🙌 doctor I wish to meet with you
@dainessayubu3088
@dainessayubu3088 Год назад
Mungu akubariki sana kwa kipindi hiki kizuri. baba mzuri na pastor kimaro huu ni ufunuo mkubwa sanaaaaaa wa kutufungua kimaisha kwaajili ya kesho yetu na watoto wetu.barikiwa sanaaa sanaaa sanaA mbarikiwa nyote kibibi kwa ushuhuda wako mzuri na masanja nimejifunza kuthubutu.
@mkapaelisha3813
@mkapaelisha3813 Год назад
🙏🙏asante Dr Eliona na Masanja kwa mjadala huu
@mnyatulustores
@mnyatulustores Год назад
Ubarikiwe kwa kutukumbuka MAMA JoHN MBEYA
@user-ph8es2dn3y
@user-ph8es2dn3y 4 месяца назад
Sisi hapa marekani tuna kula chakula toka tanzania 🇹🇿
@carenhilary8067
@carenhilary8067 Год назад
Haleluya Kuna kitu nimepata Mbarikiwe saana
@joycelaura4611
@joycelaura4611 Год назад
Huyu Mungu anamtumia huyu baba yetu Mchungaji Kimaro azidi kumtunza
@user-tj6tl7cp9z
@user-tj6tl7cp9z Год назад
👏👏👏🙏🙏🙏 ashukuliwe mungu nimejifunza sana
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Год назад
Barikiwa sana Masanja
@esthersimaomukama7843
@esthersimaomukama7843 Год назад
Asante sana Mch kwa proactive panel
@GabrielMyombe-st3us
@GabrielMyombe-st3us Год назад
Hongera Mtumishi masanja
@user-yt8mw2xt7k
@user-yt8mw2xt7k Год назад
Am very inspired of this talk!
Далее
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Просмотров 20 тыс.
🫢 #tiktok #elsarca
00:11
Просмотров 4,1 млн
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.
PATIENCE - UVUMILIVU
1:07:35
Просмотров 26 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO I
34:28
Просмотров 14 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING (KIBIBI)
19:04
NANI YUKO NYUMA YA USHOGA NA USAGAJI?
17:30
Просмотров 84 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MBINGU ZIKUFUNUKIE
1:24:27
Просмотров 40 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: JIEPUSHE NA KIGEUGEU
1:02:03
Просмотров 16 тыс.
🫢 #tiktok #elsarca
00:11
Просмотров 4,1 млн