Тёмный

Masauni amjibu mbunge anayetaka pasipoti kuingia Zanzibar 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 4 месяца назад
Hii inchi inabidi tuwe naserikari moja hizi taswira za ukanda ziondoke, kama haitowapendeza watu bora muungano uvunjwe tusije tukasumbua badae
@Sheba4651
@Sheba4651 4 месяца назад
Serikali moja kashindwa nyerere, ataweza Lukuvi? Nyie mna roho mbaya.
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 4 месяца назад
Masauni nikatika wazanzibara wanao ifisidi Zanzibar Ila mungu yupo atavilinda hivi visiwa
@Yassinseleman
@Yassinseleman 3 месяца назад
Mtu akisema ukweli mnachukia sijui ninyi mnashida gani
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 месяца назад
Nchi ni mbili Tanganyika na Zanzibar.
@JumaSalim-bd1ff
@JumaSalim-bd1ff 4 месяца назад
Hatukuelewi kabisaaa unatafuna mane no tu
@ahmedhemed3983
@ahmedhemed3983 4 месяца назад
Hi
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 4 месяца назад
Uongo babu weye na nyie ndo mnalazimisha muungano mnajifanya ni wazaliwa wa Zanzibar mnaijua Zanzibar lkn lengo lenu ni kuifanya mkoa. Zanzibar ni nchi ya visiwa na ina uhuru wake sasa ukisema haina passport kabla ya Muungano watu kutoka kwenda nje ya Zanzibar walitumia nini? Hiyo kadi ya usalama inatwaje si ndo Identity ya Nchi husika.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 4 месяца назад
Kwaio Zanzibar hamtaki Muungano? Kweli nafuu zote Tanganyika iliyowapa hamtaki Muungano?
@Said-q1p7g
@Said-q1p7g 4 месяца назад
Acha ujinga Kuna nafuu Gani Ni dhuluma tuuh
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Muulize karume kwa babu zake ni wapi. Kama sio bara. Puuzi moja wewe
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
​@@Said-q1p7gnenda Omani ukaoshe vyombo jinga wewe
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 4 месяца назад
@@Said-q1p7g Nafuu Ulinzi, umeme, mawasiliano, Afya, Elimu, Mikopo, Hadi gharama za kuendesha serikali
@ahmedsalum8054
@ahmedsalum8054 4 месяца назад
Mtihani huu kama anaepaswa kukutea yeye ndo anakukandamiza
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Mpuuzi mmoja ww
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 4 месяца назад
Uyu. Jamaa. Kilaza
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Nani wazirì au mbunge eleza vizuri
@froma3732
@froma3732 4 месяца назад
Ukisafiri kwenda mikowani hulizwi kitambulisho
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 4 месяца назад
Mara nying kwa mikoa ya mipakan wanauliza, mfano ukitoka darenda kigoma tarajia kuna road block ya traffic watakagua nida yako. Kwa mikoa ambayo haijapakana na mataifa jiran mara nying haukaguliwi kitambulisho moja kwa moja japo wakat wa ukataji wa tiket kwa ofisi zilizo makin watakwambia uoneshe kitambulisho cha nida au lesen inayokutambulisha wewe
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 4 месяца назад
Mbona kutoka Rombo kwenda Dar au popote hauulizwi Nida? Na hapo Rombo kwenda Kenya na kurudi unaenda kwa mguu au baiskeli utakavyo na hauulizwi na mtu? Yaani mtu anatoka Kenya kuja dukani Tanzania wananunua mchele na maharage na kibiriti au Mafuta ya kula anarudi Kenya. Wengine wananunua vinywaji wanakunywa wanaenda kulala Kenya. Au mkenya anakuja kukopa gesi na anakulipa. Mbona hamna Cha NIDA au passport?. Sasa hapo Zanzibar yu ndio iwepo passport? Sehemu ya kwenda dkk 20 na ndege?
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 4 месяца назад
@@kakanicodemus3632 kwahiyo ukienda Zanzibar unaulizwa kitambulisho sababu napo ni mpakani au sababu ni nini ?
@Grataaaaa
@Grataaaaa 4 месяца назад
Hizi nchi mbili mjlmba
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Kama huridhiki na muungano nenda omani ukawe mbunge uko. Watu hawajasoma
@hajjkadir948
@hajjkadir948 4 месяца назад
Laa haulaa
@MattarMohammed-f5v
@MattarMohammed-f5v 4 месяца назад
Fikra mbovu umekufa huna ujuacho hata jina lako hulijuwi
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 4 месяца назад
Ili. La. Pasport. Litawaliza. Wanao. Jipendekeza. Kwawatu. Wasio. Wapenda. Muhmu. Sna. Kujuna. Kwautaifa.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Hao ni wanyamwezi paspoti ya nini babu zao wapo urambo pale waache ujinga.
@MohdSuleiman-k1o
@MohdSuleiman-k1o 4 месяца назад
Huyu mwenyewe mtanganyika kias asiutake etii
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 4 месяца назад
WANAMPINGA KARUME NA KUMUENZI NYERERE Watanganyika na Wazanzibara wanaichukia Zanzibar sawa na Nyerere, MzaliwawaTanganyika.
@amohamed4969
@amohamed4969 4 месяца назад
Watumwa mmekutana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 4 месяца назад
Kama ilivyokuwa tangu huu Muungano kichaa uwepo, Wazanzibari wamekuwa wakiwachukia Watanganyika ila wakizipenda sana raslimali zilizoko Tanganyika. Watanganyika wamekuwa wavumilivu sana kipindi chote hicho. Sasa wamechoka Watanganyika wanaudai Utanganyika wao na raslimali zao. Dai hilo la Watanganyika, Wazanzibari wanalitafsiri kuwa ni UBAGUZI!! Muda wote huo Wazanzibari wakiwachukia Watanganyika, hawakuona kuwa wanawabagua Watanganyika. Moto waliuwasha Wazanzibari, SIO rahisi kuuzima. Kwa UDI na UVUMBA lzm Tanganyika irudi ktk ramani ya uso wa Dunia.​@@khatibal-zinjibari6956
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 4 месяца назад
​@@khatibal-zinjibari6956Tangu huu Muungano kichaa uwepo, Wazanzibari wamekuwa wakiwachukia sana Watanganyika ila wakizipenda sana raslimali zao. Sasa Watanganyika wamechoka na ufedhuli wa Wazanzibari, wanadai Utanganyika wao na raslimali zao. Dai hilo Wazanzibari wanalitafsiri kuwa ni "UBAGUZI". Ila chuki zao kwa Watanganyika hawakuona kuwa ni UBAGUZI, ila waliona kuwa ni haki yao!! Moto waliuwasha Wazanzibari SIO rahisi kuuzima. Kwa UDI NA UVUMBA Tanganyika ni lzm irudi ktk ramani uso wa Dunia, pia raslimali zao lzm zimilikiwe na Watanganyika wenyewe.
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 4 месяца назад
​@@amohamed4969 Ukiwa wapi ume pakatwa Nakupakwa Mafuta Matakoni kwako 😋😋
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 4 месяца назад
Huyu jamaa hajawahi kuongea mambo ya msingi tokea awe bungeni basi ni njaa tu inamsumbua
@TheAlman
@TheAlman 4 месяца назад
Kwann tunagambana naonaa tuvunje muungano hawa wakimbizi wa kizanzibari warudi kwao tumewachoka mumejazana huku hatupumui shida tupu rudini kwenu
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 2 месяца назад
😂 nchi moja ina wimbo za Mataifa mawili, ina benderea mbili Inaserikali mbili, ina raisi wawili Ina katiba mbili Mabunge mawili Mamlaka mbili tofauti na kila raisi hana mamlaka kwa mwenzie😂 Hemu huyo mh akahare huko adanganye wanaosinzia huku wako macho 😂 na waliojaza vichwa vyao pombe😂
@kwisa4899
@kwisa4899 4 месяца назад
Kiongozi muongo muongo😂😂
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Mna yenu ivi .... Pole sana
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 4 месяца назад
Na vipi Zanzibar ni nchi? Au visiwa?
@tours15
@tours15 4 месяца назад
Kwani visiwa haviwezi kuwa Nnchi? mbona unaonekana kama Education less
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 4 месяца назад
​@@tours15Hizo ndo akili za Watanganyika karibu wote wao hawajui hata maana ya nchi ni nini, mara ooo Zanzibar ina watu milion mara ooo Zanzibar ni visiwa si nchi upumbavu mwingi upo kwenye vichwa vyao na wengi wao hata historia ya Zanzibar hawaijui.
@kwisa4899
@kwisa4899 4 месяца назад
kato utajibiwa
@suleimanmohammed5344
@suleimanmohammed5344 4 месяца назад
@@kwisa4899 Kutoka tarehe 26/04/1964 mpaka sasa Zanzibar imepoteza sifa ya kuwa nchi kamili kutokana na muungano ila kabla ya muungano baada ya kupata uhuru wake kutoka kwa muingereza 10/12/1963 Zanzibar ilijiunga na Umoja wa Mataifa tarehe 16/12/1963 na kuwa mwanachama rasmi na nchi kamili kama ilivyokuwa Tanganyika ambayo ilijiunga tarehe 14/12/1961 na zote zilikuwa na hadhi sawa kama nchi huru.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Kama ukerewe tu
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 месяца назад
Kabla ya marehemu rais mstaafu Ali Hassan kuondosha paspoti baina ya Zanzibar na Tanganyika,hati hizo zikitumika kwa kusafiria baina nchi hizi mbili
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 4 месяца назад
Puppet , je kura ya maoni kuhusu Muungano kama tunautaka au laa tunayo haki hio?
@amohamed4969
@amohamed4969 4 месяца назад
Kafirwe mbele uko,choko wee.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Umeshaharibiwa wewe sio bure
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 4 месяца назад
Ww muongo huna ishu ushakula hela unaongea kidichokuwepo
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Hela iliouzwa huku tunafididia uko mkivunja muungano tunahesabu hekari zetu huko mnatupisha sijui mtaenda wapi mbona hamna akili kiivyo km za ngorongoro na roliondo. Zanzibar imeisha iyo tunaweka wamasai tu. Mtaenda wapi?
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 месяца назад
Utamu wa muungano wanaujua wazanzibari wachakalikaji wapo itigi wamejenga wanalima wamenenepa huwaelezi kitu na tunashirikiana nao wapo mpaka ukerewe kisiwani.wanaongea kikara tu
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 4 месяца назад
Huyu jamaa anatudanganya anatuona wananchi ni mazuzu Yaani nyie semeni ukweli kuna tanganyika na zanzibar full stop msituletee mbambamba za kipuuzi hapa Tunataka Tabganyika yetu irudi ikiwa salama kama mlivo ichukua kama kuna maeneo ya Tanganyika mumeuza kwa waarabu andaeni hela za kuwarudushia waarabu wahuni nyie
@SelijusiMalambo-vq6gl
@SelijusiMalambo-vq6gl 4 месяца назад
Sasa kama kuna Tanganyika na Zanzibar, sindio inchi zilizo, unda muungano shida mnajadili mchanganyiko
@SelijusiMalambo-vq6gl
@SelijusiMalambo-vq6gl 4 месяца назад
Waziri nikusaidie nikwamba hata kama unatoka mkoa mwingine lazima uwenautambulisho aidha wabarua yamwekiti wakijiji nahata kwenye makanisa nihivyo kwaio niuwelewa tu
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 месяца назад
Hilo neno "Lazima" UMETUDANGANYA boss. Hatuna Sheria yoyote inayokutaka kuwa na kitambulisho kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine hata TZ. HAKUNA BOSS
@SelijusiMalambo-vq6gl
@SelijusiMalambo-vq6gl 4 месяца назад
@@TM.Sullusi umekua juzi nenda office husika sema siku hizi wapuzia , kwanza ilikua lazima unaposafiri uwe nacheti chamlipa kodi au barua ya mwekiti ili utakapo fikia badae unapelekwa kwamjumbe nacheti chamlipa kodi au rist ya mchango wa shule,, kati ya hivyo ukikosa kimoja basi utaishi kama kibaka kwaio huo niutaratibu nahujafutwa ila mengi yanapuziwa
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 4 месяца назад
@@SelijusiMalambo-vq6gl sawa nimekua juzi, kwahiyo cheti cha mlipa kodi au barua ya mwenyekiti naweza kutumia kuingia Zanzibar ??? Wewe ni mbumbumbu haswaaa hujui ata unachotetea.
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 4 месяца назад
@@SelijusiMalambo-vq6gl ivi wewe unaijua rist ya mchango wa shule ? Inahusiana nini na kuingia Zanzibar eeh
@SelijusiMalambo-vq6gl
@SelijusiMalambo-vq6gl 4 месяца назад
@@adudeswalehe8724 ulitauingie kama chooni au machakani
@ahmedhemed3983
@ahmedhemed3983 4 месяца назад
Wewe umepewa uwaziri wala hujui unacho kisema Tanganyika na zanzibar ilikuwa tukitumia passport wewe nimnafiki. Tetea nchi yako wacha kupotosha ukweli. Au ndio unalinda uwaziri ulio onjeswa
Далее
КУШАТЬ ХОЧЕШЬ? #дистори
00:15
Просмотров 113 тыс.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
Просмотров 66 тыс.
KUFRU YAKITHIRI ZANZIBAR
5:47
Просмотров 24 тыс.