Тёмный

Mashabiki wanasema Ruby kafunika Tazama Balaa LIVE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 164   
@suejohn4187
@suejohn4187 6 лет назад
Kama unamuelewa ruby kwa sauti like me gonga like hpa
@geraldinefromburundibujumb2046
Wataelewa tuu Mimi nishabiki was nandy ila Kwa ruby nishida.ana sauti nature.
@gretagonga2966
@gretagonga2966 6 лет назад
Huyu anasauti na pumzi ya kuimba ila aandikiwe nyimbo....yaani akiandikiwa na wanaojua akiii atatikisa sanaaaaa
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 6 лет назад
kumbenaweye unafwatirita habalizote umenifurahishasana ila anasawutinzuli😍😍😍
@swaumusaidi511
@swaumusaidi511 6 лет назад
Ruby hiyo nyimbo inanimbambaga sana aise like Beyonce wa bongo kama umemuelewa
@hadija846
@hadija846 6 лет назад
Ruby nakupenda kwa uimbaji wako. Na ustaarabu wako kwa kueshimu jamii nakuombea mbele zaidi nami naendelea kufurahia nyimbo zako maana ni zinaujuzi ndani yake.💋🎊🎉😘👍
@bongovevo6234
@bongovevo6234 6 лет назад
kuna watu wanajifanya hawajamkubali sio hamjamkubali sema hamjaelewa kizungu hicho
@islaahrasheed6939
@islaahrasheed6939 6 лет назад
😁😁 true
@josephajosephat8370
@josephajosephat8370 6 лет назад
bongo vevo saf sana guy umepatia
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 6 лет назад
bongo vevo 😂😂😂😂😂😂
@mdingineema7225
@mdingineema7225 5 лет назад
Kabisa😂😂 hawaelewi
@iammusic3404
@iammusic3404 5 лет назад
Beyonce will be happy if she sees this
@t33pelos77
@t33pelos77 6 лет назад
Ruby umetisha sio yule michupi saut km kameza chura cjui alilimeza lile chupi
@swaumusaidi511
@swaumusaidi511 6 лет назад
Latifa Abdallah Hahahaaaaa
@deborahelling9579
@deborahelling9579 6 лет назад
Ana sauti zuri sana sasa sijui nandi alimroga mwezio kipindi kileee 😁😁😁😁 maaana alivokua
@ambrozekhan7007
@ambrozekhan7007 3 года назад
So far the best live performance female vocalist in T.z hands down.
@yegaboy9529
@yegaboy9529 3 года назад
nandy usjalibu ata skumoja kushinda na ruby ruby atali jaman una jua nyimbo ya nan hyo anayo hmba ruby ww nno na asilimia 💯
@happynyonga4536
@happynyonga4536 6 лет назад
Ruby unajua hadi unakera Jamani
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 лет назад
Nimeipenda show ya kistaarabu watu hawatoki majasho 😘😘👏👏
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 5 лет назад
Ckuwahi kukufatilia daaah unajua ile mbaya 😘
@saluathkdouty7800
@saluathkdouty7800 6 лет назад
Ukiwa ulishapitia umama mchungaji ruby 😂😂lzm uwafunike wenzio so kwa mapambio hayo kanisani kila siku lzm uwe mzoefu wa kila nyimbo ..Saut ya ruby inafaa nyimbo za injili...uko vzr ruby tofaut yako ww na nandy ni tone...
@shekrahgendaukae560
@shekrahgendaukae560 6 лет назад
Yan ruby akijitokeza tena kweny muziki nandy atasubir sana
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 Год назад
Huwa Sina shaka na Ruby Ila angekuwa mwafudenge angetaga hapo nice Ruby
@wallaceshunda5971
@wallaceshunda5971 6 лет назад
Nandy amethibitisha kuwa hakuwezi, hongera Ruby'
@lameckathanas2704
@lameckathanas2704 6 лет назад
Duh hiki nikipaji kilichokuwa kinataka kupotea sijui alikuwa wapi huyu kwa kimya kile chote
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 6 лет назад
Nimeependa ulvyoimba wa beyonce jomon umepatia ruby nakupenda sana simamia nafas na kipaj chako unaweza mamaa utafika kuwa serious usiangalie mwingine kuwa wew
@sanga3228
@sanga3228 6 лет назад
Subrynery Segerow @
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 лет назад
Uyu mtoto anakipaji kweli mashaallah
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Ruby we we mkali sana hila umevaa nini jakati au
@evodiuskalema2123
@evodiuskalema2123 12 дней назад
Huyu kiboko saaaaana saaaaana 🎉
@lindasophia1288
@lindasophia1288 6 лет назад
Anajuwa sanaa uyu dada 🤩🤩❤️
@sonthadei422
@sonthadei422 6 лет назад
Ohhh Gosh... U killed it Ruby.... Nandy anayo kazi.
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 6 лет назад
Ur the best ruby
@glorianikiza8776
@glorianikiza8776 6 лет назад
rihanna wa tz
@ash3gdu949
@ash3gdu949 6 лет назад
nakupenda bure ruby
@aishahussein3879
@aishahussein3879 6 лет назад
we mtoto ni motooo
@felistermitudu2049
@felistermitudu2049 6 лет назад
Ooh yes, she's👌
@rihammoosa9213
@rihammoosa9213 5 лет назад
Kafanana na Rihanna
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 лет назад
Ruby number 1👌👌👌😍😍😍
@mmuchasikabwe503
@mmuchasikabwe503 6 лет назад
Nakupenda for really I don’t want be a lie no more !! You are so amazing
@lilianramillez9827
@lilianramillez9827 6 лет назад
Ruby jamaan Adi goosebumps😢😢
@rihammoosa9213
@rihammoosa9213 5 лет назад
Mm namkubal sana uyo dada lakin akimba kiswahil itapendeza sana
@ndekirwamaturo5853
@ndekirwamaturo5853 6 лет назад
fantastic
@DanielMaiko-hh7lx
@DanielMaiko-hh7lx 3 месяца назад
Nomaaaa sanaaaa
@iamjohnafrica
@iamjohnafrica 6 лет назад
una sauti hatari kinanda
@elianarobert1300
@elianarobert1300 6 лет назад
u killing it mahfackk""💞💓
@jamesmajidy12
@jamesmajidy12 6 лет назад
we sio Ruby bali we ni Rihanna wa Tazanian na Africa kwa ujumla 👏👏👏💖💖❤
@phina8058
@phina8058 6 лет назад
SO FAR SHE IS THE BEST FEMALE SINGER IN TANZANIA
@boazmtileghe378
@boazmtileghe378 6 лет назад
Good Tulikumiss dada
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 лет назад
Ruby 😚😚😚😚
@janethmvanda4436
@janethmvanda4436 6 лет назад
Ruby anajua kwakweli bas tu tena kwa live performance ndo nandy hafiki kabisaaa safiiiii
@suedybau3592
@suedybau3592 6 лет назад
anajua adi anakera
@sasherbaiby7277
@sasherbaiby7277 6 лет назад
shikamoo Dada Ruby cyo kwa saut hyo
@agnesssungura2984
@agnesssungura2984 6 лет назад
So nice Mumy....and nice song mama
@reshymaehamady5237
@reshymaehamady5237 6 лет назад
Ruby shikamoo
@beryldennis2263
@beryldennis2263 6 лет назад
You nailed it ruby
@shamimutariq2036
@shamimutariq2036 6 лет назад
kila siku wanaoelewa wataelewa tu ruby noma
@mercywangeci7481
@mercywangeci7481 5 лет назад
Great ruby
@tausak4568
@tausak4568 6 лет назад
Hanaga mpinzaniii 🔥🔥🔥🔥🔥👉💗💗💗😘😘
@neemamwamwezi5392
@neemamwamwezi5392 6 лет назад
wema sepetu umeona vizurii sana
@mayelias4207
@mayelias4207 6 лет назад
Ruby mamaaaa wamasauti machupi kapuni
@paty-hw6fz
@paty-hw6fz 2 года назад
Ww dada balaaaaaaaa
@dinnarandrew1982
@dinnarandrew1982 6 лет назад
Safi Ruby
@iammusic3404
@iammusic3404 5 лет назад
I swear if WCB signs her in their label they will never regret at all
@wilsonwizzo2483
@wilsonwizzo2483 6 лет назад
daaah👏👏👏👏👏👏
@jenmatengenezo1460
@jenmatengenezo1460 5 лет назад
kwli ww niatali RBy yani daaa sina neno napnda sana niwe kama ww dadaangu
@aminakhamis1122
@aminakhamis1122 6 лет назад
Ruby tunakupenda sanaaa
@kenty6572
@kenty6572 6 лет назад
Respect 👌🏾👌🏾👌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@shadrackmahewa1560
@shadrackmahewa1560 6 лет назад
She's talented.....
@lilianbyera6204
@lilianbyera6204 6 лет назад
kwakweli Ruby nakupenda bule
@irenekamtoni6330
@irenekamtoni6330 6 лет назад
Kafunika japo sikuwepo
@stechotv8455
@stechotv8455 6 лет назад
Daa namkubali uyu manzi ila nashangaa daa simba ni faya anaongoza kwa VIEWS ile video mliompost na DAVID ahaha WCB 🔥🔥
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
Rubby kakonda namna hio jamani mpaka mbavu tunaeza kuziisabu, kwani tatizo la uyu dada nn,au hapati lishe bora?
@fatmasalim9765
@fatmasalim9765 5 лет назад
Nice work ruby...dupest
@kulsoomkulsoom8897
@kulsoomkulsoom8897 6 лет назад
Umetisha Ruby 😍
@gracejoseph5843
@gracejoseph5843 6 лет назад
Millad kwel tunaomba usikie kilio chetu matangazo yako yote weka mwisho baada ya kuonyesha unachoonyesha, sio kutumalizia tu MB zetu, sisi tunaamini utalifanyia kaz
@sumaidicksondickson4706
@sumaidicksondickson4706 6 лет назад
Grace Joseph hahaaaaa kwel kbx grace Joseph mchunga au yupi sor lkn
@gracejoseph5843
@gracejoseph5843 6 лет назад
Sumai Dickson Dickson sijui
@hafsaibrahim2008
@hafsaibrahim2008 6 лет назад
Grace Joseph hahahahah kwel kbx mm mwenyew yananikela xana
@iddihmashono7306
@iddihmashono7306 6 лет назад
Grace Joseph sasa c upeleke mbele
@rosechami649
@rosechami649 6 лет назад
Grace Joseph Millard ni mjanja sana amejua akieka mwisho mtaishia njiani
@brunoeladi698
@brunoeladi698 6 лет назад
Baada ya kuomba msamaha ndo mnampa promo sio?
@mathiasrichard6696
@mathiasrichard6696 6 лет назад
Bruno Eladi wanajiita mungu watu
@rosemarybenjamin4333
@rosemarybenjamin4333 6 лет назад
Bruno Eladi alifanya nn kwan😲
@abdallahkitwana8471
@abdallahkitwana8471 6 лет назад
no one but u Ruby....the second Lady Jay dee
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 лет назад
mie naona unapiga kelele love nand
@iamjohnafrica
@iamjohnafrica 6 лет назад
sio kweli
@arushamix6036
@arushamix6036 6 лет назад
Superb.
@emmanuelkateba3545
@emmanuelkateba3545 6 лет назад
Hello Ruby 😘 😘
@dominicnzai8256
@dominicnzai8256 5 лет назад
Kama umeona Six-packs za Rubi Kama mm nipe kidole twende sote
@jujufitnessvlogs7694
@jujufitnessvlogs7694 6 лет назад
Noumaaaa🙌🏾
@glorymolly7972
@glorymolly7972 6 лет назад
Oi kaka hayo matangazo me yananiboa kwakwel
@fredinafelix7306
@fredinafelix7306 6 лет назад
aiseeee...I real missed her.
@fettybernard71
@fettybernard71 6 лет назад
Ruby kiboko jmn
@promiseandrew5462
@promiseandrew5462 6 лет назад
huyu ruby kalogewa saut jmn mpk unanikela kaone
@yonasmchomvu1797
@yonasmchomvu1797 6 лет назад
I like it rubby
@jackiekaizilege4490
@jackiekaizilege4490 6 лет назад
I love her
@phina8058
@phina8058 6 лет назад
I NEVER KNEW RUBY NDO MKALI KIHIVI PLZ
@amirsab1158
@amirsab1158 6 лет назад
Mashallah ume faulu ila umeachia vimatiti wazi
@rozinahamisi84
@rozinahamisi84 6 лет назад
Duh Ruby hatarii
@eddybayzor5072
@eddybayzor5072 6 лет назад
Ruby anajua
@holymoko5058
@holymoko5058 6 лет назад
Ruby voice control ni F..muda wote ye anaimba note za juu tu.show nzima makelele
@danieljoseph6309
@danieljoseph6309 6 лет назад
Sio wengine wapayuka tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dodoshavu488
@dodoshavu488 6 лет назад
daneil joseph looooh jamon huyu dada nampenda mpk nalia
@hassanaligulled6938
@hassanaligulled6938 6 лет назад
we love you ruby
@karloladislaus45
@karloladislaus45 6 лет назад
Ruby unasauti lakini unachemka....hauna ushauri mzuri.Nandy hana sauti lakini anaimba nyimbo zake.Ruby unaimba nyimbo za watu ili iweje??
@roseanajophrey7048
@roseanajophrey7048 6 лет назад
Jaman bila unafki Rub u kill it dea
@rahmasaid3347
@rahmasaid3347 6 лет назад
Shikamo ruby
@priscasaid1429
@priscasaid1429 6 лет назад
Shikamooo ruby
@dayanamichael9427
@dayanamichael9427 6 лет назад
Queen rubby
@aminazahibu8065
@aminazahibu8065 6 лет назад
Ruby😍😍😍😍
@fatmaabeid5548
@fatmaabeid5548 6 лет назад
woooooow
@hadassperez494
@hadassperez494 6 лет назад
King Ruby 👑👑👑👑
@hamzakhalid1539
@hamzakhalid1539 6 лет назад
hadass perez king tena😂😂😂😂😂😂😂...jamani jamani
@hadassperez494
@hadassperez494 6 лет назад
hamza khalid king kapsaaaa yaani queen hapatoshi
@msaflus2492
@msaflus2492 6 лет назад
Hello 😘😘😘😘😍😍😍
@swalehsaid7610
@swalehsaid7610 6 лет назад
saf rubby
@swalehsaid7610
@swalehsaid7610 6 лет назад
nakuelew sana rubby
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 лет назад
Kipaji kikubwa kuongea sana kinamponza
@amanilengaram5755
@amanilengaram5755 6 лет назад
Ila mbona kabaki mifupa tu
@Joyce_manase
@Joyce_manase 5 лет назад
Ni thank you sio senki you 😔
@halifasaid8343
@halifasaid8343 6 лет назад
Fundi Vocal
@thauratali3656
@thauratali3656 6 лет назад
Pyee cjaona alichokiimba zaid ya mikelele nakujikamua sana engeeimba nyimboze tu
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 6 лет назад
Thaurat Ali roho mbaya tyu imekujaa mbona ww hukupanda kuimba
Далее
RUBY AMNYANYUA JOKATE MISS TZ 2018
12:12
Просмотров 332 тыс.
Prince Indah - Royal Rave Live Show @Shujaa Mall Grounds
1:14:48
RUBY AKIIMBA WIMBO WA DINI UTAKUTOA MACHOZI
3:53
Просмотров 26 тыс.
BIG SUNDAY LIVE | RUBY - NA YULE
5:36
Просмотров 27 тыс.
RUBY AIMBA LIVE ATOA FUNZO KWA ZUCHU NA NANDY
14:58
Просмотров 3 тыс.