Тёмный

MASHALOVE AFUNGUKA BAADA YA KUFUNGA NDOA/ATAJA IDADI YA MAHARI/SABABU YA KUOLEWA GHAFLA 

Bona Tv
Подписаться 391 тыс.
Просмотров 147 тыс.
50% 1

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MASHALOVE AFUNGUKA BAADA YA KUFUNGA NDOA/ATAJA IDADI YA MAHARI/SABABU YA KUOLEWA GHAFLA
#Bonatv #Exclusive #diamond #gigymoney #mashalove #drkumbuka #jikeshupa #iyo

Развлечения

Опубликовано:

 

15 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 569   
@victoriajoseph8645
@victoriajoseph8645 3 года назад
Jmn huyu ni masha ninaemfaham mimi au pachaake 😀😄kama nawe umeshangaa kama mimi gonga like yako hapa
@salhanassor5201
@salhanassor5201 3 года назад
Kweli ndoa kitu chengine yani huyu ni masha nnaemjua mie yani kapoa hivi..dah alhamdulillah mungu mkubwa..sasa ndo ubadilike utoto uache..wale wanaotaman masha aache upuuzi wa insta like hapa ili ajirekebishe
@rukiaosman18
@rukiaosman18 3 года назад
Mashaallah mashaallah Allah akuhifadhi doa yako Iweyaheri yarabi
@rukiaosman18
@rukiaosman18 3 года назад
Inshallah hiyo misahafu uliyo Itoa itanusuru doa yako yarabi Utapata watoto inshallah hongera My love sister wangu
@anahanah9145
@anahanah9145 3 года назад
yani nimeshangaa
@salhanassor5201
@salhanassor5201 3 года назад
@@anahanah9145 😁😁usishangae ukaskia ni movie hii mi simuamini vizuri masha😁😁
@anahanah9145
@anahanah9145 3 года назад
@@salhanassor5201 mambo ya aibu aliopost na vishati yake Akiwa uchi ndo imefanya nisiamin
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 года назад
Mashallah Allah Kareem 👏 Mungu akakusimamie ndani ya ndoa yako ukaishi salama mpaka Mungu atakapo watenganisha Inshaallah 👏 mabrock Masha love wakati wa mungu ni wakati sahihi
@mariambintsaid3814
@mariambintsaid3814 3 года назад
Uyu dada mkweli kupita maelezo. Nmependa alivojibu 'sijui ka amewah kuoa' Hajausemea moyo..hajajimilikisha,...YaAllah akutakabilie ikawe ya kheir da masha
@aminayusuph9247
@aminayusuph9247 3 года назад
Mashallah mashallah jmn hongera sana dada Allah awajalie khery kwenye ndoa yenu inshallah chenye kher mungu hutia baraka zake
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 года назад
Masha"Allah Allah Awape wepesi
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 года назад
Kumbe Masha mdogo Sana jamani Mungu akupe Utulivu wa nafsi na uvulivu katika ndoa yenu .Alf Mabrook waalhi hadi machozi yanitoka Hongera dadangu .kila maisha ni hatua Subra uvumilivu na kumtanguliza Mungu .
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 года назад
Mashaallah Mungu atakufungulieni kwenye maisha yenu. Mkae vizuri tuu.. Beauty Masha leo umependeza na una haiba yako.
@rayaali7551
@rayaali7551 3 года назад
Daah mmungu akusimamiee inshaallaah ilaa GENGENII SIO WAJIBU WAKO KWENDAA NA KUHAKIKISHA MUME KULAA NNOP HIYO NI KAZI YA MUMEE KUHAKIKISHA MKEWEE KUWA AMEKULA AUU ANATAKA KULA NINI AUU ANA TAKA KUVAA NINII, NA KIKUBWAA KWANZAA MUME NI WAJIB WAKEE KUHAKIKISHA MKE ANALALA WAPII, KULAA NA KUVAA HUOO NI WAJIBU WA MUMEE WAJIBU WAKO MKEEE NI KUWA NA HESHIMA KUJIHESHIMU NA KUMUHESHIMU MUMEOO MPAKA DAKIKA ZA MWISHO NA MMU GU ATAZIDI KUKUSIMAMIAAA INSHAALLAAH
@munaabdallah9665
@munaabdallah9665 3 года назад
Mwenyezi mungu akutakabali duwa zako, mungu ni mkubwa daa masha.
@zainabzain3434
@zainabzain3434 3 года назад
Masha habint usilie Allah akupe subra na UVUMILIVU ktk ndoa yako mlee akulee mpate watoto wema
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 3 года назад
Maashallah basi ndiyo uwache kujitia uchizi usikae miziwa wazi ujistili kijumla Allah akuongoze atuongoze na ss lnshallah
@salimyussuf6062
@salimyussuf6062 3 года назад
Mashaa😭😭😭 Sina la kukuambia mpenz yaani nnafuraha hadi machozi yananitoka ndoa ni jambo bora mama mungu akudumishe kwenye ndoa yenu (barakallahu lak wabaraka alayk wajamaa bainakuma fiiy khair) 🤲 maisha mema mwaya🥰
@fauzakassim2271
@fauzakassim2271 3 года назад
Mashaallah allah akufanyie wepesi inshaallah yaani siku zote nakuona lakin leo mzuri sana 😍
@ziyadayahaya5901
@ziyadayahaya5901 3 года назад
Hongera Sana Masha hata Mimi siamini nakupenda sana
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 года назад
Mashaala mungu akujaalie
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 года назад
Sasa manyonyo zitatulia, ishakua vyakula vya watoto wake, usitinginge teba😂😂😂 hujui tu vile ulikua unanikela jamani, Shii nimefurahi adi basi,🙌🙌❤❤
@rahmaomary8021
@rahmaomary8021 3 года назад
Mashahllha leo nimekup enda bure mwenyez mungu awafanyie wepesi kwenye ndoa yen
@alshabje7185
@alshabje7185 3 года назад
Mungu akujalie kila LA kheri Kati yamaisha yako inshaallah mahari mashafu najuzuu mashallah dada
@hamissahamissa105
@hamissahamissa105 3 года назад
Hongera sana Masha mwenyezi mungu awape kheri katika ndoa yanu inshaallah
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 года назад
Maa Shaa Allah. Mbona una Majonzi badala ya kuwa na Furaha.
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Aaamini hakutegemea Amini Ili ,wanawake wengi tunatamani kuolewa au tunataka kuolewa ila wanaume ndoivyo.msiwaone wanalopoka kama aunt Ezekiel wengi ndoa tunazitaka😂😂😂
@user-ou2ls3ws7c
@user-ou2ls3ws7c 3 года назад
Mabruq mashalove mungu akujaalie kila la kher utulie na ndoa yk almuhimu uheshimu ndoa yaliopita yamepita mungu atakusamehe nafikir dini unaijua na umesoma dunia ipe mgongo hongera sana
@aminamodi8927
@aminamodi8927 3 года назад
Masha mwenyezi mungu akujalia saana ILI upate unachohitaji na kama unayosema basi Allah akujalie saana
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 года назад
Maashaallaah mungu akupe amani pia mdumu milele daima inshaallah mzikane mzae watoto wema pia mungu akupe utulivu ue mke mwema sana inshaallah
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 3 года назад
Masha allah allah nimkubwa kama masha love amefunga ndoa basi na wengine mutaolewa hata kama umezaa wala umeachika insha allah
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 года назад
Amiin
@jescaizengo9722
@jescaizengo9722 3 года назад
Mungu awajaalie maisha marefu ❤❤❤
@patiencebadete8726
@patiencebadete8726 3 года назад
Mayshaallah ongera dada naiye heri dada .Allah akuwekey wepesi nimefuray sana dada.
@aminaluhamba9387
@aminaluhamba9387 3 года назад
Mashaallah,Allah awasimamie ktk ndoa yenu
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 года назад
MashaAllah hongereni sana Allah akuzidishie kheri piya urudi kwa Allah.
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Manshallah Allah Awenanyi awarinde mabaya
@sekelamwambungu356
@sekelamwambungu356 3 года назад
Masha Nakupenda sana we dada nimefurah ad machozi ya furaha hongera Mungu akusimamie kila lakheri kwenu.
@shakira1301
@shakira1301 3 года назад
Mabrook mdogo wangu
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 года назад
Ni ndoa kwel au maigizo nahyu ni masha kwel au nafananisha masha Allah Mwenyez Mungu awaifadh Ktk ndoa yenu
@happygw6930
@happygw6930 3 года назад
Nafurahia sana mashalove kuolewa sasa manyonyo usitingishe tena mpe mumeo.heshima
@rehhanrashid5735
@rehhanrashid5735 3 года назад
😀😀😀😀
@dufandaqueen1617
@dufandaqueen1617 3 года назад
😂 😂 😂 😂 😂 😂
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
😂😂😂
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 3 года назад
Hahahaha
@nasseralrowahi4084
@nasseralrowahi4084 3 года назад
Inshaallah yaraab /mwezi /mungu atakujaliya kilalaheri dada yangu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 года назад
Hongera sana Masha, love you, Allah akusimamie katika kila lenye KHERY, hongera sana niko hapa kukuombea 😘🙏
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Hongera masha mwenyezi mungu ajalie ndoa yako iwe ya kheir na baraka muishi salama na mumeo inshaallah
@samuellacecille717
@samuellacecille717 3 года назад
Kumbe mpole jaman kazi tu ndozinaubadilisha mtu 💃💃
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
Arafu anaongea maneno mazuriiiii
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Allah Amuongoz wallah Nimepend Manshallah
@yusufwaithanje6315
@yusufwaithanje6315 3 года назад
Wanafanya kazi IPI dada
@samuellacecille717
@samuellacecille717 3 года назад
@@yusufwaithanje6315 hiyo hiyo si ilimladi Anaishi mjini kwan unafikili anavyofanya haingizi pesa
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 года назад
Lemba sasa alomfunga kanifraisha
@fatmab8juma541
@fatmab8juma541 3 года назад
Mashaallah Mwenye enzi Mungu ampe maisha yenye kheir na ndoa iwe ya baraka ndani yake
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 года назад
km Ndoa ma sha Allah km ni kiki aaaa umeniwahi
@aishatabwara6018
@aishatabwara6018 3 года назад
Mashaallah. Alfu mabrook iwe ya kheri
@edwinaoduol5474
@edwinaoduol5474 3 года назад
Congratulations! nakutakia ndoa njema God's time is the best time.
@mwanamtamadochi3497
@mwanamtamadochi3497 3 года назад
Hongera dadangu kutoka Kenya
@moketuponake5270
@moketuponake5270 3 года назад
Hongera sana masha Mungu niwetu sote amefanya njia pasipo kuwa na njia
@mellatyseif774
@mellatyseif774 3 года назад
Hongera masha wangu nakupenda sana
@kiri5807
@kiri5807 3 года назад
Mashallah, Masha mimi nakuombea utuliye , ujistiri kwa ajili ya Allah mimi naomba nikuletee sidiria bora duniani special kwa heavy duty km yako .
@maryamnassor1171
@maryamnassor1171 3 года назад
Hongera dada Allah akusimamie ktk ndoa yako na pia ubadilike uwe mwanamke mwema na Allah akusamehe na utubu dhambi zako tnakupenda sana da masha
@zuhurakhamismwinyi7290
@zuhurakhamismwinyi7290 3 года назад
Alifu mabrouk habibty
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 года назад
Alf mabrook. Nimefurahi sana. Allah aibarik ndoa yenu muishi mudumu awape masikilizano
@saknajumapili8282
@saknajumapili8282 3 года назад
Adi raha da masha mashaallah 🤲,tulia sasa mpz 💕💕
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 3 года назад
Hongera sana my dear #MashaLove ❤👌
@fatmasaid1911
@fatmasaid1911 3 года назад
Katika interview zote ulizofanyiwa masha ndio kwanza hiii umeongea ya maana, kwa utulivu. Allah akusimamie kwenye ndoa yk Na sisi atujaalie tupate waume wema!!!
@nasmawaziri1939
@nasmawaziri1939 3 года назад
Hahahahaaaaaaaaaaaa dada masha leo analia hahahahhhahaha nmecheka kwa nguvu km c kiki Allah awadumixhe jaman mana hamukawii
@zakiahaji1683
@zakiahaji1683 3 года назад
ndoa sio jmbo la masikhara
@fatimahamisi9235
@fatimahamisi9235 3 года назад
Mi ht siamini
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Mpaka m2 anasign marriage certificate sio kiki labda
@aishtan2745
@aishtan2745 3 года назад
Allah awatangulie ktk ndoa yenu awajaalie na vizazi vya kher inshaa Allah
@mwachipangahalima2504
@mwachipangahalima2504 3 года назад
Masha Allah mahar mazur Allah Akujalie kher kwenye ndoa yko
@nissamwapoladi7345
@nissamwapoladi7345 3 года назад
Nimependa wewe ni mkweli umekiri umemzidi umri.hongeraaa
@khamisirashidi219
@khamisirashidi219 3 года назад
Masha hongera kwa kufunga ndoa mungu aidumishe ndoa yako
@rehhanrashid5735
@rehhanrashid5735 3 года назад
Masikin mungu awasimamie kwenye ndoa yenu masha yaan mpk nmelia 😭😭😭🙏🙏🙏
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gmmdhdhaQlQ.html
@vero57
@vero57 3 года назад
HONGERA SANA, MASHA, 🎊🎊🥳🥳🥳
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 года назад
VERO dada masha katufunza 😅😅
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 3 года назад
Masha mzuri mimi nampenda, Mungu akufanyie wepesi, hongera Sana dada
@munahjira8236
@munahjira8236 3 года назад
MaashaAllah Alf mabrouq my dada etu
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 3 года назад
Hongera mwaya
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 года назад
Hongera sana dada Don masha
@SalmaSalma-is3oc
@SalmaSalma-is3oc 3 года назад
Mashaallah allah kareem wewe mungu hana choyo waallah laazim ❤️🤟
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 3 года назад
Mungu ni wa kila mtu
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 года назад
Kweli kabisaa
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
MashaAllah mabruk sweetheart inshaAllah iwe ya heri Allah awajalie vizazi vyema vyenye kuendeleza qalma ya laillaha ilallah mob love 🌹😍🌹🇶🇦🇶🇦
@beatricefondo2513
@beatricefondo2513 3 года назад
Hongera sana dadangu ,furaha ilioje kuolewa .acha mungu akawatangulie kwa kila jambo.
@maryanomar119
@maryanomar119 3 года назад
Masha mungu akuongoze na akupe maskizano na mumeo yani nafurahi
@KA-yz2ld
@KA-yz2ld 3 года назад
Nakutakia amani na faraja, M/Mungu awabariki kwenye ndoa yenu Inshaallah.
@jestinamagembe2125
@jestinamagembe2125 3 года назад
Masha leo umekuwa mpolee,Mungu akutunze maisha mapya ya ndoa yako
@fatmamdigo1848
@fatmamdigo1848 3 года назад
Alhmduli,llah dada rudi kwa mungu wako sasa uende peponi dada..
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Amin thumma amin
@zuhuramdoba5015
@zuhuramdoba5015 3 года назад
Umependeza sana hongera
@saudangalleni388
@saudangalleni388 3 года назад
Hongera sana Masha mungu awajalie mkae vizur ktk ndoa yenu
@fatu.stronggirl5620
@fatu.stronggirl5620 3 года назад
Kumbe mpole jamani Masha Hongera
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 3 года назад
Hongera sn masha love 🔥🔥🔥
@ashasalum1003
@ashasalum1003 3 года назад
Inshallah,mwenyezi mungu akujalie kwenye ndoa yko.
@ummuadam2423
@ummuadam2423 3 года назад
Dada masha akili 30 mpe mumeo 70 baki nazo mwenywe, wanaanzaga hvo hvo kujifanya kaswali,nakupenda, yani waongozaji Sana na kujali ila c wote wengine Kuna kitu wa natafta kutoka kwako tu wakipata bas, all in all hongera mwaya
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 3 года назад
Ma shaa allah , ndo ukatuliee tena mungu akupe kheri
@mwanakhermarisho8120
@mwanakhermarisho8120 2 года назад
Hongera Masha kwa kukamilisha nusu ya dini
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 3 года назад
Allhamdulilah Allah akufanyiye wepesi utulizalishe akiliyako uvaye nguwo zastara Allah apate akuhifadhiye dowa yako mjihuwo unawaharibifu wengi wadowa zawatu uwemakini sana ♥
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 года назад
Swadakta
@kwilayajaphar1569
@kwilayajaphar1569 3 года назад
Hakika usihukumu kitabu kwa cover yake 🙏tunakuombea inshallah
@josehazard5091
@josehazard5091 3 года назад
Masha mungu akujalie
@dayana5513story
@dayana5513story 3 года назад
Congratulations darling ❤
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 3 года назад
MashaAllah MashaAllah na ikawe heri kwako
@najmanajma-4765
@najmanajma-4765 3 года назад
Dah! Mpaka nimemsahau ongera masha
@redmioman4371
@redmioman4371 3 года назад
Masha'Allah hongera masha
@maggiemamaafricaofficial7080
@maggiemamaafricaofficial7080 3 года назад
Congratulations🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃 dear am happy for you darling I hope sio kiki because Tanzania kwa kiki ni number one
@jacklinehermani1491
@jacklinehermani1491 3 года назад
mstaarabu kumbe uyu dada kila kher Masha katika ndoa yako
@dorahmwadime2886
@dorahmwadime2886 3 года назад
Congratulations 👏🏼 mashlove
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 3 года назад
Hongera sana mola awape furaha kwenye ndoa yenu
@abuubilal6586
@abuubilal6586 3 года назад
MashaAllah Allah awajaalie kheri inshaAllah
@jacklinengozi2794
@jacklinengozi2794 3 года назад
Congratulations Masha.💖💞💞
@sarahkamwela5802
@sarahkamwela5802 3 года назад
Mungu akujalie kumbe mpole Ivo jamani hongera Sana.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah TabarakAllah
@ashabarongo1435
@ashabarongo1435 3 года назад
Ata mie hyo tabia yako ya kutingisha maziwa siipend Bora umeolew utulie na mungu akujaalie udumu inshaallah kuolewa raha banana😍😍😍
@ckukuu8404
@ckukuu8404 3 года назад
Masha Allah kila LA kheri 😍😍😍😍
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 года назад
Umependeza masha hongera mwaya kuolewa ni bahati
@mwanarusishambi9452
@mwanarusishambi9452 3 года назад
Ameen ya rabb Allah amiin 🤲🤲
@swaumuissa5604
@swaumuissa5604 3 года назад
Masha wew nimuongo sana unasema unamiaka 25 wakai ulisema mwenyew unamtoto wa miaka kumi na tatu ambae ulimzaaa ukiwa na miaka 15 so mpaka saiv unamiaka 29 shoga kama sio 30 daaa hongera kuolewa na kijana mdog kias hiko duuuu ama kweli saiv wazee tutaolewa na vijana
@mwinyimwinyiibrahimu6432
@mwinyimwinyiibrahimu6432 3 года назад
Umependeza masha
@neemaruben5427
@neemaruben5427 3 года назад
Hongera snaaaa shoga yangu hahahaha ha ha hahahahaha ila isije ikawa kiki
@stukiaally4690
@stukiaally4690 3 года назад
Mashaallah 💞💞💞 kweli wewe mashaallah kila la kheri kwake
@zuumuhando8606
@zuumuhando8606 3 года назад
Hongera masha
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 года назад
Masha Allh mungu ailinde ndoa yenu iwe ya baraka na amani
Далее
MY WIFE LEFT ME WITHOUT NOTICE- PK KARITEI
1:19:01
Просмотров 37 тыс.
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
Да блин 😀
0:19
Просмотров 1,1 млн