Maisha ya sasa ina changamoto si haba, huenda umetembea miaka mingi jangwani nyuma yako unaandamwa kwa farasi na mpanda farasi tayari kukuangamiza. Leo hii kwenye SIFA tunakukumbusha kwamba "majibu ya Mungu kwa waja wake atatimiza kwa wakati, kila Jambo kwa wakati, muite Bwana ataitika. Atakuonyenyesha mambo magumu usiyoyajua maishani mwako, ameahidi atatimiza".
#SIFAHCK #mashimoni #adventist
21 авг 2024