Тёмный

MASHINDANO YAKUKUNA NAZI | WATU WABAKI MIDOMO WAZI | NI ZAIDI YA BURUDANI 

Uni Media
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 263 тыс.
50% 1

Official Universities Media Channel,
Daily News | Economic News | Sports News | |Entertainment News | University Lifestyle,
Email: josephndaro104@gmail.com, Mobile: +255 738 743417,
Location: Kurasini, Dar es salaam, Tanzania.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@miryamswee1064
@miryamswee1064 2 года назад
Miuno yenyewe migumuu kujitia aibu tu mijitu mizima ovyoo
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
Subhanaallah mungu wangu wazazi wetu hawakutufundisha haya MNAYO fanya hayo huo NI kufundisha watoto usharati tu upumbavu mtupu 💣💣💣💣Lenu hilo
@piusfacts9117
@piusfacts9117 2 года назад
Mambo mazuri sana. Ifahamu siku ya nazi duniani. Tazama video hii ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uLIK7oPzq3M.html
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 2 года назад
jinagalia tabia yako halafu uwahukumu kama mkweli utasema tu
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 года назад
@@mathiasulaiti5665 wewe unasema NIANGALIE tabia yako halafu useme wenzio kuna mzazi gani afrika nzima anafundishwa mtoto wake kukuona nazi hivyo subhanaallah 🤔🤔🤔🤔🤔🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@khadijamzee7950
@khadijamzee7950 2 года назад
@@hamidaalhabsi8568 haya mambo yapo zamani tu ila hua nisomo analo fundishwa mschana ambae anaenda kuolewa amba ameshatolewa posa hua kuna muda maalimu anapo tawishwa yaani anaekwa ndani be 4 harusi kuna mafundisho maalum huwa anafundishwa yakiwemo kama haya namengine ila hawa walipokesea nikufanya hili tukio hadharani ambapo haistahili kuoneshwa hadharani nifundisho lamtu anae ingia kwenye ndoa tu
@LUGEMASINDE
@LUGEMASINDE 5 месяцев назад
Mmmm mnatisha❤❤❤❤❤
@kakabraza1751
@kakabraza1751 2 года назад
Twaka somo lausafi liangaziwe sio kukuna nazi peke yake mupo kina mama
@abdulab6202
@abdulab6202 2 года назад
Nakuunga mkono bi hamida mambo haya yandani watu wanafanya hadharani watoto tunawaharibu wenyewe mafundisho yandani watu wanafundisha kwenye mitandao ndo maana watoto wetu wanazaa nje ya maadili yatu mimi nashangaa kweli wanawake mtu anasema mbele ya muandishi kifanya nyuma ya maumbile niraha wakati Allwa amelikataza jambo hilo dunia imekwisha Istighifari kwa wingi kuna mambo tumuogope Allwa
@hadijaabbas2192
@hadijaabbas2192 2 года назад
Wtt wanazalishwa ovyo hakuna maadili kizazi kijacho kitakuwa cha aina gani
@edowabo7561
@edowabo7561 2 года назад
@@hadijaabbas2192 ..o mk... .n mo
@edowabo7561
@edowabo7561 2 года назад
@@hadijaabbas2192 ...
@edowabo7561
@edowabo7561 2 года назад
O
@edowabo7561
@edowabo7561 2 года назад
@@hadijaabbas2192 o
@blandnakonkii7470
@blandnakonkii7470 2 года назад
Kazi ipo
@AshaSaid-gy2tg
@AshaSaid-gy2tg 9 месяцев назад
Wasungo wakubwa nyie mambo ya unyago mna Fanya hadharani
@upendomtambo3532
@upendomtambo3532 2 года назад
Duh mchezaji wa kwanza kushoto nouma
@annasengenge4285
@annasengenge4285 Год назад
So interesting
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 года назад
Hatareee
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 9 месяцев назад
Mnatuab8sha mwanamke wa pwani hakai h8vyo ak8kuna nazi
@maithyakathule5175
@maithyakathule5175 2 года назад
Bigger than
@shaniabdalah349
@shaniabdalah349 2 года назад
Mmewafundisha watu kuna NAZ, Raha za pwani
@rashidjuma6075
@rashidjuma6075 2 года назад
Adi raha
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Год назад
Mimama jitu mizima amna ata hofu ya Allah upambavutu
@neemagrace9153
@neemagrace9153 2 года назад
Wow
@siwemaselestini4747
@siwemaselestini4747 2 года назад
Du hii nchi sili zimeisha na vya ndani hazalani
@isuchamalimi4037
@isuchamalimi4037 2 года назад
Kanumba
@mudimudi8462
@mudimudi8462 2 года назад
Duh ni hatwari hii
@piusfacts9117
@piusfacts9117 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uLIK7oPzq3M.html
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Год назад
Tutakuna nazi kweli Subirin tu
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 2 года назад
Sasha hapa wanafundisha kukuna nazi ama starehe ya jitandan sielew jaman
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 года назад
Mambo yalikua siri waambiwa ukisema ni usungo Leo hii hadharani
@shtatsalfa1668
@shtatsalfa1668 2 года назад
Dunia imeisha
@mwanahamisimapua5035
@mwanahamisimapua5035 2 года назад
Nimeshangaaje sasa. Ngoma imesikika kama Msondo hii, sie tulichezwa msondo na kuelewa maana yake huwezi fanya vitu kama hivi hadharani...
@fatmashaban5186
@fatmashaban5186 2 года назад
Mijitu mizima. Ovyo 😀😀
@mwanawetuamiri6747
@mwanawetuamiri6747 2 года назад
Jamani si Kuna nazi ya pakti 🤣🤣🤣🤣
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 года назад
😁😁😁
@fettyfay2334
@fettyfay2334 2 года назад
Haitoshii. Lzma tukune tuliweke kwenye bleder alafu tuchuje😂😂
@jamalbakari6136
@jamalbakari6136 2 года назад
Haina ladha 😂😂
@mhazajuma9511
@mhazajuma9511 2 года назад
Mi nazi siwezi kukuna Maafa Mikopo I au a sana
@racharapha
@racharapha Год назад
Watoto wamefuzwa
@halimasaid9203
@halimasaid9203 2 года назад
Ovyoo
@agneskarembo7805
@agneskarembo7805 2 года назад
#mbona siioni ikitoka hyo nazi allllaaahhhh
@bintkalaghe6107
@bintkalaghe6107 2 года назад
Nimejikuta nacheka na wakuna naz
@piusfacts9117
@piusfacts9117 2 года назад
Siku yao hii hapa inatambulika dunia nzima ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-uLIK7oPzq3M.html
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 года назад
Mtihani huu jamani hii ni siri vo jinsi ya kukuna nazi mungu wasamehe
@rashidhusain2958
@rashidhusain2958 2 года назад
Kina mama tieni udhu mukaswali
@ashurafarhan8335
@ashurafarhan8335 2 года назад
Kweli kabisa waswali huo no ujinga
@marygaspar6429
@marygaspar6429 2 года назад
Mchina keshaleta mashine ni mwendo wa okoa muda!
@sumaiyamunisi5228
@sumaiyamunisi5228 2 года назад
Unajua wanafundisha Nazi hizo wanamaanayao
@abdulkarimaly7652
@abdulkarimaly7652 2 года назад
Wapichama
@faridaali6850
@faridaali6850 2 года назад
Makubwa
@mwanahamisimapua5035
@mwanahamisimapua5035 2 года назад
Tunajua maisha yamekua magumu lakini nyie wakina mama msipitilize mipaka. Hapo mnawafundisha watu kukuna nazi ama mnawafundisha watu mambo mengine tu? Jiangalizieni nyie watu wazima
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 года назад
Subuhanallah
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 года назад
😄Nazi Yakunwa Yakhe
@preciousjohn9405
@preciousjohn9405 2 года назад
Yani kadri maisha yanavyo zid kuwa magumu ndo vichaa wanaongezeka
@mwanashaali4863
@mwanashaali4863 2 года назад
@@preciousjohn9405 nimecheka kama mazuri vile vichaa kidogo 😂😂😂
@rosendile8235
@rosendile8235 2 года назад
Ni aibu yetu sisi kina bibi na kina mama 😭😭
Далее
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Charlie Chaplin - Shoulder arms movie (1918)🍿
37:14
ZAFA: Maawal Isilam Viti - Lushoto
4:26
Просмотров 19 тыс.
zafa lakufamtu tazama ufundi huo
1:51
Просмотров 102 тыс.
ZIGUA DANCE(SERO)
3:01
Просмотров 95 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
FUMARISON MJEJE - KUPENDWA RAHA
3:53
Просмотров 136 тыс.