Тёмный

MASIKINI! KABLA YA TUKIO HAMZA ALIANZIA UFUKWENI,ALIFANYA HAYA MPAKA KUUA ASKARI POLISI, KISA MADINI 

SIRI ZA BONGO
Подписаться 774 тыс.
Просмотров 641 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 388   
@aliysalim6616
@aliysalim6616 3 года назад
Safi Sana Hamza kwa somo ulotufundisha tutalifanyia kazi
@innocentlaurean6414
@innocentlaurean6414 3 года назад
Kusema kweli hasila hasala kwa vile walikua wamemdhulum angeachana nao kwani dunian tunapita mungu awafanyie wepes ndg wa marehem na wananchi wa mbeya amen
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila День назад
Maasikari wezi safi sanaaa Bora wamekufa ao polis rext in hamza
@apangomombasa9230
@apangomombasa9230 2 года назад
Inalillahi wainail rajiun Allah amfanyie u wepesi ktk kaburi lake(Allahumah Amin yaraabiiii)
@mrsahmadhajraah1550
@mrsahmadhajraah1550 3 года назад
Inalillah wainaillah rajghun ALLAH ampe kaul thabit 😭😭😭jasho la mtu haliend bure
@imanirashidi6139
@imanirashidi6139 3 года назад
Imeniuma sana kifo cha Hamza r.i.p brother
@lucasaninae4494
@lucasaninae4494 3 года назад
Sio kwamba tuna vunja aman ila kwamm navyo jua tuk pata watu km hawa 100 nchi hii ita toka gizani maan kuna uonevu mkubwa sana katika nchi hii mimi mwenyewe nlisha wai kuonewa na wanajeshi wa suma jkt kwakweli naapa kwa Mungu sija wai kuwasameee nanlisha shudia matukio mengi sana ya uonevu nivle tu nchi yetu hai uzi gun kama visu mge yaona meng sana haya nchi hii
@innocentshayo9341
@innocentshayo9341 Год назад
Suma jkt sio wanajeshi...ni walinzi kama walinzi wengine tu wanaolinda bar za kitambaa cheupe
@ains1122
@ains1122 3 года назад
Innaa lillah wainaa ilayhi rajiun mungu amweke Pema kwa walio wema HAMZA
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 3 года назад
Askari wapunguzee thuluma tena waache iyo tabia ,Acha wafe bwana
@charleslyimosadikiely3709
@charleslyimosadikiely3709 3 года назад
Maaskari wote tu wan tabia moja madhulumati. Rip Hamza
@johntay8813
@johntay8813 3 года назад
Yaa Allah msamehe mjaa wako Hamzaa kila libaya alilo litanguliza nalilo fwatia nyuma naumpe pepo yako kwa uruma zako Allahumma Amiiin
@ahmadomar2711
@ahmadomar2711 3 года назад
amini
@leadertyga29
@leadertyga29 3 года назад
Amiin insha-allah
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 года назад
Amiin ya rabbi
@shabanikijazi4350
@shabanikijazi4350 3 года назад
Aamin Allah Akbar subhana Allah
@MuhamedAjigar-dw9ve
@MuhamedAjigar-dw9ve 2 месяца назад
Yarabi muondolee adhabu ya kaburi hamza amefanya sio Kwa kupenda ni dhulma ya hao askari waliomdhulumu madini yake angeua askari wote
@ibrahimbudd3251
@ibrahimbudd3251 3 года назад
Mungu amlaze pema pepon Amza Mohammed tu
@AmanFortunatus
@AmanFortunatus Месяц назад
😢
@chrismwanakwetu1435
@chrismwanakwetu1435 3 года назад
Kwa ulengaji nimemkubali Hamza yupo vzur cjui wangekuwa watano km yeye kwa uwezo wake wangeua wengi askari wakikukamata ata km hawana hushaid utajuta kuzaliwa kichapo utachopkea
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 3 года назад
Hawezi tu kuzuka kama joka la mdimu! Kuna sababu tu sio hivihivi....
@RahmaRamadhani-on2dj
@RahmaRamadhani-on2dj 3 года назад
Ulichokosea ww Ni kusema pole kwa rais Na pole kwa ndugu wa askari inaamaana hao askari ndo wenye nyama Na hamza Ana jiwe. Rip hamza
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Ukiskia legendary ni amza
@afandehassan1
@afandehassan1 3 года назад
Nakuona Ruwey Macool
@mrsahmadhajraah1550
@mrsahmadhajraah1550 3 года назад
Majina yakina hamza hayahitaj mchez kabisa na ni wapambanaj .. ALLAH amsameh madhamb yake
@magulugupu5739
@magulugupu5739 3 года назад
wamefika kihamza wangapi walofanya hivi au wewe ni Hamza shoga
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p Месяц назад
😂😂​@@magulugupu5739
@nassorsaleh575
@nassorsaleh575 3 года назад
Ila walio mzulum pia wataiona maana ya zuluma ipo siku watafahamika maana sisi tunapita tu duniani mungu mupokee shujaa wako tupo wote
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
Hiyo ni kweli ndio maana nikasema polisi wetu wa tz wanatumia nguvu kuliko akili
@vitusprotus8877
@vitusprotus8877 3 года назад
Me nmeckitika kwa kifo cha Hamza tu, ila kwa askari ni fundisho kwa kwa tamaa walizonazo kutoridhika na mishahara yao.. Ni wengi sana waliodhurumiwa na kuteswa na askari wetu.. Sometimes uvumilivu inakuwa ngumu. RIP HAMZA🙏
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 года назад
Miye pia kivo cha hamza ndio kimenifanya nimectike coz polisi wasingemdhulumu angefanya ivo..kama vile ulivosema wewe wakati mwengine uvumilivu ushindikana ukamua liwalo na liwe ERP hamza
@akimuaber8236
@akimuaber8236 3 года назад
Hayondomaishayao
@KhadijaKhadija-uc2uw
@KhadijaKhadija-uc2uw 3 года назад
Nimeumia sana hamza kufa
@pilileonard2066
@pilileonard2066 3 года назад
Jasho la mtu linamaumivu mno nao waache rushwa maana asikali wengi wanaishi kwa rushwa tu
@AbdullahSewando
@AbdullahSewando 19 дней назад
TENA vibaya mno Kwa Nini uchukuwe Kitu Cha mtu Na Haujui kakipatajeee
@AlphanMbundamila
@AlphanMbundamila День назад
Tupolis twa bongo bhana tunajiona tujitu twenyew sasa shukuruniiii sanaa izo bunduki haki ahhhh mungu ndo Zina walindaaaaaa laaaaaa sivyooooo 😭😭😭😭
@kondrardswai6663
@kondrardswai6663 3 года назад
Polisi wanatamaa sana na wanakula dhuluma😥😥😢😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
kabsa yaan😥😥😥😥
@madinamajaliwa4790
@madinamajaliwa4790 3 года назад
Innalillahy wainnahlilah rajiuni
@fardahally8511
@fardahally8511 3 года назад
Dah! inauma sana
@maestrozedtrickings0780
@maestrozedtrickings0780 3 года назад
Innalillahi waina illaihi rajhun ALLAH amlipe ndugu yetu hamza anavyo stahiki hiyo ndio dawa ya askari wachafu
@rahmaferuz2776
@rahmaferuz2776 3 года назад
Kama walimdhulimu ,hakuna kinachozidi kwa wanapdhulumu ila hasara. Mungu amsamehe na.amrehem Hamza awasamehe na awarehem hao Askari Nani mzuri nani mbaya anajua Mungu mwenyewe.Bali Askari mmekula kiapo kuwalinda na kuwasaidia Raiya kinyume chake raiya watajilinda na kujisaidia wenyewe
@rahmaferuz2776
@rahmaferuz2776 3 года назад
.nawatakia kazi njema Askari wote Mungu akuongezeni kwenye uadilifu
@ilongasaid6083
@ilongasaid6083 3 года назад
Yupo sahihi, kwanini atapeliwee? Baadhi yenu polisi acheni tamaaa si munamishaharaa?
@DaudKahemele-s8w
@DaudKahemele-s8w 7 дней назад
Mungu aiweke roho za marehemu maharishi Pena peponi
@zainabghalib6848
@zainabghalib6848 3 года назад
Mwenyezi mungu amuweke mahala pema peponi Amin.
@jjnyange7599
@jjnyange7599 3 года назад
Kisa cha Hamza cha kuwashambulia askari na wengine kuuawa kichunguzwe vizuri. Kama inadaiwa askari walimdhulumu madini yake, Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kina kuanzia ndani ya Jeshi lenyewe kwa askari waliokuwako kazini sehemu inayodaiwa kudhulumu. Haikuwa haki kupoteza vijana wetu askari pamoja na kijana raia Hamza.
@elizaberthmathin2663
@elizaberthmathin2663 3 года назад
Mmh inauma sana tena sana angewachukulia Shelia waliyomzurum siyo kuwauwa. Utakuwa kichwa chake akikuwa sawa ajafanya la maana kabisa japo nae amezibitiwa😭😭😭😭
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 года назад
Kabisa br yote ayo askari ndio kasababisha hamza angefanya ilo tukio hasira ndio zilimpanda zaid ikabidi iwe ivo ila haikua ilo lengo
@adilhabib8988
@adilhabib8988 3 года назад
@@elizaberthmathin2663 kunasheria wap nchi hiii ndugu yangu hayo ni maamuz sahihi kwake
@ericklaura7511
@ericklaura7511 3 года назад
Jeshi la police haliwezi kujubali kama police ni waalifu na sio waadilifu
@shukridjibril6848
@shukridjibril6848 3 года назад
Exactly kabisa
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Месяц назад
Allah awalaze pema woote,hamza pamoja na makamanda woote,upanga stand up,
@irakozeazza7470
@irakozeazza7470 3 года назад
Walimdhulum maskini
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 года назад
Akuna polis,asiye thuruma,
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 3 года назад
Da inasikitisha sana,kama ukweli utakuwa ndio huo na Jeshi likijiridhisha basi wawe na msamaha kwa labda ndugu zake kwa kuwa tunaamini lazima kutakuwa na walioshikiliwa kusaidia upelelezi , Aise ni Jambo la kishetani sana!
@selemaningassa5607
@selemaningassa5607 3 года назад
Watanzania wamechoka dhuruma
@ezironmahigi1409
@ezironmahigi1409 3 года назад
Imekua fundisho kwa maasikali wengine maana maasikali wanaliowengi wananyanyasa watu.hafu pia wanapenda rushwa kuliko kitu chochote kile.mungu awasaidie na awasamehe Sana
@pantaleooliech1388
@pantaleooliech1388 3 года назад
Hao Askari waliotaka rushwa wakamatwe na kuchukuliwa hatua Kali ya kuuwawa ili wengine pia wajifunze kwa Hili la kishetani ,yaani Basi ti
@teclamastone7098
@teclamastone7098 3 года назад
dhulumaji umefanya askari wetu wema wapotee,na hamza wawatu kufa kwaajili ya haki yake😭😭 RIP Hamza na polisi endapo walikua wema
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 3 года назад
Hao askari polisi wote wanatakiwa wauwawe kama mbwa mwenye kichaa. Askari wa Tangsnyika wsmekuwa wakinyanyasa watu wasio hatia,kupora,kuiba na ujambazi
@mgangaruban9383
@mgangaruban9383 3 года назад
Nosense!!!!!!pointless
@saidisalabi7693
@saidisalabi7693 3 года назад
Hao maaskari walio sababisha vifo vya wenzao wakamatwe ili wawajibishwe kisheria. Kwasababu bila hao maaskari kumkera Hamza sidhani Kama Hamza Ange pambana na jeshi la Police.
@lugeshadaudi2281
@lugeshadaudi2281 3 года назад
Hili ni funzo kubwa sana kwa askari wengine wanao wanyanyasa na kuwadhulumu wananchi
@raitonnkutile3085
@raitonnkutile3085 3 года назад
Hamza hakufanya jambo la busara
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
@@raitonnkutile3085 POLISI WAMEFANYA JAMBO LA BUSARA KUDHULUMU MALI ZA RAIA???? WAO NDIO CHANZO.
@mariamshausha3688
@mariamshausha3688 3 года назад
Siyo kwa askar tu ata kwa mahakim pia
@philibertmaneno5210
@philibertmaneno5210 3 года назад
Inauma sana kwa asikri wetu waliotangulia mbele zahaki ila tu asikari wetu nao nikero njaa nyingi sana wakati mshahara wao unatosha, kikubwa wajari Nazi yao waachane nalizi ndogo ndogo izi zawanyonge, inauma sana kwa walicho kifanya naiwe fundisho kwawengine.
@ruu6592
@ruu6592 3 года назад
Nimeanza kumuelewa gwajima serikali aipendi mashujaa
@gildamashuda1934
@gildamashuda1934 3 года назад
Mambo hàyo so mazuri uhai Wa watu umepotea kwa kukosa uadilifu na kufuata sheria. Waliosababisha nafsi zao ziwasute na waombe toba
@FurahaAbdillah
@FurahaAbdillah 2 дня назад
Maskari angalien sana tamaa mbay
@josephatchua151
@josephatchua151 3 года назад
R•I•P Hamza, hili Ni funzo kwa Askari wapenda rushwa
@hamidangitu227
@hamidangitu227 3 года назад
Eeemungu wangu mpokee hamnza na kusamehe dhambi zake zote aaamina
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 3 года назад
Hamza anaonekana alikuwa makini Kama angekuwa wa ovyo angepiga raia hapa lipo jambo sio bure
@AbdullahSewando
@AbdullahSewando 19 дней назад
Hamza Alikufa kifo Cha Haq Mana alipigania Haq Yake Ila walifanya Yote wajuwe dhulma Sio nzuri
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 месяца назад
Khalu Innalillahi wainnailahi raajiun Qullu nafsi dhaaiqatu lmaauuuuut. SWAHIBA WAMEKUPUMNGUZIA MENGI. NAJUA NI JIHAD.
@janetshao6423
@janetshao6423 3 года назад
Sasa kuna haja gani ya Wao kuwa police ?police wezi aibu sana, hongera san Hamza. Rest in peace ✌
@alyadesouza4659
@alyadesouza4659 3 года назад
Mungu amlaze hamza mahali pema ata ingekuwani mm ninge waua pia si vizuri kuchukua haki ya mtu kabisa
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 года назад
Si kweli eti Waarabu, Wasomali wana kisasi kibaya chunga kauli yako mtangazaji hakuna aliyetumbuliwa nyongo kila mtu ana tabia za hasira anapodhulumiwa, Mwenyezi Mungu ndiye atatoa hukmu.
@muangazabakari3832
@muangazabakari3832 3 года назад
Inalillahi waina ilaihi rajiun, kila binadam ana hasira zake na hao askari baazi yao sio wote wamezidi zuluma na batili, tamaa na zuluma ndizo walizo weka mbele, wamewaponza wenzao, mungu awasamehe wote.
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 3 года назад
Safi Tu Malipo hapa hapa dunia Ukimwaga ugali namwagamboga.ngoma dro.Inalilahi waina hilahi rajuun .RIP hamza
@yahyamassawe3433
@yahyamassawe3433 3 года назад
Hao maaskari sina uchungu nao kuliko huyo hamza
@seyydalmushrif5453
@seyydalmushrif5453 3 года назад
Hamza kwa Mungu kafaa shahidi kwa kuipiga vita dhulma Na hao waliomdhulumu Mungu awaangamize
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 3 года назад
Walio na dhamana ya kutumikia jamii tendeni haki acheni udhalimu. Maisha ni mafupi sana tupaswa kuyaishi kwa kiasi. Tamaa inaua!
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 3 года назад
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni Kwa msiba
@aishashomali2716
@aishashomali2716 3 года назад
Askari wamejifunza kitu waache tamaa ona sasa wamegharimu maisha ya watu wengine wasiyo kuwa na hatia askari wetu kwa kupenda rushwa wako vizuri yaani wanakera sana
@mhamedabdalah2234
@mhamedabdalah2234 3 года назад
Kosa lipo pia kwa selkal yetu ukienda kushitaki mwenye madalaka nisawa nakupoteza mda haki hupewi ilikua kwa magu wetu ndo tulipata hiyo nafas lakin kwa ss hakuna tena unaweza ukalala selo il haki yako ikose kabisa
@esthernsami7732
@esthernsami7732 3 года назад
Acheni kuzushia Polisi wetu chuki za uongo. Hamza aliua askari wetu ili aingie kwenye ubalozi wa kifaransa bila kizuisi. Achen kudhalisha Polisi wetu. Hao waliotoa hayo maneno ya uongo wakamatwe na ahojiwe vizuri. Wewe mtangazaji hujui kazi. Huruhusiwe kutangaza utumbo kama huo na kuhusisha Askari wetu. Mungu uilinde Tz
@waziriomar1414
@waziriomar1414 3 года назад
Mm naamini hata angetokea raia akapita mbele ya amnza ile siku ya tukio Wala amnza asingehangaika nae angedili na watu wake wa nguvu 😭😭
@aishashaban9215
@aishashaban9215 3 года назад
Innalillah wainnaillah rajuwn Allah akupunguzie azabu yakaburi Hamnza naiwe funzo ka Askari matumbo bilau kama hao
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Ulikuwepo huko ufukweni?? Au unatunga Tunga mauongo tuu upuuz dhuluma nimbaya saan,, ALLAH AMJAALIE JANNAT FIRDAUS HAMZA hakua mtu mbaya kbs,, siutuonyeshe hio safar ya ufukweni Sasa video ipo wapi yahuko baharin laanatullah walio mdhulum,, we mtangazaji ni fwala saan hamza amezaliwa tz faya hapo kariakoo nn unaongopa et lafudhi kila mtu nauongeaji wake,, kwann polis wamekua namambo ysunyanyasaji
@johnrickmwamselele1036
@johnrickmwamselele1036 3 года назад
Mungu atulinde TUNAOMBA vyombo vya usalama tuwasaidie watu wenye misongo na migogoro iliyopitiliza.Mungu walinde Askari waliopotea
@chugamantv8602
@chugamantv8602 3 года назад
Askari wamezidi utapeli. Watakuja kutusababishia matatizo maana watu wengine hawatapeliwi
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 3 года назад
Poleni sana wanawake wenzangu kupoteza wtt wetu 😭😭😭😭😭 cpolis tu hata ofis zingine zinasumbua sana
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 года назад
Bado nao watu wa mahakama nao wanazingua kuzuia mali za watu.. 😀😀😀
@sayikendeka9916
@sayikendeka9916 3 года назад
Nikwer inauma unatafuta pesa halafu unanyahgaywa
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 3 года назад
FACT
@krispokipara703
@krispokipara703 3 года назад
hamza kaua majambaz /wala rushwa
@neltontias3827
@neltontias3827 3 года назад
Maaskar wapuuz xnaaa..Wala rushwa...ona wnawakosti maaskari wazur maskin
@jmstudio2388
@jmstudio2388 3 года назад
Askari wetu njaa kal xn na uonevu kwa raia wake umekisiri wacha wanyooshwe akil
@alshabje7185
@alshabje7185 3 года назад
Mungu atahukumu
@godmremi3558
@godmremi3558 3 года назад
HUO NDIO UONEVU WA ASKARI NA NDIO MAMBO TUNAKUTAKIA NAYO KILA KUKICHA SASA HUYO ALIAMUA KUCHUKUA SHERIA MKONONI,JE NI WANGAPI WANADHULUMIWA HAWASEMI?
@mersejuan6164
@mersejuan6164 3 года назад
Kilichonisikitisha ni kifo cha kaka hapa... RIP Hamza, ila hao polisi wamekufa wachache sana, wangeuwawa walau miamoja ingependeza.
@issaibony3474
@issaibony3474 3 года назад
Wakati wa j.p.m... magufuli hatukuckia upuuzi huu
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
HUJASIKIA WATU WANAULIWA WANATUPWA NDANI YA VIROBA BAHARINI?? NI HAO HAO MAASKARI WAUWAJI.
@shakiramshule342
@shakiramshule342 3 года назад
Mungu hakufehemu amza ,
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 3 года назад
Rest in peace Hamza.
@sebajohn9058
@sebajohn9058 3 года назад
Askari wapendwa rushwa wadhulumaji Lisa wao wnatembea na defenda ni wadhulumaji
@enterenter1921
@enterenter1921 3 года назад
Aamiin Aamiin Aamiin
@mwanamisakulembwa1147
@mwanamisakulembwa1147 3 года назад
Ameen
@budabuda1326
@budabuda1326 3 года назад
Dah
@abilmawala9042
@abilmawala9042 3 года назад
Unafikili ange fanyeje ni kuwa uwa tu maana wana tamaa sana polisi
@MessiPeter-ek4gq
@MessiPeter-ek4gq Месяц назад
Shoo shoo kbc
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 3 года назад
Dah rushwarushwa, mnaamua kudhurumu madini ya mwenzenu
@queenmaeda1334
@queenmaeda1334 2 года назад
Mi siungani na amza kdgo mnahuzunika hamza kufa amuofii hao wasio na hatia
@CashKassim
@CashKassim 10 дней назад
Maisha yanathamani sana lakini, lakini thamani inaweza kuisha pale dhuluma inapotawala
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l Месяц назад
Amza we2 shujaa,Elimu uliyotoa ni tosha
@simontamba1285
@simontamba1285 3 года назад
Mwanga WA milele umwangazie ......upumzike kwa amani Kamanda WA Kweli
@zacharianicodemas184
@zacharianicodemas184 3 года назад
Tatizo ni serikali ya Kipumbavu, imeachia rasilimali za nchi inatusumbua raia kwa makodi na matozo ya kisenge senge nyanoko serikali ya 6ww😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
@goodsonlucian2906
@goodsonlucian2906 3 месяца назад
Natamani nikutane na hii Media....pia Kuna Jamaa kunizulumu mtaji wangu wote .....Yan ni ville Sina uwezo lkn kama ningekua na uwezo binafsi ningemfanya alipe ...mtu mwenyew ni mwarabu
@rahimaali5871
@rahimaali5871 3 года назад
INNA LILLAH WAINNA ILYHI RAAJIUUN
@bashiterashdon4827
@bashiterashdon4827 3 года назад
Ata mm nishawahi kufnyiwa dhuluma km hiyo nikiwa nimetoka kwa mama lishe saa 2 uxku nilibebwa hinya hinya na kipigo juu bila kosa uwezi amini na ili niachiwe bax nitowe elf 60 acha niishie apa tu ila kusema kweli japo xyo wot lkn wanachefuwa nafsi za wananchi kwa matendo yao machafu ila mungu yupo inshallah
@farhannahkulishwaburekunam5360
Na hii kesi mmenyamazwa kimya makufu angekuwepo hii kesi ingejul8kana mbivu na mbavu
@shaksbinsalim453
@shaksbinsalim453 3 года назад
Mungu watiye moyoni askari wote siyowadilifu
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 года назад
Wewe ndoumeongea pointi
@emmanuelmahingule7342
@emmanuelmahingule7342 3 года назад
Askari walisha zoea dhuruma sy Kwa Hamza tu na kubambika kesi watu ila mshahara wa dhambi ni mauti.
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 года назад
Tamaaa
@swaleheabdallah2632
@swaleheabdallah2632 2 года назад
Rip hamza
@solomonadams2415
@solomonadams2415 3 года назад
Tz bado dharau za polisi ipo siku wataona hilo dogo
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 4 месяца назад
Na pia polici gani hamjui sheri mtu aisha jisalimisha akanyayua mikono juu basi hurusiwi kumpiga hata kama ni muaji jambazi mmemua kuf8cha siri zenu za honga
@joshuakibajoshuakiba1923
@joshuakibajoshuakiba1923 3 года назад
%75 ya askali ni matapeli ila wahenga usema kila chenye mwanzo kinamwisho sasa tumewachoka jamani
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 10 дней назад
Halafu wengi wao wanatoka tarime au mara kwa ujumla hii imekaaje waache kuajiri watu wengi kutoka mkoa mmoja mpaka maaskari wanaitwa poti hata kama mrangi😅😅😅
@abelimtega6223
@abelimtega6223 3 года назад
Hamza qurman Allah yahfani
@andrewmatelephone3861
@andrewmatelephone3861 3 года назад
Zuruma ni mbaya wanaoumizwa na hao Baazi ya askari Ambao sio waaminifu niwengi wengine hawawezi kuchukua maamuzi kama hayo Wanamwachia Mungu
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 года назад
Jamanii kumbe walimvuruga
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 года назад
Wanaombewa tu kwisha habari hawa wanakufa sana kwa dhuluma wanazowafanyia
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 года назад
Ameen 🤗🤗😥😥😥😥
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 3 года назад
R.I.P Amza namaskr wasio na atia
@mariamahenge7544
@mariamahenge7544 3 года назад
Policy,wezi,wanakufa,Kama,kuku
@shivalonso8277
@shivalonso8277 3 года назад
😃😃😃😃😃
@isawafoshoo5267
@isawafoshoo5267 3 года назад
Watu wengi mioyo imeinama sababu ya unyanyasaji wa polisi kwa raia.hii ilikuwa hasirs hadi kufanya hayo.polisi waangalie watu wamedilika
@stivenjiduki6606
@stivenjiduki6606 Год назад
R.i.p mwamba Hamza
@danielemmanuel7233
@danielemmanuel7233 Год назад
Pumzika kwa amani❤ zaid ila mungu ❤ kakupenda zaid😢
Далее
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,2 млн