Mashaallah nzuri sana nimeipenda sana hizi ndio kasda nzuri zenye mafundisho na utulivu na hakima allah awajaalie hizi ndio ziwe kasda za daima msije mkaghururika na hiyo minanda ya miziki mkaja mkaupoteza uislamu wetufundisheni jamii kwa nguvu zote mashairi yenye thirah allah awanyanyue darja za juu amiin 😍😍😍👌👍
Mashaallaah ndugu zangu hizo ndo kaswada zenye sifa nzuri za mbora wa mitume na mbora wa twabiya na mbora wa viumbe wote.kwa kweli inaladha kwa kweli kaswida sifa nzuri za mtume kaswida kama hiyo huondosha maradhi nyoyo
Jitahidini tu maana kwenye mambo haya ya ghunna pale Dar es slaam wapo juu sana sanaaa ukiwasikiliza mpaka unapendaaaa. Kama mutakua na Qaswida kama mtindo huu Wallaahi tutatoka Dar kuja Zanzibar kwenye Shughuli.
Mashallah qasida mardadi kabisa. Ila tujaribu kupunguza huu mchezo WA hawa vijana naona kama vinaharibu. Bora wakae tuinuwe mikono kwa duaa ingelipendeza. Hii sio taarab. Nionavyo. Sauti ya dhahabu inaleta utulivu moyoni
Mtunzi kafanya kilakitu ila shida kasisi watuwa madufu ninseme Kwa kiswahili fasaha wachezaji awaendani na maneno caswida husika nahisi wange kaachini au kupiga magoti wangefanya kitu kizuri sana waliosimama wote wamealiribu nazaria ya jina linalo tajwa kwenye ujumbe huu inshallah watafanyia kazi hicho kitu itakua mzuri sana
Nakuhusieni wazazi msiwapeleke watoto wenu kwenye vyuo kama hivi vinapoteza umma. Mtume Muhammad s.a.w angekuwa hivi wallah dini isinge fika Tanzania. Hawa hawasomi dini kazi yao ni kuimba na kucheza allah awanusuru waingie katika haqi. Na ninyi mnao sema mashallah kwa kitu kichafu kama hiki allah awasamee
Nikawaida. "MAN JAHILA SHAIANN AADAU" Mtu Hukikanusha Maadamu Hakijui. Kilakitu Nimatumizi Ndio Maana Hata Spika Wanazoimbia Sisi Tunaswalia. Tusipelekane Motoni. Usilolijua Usilitolee Fatuwa.