Тёмный

MASTAA WALIOPENDEZA NA WALIOZINGUA KATIKA USIKU WA MARIOO..LULU NA WEMA LOH! HAPANA 

THE THIRD TV
Подписаться 181 тыс.
Просмотров 72 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@monicajoseph5792
@monicajoseph5792 Год назад
Ww dada ujui kabisa wema na Lulu amependeza tena sana
@helenmkodo1409
@helenmkodo1409 Год назад
Dunia saivi imekuwa pana, kila mtu anataka kuwa tofauti na mwenzake ,so ukisema wema kavaa ajabu Mara lulu hajapendeza wozu kavaa nguo zinawakawaka unachelewa Mana wenzetu kila aina za nguo washavaa hizo ni nyongeza tu 😉 so tujifunze kukosoa kibunifu Kama we simbunifu let's as keep watching 😎😎😎😎😎
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Huoni km mbaguzi ww dada wema na kajala kapendeza wema inaonekana wazi nakitumbo kajala kinaonekana kwa mbali
@user-li4mw8ic1r
@user-li4mw8ic1r 11 месяцев назад
Nandy na Paula Kajala wamependeza sana🎉🎉🎉
@margaretwambua3461
@margaretwambua3461 Год назад
Nmefurahi kumuona Paul maana nampenda sana
@gifted137
@gifted137 6 месяцев назад
Acha unafk sistel wema na lulu wamebamba sanaa yaan
@karamrisho8238
@karamrisho8238 Год назад
Inaonekana ndugu mtangazaji hujui fashion ungemuachia deogratias haya mambo tafuta kaz nyingne😃
@laymashabani832
@laymashabani832 Год назад
Apo kwa Lulu ni kweli wala ajapendeza, ila Wema kapendezaa bana.
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Humpendi tu huyo wema Jins uongeaji wko tu unaonekana wazi chuki zko kwa wema ww dada
@halimamustapha1822
@halimamustapha1822 Год назад
Yaani ww Dada ndo mshamba ht hujui Nani kapendeza na Nani hajapenndeza ila lulu amependeza sana
@alinebakome
@alinebakome Год назад
Paula kajala kapndeza saaaanaa kweliii
@user-ok8en9ev2b
@user-ok8en9ev2b 5 месяцев назад
Sister nand tuuuu nmuerewa
@zainabsururu6888
@zainabsururu6888 Год назад
Wewe mdada unapenda kuponda wenzako htry sio poa bwana
@renathakalamage4931
@renathakalamage4931 Год назад
Irene Paul ametisha nampenda sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@furahabadesireamina7399
@furahabadesireamina7399 Год назад
Yyyyyy🍊🍋🍋🍊🍑🍘🍘🍘🌭j Jr was the first 0 u
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 9 месяцев назад
Nandy alipendeza shida hahangaiki na sajal
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Rabda dada huwapendi hao wema na wozy mbona kapendeza wema
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Год назад
Walipendeza wote Ila hpo Kwa zuchu😄😂
@user-mv7km8lt5j
@user-mv7km8lt5j 6 месяцев назад
Ndiy nandy kapendeza sana kabisa
@estherlau8677
@estherlau8677 Год назад
Lulu alipendeza bwana
@mechackmayele1663
@mechackmayele1663 Год назад
Nandy 👌👌👌👌🥰
@peninamanama8996
@peninamanama8996 Год назад
Wewe ulipendeza😆😆😆😆
@linetnyiro9374
@linetnyiro9374 Год назад
Hahaha 🤣
@pascalbinwa9992
@pascalbinwa9992 Год назад
Lulu ame pendeza sana
@aminasaid5209
@aminasaid5209 Год назад
We dada unao wivu na ubaguzi pia unao lulu kapendeza Sana nampa hongera zake
@PriscaPhedrick-pl6ve
@PriscaPhedrick-pl6ve Год назад
Wewe kwaupande wako Lakini mm Lulu na wema wamependeza tu
@neematullo5097
@neematullo5097 Год назад
ulimkut dada ety eehee eliz akivaa mikand ya vitambi
@swahibamsafiri4925
@swahibamsafiri4925 Год назад
Kapendeza sanaa Thu Wivu tuuu
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Год назад
Nandy hanaga mbambamba💞👌👌
@linetnyiro9374
@linetnyiro9374 Год назад
Kabisa
@sweetyjanne255
@sweetyjanne255 Год назад
Hujui kituu bwanaaa usitegemee kwenye Show Kama hiyo avae gauni ya send off off mxiewww Mshamba mmoja
@user-zd4fp9qo2t
@user-zd4fp9qo2t 6 месяцев назад
Amn jmn wamependez😊
@user-lg9sx7fk1b
@user-lg9sx7fk1b Год назад
Mbo amependrza jemeni Eliza beth
@user-yt5hl7jy9t
@user-yt5hl7jy9t 11 месяцев назад
Kwakwel nakubalina na ww lulu mmm
@hellenbenny8913
@hellenbenny8913 Год назад
Mtu ameamua kuvaa anavyotaka yeye sisi wala hatupaswi kuwajadili
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 Год назад
Hizo nywele za chimama kma kibibi kizee kijana mvii
@marynicholaus4340
@marynicholaus4340 Год назад
@allansteven9111
@allansteven9111 Год назад
Mwigizaji acha wivu kuhusu nguo ya lulu
@zainabsururu6888
@zainabsururu6888 Год назад
Wee unapndza?
@YasintaOpiy-hk5ic
@YasintaOpiy-hk5ic Год назад
Ame pendeza Nandy san
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Год назад
Wewe ndo hujui fashion
@nazihirwadismas764
@nazihirwadismas764 Год назад
Sawa mumy
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Ndomaana unawarudia hao wema
@user-jg8nc3qn4y
@user-jg8nc3qn4y 11 месяцев назад
Lulu amevaha vizuri sana siyoni tatizo kabisa
@user-jg8nc3qn4y
@user-jg8nc3qn4y 11 месяцев назад
Enth Ezekiel amependeza sana. Tena sana
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Neumarkt ilijikunja
@frankkayumbi8566
@frankkayumbi8566 Год назад
Mdada hujuii kuchambuaa
@agnesshonga7570
@agnesshonga7570 Год назад
Mmmmh
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Год назад
Dada mtangazaji wewe hujui fashion hivyo wewe ndonhujui
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Год назад
Ilikuwa inajikunja
@asiaiddi3884
@asiaiddi3884 Год назад
Huna unachokijuwa ulokuwa hujapendeza ni wewe
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Год назад
Acha wivu
@lightnesscejiceji2529
@lightnesscejiceji2529 Год назад
Walipendeza wivu utakuuwa we dada nyoooko
@husnamwamed2544
@husnamwamed2544 Год назад
Unasema wema na lulu hawajapendeza unajua fashion kwel ww et gigy kope zake uzielew unajua vtu vya mjin kabla ujanza kuviongelea vitu chunguza kwanza
@neematullo5097
@neematullo5097 Год назад
inshot hajui fasion namuonea hurum vip yeye alipendeza
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 Год назад
Alipendeza saana Tena sana
Далее
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 31 млн
Копия iPhone с WildBerries
01:00
Просмотров 197 тыс.
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 35 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 31 млн