Тёмный

MATESO YA FAMILIA (VII) - PASTOR JOHN SEMBATWA 

Reality of Christ Church
Подписаться 77 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Mateso mengi ya familia unayopitia chanzo chake sio wewe,unachokutana nacho ni matokeo tu ya kile kilichosimamishwa kwenye misingi ya familia. Msingi uliowekwa ndio unatengeneza matokeo katika ulimwengu wa mwili.Na siku zote adui kabla hajakuvamia huchunguza kwanza msingi uliotokea maana ndio unaoweza kumpa backup ya shambulio lake.
Mfano: Kama kwenye msingi wa familia walisema kuwa watu wa nyumba hiyo hawatokuja kuingia kwenye ndoa,ukivamiwa na roho ya jini mahaba ni rahisi sana yenyewe kukutesa kwa sababu msingi wa familia uliyotoka unampa backup ya kutekeleza azma yake.
Ndio maana kwenda kwa Mungu na kumuomba akuvushe eneo fulani bila kujua chanzo cha hiyo changamoto ni nini ni ngumu sana kuona majibu.
Daudi alisema, Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Hata kama unaishi kwa haki lakini kama hujarejea kwa Mungu kwa rehema ili ahusike na hiyo misingi ni rahisi sana ukazidi kuingia kwenye changamoto kila siku.
Ni muhimu sana kutengeneza na Mungu ili nafasi Yake kwenye familia uliyotoka iweze kurudi.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RU-vid: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando RU-vid
/ @pastorsunbellakyando

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Год назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@mariahjoseph1698
@mariahjoseph1698 2 года назад
Nilikuwa naisubiri kwa hamu hii ,maana jumapili ikata pastor hajamaliza..Mbarikiwe
@magrethmwalongo6331
@magrethmwalongo6331 2 года назад
Asante Yesu nahudumiwa sana
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Год назад
Kwa Imani mungu naomba ifungue familia yangu esta jackrini bitrice pamoja na mama Yao magreth laston, mungu Kwa Imani naomba mfungue Emanueli mnyogele mungu mponye Emanueli aachane na shuguli za kichawi mungu mfungue Emanueli mnyogele na kumponya Ameni
@agnesmangamawalla4371
@agnesmangamawalla4371 2 года назад
Bwana asifiwe neno lako linanigusa sana tuombe damu yayesi itufunike
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 10 месяцев назад
Amen
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 года назад
Asante Mungu Baba kwako Wewe tusio na baba tunapata rehema na unatuponya kurudi nyuma kwetu. HOSEA 14:3-4. Amina.
@merythchatanda6954
@merythchatanda6954 Год назад
Pastor Sunbella Mung akubariki sana nimeanza kukufuatilia ndan ya siku chache zilizopita naona Mungu akini fungua
@gloriamwikali5626
@gloriamwikali5626 2 года назад
Amen in Jesus name
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 2 года назад
Somo limenivusha sehemu kubwa 🙏
@Kofer10
@Kofer10 2 года назад
Dada yangu na kwambia, mungu ni mwema hata Mimi imenizaidia
@josephinelusambo4593
@josephinelusambo4593 2 года назад
Amen 🙏
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 2 года назад
Hahahaaaa hapo kwenye mganda mtumishi… najimudu..😂
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Amen amen
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 года назад
Amen
@Pendezabylydia
@Pendezabylydia 2 года назад
Amen
@christinesavai884
@christinesavai884 2 года назад
Amen
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 2 года назад
Amen
Далее
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 329 тыс.
MAGONGONA MAA FAMILY( FAMILY SACRIFICE)
56:41
Просмотров 13 тыс.
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59