Тёмный
No video :(

Mathias Walichupa - Amen [Official Music Video] 

Mathias Walichupa
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 2,1 млн
50% 1

Stream/Download Amen on 👇🏾 ;
mathiaswalichu...
/ @mathiaswalichupa
Listen to Mathias Walichupa
Apple Music / mathias-walichupa
Boomplay www.boomplay.c...
Spotify open.spotify.c...
Audiomack audiomack.com/...
Deezer deezer.page.li...
Tidal tidal.com/brow...
For Booking: WhatsApp +255757255858
Email: @chupaprotz33@gmail.com
Follow Mathias Walichupa
Instagram / mathiaswalichupa
Tiktok: / mathiaswalichupa
Facebook: / mathiaswalichupa95
The official RU-vid channel of Mathias Walichupa. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.
#najitabiria #mathiaswalichupa

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@angelamei3260
@angelamei3260 10 месяцев назад
Katika kipindi hiki kigumu ambacho nahangaika kutafta .kazi.. Na wazazi wangu kutengana huu wimbo ukawe faraja kwangu .. naamini Mungu atafanya ipo siku furaha itarejea tenah najitabiria kwa jina la yesu Amina
@user-ir1is7cb6f
@user-ir1is7cb6f 7 месяцев назад
Ameen
@FatimaSeleman-du6po
@FatimaSeleman-du6po Год назад
Kupitia wimbo huu nimevuka mitihan mingi sana mimi siyo mkristo ila maneno yake yamenipa nguvu ya kuamin kuwa mungu ndiyo kila kwenye maisha yetu...... ubarikiwe sana
@clianusalfred1400
@clianusalfred1400 Год назад
Mwamini Yesu maana nikila kitu,huwezi pata kitu chochote bila huyu Yesu🙏🏻
@rosefesto8037
@rosefesto8037 Год назад
Kabisaaa yaniii
@rosefesto8037
@rosefesto8037 Год назад
Me pia muislam lkin nyimbo inanipa Imani
@gcute8425
@gcute8425 Год назад
Mungu aweze kukuvusha zaidi na akupe neema ya wokovu
@fadhiliChaz-vm7zu
@fadhiliChaz-vm7zu Год назад
Umetisha
@lenagabriel9191
@lenagabriel9191 11 месяцев назад
Jana nilikuwa nasoma comment za watu juu ya huu wimbo. Mda huo nilikuwa na stress sana na elimu yangu ...(sheria) nilikuwa naona naenda ku disco kabisa lkn nilisikiliza huu wimbo mara nyingi nikamwambia Mungu ata kama cioni dalili nivushe huu mwaka . Leo matokeo yametoka nime vuka mwaka japo ni kimii ujiza sana kwa cut point ile ile ...Mungu yupo na anafanya vitu nikaona nije niwatie moyo wanaopitia changamoto amini yatapita tuh hujasoma comment hii kwa bahati mbaya Mungu ana mpango na wewe na hato kaa kimya mpaka mpango wake u kamilike
@Ldm7846
@Ldm7846 11 месяцев назад
Amina
@erickkomunga
@erickkomunga 10 месяцев назад
Amen
@shikukamau1430
@shikukamau1430 5 месяцев назад
Amen
@shikukamau1430
@shikukamau1430 5 месяцев назад
Amen in Jesus name
@edsonmakorokocho2363
@edsonmakorokocho2363 4 месяца назад
Bless u
@gracefaida2317
@gracefaida2317 2 месяца назад
Bado nabarikiwa kupitia wimbo huu who's here 2024 we all trust in Jesus name❤
@SelvineLumumba
@SelvineLumumba Год назад
Finally the video is out,my Kenyan people come see this handsome soul blessing our souls 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Ldm7846
@Ldm7846 Год назад
Here... great song ❤
@user-xi9lj1gz2p
@user-xi9lj1gz2p Год назад
@@Ldm7846 ameen
@BestinaLaison
@BestinaLaison 5 месяцев назад
​@@Ldm7846
@JULIAN-es7xm
@JULIAN-es7xm Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️ wimbo wangu kilasiku lazima niupige unanifaliji sana
@donaldvanjoseph8153
@donaldvanjoseph8153 Год назад
Ata mie pia sema ndio sikujua kam vdeo tyali yaan ukwl naupenda huu wimbo balaa
@verian3858
@verian3858 Год назад
@enockbuluma277
@enockbuluma277 Год назад
aki jameni kuna mtu uko inje anafeel hii song venye nafeel na kaa ako please naomba one million views plus
@lornamwende5548
@lornamwende5548 Год назад
Heaven is not giving us a break. Ministration after ministration
@WebyNgogo-nj3fx
@WebyNgogo-nj3fx Год назад
Yesu azidi kukuinua kijana,umeuteka moyo wangu kwelikweli kwa kupitia wimbo huu🎉
@anethturinge2472
@anethturinge2472 8 месяцев назад
Kupitia hu wimbo nimebarikiwa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 nilikua ni mtu.alie kata tamaa🥺🥺 bada ya kusimamisha kaz lakn nimepata nguvu ya kwenda kutafuta kaz tena nimekua imara 💪💪marambili zaidi kwa jina la yesu ninakiri kupokea ushindi.amen🙏🏼🙏🏼
@AgathaAlphonce-d3u
@AgathaAlphonce-d3u 22 дня назад
Kwake Yesu hakuna mwenye sauti mbaya Wala asiejuwa kitu ni pale unapomkili na kumkubali na Roho wake akawa pamoja nawe basi utawezeshwa si ww Bali Roho alie ndani Yako ndio ilivyo kwa dada uwoya amen
@Elnathatz9749
@Elnathatz9749 Год назад
Mbona kama matthias ni mdogo sana Lakin anamkumbuka Muumba wake siku za ujana wake
@GeeWhaya-jq6vl
@GeeWhaya-jq6vl Год назад
Asante Mungu kwa kua upande wangu. Naomba uwatazame wote wanaokukimbilia ambao wamekua wakikuomba siku zote uwajibu baba.Amen
@fahathafsat5082
@fahathafsat5082 Год назад
Beautiful song, discovered it on IG from a post about a boy who prayed before setting out to sell his groundnuts. Pls someone translate for me, love from Nigeria 🇳🇬
@rhobymugosi9599
@rhobymugosi9599 Год назад
Hello. Here it goes ❤❤❤❤ I can stand before people with comfidence and tell everyone my testimonies and how you have been rescuing me. I wouldn’t have made it if you had forsaken me. It’s by your GRACE I made it because you stood by me.aaaaa I claim everything good because the bad has no place here. IJN I claim victory and there is power in my mouth when I say AMEN it happens according to your will AMEN ❤️❤️ even if I don’t see the signs AMEN ❤️❤️❤️ I have faith you will do it. If money, riches and gold that my parents were not able to own as for me I will own them. I grow up in faith to overcome the trials. To live a holy life, I will succeed for I know rough times has and end but the WORD tof GOD and his plans lives forever .. Back to I claim everything good…… Be Blessed.
@sonaldojr3119
@sonaldojr3119 Год назад
Me too
@queenexellent9854
@queenexellent9854 4 месяца назад
Parents of this guy are proud. Wish my brothers can praise Jesus.
@charityndungu5133
@charityndungu5133 3 месяца назад
Is he a Kenyan or Tanzanian
@albert-kkitwenga4889
@albert-kkitwenga4889 3 месяца назад
​@@charityndungu5133Tanzania
@NELSONKAAYA
@NELSONKAAYA 17 дней назад
nabarikiwaga sana nikisikilizaa huu wimbo jaman naskia kuwa na amani ata nikiwa kwenye ugumu napata ngv mno
@mauricekiptanui1025
@mauricekiptanui1025 10 месяцев назад
Kweli hali ngumu si ya kudumu mipango yake inadumu milele
@mariussimya3408
@mariussimya3408 Год назад
Wimbo mkubwa sana, nimebarikiwa!
@heavenlightobeid4264
@heavenlightobeid4264 Год назад
Nasikia kubarikiwa na kutiwa nguvu kwa Jina la Yesu
@faidarolama3169
@faidarolama3169 Год назад
I'm so blessed with this song Mungu akupe upako zaidi sana 🇿🇦❤
@christinaids3042
@christinaids3042 4 месяца назад
Huu wimbo unafanyaniwe strong kwenye kupambana maisha na kumuamini Yesu wangu
@user-ol7vy6gk6p
@user-ol7vy6gk6p Год назад
Nina ushuhuda juu ya nyimbo hii barikiwa sanaa nilitaka kupta ajali nilikuwa naimba Wimbo huu lkn sikuumia sana kidogo sana
@rev.bishopmwantake7942
@rev.bishopmwantake7942 Год назад
nimekatikiwa sanaaa ubunifu wa kutosha message makini upako Ni mwingi sanaaaaaa🔥🔥🔥🔥
@hallykanze6693
@hallykanze6693 Год назад
Amen 🙏 najitabiria Kwa jina la Yesu..🇰🇪
@noellaaganze2713
@noellaaganze2713 Год назад
Kwa wote wanao pitia nyakati ngumu, Wimbo huu uwafariji😊
@jasmineerica6872
@jasmineerica6872 Год назад
❤❤❤❤❤❤Amen 🇺🇸
@neemajulius8017
@neemajulius8017 Год назад
Verse no2 inanigusa sana moyo wangu!nmekataa kufa maskini me ni tajiri ata kama nmezaliwa kwenye familia isiyo tajiri!Najitabiria Mim ni TAJIRi🙏🙏nina imani nawe YESU utafanya kwangu
@MarthaAshery
@MarthaAshery 4 месяца назад
Kupitia huu wimbo nimejikuta na toa machozi maana ni mepitia mitihani mingi kwanzia naanza xhule paka saiv nipo kidato Cha Tano nikwaneema ya MUNGU
@mashakajeremiahnkinda452
@mashakajeremiahnkinda452 7 месяцев назад
Ameen wokovu niwetu sisi wenye uhai si nyimbo tuu zinazotutia moyo ata mandiko matakatifu yana tutia moyo sana na iman zetu kusimama imara mfano warumi 10:11;yasema Mungu hawez kukubali anaye mwamini kutahayalika warumi10:12;maana hakuna utofauti kati ya myahudi na myunani yeye ni Bwana wa wote mwenye utajiri wa mwitayee
@dionisiamlowe2772
@dionisiamlowe2772 3 месяца назад
Amen sana
@ponsianolivescoresilvery3791
Nilipoteza ndugu zangu wañne nikabaki mimituuu , niliisi kufa ila nikapita seem Nika sikia wimbo uhuuu ,nikausikiliza nililia sana, bas naishi ndani yauhuu wimbo 😢
@anethabraham3065
@anethabraham3065 Год назад
Pole sana
@doxaevecharles1863
@doxaevecharles1863 Год назад
Neema ya Mungu ikufunike,wewe ni mshindi
@amirmakule2266
@amirmakule2266 Год назад
Mungu akusimamie akupe nguvu , hakika wewe ni dhahabu na yote uliyo pitia ni Moto Tu ambao u takufanya ung'are zaidi badala ya kuteketea❤
@user-nj6vo5qb8j
@user-nj6vo5qb8j 11 месяцев назад
MUNGU anaishi milele....huu mwimbo unanigusa sana na kwa uwezo nilionao kinywani mwangu nina imani kila jambo langu limekuwa sawasawa na kusudi lake MUNGU.Barikiwa sana Mathias such a powerful song....na yeyote mwenye kuguswa kwa imani basi amebarikiwa sana na huu mwimbo.AMEN.
@DNjoguu
@DNjoguu Год назад
kwa neemaa yako nimeweza, maaana UMENISIMAMIA 😭🙏❤
@cessyshadrack982
@cessyshadrack982 Год назад
Tuliokuwa tunangoja video ya huu wimbo tujuane🥰
@user-te3iw6kx9v
@user-te3iw6kx9v Год назад
Kwa jina la yesu minakiri kupokeya ushindi💪💪🙏🙏
@chundastv9446
@chundastv9446 Год назад
what a prophetic song! ubarikiwe mathias
@user-hb8yh6fs9u
@user-hb8yh6fs9u Год назад
Najikuta nna amani sana kupitia hii nyimbo barikiwa mtumishi
@RebekaDindi-so6ev
@RebekaDindi-so6ev 5 месяцев назад
Nabarikiwa na huu wimbo be blessed
@RebekaDindi-so6ev
@RebekaDindi-so6ev 5 месяцев назад
Ok
@edsonjeconia3257
@edsonjeconia3257 Год назад
So powerful song
@jamesfanuel4595
@jamesfanuel4595 Год назад
Amina Ubarikiwe 🙏🙏 MUNGU wa Mbinguni akufanikishe zaidi
@romes-tz7323
@romes-tz7323 Год назад
Wimbo wangu pendwa Kila ninapoamka❤
@soccerarena1482
@soccerarena1482 Год назад
Matthias umejua kutengeneza nyimbo zinazonibariki sana , , Nakuombea ufike mbali ,, uendelea kutoa nyimbo nzuri
@mwanzajosephine468
@mwanzajosephine468 5 месяцев назад
Ameeeen Asante kwa kugus maisha ya wengi
@saralusinde53
@saralusinde53 Год назад
kama ni mali fedha na dhahabu zinazipata tu ambazo wazaz wangu hawaku zipata NITAZIPATA TU NINAJITABIRIA Hata kama sioni dalili naamini utafanya Wewe BABA Amen
@kizadina6448
@kizadina6448 Год назад
You always bless me with your song 🎧 keep up the amazing work 🎧🥰
@user-jz8xz4tw4l
@user-jz8xz4tw4l 11 месяцев назад
Mungu ndio kila kitu I repeated many times thinking about my mommy since I lost her nimepitia mengi wimbo huu unanifarij
@barakaisaya6059
@barakaisaya6059 11 месяцев назад
Mungu akakutie nguvu
@FatimaAline-wv5qj
@FatimaAline-wv5qj 2 месяца назад
Wimbo wa imani ongereni sana
@PASCALAlex-yk7ds
@PASCALAlex-yk7ds Год назад
Nyimbo nzuri sana hii hongera sana keep it up 🔥🔥🔥🔥🔥
@happykitima6547
@happykitima6547 Год назад
Siku haipiti sijausikiliza unanitia moyo sana huu wimbo
@NeemaShirima-ws8nf
@NeemaShirima-ws8nf Год назад
"hata kama sioni dalili nina imani utafanya Yesu" Blessed! blessed! blessed!
@khalidkhafidh5511
@khalidkhafidh5511 Год назад
Mungu aliye mwema na makimbilio ya watu wote azidi kukulinda na kukutumia katika Utumishi wako wakuimba kaka Mathias
@eliudamini
@eliudamini Год назад
Congratulation kaka kazi nzuri Ubarikiwe!
@MsafiriAsende-bg9ec
@MsafiriAsende-bg9ec 4 месяца назад
Ubarkiwe sana bro kwa wimbo uhu maana unanifanya nijiisi naukarbu na Mungu licha ya magumu ya dunia 🙏🫵🫵🥲Amen
@rosareekelvin6709
@rosareekelvin6709 Год назад
Ameeen😭😭😭 umeniheshimisha yesuuu
@kelvin2578
@kelvin2578 2 месяца назад
This song is the true depiction of scripture. Thank you Mathias for such a masterpiece! May our Lord Jesus keep blessing you abundantly!!!
@elvisadipo2443
@elvisadipo2443 Год назад
Tumengojea hii video saa.... Kali saaana... Hii ndio my ringtone😍😍😍
@mcfabian2190
@mcfabian2190 Год назад
I was waiting the video
@user-hi7hy3bk8j
@user-hi7hy3bk8j Месяц назад
Wakati unatoka wimbo huu ulitoka nikiwa masomoni nchini India nilikuwa nasikiliza wahindi walikuwa wanaona roho Mt ghafla anavyonibeba😢
@BenyDaniel
@BenyDaniel 11 месяцев назад
Hakika tunayo sababu tena bila hofu kuzisema shuhuda zake Mungu wetu kwa ujasiri!
@godfreymwandu-ye7jj
@godfreymwandu-ye7jj Год назад
Ipo nzuri Kaka mungu akujaze nguvu uendelee kutoa vityu vikali...
@HemediBakari-e5o
@HemediBakari-e5o Месяц назад
Huwembo naurudia mara kumi japokua sio mkristo ❤❤
@maulididdi7360
@maulididdi7360 Год назад
Aaa we mfipa unajua kwa kwel mweee❤
@Gods_favourite721
@Gods_favourite721 Год назад
My favorite so far❤🇰🇪
@marymauya9207
@marymauya9207 Год назад
Hatakama sion dalili Nina imani nawe utafanya Yesu oooh ooo.......😊😊😊😊
@richardmyeya5186
@richardmyeya5186 Год назад
Kuna nyimbo zimeimbwa ila huu kwenye viwango vya nyimbo ni nyimbo.
@user-qg6xk6tv1v
@user-qg6xk6tv1v 7 месяцев назад
Mungu ndio tegemeo pekee pale ambapo nimeshindwa kabisa najua hawezi kuniacha atanishika na kutenda miujiza juu ya mtihani yangu sina uhakika na majibu ila ninauhakika na yy kwasababu amenithibitishia hilo mara nyingi🙏…Amen🙏🙏
@KelvinMlay-lq1dw
@KelvinMlay-lq1dw 2 месяца назад
I Blessing this Music, Ewee MUNGU Wa Mbinguni mpe Neema Muimbaji huyu Atoe mziki mzurii kama huu wa Kukiri ushindi Kwa Mwanadamu Ameen
@meshackmatisho-jv7rs
@meshackmatisho-jv7rs Год назад
Waooooo hongela sana kaka kazi nzuli sana❤❤❤
@mercynina6288
@mercynina6288 11 месяцев назад
my breakfast song. my lunch song and night song. blessed be the name of God. victory
@LizWakesho
@LizWakesho 4 месяца назад
O yes iko nguvu kinywani mwangu ya kutamka lolote kwa jina la Yesu kristo yote ni Amen 🙌🙌
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 месяца назад
Abavyo wazazi wangu hawakuvipata nitavipata tu😥🤲🙏🏽
@dr.mosesstvonline1882
@dr.mosesstvonline1882 Год назад
Babaaaaaa
@CosmasvicentBagango-jy1ox
@CosmasvicentBagango-jy1ox Год назад
Hongera kwa Video nzuri 🎹🎧🎤 Ameen Ameeni
@adelamwampamba7047
@adelamwampamba7047 7 месяцев назад
kupitia huu wimbo, naelewa kujibiwa maombi yangu ni haki yangu
@conscioushctv861
@conscioushctv861 Год назад
Hakika huu wimbo ukawabariki wengi waliopotia mitihani lukuki lakini Mungu hakuwaacha
@mcfabian2190
@mcfabian2190 Год назад
❤Kuna uwezo nikitamka najitabilia ❤❤❤
@joycenose2356
@joycenose2356 3 дня назад
Napenda Sana kusikiriza kila siku inanifariji Sana magu yatapita Kwa uwezo wa Mungu
@rahabuhebron2841
@rahabuhebron2841 11 месяцев назад
as i am going to the interview today......najitabiria nitafaulu na nitapata kazi hata kama sioni dalili,nitafanikiwa zaidi ya wazazi wagu
@charlottealine6571
@charlottealine6571 11 месяцев назад
Amen pia Mungu akutangulie mbele ya yote
@takdirkhan9408
@takdirkhan9408 Год назад
Huu mstari nimeushuhudia hata kama sioni dalili nina imani na wewe utafanya mungu ni muaminifu
@faidarolama3169
@faidarolama3169 Год назад
God bless you so much we love you
@blessedreuben
@blessedreuben 8 месяцев назад
Romans 10;9 You will just believe and confess with your mouth ❤and you will have welcomed Christ in your heart na utakua believer ❤❤.
@beatriceemmanuel187
@beatriceemmanuel187 2 месяца назад
Barikiwa mtumishi wa Bwana
@joycekaishozi1177
@joycekaishozi1177 Год назад
mke wangu amenikimbia na mtoto nackia kapangishiwa na bwana wake ambae hajui kua hapo chuoni mm ndio nalipia ada..halafu mungu ninaemtegemea nimemwambia anisaidie..leo nimemtumia laki 6 ya pango atajua yy na bwana ake na shetani maana ni timu..mm nipo na mungu..
@evelinmndeme2424
@evelinmndeme2424 11 месяцев назад
😢😢😢😢
@Sam_JB
@Sam_JB Год назад
Waaaaoooooo🎉🎉🎉🎉 hongera sana kaka Mathias imekuwa njema sanaaaaa na huu wimbo umetendewa haki hakika MUNGU akuinue zaidi na kukupa hekima na maarifa tuzidi kufaidi matunda haya
@BwemeroFelix
@BwemeroFelix Год назад
Moja ya nyimbo pendwa sana kwangu kaipangilia vizuri
@glory34495
@glory34495 Год назад
my favourite song❤️❤️
@FurahinChongola-gb9jy
@FurahinChongola-gb9jy Год назад
Barikiwa Sana na Mungu maana nyimbo yako inanifariji ❤️❤️❤️ mathias unajua Sana kuimba
@AdelestineTsongo
@AdelestineTsongo 12 дней назад
Bila wewe Mungu singeweza. Ila na kiri kupokea ushindi Maana natembea katika ushindi wa Kristo Yesu. Hali ngumu haitadumu ni mipango ya Mungu inadumu
@roselyneonyoo9995
@roselyneonyoo9995 Год назад
Nami pia nasimama kwa ujasiri niseme ushuhuda wa mungu wetu.Maana Leo amenitendea mema.Kweli kama angeniacha singeweza.Asante yesu maana umwaminifu🙏
@angeledwin-xw5bw
@angeledwin-xw5bw Год назад
Amen amen🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭ni neema ya Mungu tu skustahili🙏🙏hata kama sioni dalili ninaimani nawe Mungu 💪💪
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Год назад
Najitabiria sisubiri kutabiriwa na nabii kwani nina uwezo kinywani mwangu ameni.
@salomeatieno2161
@salomeatieno2161 2 дня назад
Amen Amen 🙏
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Год назад
Woooow mwalim wangu praise, nilisubiri sana hii video
@neemapatrick1610
@neemapatrick1610 Год назад
najitabila kwa jina la yesu ..mabaya yoteee haya nafasi.kwajina la yesu 🙏
@WilsonKilingo-yh4hm
@WilsonKilingo-yh4hm Год назад
Nomaaaa sanaaa
@gideonjames6998
@gideonjames6998 Год назад
Baba baba barikiwa sana aiseee. Hongera kaka Am proud of you mkuu
@samisaya9819
@samisaya9819 Год назад
Kazi nzuri Walichupa
@mrkibali6075
@mrkibali6075 Год назад
Uinuliwe sana mdogo Wang fika mbali kwa jina la Yesu 🙏
@tukuyufm
@tukuyufm Год назад
huu wimbo, yaani huu wimbo 🔥🔥🎧🌍🌍
@eliethaudax9360
@eliethaudax9360 Год назад
Wimbo unanibariki sana nausikiliza kila Mara
@AndrewMalanda
@AndrewMalanda 24 дня назад
God is with us, amen 🙏🙏
Далее
Israel Mbonyi - Malengo ya Mungu
8:17
Просмотров 9 млн
Nikurejeshee
12:42
Просмотров 292 тыс.
Joel Lwaga - Umenishangaza (Official Music Video)
5:26
Mathias Walichupa - Nitashinda [Official Music Video]
3:49