Тёмный

MAUAJI MISITU YA CONGO: TANZANIA INAHUSIKA NA M23?/KAGAME ATOA USHAHIDI/SAMIA, JK/JWTZ../PART 02 

Dar24 Media
Подписаться 733 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 10 месяцев назад
Shukran sana kaka yeriko kwa uchambuzi
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 2 месяца назад
Yoh bless u nafurahi kuijua hii historia ingefaa iandikwe kwa vitabu
@IssaNimbona
@IssaNimbona 7 месяцев назад
Jambo sanaaa wa TANZANIA wandugu zangu sema Na ishi Burundi Asante sana
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Kama una like dar24 km mimi bas piga malikes ya kutosha sn kwangu,hakuna propaganda hapa ni ukweli mtupu na ni live bila chenga
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 Год назад
Uko vizuri broo
@justinkagaruki5284
@justinkagaruki5284 Год назад
Nimefurahi kuwa wa kwanza ku comment
@bwenge5332
@bwenge5332 Год назад
Nasikia kiswahili alaki kuandika ni kidogo piko kitu napenda sema uyu jama hajuwe historia ya yawa nyarwanda yipo anadanhanya sana.yiko anasema bile balimwerezeya
@piterfraha7038
@piterfraha7038 Год назад
Nawashukuru sana, ila ningependa kushiriki mjadara wowote dhidi ya Congo na Rwanda
@nelsonnaga3775
@nelsonnaga3775 Год назад
Hatari
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 7 месяцев назад
Jamaa anaonekana anafahamu mambo lakini anachanganya historia tofauti. Kwa mfano Odinga hajawahi kusafiria passpoti ya Tanzania kama ambavyo anataja huyu jamaa.
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 7 месяцев назад
Maajabu na kweli.silaha hizi tunapitisha sisi.tunazibeba kwenye maroli yetu.burundi Rwanda na Uganda alafu zikifika nchi zao.wanawagiamm,23. Sasa Vita itaishaje?lazima Tanzania izuie silaha zisipite.kitu ambacho.gakiwezekani.maana njia za panya Ni nyingi
@moseskazungu1158
@moseskazungu1158 Год назад
Kagame Ali fanya mafunzo yakijesi Munduli Tanzania 🇹🇿,
@mussahamad1461
@mussahamad1461 Год назад
Sawasawa poa😢😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂
@CallixtefelesianCallixtefelesi
@CallixtefelesianCallixtefelesi 8 месяцев назад
Hhhhhhhhhhhhh,Bizimungu yupo hai , jamani acha kudanganya watu
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 7 месяцев назад
SIO KMA HUB, NI HYB OF LIBERATION
@MugishaEmmy-l6n
@MugishaEmmy-l6n 6 месяцев назад
Hhhhhh acheni kudanganya
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 Год назад
Mada nzuri imekosa mtangazaji
@hubman6780
@hubman6780 8 месяцев назад
Joseph Kabila alikuwa mtoto wa Patrick Kanambe
@daudichoghoghwe5035
@daudichoghoghwe5035 Год назад
Mchambuzi uko vzr
@borysaronge1493
@borysaronge1493 11 месяцев назад
Sasa hivi neno bandari limewatoka mnachoanza ni uchonganishi wa Rwanda Drc na Tanzania Ili muweze kupata stori acheni ujinga Kwa hiyo mlitaka watanzania ndio wauwawe?
@gasarabwepatrick659
@gasarabwepatrick659 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂 munagusiua jyu sasa tz munakujya congo nynyi tanzania vita itakuwa mukoa yote nase kwri mutegemeye vita huko Dr😅😅😂😂
@abedmunyamahoro2931
@abedmunyamahoro2931 8 месяцев назад
Uchambuzi wenu ni wa mulengo wa kushoto
@shukurulazaro8688
@shukurulazaro8688 Год назад
Story ni nzur Ila msipende kuandika vichwa vya abali kuichafua tz
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Umehoji mtu mwenye akil sana
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 7 месяцев назад
WEWE FISI UNAO USHAIDI KAGAME JAMBAZI MKUBWA ANAIJEGA NCHI YA RUWADA KWA KUTEGEMEA RASLIMALI ZA CONGO ANA SHIRIKIYANA NA QTARI ANALETA SLAHA ANACHUKUWA GOLDI NA VITA IKISHA RUWANDA ITAKUWA NAHALI MBAYA RUWANDA UKIWA NA PASPORT YA RUWANDA NO VISA QTARI UNAGIA BILA YA VISA WACHENI UPUZI KAGAME DIKTETA MKUBWA
@mupenziandre3910
@mupenziandre3910 Год назад
Mchambuzi huyu anahitaji kusoma historia vizuri. inaonekana wazi kwamba hajui historia ya Rwanda. na usipojua historia ya Rwanda vizuri , uchambuzi hutaweza
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 Год назад
Alfonso Dhlakama ni Marehemu sasa hivi.Hayupo tena.
@ishmaelluyagaza5335
@ishmaelluyagaza5335 Год назад
Uko sahihi... Huyu Yericko ni mpotoshaji.
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 Год назад
@@ishmaelluyagaza5335 Asante sana Ndugu.
@justinkagaruki5284
@justinkagaruki5284 Год назад
Woyooooo
@CallixtefelesianCallixtefelesi
@CallixtefelesianCallixtefelesi 8 месяцев назад
Muongo mkubwa, Joseph kabila ni mtoto wa Laurent kabila
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 8 месяцев назад
Uongo unawo fanana na ukweli bro chimba zaidi mambo mengi huna taarifa nayo
@khalfankhalfan-w4o
@khalfankhalfan-w4o 8 месяцев назад
Hicho kichwa cha habar na munayoyazungumza ni tafauti
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Kagame hakuwahi kuwa mkuu wa usalama katika jeshi ya uganda ila alikua ofisa katika jeshi la uganda kitengo cha usalama ila si mkuu wa usalama ktk jeshi la uganda
@josephanthony465
@josephanthony465 Год назад
Hapo nmekuelewa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
@@josephanthony465 pamoja
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 Год назад
Ni errors ndogondogo ktk kuongea
@Oliivr-w1f
@Oliivr-w1f Год назад
​@@fahadfaraj6474 kagame amekua mkubwa wa investigation mu uganda
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
@@Oliivr-w1f alikua meja katika intelligence unit n hakuwahi Kua mkuu wa icho kitengo ila ni moja ya maofisa wa hicho kitengo
@damymzuri9989
@damymzuri9989 Год назад
Impossible mission
@nawandafamito500
@nawandafamito500 Год назад
Djakhama kafariki tayali, chama chake kashika MTU mmoja wakuitwa, momadi
@observant23
@observant23 Год назад
mm mkenya na haya maelezo yote yamenistaajabisha sana kwasababu sikujua ukweli mbona DRC hadi leo kuna vita vikali hivyo....
@uzimajazir6096
@uzimajazir6096 Год назад
Mchambuzi unachanganya mambo Sana gen.nkunda alisaidia chama cha Kagame kushinda na kutawala rwanda na badaye kuvuka DRC kumung,oà mombuto ndio mana badha ya wakongomani wanadayi hão kuna nkunda ni munyarwanda
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 Год назад
Bora wangekabeba hako karwanda tunge pata watu wazurii
@gasarabwepatrick659
@gasarabwepatrick659 8 месяцев назад
Hakiri mbovu tanzania ubwa kasia sana sana sania kikwete ubwa muku jonicongo niko muhutu nyanyinyi mutapata mbomo zenu huko sumbiritunakuja😂😂😂😂😂
@mengitv1613
@mengitv1613 Год назад
ni kweli hata wakina mandela wametokea hapa,kabila nae alitoka hapa kinachochangia ni amani tulionayo tuitunze
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 Год назад
Mkataba wa kuanzisha Taifa la watutsi sio wahutu
@saidindizeye2206
@saidindizeye2206 Год назад
inabidi urudi kusoma vip ilikuwaje historia ya macafuko ya rwanda na mgogoro ulivyo anza
@katangaminerals8047
@katangaminerals8047 Год назад
Kagame hajawai kua Mku wamajeshi ya Uganda. Alikua msaidizi wa mku wa usarama wa Uganda in 1990
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Год назад
Kabisa
@CESARANTHONY-rj2me
@CESARANTHONY-rj2me 8 месяцев назад
Iyamba letu tv
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Год назад
Oya upumbavu wenu wa kutaka kupata content kuiharibia Tz hiyo title iko na ukakasi
@niyonkurupascal896
@niyonkurupascal896 8 месяцев назад
Uyu jamaa anatucanganya, ucambuzi wake uongo mtupu
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Год назад
Punguzeni uongo
@HajiHamisi-cg6kc
@HajiHamisi-cg6kc Год назад
oya we mbona kichwa cha habari ni chauchochezi kuamakini na luga zako
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Год назад
👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝
@murwanashyakaemmanuel1218
@murwanashyakaemmanuel1218 7 месяцев назад
bro umekosea m23 ni wacongo FDR niwale wamefanya mawuwaji Rwanda
@reisedyy4910
@reisedyy4910 Год назад
😂😂😂😂 huyu mchambuzi ngumbaru mmemtoa wapi? sisi hatujawai kuusika na lolote kuhusu uhuru wa Malawi, Wazee wa malawi walikua wana hustle sawa na Nyereee. Laurent hajakutanishwa na Joseph Kabila ila ni mtoto wake ambae kamlea tangia wakiwa msituni, na wakati vita vinapiganwa Joseph Kabila alikua mdogo sana, Laurent kamlea huyu dogo na baba ake mzazi alikua rafiki wa karibu na mpiganaji wa Laurent Kabila. Huyu mchambuzi wenu ni zero sana
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Tanzania 🇹🇿 tulikua ni wajinga sana japo tulikua na utu na bado tuna utu sana aisee ila wenzetu sijui wamerogwa?
@ngarambeiziriza6982
@ngarambeiziriza6982 8 месяцев назад
Nenda usome history wewe hujuwi chochote
@HassanRamadhani-xn3cg
@HassanRamadhani-xn3cg 8 месяцев назад
futeni hiyo chanel hamna lolote hamjui history yoyote mna maliza mb za wadau muongo mkubwa
@emmanuelywambura2006
@emmanuelywambura2006 Год назад
Muongo kabisa
@mugangamoses
@mugangamoses 8 месяцев назад
Tango vita yaponi kagame Uganda mku .wa jasusi ulinza wari kuwa .poring jina yake pirapo
Далее
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3 млн
Israeli Army Special Forces
1:00:36
Просмотров 454 тыс.