Тёмный

SIRI YA WALIOPANGA MAPINDUZI:USALAMA WA TAIFA/KUNYONGA/WATU WASIOJULIKANA..NYERERE&KARUME..|02 

Dar24 Media
Подписаться 733 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#zanzibar #mapinduzi #karume

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 8 месяцев назад
Mtaalamu yeriko uko vizur sana lkn kwenye upande wa Iman Allah akuongoze
@mwasa_tv
@mwasa_tv Год назад
jmaa anajua sanaaaa
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Год назад
Tanzania haiwezi kuwa na Ukabila wa kiwango cha nchi yetu kenya sababu uasisi wa nchi yenu ni tofauti sana. Musiuziwe uwoga kamwe ! Badilisheni katiba kulingana na mahitaji ya nchi yenu wala sio kwa kuuziwa uwoga !!! Jomo Kenyatta aliweka mizizi mizito sana Kenya katika swala la ukabila na ndio maana hadi leo tunang;ang;ana kupigana na janga hilo kwani limetukwaza sana katika nyanja zote za kitaifa,kiuchumi na hata kijamii .
@adizomafedha375
@adizomafedha375 Год назад
Nsaidie no. Ake
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Год назад
Wacheni kujifirahisha mapinduzi ni outside job
@kassongokittapa7762
@kassongokittapa7762 Год назад
Yericko, zungumzia hizo Historia nyingine na Siasa, mambo ya Kiimani huyajuwi, achana nayo
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 8 месяцев назад
Kuna soma la falsafa kaka ukisoma huna elimu sahihi ya dini hutoboi kurud ukiwa na dini uyu ndo kasoma ilo somo filosofi hawa Ata kwenye dini washaziingilia pia wametia fikira zao
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Год назад
Wau huyu jaama mkali sana ana sema ukweli from Germany
@mutiembingi-le6kz
@mutiembingi-le6kz Год назад
Jibu ni nyepesi kizazi hiki kanafundishwa Mambo Yale yaliogunduliwa zamani wanarudia
@MosesMulambya
@MosesMulambya 22 дня назад
Ndugu mkuu wa wilaya siyo Ujamaa hata ukoloni walikuwepo District Commissioner. Ukabila ulifanyiwa kazi na mwalimu hizo hofu no za kweli. Ujamaa ndo ummejenga China.
@iddimasika1173
@iddimasika1173 Год назад
Daaahh jamaa upo vizur ktk siasa lkn ktk dini na imanii umepotea sana na unapotea xnaa
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 2 месяца назад
😅😅😅tulivofika kweny imani nimeishiwa kidogo
@fredychapwaya6025
@fredychapwaya6025 6 месяцев назад
Nahitaji kuonana na huyu ndugu yeliko nampataje
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 8 месяцев назад
Kuhusu miswada Tanzania haitokataa tena tunaomba na mashart ndio hayo tumepwa mzungu hatoi hela yake bure lazima awe na benefit nahicho mzungu akiona yeye kaharibikiwa basi atalazimisha na wewe ualibikiwe huwa hawapendi kuzidiwa maarifa na watu weusi na sasa watu weusi kidogo wameamka kidogo
@hassanmkufya2867
@hassanmkufya2867 Год назад
Siasa uko sawa....? Lkn ulizunguka makanisani sio msikitin ww kaa na mizim yako tuachie uislamu wetu
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Год назад
Ni kweli HUKU ULAYA Akuna kijana anae kwenda kusali kanisani wengi vijana wanafanya kazi wazee ndio wanakwenda makanisani mimi naona huku
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 Год назад
Vipi kuhusu msikitini wanaenda kweli?
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 Год назад
Katiba kwa wakati huo ilikuwa sawa kinachotakiwa ni mabadiliko kulingana na wakati tulionao. Viongozi waliopo waruhusu mabadiliko ya katiba.
@alvinbenito5243
@alvinbenito5243 Год назад
Hao wenye PHD ndio wanaoleta ujinga duniani, mfano mdogo nchi yetu inamali lukuki lakini hizo PHD ziko wapi kama sio mifukoni mwao ,naigeria inaongoza kwa doctors & philosophy lakini tazama kinachoendelea hapo.
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Год назад
Shida kubwa iliyopo duniani ni ombwe katika elimu. Kusoma kwa mtu siyo shida ila ishu ni unatumiaje elimu yako. Mfumo wa elimu ya hivi leo umeua uwezo wa kufikiri (critical thinking). Kwani wewe Yeriko kwa mfano umesoma na watu wangapi? Wachunguze uone wako wapi na wanafanya nini. Wengi unakuta walishindwa ku speculate elimu yao na kuitumia kupambanua mambo. Ndo maana wako obsessed na watu ambao ni fine mind km kina Kishimba na the likes....ni kwasababu hawataki kujifunza na kupata exposure. Hawataki hata kwenda Zanzibar tu hapo karibu. Usipotumia akili utatapeliwa na matapeli wa kila aina kwasababu wamekuzid akili utatapeliwa na wachungaji, ma motivesheni spika na kila tapeli. Lakini kitu kingine nachopingana na kila mtu ni kuamini katiba mpya itatua kila tatizo. My friend, shida ni kujitambua. Mungu katupa faida ya kuwa watu tuliotulia na kuishi kwa amani, Tanzania ndio sehemu hata mgeni anaweza kwenda kupanga uswahilini na akaishi, hatuna nongwa na mtu despite tofauti nyingi tulizonazo. Ni lazima mjue kama taifa mnataka nini na mjenge mifumo Imara kusimamia hicho mnachokiamini chini ya katiba hii hii iliyopo. Nchi yoyote huwa inajenga misingi ya watu wake ila ni lazima wapewe elimu bora ili wawe rational, wajitambue na wajue purpose ya wao kuwa kwenye hii ardhi. Watanzania wanaishi tu na hawajielewi kama wapo wanaojielewa hawafiki asilimia 10. Hata marekani ina demokrasia ila iko monitored 100%. Demokrasia tunayoitaka sisi haiendani na level ya elimu na kiasi cha ustaarabu tulionao (civilization). Hili ninalo ushahidi na nimelifanyia utafiti sana. We ain't ready for democracy na hatujui hata ni vip demokrasia ina operate. Hatuna elimu na hatujafuata taratibu ktk transformation kwenye demokrasi. Ustaarabu wetu ni mdogo sana kwani wengi hatujastaarabika. Mimi naamini siku zote katiba ni mahitaji ya watu na nyakati. Kila wakati unayo mahitaji yake na shida kubwa hapa ni mentality kuanzia kwa chama tawala, vyama pinzani na mtu mmoja mmoja. Chama tawala wamewekeza akili kubwa kwenye kutawala milele badala ya kulivusha taifa kiuchumi. Vyama pinzani vimewekeza kwenye kukosoa chama tawala badala ya kuelimisha umma ili ujitambue na hata wakielimisha wanapotosha. Watu binafsi wamewekeza kwenye kutafuta maisha yanayofanana na waliofanikiwa badala ya kutafuta mafanikio. Kwahiyo kama taifa tuko diverse na hatuna common objective. Tupo tu tunatangatanga na sisi ndio wana wa Israel. Tushapoteana miaka zaidi ya 40 na tunakaribia kupiga 40 nyingine. Ni lazima tutafute common goal. Mfano sikiliza mpango wa maendeleo ndo utashangaa. Yani ni kama watu walijifungia ndani wakajifanya wao wana akili wakatoka na mpango. Narudia tena, sisi ni lazima tuwekeze kwenye kilimo. Baadaye chakula kila kitakuwa cha shida. Trust me, sisi ndio tuna tunategemewa kulisha sehemu kubwa ya nchi za kusini mwa Sahara ila hatujui. Tupo tu. Si mfundishe watoto hata historia ya viwanda ya China, walianzaje, walipitia wapi na kwanini na wamehangaika miaka mingapi na kwanini waliwaza kilimo kwanza kabla ya viwanda? Ni kwasababu vitu vina "Cause and effects" na kwa hivyo inatakiwa ujue kipi kinamsababisha mwenzie.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 Год назад
kuna watu ukiwasikiliza unaenyoy sana ukisahau hasili yako umepotea lazima uweke hasili yako na utamaduni wako mbele
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 8 месяцев назад
Asili yako ni kuabudu mizimu au ?
@asilclub
@asilclub Год назад
Walyo panga uvamizi na mauaji : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-OUImP-Tze7k.html التواجد العماني في تنزانيا وزنجبار : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZqgL9-X-acQ.html العمانيون في تنزانيا شينانغا : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-2qoeh8zDMaE.html العمانيون في بوروندي ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-a6OWaGE6kGg.html العمانيون في زنجبار : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-aOyhJceCUuQ.html الشيخ سالم الريامي في زنجبار : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UfIUy8P38kg.html العمانيون حكام زنجبار ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-LlJ8TyOZovc.html السلطان العماني في ممباسا : ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Xb5KmiCiPjs.html زنجبار عاصمة سلطنة عمان في شرق افريقيا ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-d8c4wmVUpHE.html عمان وزنجبار ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZPJhrfAMavM.html القبائل العمانية في زنجبار : مجازر ضد العمانيين في زنجبار ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-P54EFzJRnXc.html هلا بكم
@wilbatnyato4679
@wilbatnyato4679 Год назад
Kemetry
@alexanderkisinini9376
@alexanderkisinini9376 Год назад
Mwongo (wimudesi wimgayakinu chukinsele) umechanganyikiwa. Unachanganya mambo. Umetaka kkujua mengi sasa yanakuchanganya pamoja na ukweli ulio nao.
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
"Mawazo" Sehemu Ya 45 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
31:44
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.